ebu mtu anijibu apa kwa comment niliambiwa si lazima ukue na passport ukijaza ds 260 kama huna una submit tu alafu wakati wa interview kwa embassy unawambia unataka kusubmit yiur travel documents ni kweli ama si kweli
@alijumamohamed17 күн бұрын
Wewe si ulisema utanikutani na Mungu mkuu,Sasa kwanini unikate miguu
@erickmisilakuba642617 күн бұрын
Hatujakuelewa , andika vizuri
@alijumamohamed17 күн бұрын
Namwambia kuwa alisema yeye mtu akimchezea mwanawe atamkutanisha na Mungu,sasa kwanini Sasahivi anasema atamkata mtu miguu@@erickmisilakuba6426