Barnaba feat Yammi - Nibusu (Visualiser)

  Рет қаралды 1,479,069

BarnabaClassic

BarnabaClassic

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@relinaali4049
@relinaali4049 7 ай бұрын
Hii collabo noma sana🥰Sauti zimeendana MashaAllah...likes kwa wingi bas🤣🤣👏
@VidivicValeck-ot9xz
@VidivicValeck-ot9xz 7 ай бұрын
auya ni angushaka chanson makali sana ✌️✌️
@allymwilu8089
@allymwilu8089 7 ай бұрын
Saaaaaana
@victorineBahati
@victorineBahati 7 ай бұрын
❤❤
@Mirandaofficial-c8t
@Mirandaofficial-c8t 7 ай бұрын
Japo kuchelewa msini nyime like ...kila hatua ishala❤❤
@hanamakamba373
@hanamakamba373 7 ай бұрын
nyimbo nzuri ila vedio mbaya
@shirboy7846
@shirboy7846 7 ай бұрын
@shirboy7846
@shirboy7846 7 ай бұрын
​@@hanamakamba373 nikweli
@robertadolf562
@robertadolf562 7 ай бұрын
uje uchukue na kiss na muhogo wa jang'ombe si likes tu
@MohamedMkota
@MohamedMkota 7 ай бұрын
anaogopa kufanya zaid ya hp siunajua mke wake kakimbia​@@hanamakamba373
@SammyBoy-br8kz
@SammyBoy-br8kz 7 ай бұрын
Wa Congolese🇨🇩🇨🇩🇨🇩ambao Wana mpenda Barnaba Barnaba nipini likes
@gersonissa9124
@gersonissa9124 7 ай бұрын
😂😂😂
@LoyookellyTz
@LoyookellyTz 7 ай бұрын
aya
@MapepeMengi
@MapepeMengi 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGe0ommIn910oKssi=R31i56idKbO29Oe1❤
@bahatihanna7782
@bahatihanna7782 7 ай бұрын
Tupo apa
@GodblessShao-zx1eg
@GodblessShao-zx1eg 6 ай бұрын
jifunze kuandika
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 7 ай бұрын
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri ❤️🎧
@SHEMSASELEMAN
@SHEMSASELEMAN 7 ай бұрын
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 7 ай бұрын
👍👍 @@SHEMSASELEMAN
@arlymalundi9365
@arlymalundi9365 7 ай бұрын
Ila Yammi jamani 🥰 anajua mpaka anakera kila ngoma Hana friendly yeye kwake final tu🙌🥰🥰♥️
@jonijomk3107
@jonijomk3107 5 ай бұрын
sema moyo sometimes unakuaga na mambo yakipumbavu?, eti moyo wangu unamtaka yammy inamana haujaona kina ebitoke ambao naweza kuwapata kiurahisi???😢😢😢😢
@shabirunachuli78
@shabirunachuli78 7 ай бұрын
SHIKAMOO ..... .. Barnaba yaan kiukwel tuache unafiki hii ni Ngoma ya mwaka
@MosesMwangi-qs1gp
@MosesMwangi-qs1gp 7 ай бұрын
Naomba like zenu za Kizungu kitamu ya BarnabaClassic 254 Kenya,,, na 255 kwa mandungu zetu na wanadada wetu wa Tanzania kwa hii Ngoma mpya weka hapo like tukisonga.
@Thekidp3702
@Thekidp3702 7 ай бұрын
Kwanini unafurahia kizungu wewe mkenya
@miriammapunda1713
@miriammapunda1713 7 ай бұрын
Barnaba sio mkeya ni mtanzania
@jonijomk3107
@jonijomk3107 5 ай бұрын
@mosesMwangi-gs1gp semeni na hyu ni msanii wenu mana hamchekewi mbwa nyie😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaashashokowa2151
@mwanaashashokowa2151 7 ай бұрын
Oyaaa barnaba nakukubali sana nimeisifia nyimbo mpaka nimewachwa mwenzio nipo single Kwa kusifia Ngoma yako
@marrybernadio4774
@marrybernadio4774 7 ай бұрын
kama umerudia zaidi ya mara tano gonga like hapa😜😜
@mosesmella1010
@mosesmella1010 7 ай бұрын
❤❤❤ nipitie uku
@HalimaIddi-fn9we
@HalimaIddi-fn9we 7 ай бұрын
Mm ndo nimeweka ijirudie tena
@faisalal-miskry4669
@faisalal-miskry4669 7 ай бұрын
Nimeirudia siku nzimaaaa
@patriciemujawamariya
@patriciemujawamariya 7 ай бұрын
🎉😊😊😊😊😊😊
@Brand_P926
@Brand_P926 7 ай бұрын
Tulio penda verse ya Yammi gonga like tujuan❤❤❤❤
@JulianaShemahonge
@JulianaShemahonge 6 ай бұрын
I'm here
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 6 ай бұрын
Dada ameisha sauti kama beyonce❤❤
@MagrethJackson-t1n
@MagrethJackson-t1n 7 ай бұрын
Bonge la Ngoma barnaba umepitia ki legendary zaidi na huyu mtoto yammi anajua balaa....i can't wait to see it ontop trending soon...
@stevesteve4041
@stevesteve4041 6 ай бұрын
Walio Tiririka hapa sababu ya Yammy nipe like zenu....Barnaba u the King.
@jammjacob8172
@jammjacob8172 7 ай бұрын
Ngoma kali imeibwa Kwa utulivu wa hali ya juu kabisa haya ndiyo mambo ninayo yapendaga❤
@believeboy2150
@believeboy2150 7 ай бұрын
Akitoka alikiba anae fuata kua King ni huyuuuu barnaba na hii collaboration tunapenda iendelee,mana imekua kali kuwai kutokea .❤
@dalisay76
@dalisay76 6 ай бұрын
acha uongo na mbwembwe bana🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@RichMavoko-nx8cn
@RichMavoko-nx8cn 7 ай бұрын
Always proud of you bro man keep up the good work Burnaba classic, wa Kwanza nipeni like zenu jamani 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@Kibrah-u6e
@Kibrah-u6e 7 ай бұрын
Hai bro
@Kibrah-u6e
@Kibrah-u6e 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enfKaaCLZsRle5Ysi=kj5hCEvUUkNXW04Q
@dicksonjamesmangweku8454
@dicksonjamesmangweku8454 8 күн бұрын
Mkuu Ungepiga Kingereza Mwanzo Mwisho, binafsi goma ningelipa asilimia 100%, sema fresh tu
@shebbysadiki
@shebbysadiki 7 ай бұрын
Kwa tuliokuja kuangalia hii video ili kuona barnaba alivyoshika hicho kiuno cha mtoto yammy like hapa 😂😂
@Rose0com
@Rose0com 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@abedkioko9495
@abedkioko9495 7 ай бұрын
Lakini mother in law mwenyewe anazigua...kati yake na msichana wake nani anapaswa kuogea aliyongea...
@abedkioko9495
@abedkioko9495 7 ай бұрын
Hivyo ndivyo mother in law wanaaribu doa za watoto wao kwa kuigilia Mambo yasio wahusu
@chibo666
@chibo666 7 ай бұрын
hahahaaaa niwengi
@thegudlistener
@thegudlistener 7 ай бұрын
Yammi you got this❤️📌
@kividoclassic2390
@kividoclassic2390 6 ай бұрын
aliyegundua kuwa mwanetu mopao anapoa sana akiimba ñgeli gonga like hapa twende sawaa...🙌🙌🙌
@wambidenis794
@wambidenis794 7 ай бұрын
Kaka umeuwa mnoooo English waaaaaah kutoka uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@JojoTz-sb6je
@JojoTz-sb6je 7 ай бұрын
Mbona picha sio quality au ni tbc ukweli na uhakika
@albanbalayingwa4425
@albanbalayingwa4425 7 ай бұрын
Bonge la song kaka!! Huyu sasa ndio barnaba ninaemfahamu hii ngoma lazima iende mjini🤝🤝
@paulapril7636
@paulapril7636 7 ай бұрын
Nimwisikiliza zaidi ya mara tano sijui @barnaba aliwaza nn kuimba Kwa kizungu haki amenikosha mbaya na ukizingatia vina vimekaa mahala paka @yammi🎉🎉🙌🙌
@Kibrah-u6e
@Kibrah-u6e 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/enfKaaCLZsRle5Ysi=kj5hCEvUUkNXW04Q
@roycayman
@roycayman 2 ай бұрын
The only Tanzanian artist whose English is organic 🎵🎵😂🙌🇰🇪
@NtinyariEvalyn
@NtinyariEvalyn 7 ай бұрын
Barnaba chorus yako imeniharibia whoofer❤❤❤❤iko 🔥🔥💯💯💯🇰🇪
@alexelieza8802
@alexelieza8802 7 ай бұрын
Uyu yammi wasipo muangalia vizuri wakina zuchu sijui, mtoto anaimba kama hataki Yani lkn napagawa dadek😇, Barnard always ni fundi🎉
@mozahsalum8882
@mozahsalum8882 7 ай бұрын
Angepata uongozi imara wa kumpush kama Ilivyo zuchu,,Alikuwa internationaly levels
@uiptv365
@uiptv365 7 ай бұрын
Bonge moja la hit 🔥🔥 Vocals : 💯 Mziki mzuri unajieleza
@yusufu1985
@yusufu1985 7 ай бұрын
Wale wa kuona barnaba akiendelea kushika vitu laini tunyoonye mikono juu yaani bonge la ngoma 🇹🇿
@abedysteven4930
@abedysteven4930 7 ай бұрын
Barnaba wimbo mzur broo upewe maua yako🎉🎉🎉🎉
@josephatizeno8833
@josephatizeno8833 7 ай бұрын
Ila master jay alishawahi sema wasanii wanaojua kuimba nimeamini hapaaaaaa❤❤❤
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 7 ай бұрын
Naona Ndoa ya Barnaba linaenda kuvunjika make wamepewa ya moto 🔥 Yammi
@kenedyjambo208
@kenedyjambo208 7 ай бұрын
Fire fire🔥🔥 nini hiki,mziki mtamu mpaka unausikilizia kwa moyo ebhana eeehh!!!!nasemaje nasemajee ngoma kali sana nani anapinga hilo,🎉🎉 yako chukua #BarnabaFtYammy
@SeifYusuf-jf7bn
@SeifYusuf-jf7bn 6 ай бұрын
Bongo La Ngoma Huyu Yammi Sio Mtu Mzuri❤ Kabisaaaa
@annekyle408
@annekyle408 2 ай бұрын
How I play this song everyday karibu mara 30...a day without barnaba in my playlist ain't a day....next fanya kazi safi na sanaipei tande.
@richardagama6862
@richardagama6862 7 ай бұрын
Dude likiwa Kali ni Kali Tu,wapi likes za yammy na barnaba❤
@abilitypeta
@abilitypeta 7 ай бұрын
Weuh!!...the lady's voice 🙌👌
@Walex256
@Walex256 7 ай бұрын
Here from Uganda 🇺🇬. I love the song to the extent I translated line by line thanks to the subtitles. 👌🏽 Nibusu 😘😘😅
@tintin0019
@tintin0019 7 ай бұрын
HONESTLY BARNABA UMENI SUPRISE NA KIINGEREZA ❤
@roi2554
@roi2554 7 ай бұрын
😂😂😂
@aminakipande5645
@aminakipande5645 7 ай бұрын
Anajua mbona 😂😂😂
@blandinaleonard405
@blandinaleonard405 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@dostovan5142
@dostovan5142 5 ай бұрын
Kawaida yake
@gersonissa9124
@gersonissa9124 7 ай бұрын
Yammi ujawayi kuniangusha kwenye utunzi wako sema kama una mukubali yammi gonga like apa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@francispaul5806
@francispaul5806 6 ай бұрын
Nilisema napita mwishowe nimezama...gonga like hapa kama unaupenda huu wimbo.
@Heisfeisalmwema
@Heisfeisalmwema 7 ай бұрын
Goma kali sana barnaba fanya promo zakutosha media tour ii goma litaenda sana 🔥🙌
@jeanmariemagirirane1971
@jeanmariemagirirane1971 3 ай бұрын
@Founder Tz kaua sana! Huyu ni mwanaume. Courage Founder Tz. Mziki mzuri kwa kweli
@AbysayjrJunior
@AbysayjrJunior 7 ай бұрын
Uyu yamii kumbe fundi alaaaaah nilikuwa nachukia kama zuchu kumbe huyu kiboko😮
@nahasonfadhili-un8or
@nahasonfadhili-un8or 7 ай бұрын
Ningeshangaa,!! Nyimbo ivunje ndoa ishindwe kuvunja trending🔥🔥
@GaudanceSillo-vg3xz
@GaudanceSillo-vg3xz 7 ай бұрын
Congratulations broo hii collaboration ni nzuri sana an nikitaman sana kumsikia hichi kitu coz mnaendana sana kwenye mzki
@madahaman5402
@madahaman5402 25 күн бұрын
Tulio mkubali Barnaba kwa hii nyimbo gonga like❤❤🎉🎉
@KevinOtanga
@KevinOtanga 7 ай бұрын
Wabongo jamanii🔥🔥❤❤more love and support from Kenya 🇰🇪 ❤
@PeterSule-u1i
@PeterSule-u1i 7 ай бұрын
njoo..tz tufanyee ngoma yetu
@JuliusTushabe
@JuliusTushabe 7 ай бұрын
Barnaba ni fundi sana, nilisema napita mwisho nimezama mazima.
@tukumbwikemwakatundu2052
@tukumbwikemwakatundu2052 6 ай бұрын
Kama umekubaliana na mimi kuwa hii ni Bonge la ngoma❤❤❤❤ gonga likes
@ndorobo205
@ndorobo205 Ай бұрын
Hizi ngoma zinachanganya kichwa changu sana apa sijui nan zaid kat ya mboso na uyu mwamba tangu nipo shule adi leo saut yake ileile hazeekagi barnaba big up bro
@mcdericktv7298
@mcdericktv7298 7 ай бұрын
Barnaba wewe ni jini...unaweza kufanya hata Bubu asiyejua kuimba aonekane star...10/10
@MukandoriChella
@MukandoriChella 7 ай бұрын
Unauhakika kwa unacho sema 🧏yammi sio wasawa Yako bwana 😊uliza banaemjua👂
@mcdericktv7298
@mcdericktv7298 7 ай бұрын
@@MukandoriChella sasa hauoni Yammy kabebwa hapo au hata muziki mzuri haujui?
@leonardrichard2287
@leonardrichard2287 6 ай бұрын
Ngoma mpya tamu..piga kazi. Mke atakuelewa. maana ndo fani yako Barnaba Mungu akupe uzima wa milele
@gabrielgaby2265
@gabrielgaby2265 7 ай бұрын
Always lit 🔥 my fvrt artist ❤ uhalisi wa nyimbo 🔥 📛 the feelings so high ❤yammy yummy 😋 😍
@princeogwelofficial4682
@princeogwelofficial4682 7 ай бұрын
Naomba tu likes zenu kw mara ya kwanza kama unapenda hii NGOMA 🔥 🚬 & 🧯
@meshacksanga5660
@meshacksanga5660 7 ай бұрын
Ngoma ipo vzr san
@MapepeMengi
@MapepeMengi 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGe0ommIn910oKssi=R31i56idKbO29Oe1❤
@princeogwelofficial4682
@princeogwelofficial4682 7 ай бұрын
@@meshacksanga5660 ✊
@mariamhamissi4428
@mariamhamissi4428 7 ай бұрын
Mopao🎉🎉🎉
@princeogwelofficial4682
@princeogwelofficial4682 7 ай бұрын
@@mariamhamissi4428 🔥
@lulukennedy6114
@lulukennedy6114 7 ай бұрын
I love the beat I love barnaba en yammi's voice. Uuuuu I love this song, vile nimei-repeat na bass ya juu😆jirani ananiangalia vibaya😆😆
@Kilizon8
@Kilizon8 7 ай бұрын
Wimbo bora sana wa mapenzi kazi nzuri sana.
@yuyumuziki7756
@yuyumuziki7756 7 ай бұрын
Nimeskia pale Redsan from 254.."namtazama yule pale namtazama Toka zamane" ...hio verse ya legend wetu
@AlphaBoyie
@AlphaBoyie 7 ай бұрын
i love this combo,,you guys should do more of this❤️
@happymahu1637
@happymahu1637 7 ай бұрын
Nimesikiliza huu wimbo zaidi ya mara 100❤
@Ms_judy
@Ms_judy 7 ай бұрын
Tuliokuja kujihakikishia kama barnaba anajipakulia minyama tujuane kwa like jamani😂😂❤
@djkayumba
@djkayumba 6 ай бұрын
Haka kabint kanaimba sana sweet Melody 🔥hapa kweli mmefanya japo kwako nimezama sijui mbele malizieni
@ryansammyking4792
@ryansammyking4792 7 ай бұрын
Moto Moto Sana hii iwaendee wakenya wote.
@AishaTarimo
@AishaTarimo 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Tunasubir English yako😂😂
@shuuclassic2551
@shuuclassic2551 7 ай бұрын
The sweetest song right now in my heart❤ God bless my brother, yu true to this this
@hummymgaza6915
@hummymgaza6915 7 ай бұрын
Ukute zote zile zilikua Kiki Ili nyimbo tuje kuangalia kwa wingi .. big up
@ahmedmwembo99
@ahmedmwembo99 7 ай бұрын
daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah , mopao , hii ngoma nzito xn aseeee
@judithpendo9985
@judithpendo9985 7 ай бұрын
Nani mwengine 😂 amekuja kuona kiunj Cha Yammy kinacho mpa waswas mke wa barnaba 😂😂😂love from kenya 🇸🇦🇰🇪❤️❤️❤️like apa km wakubali hii song
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Cicilia-st8op
@Cicilia-st8op 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@cathmushi7075
@cathmushi7075 7 ай бұрын
Nyimbo inavideo ngap
@mudrickabdallah7251
@mudrickabdallah7251 7 ай бұрын
Claassic.. barnaba best of the best.. fundi mjuaji asie na sifa wala kiburi.. damn this guy🎉
@chidi_don
@chidi_don 7 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana bro hi ngoma kali sana 🔥 💯
@ElizabethJulius-oo5ez
@ElizabethJulius-oo5ez 4 ай бұрын
Huuu wimbo hauniish hamu kuuskiliza na kuutazama❤❤❤❤
@SikituLusato
@SikituLusato 7 ай бұрын
Piga ngoma kwanz Kaka Mapenzi Emergency 👏👏👏
@ChenchiKing
@ChenchiKing 7 ай бұрын
Ngoma Kali Xana Kutoka Kwa Legend Mopaooo X Yammi Kihukwel Wametend Haki Kweny Hili Goma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️🔥🔥
@ZaujatkhamisHamad
@ZaujatkhamisHamad 7 ай бұрын
Dah hii ngoma ni noma 🎉🎉🎉km umeipenda hii gonga like bc
@samiakalab2774
@samiakalab2774 7 ай бұрын
Yaan nyimbo Tam balaa ,Raya arud tu kwa mume wake amsapot cio kwa uzur huu wanyimbo,pambe hatarihatari❤❤❤🎉
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf 7 ай бұрын
Mopao kuna ujumbe wako kutoka kwa mama mkwe wako.......!
@UmmyZakiah
@UmmyZakiah 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@tausiginga1038
@tausiginga1038 7 ай бұрын
Asimpangie kazi mkwe wake lishangax lake litalala njaa
@terryk.kibisu8725
@terryk.kibisu8725 7 ай бұрын
Omg barnaba is my favourite artist for ever❤❤❤nice so...wapi like yake...nineskiza at almost 10×
@kevinmukisira
@kevinmukisira 7 ай бұрын
Barnàba never grows old
@reginamtitu5592
@reginamtitu5592 7 ай бұрын
Mkoa wangu niupendao njombe mpo tulioangalia kiuno Cha yami gonga laiki❤ hapo chini
@joycekidibule3266
@joycekidibule3266 7 ай бұрын
Unajua mpaka unajua tena 🤗tukupe tu maua yako 🌺🌺🌺
@CasparyLuoga
@CasparyLuoga 7 ай бұрын
Kumbe ilikuwa inapigwa vita walijua bonge la ngoma big up sana barnaba boy clasic
@daudimpoli5913
@daudimpoli5913 7 ай бұрын
Barnaba noma naomba Nije nikusalimie kidgo Ngoma nairudia rudia hapa sielew
@FunnyChurros-hy9fe
@FunnyChurros-hy9fe 7 ай бұрын
Msanii wa moyo wangu Asante kwa kazi nzuri.
@tozaah2680
@tozaah2680 7 ай бұрын
From USA amani ipo kweli kabisa nime shiba
@brosika
@brosika 7 ай бұрын
Barnaba hajawahi kukosea hizi ngoma 🙌🙌
@Ivy.concrete
@Ivy.concrete 7 ай бұрын
Wuueh kazi nzuri from 254 ❤❤❤
@Man_Freja
@Man_Freja 5 ай бұрын
Kwa hili goma utapiga pesa mzee,, kiukweli hii ni Moja kati ya nyimbo zako Bora zaidi
@Jetnessy_michelle
@Jetnessy_michelle 7 ай бұрын
Ngoma tunayo na tuna tamba nayo😃😄🔥🔥🔥🔥😍
@rechalmshana1293
@rechalmshana1293 7 ай бұрын
😂😂
@Jetnessy_michelle
@Jetnessy_michelle 7 ай бұрын
@@rechalmshana1293 usicheke 😂🤣
@Jetnessy_michelle
@Jetnessy_michelle 7 ай бұрын
@@rechalmshana1293 usicheke 😂🤣
@EmmaReiz
@EmmaReiz 7 ай бұрын
Hebu ipatieni hky yke hii song twendeni 3m from Kenya barnaba never disappoint ❤❤
@neemamlyuka1335
@neemamlyuka1335 7 ай бұрын
Huu wimbo mtamu haki ntafia madina❤
@hussenhassan-gn5xz
@hussenhassan-gn5xz 7 ай бұрын
ngoma kali kiongoz❤i imefika adi tulipo Mozambique 🔥🔥
@josephusekwelas9743
@josephusekwelas9743 7 ай бұрын
Aka toto yammi kumbe kana juwa ❤naka penda ❤
@landriedieudonne3247
@landriedieudonne3247 7 ай бұрын
Mopao na yammi wametisha noma sana ngoma imetuliya kbs❤😊
@imadeboy
@imadeboy 7 ай бұрын
Hapa mke wako lazima awe na wivu bonge la vibes 🎉🎉🎉Mzee baba 😂
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 7 ай бұрын
Wewe ni bad man indeed raya rudi home acha ufala mama yako Kisha ishi maisha yake
@hazpilapoultry_farm
@hazpilapoultry_farm 7 ай бұрын
Noma sana gonga like from Kenya 🇰🇪 huku #barnabas fun
@aquinoowour6067
@aquinoowour6067 7 ай бұрын
Barnaba will be dripping when he gets inside 😜😜 such a banger 🔥🔥🔥
@MajeiMedia
@MajeiMedia 7 ай бұрын
Give me those like jamani na mpite kwangu,...🙏😍nawapenda
@Osamu2-yl5en
@Osamu2-yl5en 7 ай бұрын
Nyimbo nzur sana nakama umeitazama vzr nawew umependa
@alidaamur-vp9uj
@alidaamur-vp9uj 7 ай бұрын
Talk to me boy kamanaota tu anishiakilini ❤🔥🔥🔥🔥
@khamisshee803
@khamisshee803 7 ай бұрын
Iko 🔥🔥🔥 AKA BACHUCHU MOMBASA 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@VicentNasari
@VicentNasari 7 ай бұрын
Tanzania unyama mwingi ❤
@AloyceMathayo-vj9ws
@AloyceMathayo-vj9ws 7 ай бұрын
On fire 🔥 niihh busuu ❤
@HappyEmmanuel-w2c
@HappyEmmanuel-w2c 7 ай бұрын
Kama unapenda yammi na barnaba wawe wapenzi gonga like twende sawa😂
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 6 ай бұрын
Makimbo kuja uku usome hiii comment😅😅😅😅😅
Barnaba feat Mbosso & Yammi - Nibusu (Official Music Video)
3:42
BarnabaClassic
Рет қаралды 7 МЛН
Barnaba feat Yammi - Nibusu (Lyrics Video)
3:50
BarnabaClassic
Рет қаралды 1,1 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,2 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 14 МЛН
Nandy feat Billnass - Totorimi (Visualiser)
3:52
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 4,3 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 6 МЛН
Barnaba - Nampenda (Official Music Video)
4:08
BarnabaClassic
Рет қаралды 723 М.
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)
2:52
Dully Sykes
Рет қаралды 768 М.
Tunapendana
3:35
D Voice - Topic
Рет қаралды 184 М.
Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody - Mapoz (Official Lyric Video)
4:10
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
3:30
Ibraah
Рет қаралды 14 МЛН
Chege feat Alikiba - Kipofu (Official Music Video)
3:59
Chege Chigunda
Рет қаралды 3,5 МЛН
Yammi feat Nandy - Lonely (Visualiser)
3:29
Yammi
Рет қаралды 2,2 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН