Baraka Shamte amgeuka Raisi Mwinyi

  Рет қаралды 20,564

Hilmi Hilal 259

Hilmi Hilal 259

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 2 жыл бұрын
,safi sana mzee shamte
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 2 жыл бұрын
Mzee uko sawa👍
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 2 жыл бұрын
Weyee waleta umbeyaaa babuuuu
@Tanzaniàaá
@Tanzaniàaá 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣hajasema tunaupiga mwingi kapigwa yeye dah tz yetu hii
@baalawyaljadyd6750
@baalawyaljadyd6750 2 жыл бұрын
Habahahah
@Tanzaniàaá
@Tanzaniàaá 2 жыл бұрын
@@baalawyaljadyd6750 🤣🤣🤣🤣
@khalidbelhasa2600
@khalidbelhasa2600 2 жыл бұрын
sio shamte tu hata wewe kinaweza kukukuta kilicho mpata
@yahyashaib5116
@yahyashaib5116 2 жыл бұрын
kwn kaanza yeye kukodisha maeneo mnachuki nae tuu
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 2 жыл бұрын
Awekewe ulinza na umoja wa mataifa
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 жыл бұрын
Uhuhuuuuuuuuuuuu mbwa wameshakua na shurufu wanapandiana hadharani😀😃😄😁😆😅🤣😂
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
sisiem ni sisiem tu
@allysaid6649
@allysaid6649 2 жыл бұрын
Uko right Hana alichokosea
@majidbakar8766
@majidbakar8766 2 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhh
@ismailissa3996
@ismailissa3996 Жыл бұрын
Wamanga walimpakua huyo ndio maana heshi kuwataja
@abras3479
@abras3479 2 жыл бұрын
Hoja zake zijibiwe. Raisi Mwinyi amjibu huyu mzee. Kumfukuza uanachama haisaidiii. Mtoto hata kama hana adabu lakini akiongea ukweli asifukuzwe kwenye familia HOJA IJIBIWE KWA HOJA SIYO VITISHO
@hishamally4846
@hishamally4846 2 жыл бұрын
mzee huna sera nilichogunduwa una chuki binafsi mwache dokta afanye kazi
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
Ukiamini kwamba UNESCO wanaweza kuendeleza mazingira jiulize mara mbili mbili UNESCO ni waharibu maendeleo ya nchi za watu ukikubari mambo ya UNESCO huwezi fanya maendeleo ya wananchi wao wakikuambia kwamba mjini wako au pori lako liko chini ya UNESCO maana yake huna haki ya kupaendeleza kuna uwezekano magofu ya zenji yakabaki hivyo hivyo mpaka yaanze kubomoka kama yanavyoboka na wazungu wanataka vyote vilivyojengwa zamani mbali na kwao wavione vikibomoka ndo propaganda yao ili ugunduwe akili yao sio njooni ulaya ndio mutaamini maneno yangu ukianza kufuatilia jinsi walivyojenga miji yao miji hii ya leo si miji ile ya zamani na bado wanaendelea kubomowa na kujenga majengo mapya
@mokhimji
@mokhimji 2 жыл бұрын
Hamna Kiswahili kitamu kama cha Visiwani :)
@immtm4930
@immtm4930 2 жыл бұрын
Weeee Shikamooo. :P
@faudhiaally13
@faudhiaally13 2 жыл бұрын
Mmepata faida gani labda
@kigogokigogotanganyika2319
@kigogokigogotanganyika2319 2 жыл бұрын
Hehehehhe siri zinafichuka sasa 😀😀
@hassankaduara436
@hassankaduara436 2 жыл бұрын
😂
@msemakweli371
@msemakweli371 2 жыл бұрын
🧠🧠🧠🙏🏿
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
Maisha Magumu sna Tena sana tumechoka sana Tena sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Heee ccm kweli wewe mbona wafanya hayo
@mamaiftahiftah8928
@mamaiftahiftah8928 2 жыл бұрын
Hahahaha, huyu ndiye yule alomtukana MAALIM SEIF alllah amrehemu, mlifurahi sana sana sana , Ila mjue tumbili akimaliza miti hukufata mwilini, leo jeee amekosea au anaendeleza kipaji chake , kuwatukana viongozi, basi mpongezeni kama alivopongezwa WAKATI wa MAALIM SEIF
@abdalahmwendafeysal9093
@abdalahmwendafeysal9093 2 жыл бұрын
