Baraza la mawaziri la Kenya Kwanza lilihudumu kwa muda mfupi zaidi

  Рет қаралды 30,782

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

25 күн бұрын

Hatua ya Kuvunjwa kwa baraza la mawaziri la serikali ya kenya Kwanza imejiri baada ya muda mfupi zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya taifa hili..Mawaziri hao ambao waliteuliwa na Rais William Ruto baada ya ushindi wake katika uchaguzi wa mwaka 2022 walianza kukabiliwa na misukosuko ya hapa na pale muda mfupi tu baada ya kutangazwa...Madai ya ufisadi na utepetevu kazini yakiwaandama baadhi yao

Пікірлер: 24
@DrRinDing-pq8fy
@DrRinDing-pq8fy 23 күн бұрын
Ruto must go
@albertmatunda5387
@albertmatunda5387 23 күн бұрын
6 million Kenyans are silent.Respect democracy.
@kamasalothi1040
@kamasalothi1040 23 күн бұрын
@@albertmatunda5387 majority wins though.
@albertmatunda5387
@albertmatunda5387 23 күн бұрын
@@kamasalothi1040 , majority are silent.If Ruto is forceful taken out of Statehouse,Kenya will experience a genocide.Mark those words.
@fasssqqww3837
@fasssqqww3837 15 күн бұрын
😊😊😊😊aaaàaaàa​@@albertmatunda5387
@hassanhawa9954
@hassanhawa9954 23 күн бұрын
Asha usi like,kumbuka Baba atukanwi
@januariffsammy1149
@januariffsammy1149 23 күн бұрын
The country is rumbling at a lightening speed....
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 23 күн бұрын
Huyoo msee aliona mbele akasema Acha tupee Ruto cabinet yake
@kamasalothi1040
@kamasalothi1040 23 күн бұрын
Ruto even said his ministers were incompetent.
@beautylightoyaro8104
@beautylightoyaro8104 23 күн бұрын
Matiagi awe our president now
@tobiusjtz7607
@tobiusjtz7607 23 күн бұрын
Waachie baba RAILA ushindi wake 2022
@MouseleyMarshals-fm5vr
@MouseleyMarshals-fm5vr 23 күн бұрын
This cabinet was a total joke with people who have completely no idea of what their docket entails..sasa mtu kama Murkomen, what the fck is a lawyer doing in a docket headed by engineers??how will a lawyer head and lead engineers..next ni Aisha a criminal with cases of corruption and murder now heading gender..kwani Ruto never learnt anything from How Uhuru was making his cabinet ..that cabinet was the strngest with competent individuals who knew what they were doing...RUTO jaribu tu kufanya makosa urudisha ama to reshuffle any of those incompetent goons in the cabinet..TUNARUDI STREETS
@SomoIya-qh7jz
@SomoIya-qh7jz 23 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@josephnduva-n1d
@josephnduva-n1d 23 күн бұрын
Maziri waandikwa tena mpya
@francismeeme3693
@francismeeme3693 23 күн бұрын
Matiagi kwa afya
@danielmnuvi7
@danielmnuvi7 23 күн бұрын
Wachawi wowote wenye wakokwa serekari handi hunyu bichi ruto watoroke kutokaserekari
@johnkamau50
@johnkamau50 23 күн бұрын
John badi
@kwesule2658
@kwesule2658 23 күн бұрын
He knew they were incompetent,but the government never took him seriously
@JbBroMusic
@JbBroMusic 23 күн бұрын
How would they know more than you when you've put there novices and incompetent cabinet secretaries.....you and your fellow failures must go!!
@Emily11-11
@Emily11-11 23 күн бұрын
Baraza la thugs..conmen na dimwits
@CatherineMutuku-hd9vv
@CatherineMutuku-hd9vv 23 күн бұрын
Washa iba za kutosha maubwa but we need matingi come back
@albertmatunda5387
@albertmatunda5387 23 күн бұрын
Kenyans should respect democracy. Inflation is hitting every country (high cost of living is everywhere) Politicians are the same (Matiangi Ruaraka scandal)
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 65 МЛН
PART 1-3 CHURCHILL SHOW S1E3
20:29
Churchill Television
Рет қаралды 314 М.
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Masimulizi ya Birdman
14:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 271 М.
SUNDAY LIVE | The hits and misses of cabinet vetting
29:05
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 5 М.
KAYU KA RURIRI
Kameme Tv
Рет қаралды 173