BARIDI KALI SANA NEGATIVE 9 NA SNOW

  Рет қаралды 2,912

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@kennybertrand4155
@kennybertrand4155 2 күн бұрын
Kwa kweli naona baridi ni nyingi kwa watu tuna malengo ya kija ugaibuni tutakuja tunajua kama balidi iko unafanya kazi nzuri sana kaka EBM
@binabeid3980
@binabeid3980 Күн бұрын
EBM mzee wa kazi tunakupata fresh ila upo kmya sana au majukumu ni mengi sana mkuu
@AsteriaSembago-h3w
@AsteriaSembago-h3w 18 сағат бұрын
Asante kaka kwa elimu!
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Күн бұрын
Mim ndo napenda sana kukaa sehemu kama hizo.
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l 2 сағат бұрын
Naipenda Marekani kwasababu mtu ana choice kubwa ya kuchagua Aishi Jimbo Gani na Maisha still akaishi vizuri, Somebody can choose Kuishi California or Missouri or West Virginia Na still akafnikiw
@kenedygeorge255
@kenedygeorge255 Сағат бұрын
Aise kama unapumua ivo kweli baridi ni jingi sana
@Saidikasomo1231
@Saidikasomo1231 2 күн бұрын
😂😂Muha anaweza akafa!😂😂😂
@nunnamlyahilu2183
@nunnamlyahilu2183 Күн бұрын
Hiyo kwa Urusi ni trailer...
@SleepyBoardGame-gf6gm
@SleepyBoardGame-gf6gm Күн бұрын
Mda kidogo bro ila hatimae leo nimeinasa notification yako big up bro
@danielmartinKiondo-dq4jz
@danielmartinKiondo-dq4jz Күн бұрын
Ehee ingia ndani mzee usije ukaganda bd tunakuhitajiii😅
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 2 күн бұрын
Mbele mbele tu mama maeeh😊
@abubakariemilian9125
@abubakariemilian9125 2 күн бұрын
Vipi kwa Homeless kwa hali ya hewa kama iyo ?! Wale Homeless wa Skid Row, Yues & Philadelphia I'm trying to imagine Wapo kwenye hali gani na Baridi kali kama hiyo. God bless 🙏 Them.
@malongoisack5811
@malongoisack5811 Күн бұрын
Sasa kuna raha gani ya kuishi huko?
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 19 сағат бұрын
Hatari hakuna raha yoyote mimi mwenyewe nipo huku snow isikie tu unakaa ndani tu
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Күн бұрын
-9 ni baridi kali broo😅😅😅😅??
@UNCLEMULI123.
@UNCLEMULI123. 3 күн бұрын
Nairobi Kenya jua kali kweli kweli!!!!!
@SabriSaleh-ot5tv
@SabriSaleh-ot5tv Күн бұрын
Duh... Tanzania jua la utosi😂😂
@Bry_Traveler
@Bry_Traveler 2 күн бұрын
Duh hadi Natetemeka huku Kibondo🥶🥶
@Really-football
@Really-football Күн бұрын
Majirani zako wamekufa kisa baridi vipi ulienda msibani?
@Maishacanada
@Maishacanada 2 күн бұрын
Iyo cha mtoto hapa Ontario
@reaganvlogs-93
@reaganvlogs-93 Күн бұрын
hee ntajibana california
@elyam.
@elyam. 2 күн бұрын
Nimeona juu ya Missouri kwenye BBC poleni.
@festoLuanda
@festoLuanda 2 күн бұрын
Kaka ongela Kwa kusema ukweli
@busanyachilangwa
@busanyachilangwa 2 күн бұрын
America lazima nikuje
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 2 күн бұрын
Nakupata kk from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Bongomastermind
@Bongomastermind Күн бұрын
Wa mwanza tupo kumbe 🤝🤝🤝
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz Күн бұрын
@Bongomastermind yaah nambie wapi ww
@NelsonEdwardAlfred
@NelsonEdwardAlfred 3 күн бұрын
Tz tunasema Arusha Kuna baridi lkn kwa ninachokiona kwa hii video🤔🤔🤔
@matunzojr4862
@matunzojr4862 3 күн бұрын
Polen sana ila weather kama hyo nauli ya ticket lazima ishuke
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 2 күн бұрын
Yaan safari zinahairishwa mai dear!
@mkazilakwamchilloh3563
@mkazilakwamchilloh3563 2 күн бұрын
Ebm za huko salaam from Boston Massachusetts hiyo baridi mimi siiwezi yaani ya kuendesha truck kubwa 18 wheeler . Rudi ndani ndugu yangu hiyo baridi sio mchezo
@YusuphIsmailly
@YusuphIsmailly 2 күн бұрын
Mambo vip kaka
@mkazilakwamchilloh3563
@mkazilakwamchilloh3563 2 күн бұрын
@YusuphIsmailly huku salama lakini baridi tu vipi wewe huko uliko hali vipi
@YusuphIsmailly
@YusuphIsmailly 2 күн бұрын
@mkazilakwamchilloh3563 hali ya kawaida tu baridi joto hvyo
@YusuphIsmailly
@YusuphIsmailly 2 күн бұрын
Upo us au
@ArtworkArtwork-t8p
@ArtworkArtwork-t8p 2 күн бұрын
Hapo ni kama unaishi kwny jokofu
@stallonerney369
@stallonerney369 15 сағат бұрын
bola iwe uko uko ikija huku itatuuwa njaaa mana 2tashindwa kutoka kutafuta ugali
@Dorah-q8w
@Dorah-q8w 3 күн бұрын
Changamoto za Washington DC NI zipi
@IbrahimMwadini-hz7ib
@IbrahimMwadini-hz7ib 3 күн бұрын
tusaidie kk edm kuhusu appoint nchini tz tumeshafanya malipo ila system haikubali ss kupata appointm
@YusuphIsmailly
@YusuphIsmailly 2 күн бұрын
Niaje kaka
Mazungumzo nilipokuwa Instagram Live
2:20:05
EBM SWAHILI
Рет қаралды 743
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
TANZANIA AIRBNB FULL HOUSE TOUR | DODOMA
13:58
The Boddy Balance Media
Рет қаралды 3,6 М.
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 262 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 894 М.
HAKUNA TRAVEL BAN YOYOTE ILE KWA TANZANIA NA HAITOKUWEPO
27:36
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Usisubirie Green Card Lottery pekee, kuna njia zingine
59:02
EBM SWAHILI
Рет қаралды 11 М.
Living in a Small Village (What I recently learned)
24:45
Zaw Ye
Рет қаралды 11 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН