Bado hamna mipango ya baadaye ,tokekeni kwenye njia sita adi nane ikiwezekana kumi kabisa huo mji watu wanaongezeka Kila Leo.
@SamuelSigara15 күн бұрын
Sio kila mmoja ataonyeshwa kwa kuelekea 🎉🎉🎉🎉
@patrickbenard754215 күн бұрын
Kazi iendelee
@jamalsaid747515 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 leads others follow ❤
@peterdeus60936 күн бұрын
Iv kwa nin hamiwezi fanya kazi zenu bila kutaja rais mnahofia kupoteza nafasi zenu ama nin
@section8ight17415 күн бұрын
ORDER, BEAUTY & STRENGH
@apolinaryaugustine549115 күн бұрын
Jamani viongozi nisaidieni kuelewa , maana sijui ni kwa nini barabara ya kamata kwenda airport inakona nyingi, alafu sehemu nyigine ni nyembaba kwa gari zinzoelekea mwelekeo mmoja kunaweza kuwa na ajali sehemu zile finyu, . Pia nilitegemea kwa kuwa barabara ina eneo kubwa , ilitakiwa inyooke watu wanaoenda air port wawahi ndege na ikumbukwe first impression ya wageni kutoka nje walitakiwa wakitua wakutane na barabara ambayo inaonesha kweli tz tumefanya kazi nzuri . Nisaiieni labda kuna plan nyingine au ndo tumeishia hapo.
@Frazztraveller13 күн бұрын
Hata mimi sijaelewa kabisa
@lucasmhagama816615 күн бұрын
Mmebana barabara nyingine kwa ajili ya Mwendokasi aisee
@AmriHaruna-l4z14 күн бұрын
Hamuwezi kutoa foleni Dar kwa kujenga mwendo kasi bila kupanua barabara zaidi
@JohnFortunatus12 күн бұрын
Haiondoi folen ila kupunguza muda na ugumu wakuasfiri
@Skomi-0nedayyes15 күн бұрын
Tanroad hivi kwanini amuweki sidewalk inamaana wanaolipa kodi ni wenye magari tu, Yani mji unakua Kama polini wakati ni jiji acheni upuuzi watu wanagongwa barabarani sababu akuna sidewalk na kulipo na sidewalk wamachinga wanatandaza biashara wengine wamefungua mpaka magenge hile barabara inayoelekea tegeta na bodaboda ndo wanapita umoumo amkemei wala amtoi elimu unaonyesha jinsi gani nyie ni jipu la kutumbuliwa.
@kilimanjarotv25514 күн бұрын
sijaona mikakati ya njia za kebo hata moja kilimanjaro iliishiwapi ilitaka kuwekwa kwa wageni arusha inawezekana kuweka kuvutia watali makonda ikilijua hili atalifanyia kazi njia za kebo kwa arusha zinafa kuna milama milima na mabonde patapendezaje embu jaribuni wazee wa tanroad ipigwe kebo mlima meru mpaka kilimanjaro
@SaidislamBates-cy1up15 күн бұрын
Mbagala mabasi yako wapi?
@altentic861615 күн бұрын
mitaa na vichochoro vya jiji la dar es salaam ni nyororo sana, hivyo napendekeza serikali ifanye mageuzi ya kunyoosha na kupangwa vyema katika pande zote na maeneo ya jiji hili.. vilevile katika miji yote ya Marekani na Kanada
@Venas-uh3wz15 күн бұрын
Hao wanaoweka biashara barabarani waondoke haraka.
@NgasaMaduhu15 күн бұрын
Waende wapi au unafikiri kila mtu anategemea urithi kama wewe
@section8ight17415 күн бұрын
@@NgasaMaduhuBarabarani Sio sehemu ya kufanyia biashara, wewe unaanzishaje biashara bila kufikiria Kwanza na kujipanga kimkakati? Haya mambo ya kufanya vitu kishagalabagala yamepitwa na wakati na ni ushamba wa hali ya juu yakhee
@NgasaMaduhu15 күн бұрын
@@section8ight174 Hii comment yako imejaa pumba na shudu.Wengine tumesomeshwa na biashara za kupanga barabarani kwasababu serikali haikuwa na mkakati wala mpango wowote na watu kama Sisi.
@ogdosho9315 күн бұрын
Hata ile kkoo kupanga biashara chini na mishuka shuka kuning'inia juu ni kushusha hadhi ya Jiji... Halafu mnajicompare to Kenya kwa Jiji hilo😅
@section8ight17415 күн бұрын
@@NgasaMaduhu wacha kuongea pumba wewe! Kama unataka biashara ya chini nenda vijijini huko, tunataka Jiji la hadhi ya kimataifa! Wacha ushamba mambo ya kizamani hayo wazazi wako wangeweza kukusomesha kwa kulima shamba vilevile. Lazima watanzania tufikirie kiupana zaidi tumeshaachwa Mbali sana tu!!
@HajiKlein-so1rk15 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿💕
@jamalsaid747515 күн бұрын
Hongera Mheshimiwa 😊 Kazi iendelee kwani Tanzania ndio Superpower ya East and Central Africa.