Maandamano huku haina kiongozi Then hii Gen Z hatuna ukabila We reject finance bill 2024 And Ruto must Go
@BakarIdi-qc8yf6 күн бұрын
Wakenya wamesoma
@nyembomajid12626 күн бұрын
ndio Africa mashariki Kenya inaongoza Kwa usomi Tena baadhi Yao wamesomea Sheria...mi nawafatilia Sana mtandaoni wengi wao wanasema haitawezekana walikolonaizi baba Yao na wanataka ku kolonaizi vijana hiyo haitawezekana
@ekesaaustin92025 күн бұрын
Please read the Bill first. This is not true
@hildagabriel1003Күн бұрын
Wana akili
@1GStain9 сағат бұрын
@@ekesaaustin9202 like you've read it? Really.. wacha utani..
@ghanimamohammed27682 күн бұрын
Hio ndio kenya hatuogopi .one nation one blood ❤
@user-ir5ec5jn3w6 күн бұрын
WaTz nyie endeleeni kuongelea Mpira tuu asubui mpaka jioni, endeleeni kumshangaa Chris Brown kucheza Komosava, Endeleeni kumsifia Mama anaupiga mwingi wakat hali mtaani sio poa 😅😂
@FM-ir2nq5 күн бұрын
Komosava tena😂😂😂😂
@user-ir5ec5jn3w5 күн бұрын
@@FM-ir2nq kwan hauoni? 😅🤣🤣
@zaidyabed4 күн бұрын
Kaka uko sawa sana sana
@FM-ir2nq4 күн бұрын
@@user-ir5ec5jn3w 😂😂😂😂😂
@hafidhsalum-jp2mw3 күн бұрын
We zombie haujui
@_born845 күн бұрын
Issue kubwa ni kuwa mwananchi wa chini anakaza mshipi ili kumudu gharama ya maisha lakini kwa walio serikalini its directly opposite .
@lukewandera57205 күн бұрын
Nobody wants Uhuru back! We don't want tyrants and/or any corrupt current or former politician.
@hassanodiwa2 күн бұрын
Our problem is not even the taxes because we have been paying them since then.We have issues with how this money is being used.We are only after accountability and good leadership free from corruption and political gains
@yasminoluoch16916 сағат бұрын
Very true
@flavourboyke6 күн бұрын
Ruto must go
@Traptrap-fi3hq5 күн бұрын
Amna sister ujui kenya wew point zako zipo down to xana kenya are the best in africa sis waoga bro ndo ameongea true
@talidadindi20064 күн бұрын
The power belongs to the people,🇰🇪
@masawerichard1367Күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ruto must go hatumtaki🎉🎉🎉
@michaelkazungu198721 сағат бұрын
Umeongea vizuri sana brother.. comment ikufikie one love
@briindiana73065 сағат бұрын
Mm kama Gen Z wa 🇰🇪🇰🇪nafikiri,,,africa yote we need to start afresh....au vipi...
@Omayio5 күн бұрын
Wakenya Sisi tunaipenda sana nchi yetu.Tunaipigania kwa damu na jasho
@GasmaNdasa16 сағат бұрын
🇰🇪 mko vizuri sisi wa bongo niwaoga saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
@georgesalano57713 күн бұрын
Ata uhuru kenyatta hatumtaki, waende wote.
@JackLaizer-ic7ed6 күн бұрын
Mama samia pia mwambien ukweli Tanzania pia hali cshwar fitu fimepanda bei san azijidanganye kwanza hajui kuokoza
@user-rf7wx7og6t5 күн бұрын
Ni ukweli kbs bro
@charlesmutuku59336 күн бұрын
Just stand up fight for your rights
@JackLaizer-ic7ed6 күн бұрын
Mm mwenyew ni mtanzania wanao msifia samia wanapewa pesa wasifie ujinga amearibu uchumi ya tz
@SaidRashid-ei5wv4 күн бұрын
Wameharibu uchumi gani uchumi upi bora uliokuepo ukaharibiwa sisi watanzania hatujitambui hatujui huo uchum ninini
@madansilas8170Күн бұрын
Kenya nchi yangu 🥰🥰🥰
@liverpoolfootballclub998516 сағат бұрын
Kenya 🇰🇪. Ni nchi ya mashujaa. Hatuna mchezo.
@LuckymusykiLuckymusyoki3 күн бұрын
Hamjue mnaongea Tanzania ni waoga ,sema katiba yao inawalinda si Kama ya hapa kwetu,
@nassernasser14578 сағат бұрын
Sana askari akicheza ana fungwa ama ana poteza kazi, wanaogopa sana sheria
@kanoleausi42044 күн бұрын
Matatizo ya Kenya Yana mizizi mirefu ya kihistoria. misingi ya uchumi ya Kenya ni tofauti sana na Tanzania. hicho mnachokiita " ujamaa" sera ambayo nchi hii imeumizwa sana kusimamia. mnajua tuliwekewa vikwazo hapa kutetea huo ujamaa? Kenya waluchagua ubepari na ubeberu! sera ambayo imewafikisha hapo!
@juliusmaranga-zh6beКүн бұрын
Umesahau kutaja kubwa Kenya inayo katiba inayowawezesha kushurutisha serkali kufanya wanavyotaka
@margaretwarorua104116 сағат бұрын
Kisha taxes zoote zime elekezwa kwa wanawake raundi hii.last year taxes ziliongezwa kwa nywele,mafuta.ya kujipaka basically all beauty products.kisha sasa pads diapers za watoto what's wrong with this govt.mbona wa target group kubeba mzigo mkubwa hivi?
@wallacekatini34242 күн бұрын
Ila ushuru,kodi na ufisadi uliokithiri kwenye halmashauri mbali mbali ,pamoja na wakurugenzi wa yale makampuni ya kiserikali ni majipu tu,yafaa tuyatoboe yote!
@naibei_Tv5 күн бұрын
Tanzania mmekaliwa 😅tena na mumama💔😅mchangamke
@reginas1832Күн бұрын
Chura hajali
@birianination7097Күн бұрын
Kenya wamefika mwisho wakukopa if they don't get the money kupitia tax, wamekwisha huo ndio ukweli.
@user-we7uq1qh7p2 күн бұрын
Inchi zote inatakiwa tupiganiye haki zetu hao watu waserekalini wanaiba pesa sn za wanainchi
@KambaOnlineMedia4 күн бұрын
Thansk for speaking about Kenya, but please use English, we cant understand you guys 😊
@righttoknowwiththomas91783 күн бұрын
Let us not ashame ourselves.We do speak Kiswahili .More than 54 million Kenyans have been taught Kiswahili in schools.Let us encourage the use of kiswahili
@kevinatinda2242Күн бұрын
Wacha mzaha, wakenya wanaelewa kiswahili, lugha inafunzwa shuleni. Wacha upuzi wako, labda matumizi ya misamiati na maneno hapa na pale.
@righttoknowwiththomas91783 күн бұрын
Tudumishe umoja wa Africa Mashariki
@heavydee25463 күн бұрын
Wa Tz sisi ni literate and concerned about us
@danielnyambu286215 сағат бұрын
KE is the place to be
@machax0022 күн бұрын
well explained.
@fredrickotieno78473 күн бұрын
Maandamano hii tumechochewa na utawala mbaya tangu enzi ya moi na usaliti kwa wabunge na mawakili.twampenda raila kwa kutufumbua macho
@jeffmap4038Күн бұрын
ongeleni mpira ....ndio issue na kubet.
@betsyakoko681013 сағат бұрын
Sio hiyo tu shamba yenu mulease kwa serikali uilipie ushuru ukishindwa wana chukua
@smadon56382 күн бұрын
Nchi yeyote imeendelea maisha yanakuwa Magumu
@briindiana73065 сағат бұрын
Kwa hivyo...
@dicksonmatama55852 күн бұрын
Twapenda inch yetu
@McDanico_ke2 күн бұрын
Kenya my mother land we are the Gen Z
@SymowailerКүн бұрын
🇰🇪 sisi dio Gen z
@Abbysmithson4 күн бұрын
Ruto's Brain is divided into two parts, LEFT and RIGHT. On the LEFT side of his brain, nothing is right, and on the RIGHT side of his brain, nothing is left.
@jcobnyamweya84643 күн бұрын
😂😂😂
@alexsimiyu85822 күн бұрын
😂😂😂😂
@reginawangari7685Күн бұрын
😂😂😂😂
@isayambinga77802 күн бұрын
Huku ugali upo kama wote ndo maana hakuna hiyo kitu siku njaa ikiingia bongo mtaipata fresh nipo pale dar siku ikifika mtanibia
@florencezawadi3784Күн бұрын
Ww wafikiriq kula tuh...kuna vitu muhimu zaidi ya izo...
@fabianjoy128752 күн бұрын
Nairobi shamba la mawe
@bonifacewachira2080Күн бұрын
Hapa usipopigania hakim yako hii serikali haina haja na mwananchi wa kawaida
@barackmuteti201212 сағат бұрын
Kenya haina shida yoyote..nyinyi ni muziki tu...masomo hakuna tz...acheni midomo wakenya tunajielewa
@johnwaragah80104 күн бұрын
Bora huyu mwizi akomolewe
@JonathanMatembo6 күн бұрын
Wakenya wanajitambuwa sana sio watanzania ni mazezeta,wapumbavu,mataahili,watanzania wamepewa akili za kuvukia balabalani tu,huku Tanzania kila kitu kimepanda bei alafu watanzania wao wapo kama mazezeta tu
@ContentSmartphone-rq6po6 күн бұрын
Wichi mins Tanzania hatujitambui mnaamanisha hivyo kuweni wazi😢
@jasonwatz74576 күн бұрын
Tumekuwa hatujitambui since 1970s
@jafarimnaro7046 күн бұрын
Nikweli kwani uwongo
@jumamohamed1025 күн бұрын
Which means sio wichi mins
@raphaeloloo96415 күн бұрын
Piganieni katiba yenu tz sio comosava mara madevu mara baba levo mara umeupiga mwingi ss Kenya station zetu uwezi pata upuzi kama huo
@sheehamadnganzi83172 күн бұрын
Uhuru ndie alileta shida zote hizo kwa kufuja pesa ya uma
@Officialvplat20 сағат бұрын
Juzi kiongoz wa wafanyabiashar kapigw bit asubuh n mapema kawahi kutangaza funguen maduka eti mama kanipigia simu usiku kanihakikishia mwezi wa 8 kero zinatatuliwa 🙌🙌🙌😂 dah 😅😅😅
@lucksonomari49995 күн бұрын
Tanzania waoga.
@robertalphan55332 күн бұрын
Tz Malala maskini naamka tajiri siyo kama kenyaa
@muksinimbaruku12332 күн бұрын
Na sisi one day tutachukua hatua, maana kuchoka tumechoka kweli kweli
@BushboydonkeyКүн бұрын
Wakenya sio wapuzi kila mtu amesoma
@mosesphat78033 күн бұрын
Ni shamba la mawe
@classicdenzmorlke2 күн бұрын
tunapenda kusumbua bana uku kenya😅
@marlonsukura53011 сағат бұрын
Nairobi ni ngumu 😂hakuna undugu huku.
@sponsor78822 күн бұрын
watanzania wote vingasti
@justinebosire9804Күн бұрын
watanzania. wanaogopa sisis
@Mapenzi26352 күн бұрын
Ugumu wa maisha ya nchi za Afrika ni kwa kuwa hatuna akili zetu wenyewe . Vyuo vikuu vyetu ni sawa na sekondari tu. Uwezo wa akili huru (idiosyncratic ) hazizalishwi. Hivyo sisi wababaishaji
@MonicaRaila-tn5rbКүн бұрын
Umesau kishikari presha athraits 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nassernasser14579 сағат бұрын
Kenya sheria ni kali sana na katiba iko kali sana, askari wakicheza wanajipata mahakamani na wana fungwa na kupoteza kazi, na wengi wamefungwa kisheria
@user-oy2gp3nq4j12 сағат бұрын
Tanzania amna kitu eti wadudu ni funza tuu tena vipofu
@smadon56382 күн бұрын
Halafu nyie mumesahau sasa ni vijana ndo wameamua na wanajulikana kama Generation Z,
@yasminoluoch16916 сағат бұрын
WOTE HATUWATAKI IN FACT HATUTAKI WAZEEE WENYE KUJALI MITUMBO YAO RUTO AENDE NA WENGINE WAENDE NA HATUANDAMANI JU YA USHURU USHURU TUNALIPA MIAKA YOTE SHIDA NIKUONGEZA VITU OVYO
@shaban66446 күн бұрын
Hayo yote ni Kwa sababu Ruto kajichanganya Kwa Mmarekani. Hizo Chaos zote Huenda Kuna Msukumo wa Mmarekani Behind the Scene.
@maxwellrabah60155 күн бұрын
Hamna msukumo kutoka popote. Msukumo ni hasira ya WaKenya kutokana na upumbavu wa serikali ambayo sio halali - serikali ya wizi na kimabavu ya huyu mpumbavu, akili mboga ruto na wezi wake. Gen. Z wakaamua ku lead WaKenya. Huo ndiyo msukumo. Siyo wabeberu kama Marekani ambao ruto yumo kitandani nao.
@yahyaisamil69215 күн бұрын
Wacha uwongoo😅😅😅
@Tra1vis5 күн бұрын
Me mkenya, Ni ukweli mtupu! Kama wewe sio mkenya na haujui NYAMAZISHA KIDOMO@@yahyaisamil6921
@Abbysmithson4 күн бұрын
hapo Kuna Ukweli #Rejectfinancebill2024
@nicksonotaro66104 күн бұрын
Acha uongo
@FahmiNassorКүн бұрын
Hao ndio wakenya wenye kujua thamani ya nchi yao wanapambania taifa lao watanzania wapambana na mwinjaku,baba levo, diamond na zuchu upumbavu pumbavu tu kariakoo wafanya biashara wamegoma mkuu wa mkoa achimba mkwara kwa wafanya biashara yani kuna vitu vya kijinga sana Tanzania punda afe mzigo wa bwana ufike
@user-hj4sy9fy4g4 күн бұрын
Shule imo kichwa mjombaa,acha kupepesa mjadala!
@Chrisblaze-beatsКүн бұрын
Watanzania siku tukiamka hakuna atakae wazuia me nakwambieni
@salama11133 күн бұрын
Mnasemea wakenya nyie yakwenu mnaona sawa tuu sio
@exaverysimon10645 күн бұрын
HAMNA CHA KUJITAMBUA N UPUUZ TU YAN KUTAFUTA HAKI NDO WANAFANYA KAMA VITA HAMNA KITU HAPO WALA HATUPASWI KUWAIGA
@ramagazet13624 күн бұрын
Wacha kuongea pumba wewe bwege vita imekuja baada ya askari kututupia bomu la machozi
@zaidyabed4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abdullahkazungu40254 күн бұрын
Hujui kitu wewe bado mtoto kojoa ulale
@briindiana73065 сағат бұрын
Kudade....😤😤😤wee mafii nini,,,wewe!!
@swalehejuma66114 күн бұрын
Ikiwa maandamano ya vurugu ndiyo ishara ya kujitambua au kuendelea, basi tungeona vurugu U. S, UK, Saudi Arabia, China, Russia nk. Ni ujinga kwa chombo cha habari kuona ujinga huo au vurugu kwenye serikali yao halal ndiyo kuendelea
@user-yd8zr8em9z4 күн бұрын
Ww ndio upumbavu hujui unataka nn ndio maana utazidi kugandamizwa na serikali
@swalehejuma66114 күн бұрын
@@user-yd8zr8em9z mimi siyo mpumbavu, Je wew unaona akili ni kugoma na kufanya vurugu, Je nchi zilizoendelea wananchi hawajui vurugu. Punguza jazba dunia tunapita tu
@salimadiyo9442Күн бұрын
vurugu ni chanzo ya mabadiliko ya lazima
@larrywambugu9653Күн бұрын
Mjinga sana
@swalehejuma6611Күн бұрын
@@salimadiyo9442 kwa nini?!
@Nashrah-hq2mt4 күн бұрын
No one wants uhuru back, things were not any different during uhuru's term. Kenya is in this crisis because of uhuru, amefuja kila kitu na kutubakisha kwenye madeni. Ruto nae amekuja kuongeza chumvi kwa kidonda. Kwa ufupi ruto must go