Boom! KIBABEEE! Heeh! Emma ze boy on the beat(classic!) Bribababeiii!!! Pull up! (Radadaa ...) Nilimpenda miaka tisa penzi la miezi sita likakatisha upendo Chuki akazidisha nakuyaanisha malengo (uouwooh!) Najutia muda kupoteza malengo (oooooh!) Kama kinywa kakitia pengo Mapenzi yanauma (yeee!) Nalala! Na moyo sio chuma (eeeeeeh!) Na mapenzii hayana Komando (enhe!) Na moyo wangu ("eheheheeeh")naubeba kwenye Rambo (eeeh!) Onanananaa, Niliforce kupenda pengine eti nafsi itatulia Ila wapii kipendacho roho hula Nyama mbichi (Onanananaa! aaaaah! eeeeeh!) Sina budi kukubaliana na uamuzi aliochukua Kama mpenzi ntapata mwingine na nafsi Itatulia 'mmmh' Onanananaa! aaaaah! eeeeeh! Yatakishaa Hizo nyodo za kupostiana Instagram, Yatapita! Mara Snapchat, mara Facebook na ntasahau! Nitaachacha kulia na mwili kubaki kaukau Najikuta nashindwa kuna muda nawaza upumbavu (hook!) Vile ulivyonibiduwa naye unambiduwa vilivile Kisha nawaza Vile ulivyonihemea naye unamuhemea vilevile Ni mawazo tu sina plan za kurudi Kwa alivyoniadhibuuuuuh, ebwana usiskie Mapenzi yanauma (yeee!) Na moyo sio chuma (eeeeeeh!) Na mapenzii hayana Komando Na moyo wangu kaubeba kwenye Rambo (Noooouoooh!! "eeeeeh") Yatakwisha Hizo nyodo napiga simu unajitia hunijui Yatapita' Mara unakata Mara unampa mpenzi wako kunitukana, na ntasahau (nooooouooooooh!) Mwili kubaki kaukau, Mwanzoni nilishindwa kwa sasa ninasema 'mapenzi basi' Penzi lako painkiller 'nami nasema basi' Penzi lako snak 'kukupenda basi' Kupenda basiiiiih!! noouoooh! 'mapenzi basi' Penzi lako painkiller 'nami nasema basi' Penzi lako snak 'kukupenda basi' Kupenda basiiiiih!! noouoooh! 'Yatakwisha!' Yatakwisha babee iiieeeh enheee! 'Yatapita' Mapenzi yanaweza kukupeleka Jehanam 'nantasahau' Nantasau (Noooouuuuh!)kichwani mwangu ntakutoa 'mwili kubaki kaukau' Mwilii, Mwilii! iiiih! Goes around comes around This is Barnaba boi Classic Be happy in Your Lives Baby Classic
@jacquelinemwiza59296 жыл бұрын
Mapenzi yanaweza kukupeleka jehanamu 😱🤷🏻♀️👌❤️
@sarahbenard54935 жыл бұрын
Ndikumana Jacqueline kabisa my
@colethafrancis66675 жыл бұрын
Hujakosea
@amirsab11586 жыл бұрын
Nani bado ana uskiza huu wimbo ulivyo mtamu gonga like ✔✔✔✔✔✔🗣🗣🗣🎧🎵🎼🎶🎸😍
@stevenmaasai23845 жыл бұрын
mama peku peku
@alliceallice89375 жыл бұрын
Izolinke munazipeleka wap
@musakhamis69064 жыл бұрын
Alafu na yule jamaa kamtema sasa patamu apoooo goma limejirudia
@salmakhatibu14264 жыл бұрын
Mimi
@hakielmmbaga87832 жыл бұрын
Kaimba sana jamaa
@phiniasgewa44497 жыл бұрын
huuu wimbo unatoa machoz jamn hasa km ulishawah kuumizwa na mapenzii😭😭😭
@godfreymvungi24836 жыл бұрын
Phinias Gewa 😢😢😢
@khidayahsuleiman97705 жыл бұрын
Duh acha tu😪😪😪
@Blackie_blackie93275 жыл бұрын
Mapenzi jeneza+washa +nyang'anyang'a ___🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 umeitendea haki album....💯
@tausonsamwel8736 Жыл бұрын
I remember those days I had a girlfriend and she was cheating and I had to stay until midnight listening to this song and feeling how she was looking like video vixen of this video...thanks God we breakup and after few months she tested HIV positive and pregnant. I went to test and found myself negative from HIV from that days I learned not to force love... I'm safe my family is safe and somehow we're successful.
@Minajaga7 жыл бұрын
Mi ndomana sipendi ngoma zako, sa ndo nini unanitoa machozi jamani,,,, kupenda baaasiii heee yatakishaaaa. 👏👏👏👌
@froraermani82796 жыл бұрын
yupo vizuri
@asifiwemjujulu88846 жыл бұрын
he is a good one
@dafrosapaulo31666 жыл бұрын
hahahahaaa umefanya nicheke
@giozepedunda88516 жыл бұрын
jamani hii nyimbo naipenda sana na inanikumbusha mbali
@halimafuketi83695 жыл бұрын
michael gakwandi nimelia mpaka
@nattaliakhaleef16305 жыл бұрын
Yani hii wimbo ukiusikilz unakuumz kabisa dah barnaba upo juuu kaz Buti iv iv
@nasilaabdala325 жыл бұрын
Penda sana ngoma zakoo,,, hukoseagiii👊👊
@archkeels37537 жыл бұрын
Nimekuwa WA 99 kukomenti kwa brother angu barnaba namkubali mgonge like wajanja WA musik all the way from Korea ya kasikazin
@karembobaya94737 жыл бұрын
Nakpenda Barnaba....kaz nzuri mkubwa wangu
@tundamanofficaly48746 жыл бұрын
kama hujawahi penda sana afu ukaachwa huwezi Iielew hili goma
@bilihaniadriano94465 жыл бұрын
😢😢
@janethrobert55134 жыл бұрын
Tunda man officaly 😂😂😂😂😂
@gracemmasi21414 жыл бұрын
Acha tu 😭😭😭😭, tunaish kwenye dunia ambayo tunawatesa wanaotupenda na tunawapenda wanaotuumiza😭😭😭✋ mapenz yanauma acha tu 😭😭🙏
@Stephen-ej8fr3 жыл бұрын
Sad story💯
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
@@gracemmasi2141 😅😅😅😅😅
@clausngowi50157 жыл бұрын
Inanikumbusha demu wangu flani alivyokuwa ananiringia...sasa yashapita nimepata mwingine na tumeoana na ananipendaje..yule anazeeka tu. gonga like kama kwako yamepita😂😂😂
@betinovetbupamba25097 жыл бұрын
nimekukubar sana
@saidamohamed6396 жыл бұрын
Weraaaaaaaaaaaa
@rashidmstafa88696 жыл бұрын
Claus Ngowi p
@dianalwambano83266 жыл бұрын
Claus Ngowi inanikumbusha mbali sn nilikuwa nateseka na mapenz ss nimepata mwingine mapenz bubashara
@mariamtega82015 жыл бұрын
Umeona
@marysimbeye28977 жыл бұрын
nakupendaa sanaaa barnaba
@timmore24006 жыл бұрын
Najikuta nashindwa kuna muda nawaza upumbavu (hook!) Vile ulivyonibiduwa naye unambiduwa vilivile Kisha nawaza Vile ulivyonihemea naye unamuhemea vilevile Ni mawazo tu sina plan za kurudi i love this song like crazy!! much love from 254 toBarnaba boi
@hadassperez4947 жыл бұрын
Shabiki wako miaka buku😥😥😥.
@judithyohana99087 жыл бұрын
kazi nzuri
@bahatiphelemon63576 жыл бұрын
Nimeupenda bure uo wimbo hongera cnaa barnaba
@josphatkimani74192 жыл бұрын
Mapenzi inauma sana,kwanza ukipenda mtu akupendi......na ni kweli mapenzi inaeza kkupeleka jehanamu.....wenye bado tunalia 2022 juu ya mapenzi tujuane
@drkaswalala7 жыл бұрын
Touching story! Big up Sana mtu mzima Barnaba Yatapita(tumeumbiwa kusahau)
@kennedywafula17647 жыл бұрын
Barnaba is my new bongo flava artist
@catherinealfayo20187 жыл бұрын
barnaba nyimbo nzr sana
@veronicabuba83126 жыл бұрын
hahah ulitendwa ,,,eeeehhhh😥😥
@jemsgodi92414 жыл бұрын
E
@caphersimba23817 жыл бұрын
Yatakwishaaaaaa. Ntampata mwingine nafsi itatulia............. Haha
@foibemahimbali27166 жыл бұрын
Daaah yatapita tu bna,, kma cio rizik bora iendee.big up barnaba..... Touching song ,, nakubar,,, gudy heat whoaa... Luv it
@hidayazil37587 жыл бұрын
Kuna muda nawaza upumbavu, vile............NI mawazo tuu Sina plan za kurudi +254
@OmanOman-gc1zu4 жыл бұрын
huy kaka anajua kuimba kweli.. saut kali. voko kam lote
@neemadaniel511411 ай бұрын
2024 tujuane naupenda nyimbo za huyu kaka
@bens000111 ай бұрын
Tushajuana😂❤
@johnnganda33220 күн бұрын
hapo ndipo kaka,❤❤❤❤
@shemejiwaxxl95637 жыл бұрын
au waziri mkuu wa SHILAWADU. .... we fundi toka enzi za rong number hadi sasa 👏👏👏👏
@emmaculateaokoochieng69114 жыл бұрын
Wow,,,🎼🎼🎼🎶🎶🎶💃💃💃💃😘😘😘♥️♥️yanauma kweli 🙆♂️🙆♂️🎶💃💃💃am here 2020 july wapi likes zangu,,i just like this guy,,,barnabas nawaza upumbazu ,,,can't stop dancing 🎶🎶💃💃💃💞💞
@bryanjonathan63127 жыл бұрын
Vile ulivyonibidua naye unambidua vilvile...vile ulivyonihemea naye unamuhemea vilevile...ur the best"
@godfridamulokozi87072 жыл бұрын
Ni watu wachache ambao hawajatendwa kwenye mahusiano. So kila ausikilizae lazima aupende. Big up sana Barnaba.
@dastankomba7204 Жыл бұрын
Kama yupo ambaye hajatendwa basi bado ajaingia kwenye mapenzi ila ukiingia lazima mbuluzane kwanza ndo somo lenyewe la mapenzi
@aloyceremmy96294 жыл бұрын
Yani barnaba sijui kwanini napenda mziki wako kupita kiasi daa nakuombea mungu ufanikie na dunia ikujye
@Zahrazahra-mc1kw7 жыл бұрын
nimependa ngoma kareeeeeee sema woyoooooo😘😘😘😘
@patriciamayalla71117 жыл бұрын
Zahra zahra woyooooooooo
@jacqlinetemba76127 жыл бұрын
kanyimbo kazur
@gaspernyambo78426 жыл бұрын
Zahra zahra woyoooooooooooooo
@isayathadayo65096 жыл бұрын
Zahra zahra umeipend san zahr
@bahatiphelemon63575 жыл бұрын
Oyoooooo
@YustaOthman-jr8se Жыл бұрын
Niliachagwa na mpnz wang nilifukuzwa kz gafla nae akaniambia tuachane yn nilipata tabu sana kumsahau. Gafla mungu akaniletea chaguo langu nampenda sana na naishi nae.nyimbo ina nikumbusha mbali sana
@mariamibrahj1591 Жыл бұрын
Mie ndo napitia hii hali sahivi na nimeachwaa na mtoto,,ooh hope nami nitampata chaguo langu..
@YustaOthman-jr8se Жыл бұрын
@@mariamibrahj1591 pole sana mungu atakupa Chaguo lako mpz
@hawawezidianakukushusha7567 жыл бұрын
Hii ngoma inagusa hisia za wengi well done barnaba
@rosset70332 жыл бұрын
Ni mawazo tu sina plan za kurudi... Mapenzi yanauma big up. Barnaba ngoma tamu Sana hii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@tzclevistv33857 жыл бұрын
Asante kututoaa Stress za mitandaonii CLASSIC HIMSELF. 🌟🌟🌟🌟🌟
@teddynyagawa85814 жыл бұрын
Barnaba unajua mpk unazidisha.Mungu akubariki
@movie_zone2547 жыл бұрын
Gonga like kama unadhani afaa kufanya collabo na Alikiba.....wimbo mtamu sana
@robertkipkorir11353 жыл бұрын
Naona utabiri wako ilitimia
@atwabimpindo27357 жыл бұрын
da! msanii anaejua siku zote mwendo wake wa kimya
@esthermwae99936 жыл бұрын
Huyu jamaa yani fundi anajuwa hadi anaudhi .
@josephmremi76756 жыл бұрын
Mimeipeanda ngoma imebamba
@Editha9057 жыл бұрын
Najikuta nashindwa kuna mda nawaza upumbavu....Holy Spirit his is singing someone heart....but sio mimi. 💕💕
@elishanoel24014 жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo kusema ukweli huwa nikiisikiliza nakumbuka mbali sana🙄🙄😭😭😭
@aimraibeicayy75072 жыл бұрын
😭😭
@rithaabdi44322 жыл бұрын
Pole Dear
@zawadicharles46516 жыл бұрын
honhera xn my bro, wimbo wako unanikumbusha kipindi flani hv yalinitokra yalionitokea ila yashapita nami namshukuru mungu hakuna kinachodumu milele, wimbo mzuri xn hongera my dear😍😍
@arifmatu52895 жыл бұрын
Hi
@arifmatu52895 жыл бұрын
😍😍😍😘😘😘
@arifmatu52895 жыл бұрын
Love
@eaupdates48257 жыл бұрын
ntakuwa nimefanya makosa makubwaaa saan kupita bila comment bonge ya NGOMA bigg upp
@bahatiphelemon63575 жыл бұрын
Kweli kabisa ngoma kariii cnaa 💪💪
@kahululumkuyu65873 жыл бұрын
Mm mwenyewe naikubali acha
@mwanashajayomwalimu52316 жыл бұрын
Haiwezi maliza wiki bila ya kuiangalia hii ngoma yaani hapa barnaba salute kwako inamgusa kila anayejua nini LOVE
@halimamdee96117 жыл бұрын
mapenzi hayana komando na moyo wang kaubeba kwenye rambo wozaaaaaaaaaa
@salomewandya72574 жыл бұрын
Yaan unajua hadi unakera🔥🔥🔥
@aishaharuna39186 жыл бұрын
Eti vile ulivyo nibedua nae unambedua vile ulivyo nihemea nae unamuhemea😢
@wisterayo14902 жыл бұрын
Kama umerudi tena kuskiliza hit song ya mda wote kutoka kwa msanii mwenye kipaji 🇹🇿❤️
@esterkimath73625 жыл бұрын
❤️❤️ nyimbo nzuri sana yenye maudhui mazuri pia
@julievideo9126 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉2023 napenda hii nyimbo
@juniormike44283 жыл бұрын
Nikiwa Kama muhanga wa mapenzi big up broo nyimbo zako zinanifariji 🙌🙌
@jasminebaibe73557 жыл бұрын
mapenzi yanauma na moyo sio chuma.......👌👌👌👌
@allyomary93187 жыл бұрын
Jasmine baibe na mapenzi hayana komandoooo
@akhiiyahya70517 жыл бұрын
daaah barnaba mh mapenz jeneza kupenda kaburi
@floratash63163 жыл бұрын
Ngoma tam sana wapi like za 2021 I'm watching from saudia arebia
@mptalent21043 жыл бұрын
Mapenzi hayana komando na moyo wangu kauweka kwenye rambo😥😥
@bienaime24474 жыл бұрын
."nimawazo tu sina plan zakurudi" .this part InaniGusa sana..,
@evelinamayenga8233 Жыл бұрын
Daaah huu wimbo mpaka nimeweka wakuitia kwa sm yangu ni mwaka sas sijabadilisha love this song
@EvelinaMayenga8 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mawazowoodzzzmawazovert81815 жыл бұрын
Congratulations bro this song is killing me I love it so bad ohh 🙌💖💝💞😍😍
@marieh11257 жыл бұрын
Nice tune am obsessed OMG i cant get enough of it I am barnaba's number 1 fan
@ashuramsumi68107 жыл бұрын
Nice song
@khadijaali49897 жыл бұрын
🤔🤔🤔yatapita Kweli kazi nzuri Sana mungu akuzidishie kipaji chako 🙏
@juliaphilemon43477 жыл бұрын
pole mwaya jaman!! ila wimbo mzuri xna keep it up kweli yatakwisha vumilia tu😭😭
@kidahyarevocatus82037 жыл бұрын
Album lini,sio kW melody hizi Mzee Barnaba....
@zennawazir64137 жыл бұрын
me shabiki ako ntasimama hata ukikaa....keeping the gud music alive....salute baba steve....✌️✌️✌️✌️
@reyesrioba29577 жыл бұрын
+254 in the house.....i just love singing in the background to @barnaba...
@rehemajuliusoman73726 жыл бұрын
Nilimpenda kia9 penzi lamiezi6 likakatiza upendo jaman daa nakumbuka mbar sana 💏💏🌷🌷
@jessewhagwan.20067 жыл бұрын
sooooo deep ,Barnaba ndio mkali wao
@monilahcruz72936 жыл бұрын
Kipindi hichi nimeachama na baby najifariji tuuuy mwenyew kupitia hii nyimbo asante barnaba
@jamesdavidkawongajr44187 жыл бұрын
This is one of the best songs in Tanzania.... nimekuwa nikirudia rudia kuisikiliza mara zote hongera Barnaba
@johnson10427 жыл бұрын
kazi yako naielewa sana kaka mkubwa #team barinaba mwanzo mwisho washamba wale awawezi elewa
@hadijashabani26866 жыл бұрын
😢😢😢daah km umenimbia mm💔🙏
@hanifahanifa39343 жыл бұрын
Tupo wengi
@sarapaulo47183 жыл бұрын
Tumejaa kila siku tunaongezeka
@Kimba19997 жыл бұрын
I really iyo ngoma nikali sana brother keep up bro 🎥📹👓
@alexhamis89867 жыл бұрын
Hii ni moja kati ya dhahabu chache zilizobakia katika kiwanda cha muziki "classic" hapa Tanzania ambayo bado Watanzania hawajatilia maanani thamani yake... Kazi nzuri kama kawaida yako! Endeleza vita ya muziki classic kaka
@josephsanga34087 жыл бұрын
from kibit sielewii kiswahili ila hiii ngoma mamae
@mauasalum52916 жыл бұрын
Hii ngoma naipenda joman!!!!
@husnangapu5027 жыл бұрын
Nyimbo nzuri nimependa huyo dada alivopendeza na hiko kivazi cheupe na top ya pink anavotembea
@kambiyusufu77094 жыл бұрын
Mapenzi yanauma sana amini gonga like 8, 12, 2020 love barnaba
@aminamasumamasuma97716 жыл бұрын
Duu point ngoma Kali sn siichoki kwa kweli kuisikiza maana ndo maisha ya kila cku duu
@ilawaters7085 жыл бұрын
🌸☺️💋I love you Barnaba and all your music may Elohim always bless you and your family your music moves my soul l feel reborn l love this track but my favourite is 🥰Tuachane Mdogo Mdogo🥰, Thank God l found you, l am going to buy this track next week Sir, Much love from Susanne 🇬🇧
@davidkoromo64623 жыл бұрын
Uko very well
@takiesmail68087 жыл бұрын
Wewe ndiyo king naye kuwelewa mashairi yamenda shule voice tam yani unacfa ya uwana muziki haswa.
@mhando25537 жыл бұрын
nyimbo nzuri sema wasani wetu bwana mpaka watendwe ndio akili za utunzi zina ongezeka we need to change
@aminajuma14356 жыл бұрын
mhando255… hahahaha, mpaka waumizwe kimapenzi😀😀
@neemamwangi4323 Жыл бұрын
Kila k2 kinapita hakika Ngoma hii inafariji saaaana❤
@catherinemgaya84987 жыл бұрын
daaaaaah mapenz yanauma e bwana usisikie,umenitach Sana u wimbo,BG UP Broo
@husseinhassan34214 жыл бұрын
Catherine Mgaya catherine ❣️
@dorothmalekela39742 жыл бұрын
Yani umenikumbusha mbali niliachwa bila kosa ,dah niliumia sana ,yani sasa mwenzangu anaangaika mimi najilia rahaaaa nipo na wangu wa ubani
@katusiimesharllote66595 жыл бұрын
Too much love from Uganda 🇺🇬 I love ur music Banarba
@jumamchelejumamchele17337 жыл бұрын
Daaa ikopoa sana unanikumbusha mbali nilivo tendwa na demu wangu
@aminaislam9347 жыл бұрын
Huu wimbo unanigusa sana. Big up
@nelymdaga6327 жыл бұрын
poa sana
@abdulapolinari1787 жыл бұрын
Pole sana
@mariamiddy31447 жыл бұрын
huko pekeako
@allenephrem14366 жыл бұрын
Penda sana
@nattaliakhaleef16305 жыл бұрын
Hahhaha hata mm pia kabisaaa
@EvaMgwala-pe9pj Жыл бұрын
18 December I have still listening to this guy song,,it make me memories a certain day when the love was destroyed
@madezikilonda24077 жыл бұрын
keep the good music alive, 🙏🙏🙏🙏
@pena_tz7 жыл бұрын
Ngoma kari sana safi brother
@jackielina56613 жыл бұрын
ni master
@jackielina56613 жыл бұрын
very nice and lovely
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
sio kari-kali.
@catharinelazaro97107 жыл бұрын
You always makes us wonder....I love you
@deborahelias35036 жыл бұрын
Kweli yatakwisha maana kila kitu kina muda wake.
@prettychipps90547 жыл бұрын
yatakwisha na ntasahau.. kudadeq bonge La ngoma hakyanani mapenz jeneza
@terence_on_the_track2 жыл бұрын
Still my favorite tune till now ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
@magynzioka11226 жыл бұрын
Mimi na kupenda sana tu usitesekwe moyo ila kwa shariti moja mpe mungu maisha yako uone uleupendo wa kweli siku zote una sura mbili ila kwa mungu ni sura moja upendo tuuu
@josebrownbongo97777 жыл бұрын
kali kinoma..mapenzi jeneza sio utani
@سعادالشمري-ز9ز5 жыл бұрын
Kunamuda nawaza upumbavu duh sawa tu yatakwisha nimekuja sikiza hili goma 😭😭😭😭😭
@japhetshirima86977 жыл бұрын
when i say music ,i mean this.....am always loyal to what u do brother...good music alive