Hakumtukana bali aliuongea ukweli kama anavyowaambia hao
@omarsaid4702
@omarsaid4702 2 жыл бұрын
@@abdalahmwendafeysal9093 umesema kweli mzee anasema kweli
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Wewe mzee nenda misikitini sasa unaongea kama kasuku fanya ibada wala hakumtaja mungu hata mara moja authu bila shitani mkubwa hata uso wake haina nuru stagfurullah
@makamekhalfan987
@makamekhalfan987 2 жыл бұрын
wamekaa kwa kuuwa wach wafany watakav st sahau kura iliopita nimekosea kuuliwa nip barazan pet siwapend
@azizisaidy2414
@azizisaidy2414 2 жыл бұрын
Sawa sawa baba sema ukweli
@massoudsultan6149
@massoudsultan6149 2 жыл бұрын
Mwana kulitafuta mwana kulipata / utalipata
@realbeda2880
@realbeda2880 2 жыл бұрын
Amini hata ww hautajua siku yako
@maryamabdallah4235
@maryamabdallah4235 2 жыл бұрын
Yeye kalpata duniani ila mambo kwa mungu uko
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 2 жыл бұрын
Unahisi wewe upo salama sana?
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 2 жыл бұрын
labda sisi tunatakanini chamsingi sio kumfukuza chama msingi kuchunguza manenoyake kiwa yanaukweli nn tuwambie Wana nchi na kama uongo tutajuwa vipi ahukumie sio tunapayuka katukanakatukana hapana
@shabakahotep8095
@shabakahotep8095 2 жыл бұрын
Hivi kwa nini mtu ana posema Yanayo mkera snaonekana adui? Why?????? No wonder hatusomi jinsi ya kuendesha nchi kwa povu
@muddyhamad2159
@muddyhamad2159 2 жыл бұрын
haya haya haya ss nyie kwa nyie
@valentinemtei3588
@valentinemtei3588 2 жыл бұрын
Ukweli na uongo , ni sawa na semi na majibu
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Msema kweli
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Mzee kweli kafunguka.
@makamekhalfan987
@makamekhalfan987 2 жыл бұрын
mm najiuliz hap zanzibar kwl tutapat rais km wezet mana najiuliz wao wanatangaza maendeleo yap ila saruji 20 nondo 20 mafut dum laki mchel hyhy mengin yap ila mashak wanatuuwa watu wachini t
@mshiraziahmad9633
@mshiraziahmad9633 2 жыл бұрын
Hhhh
@samirsamir7177
@samirsamir7177 2 жыл бұрын
Dhuluma imezidi Zanzibar hakuna linalokuwa
@yahyashaib5116
@yahyashaib5116 2 жыл бұрын
sio ulimwambia babayako muongo
@remigiushaule3302
@remigiushaule3302 2 жыл бұрын
Kama ninyi zenji hamtaki huyu Mwinyi sisi huku bara tunamtaka sana Tubadilishane basi.Zanzbar sahizi inakuwa kama ulaya halafu ninyi wenyewe hamuoni kazi nzuri anayofanya Rais Mwinyi ama kweli wewe ni kipofu huoni mbali unaona karibu tu Sisi tunampenda huyo yupo vizuri Mi nakushangaa mzee.Tuleteeni huku huyo.
@kwisa4899
@kwisa4899 2 жыл бұрын
Jifunze kutumia sisi na wewe
@jamesmasome359
@jamesmasome359 2 жыл бұрын
Nyambafu..... hiyo ni nchi huru wewe UNESCO niwazungu wale acha ujinga bana.
@tahirsalum
@tahirsalum 2 жыл бұрын
Sikiliza weye jahil hizo dola wambie wakulete weye Hao unesko
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 2 жыл бұрын
hajatukana mnakosea kuongeaukweli siokutukana hapa mna kosea nyie mnaocomet tuu seif kunamabaya kafanya nawengine pia wana mabaya yao
@hashimmustafa7525
@hashimmustafa7525 2 жыл бұрын
Katiba kwani inamnyima mtu haki ya kutoa maoni juu nchi yake nadhani kuna haki ya kukosoa na kukosolewa mnaofahamu tuelimisheni
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 16 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Mzee Mwinyi Jaku - Cancer ya Koo inatibika
17:27
ZOP TV
Рет қаралды 8 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН