😥😥😥kwani me nilikuwa wapi hiii hii ngoma kali ivii ilivyotokaa.. dahh najua .... nimechelewa sana jamani mnipe hapo hata likes kumi tu ntafurahi... Cheketuaa bonge la ngoma
@suzanakibonde58983 жыл бұрын
Waambie ugonileee jamaniii😍😍😍😍 i love you gusy Kiba and Barnaba❤❤❤❤
@anordbwai56203 жыл бұрын
Tume ruka vizingiti wambea hamtutishi utamu wa wali nazi uutafune na Ndizi 🔥🔥🔥🔥 yooh
@wanjoki13 жыл бұрын
Nawakubali sana Barnaba na kiba Hawa dio wenye mziki mzuri...yaani king 👑 hatumiangi nguvu nyingi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jonesiha19453 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@goddamwakimi58893 жыл бұрын
Duuh mpaka leoo on trending duuh, kweli king is the master
@joelkahuya83563 жыл бұрын
Wenye fani zao wakikutana lazima dude lieleweke dah! Cheketua jmn 👇
@youngjmstaarabu25593 жыл бұрын
Aah tumeruka vizingiti waambea hamtutishi.....♨♨🎶🎶🎵🎼🎧 mmmh cheketua aaaah ngoma kali sana kama wakali wenyewe. Yaani Kingkiba hajawahi nikera wala kunitega wala kuniangusha
@saxannjo61733 жыл бұрын
Wimbo hauna MATUSI,,, na UNATREND kama kawaida..... BIG UP King Kiba & Barnaba Boy...
@hidayaking33833 жыл бұрын
✋✋
@paulalightness36623 жыл бұрын
kiba my boo bigup broy wang no match ov uaz voice😙😚😚
@michaelpeter77722 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@lameckdavies64173 жыл бұрын
Barnaba hujawai kosea sijapata zaidi yako still
@dje-sir2543 жыл бұрын
Mwenye anaamini king never disappoint kama mm aweke lyk apo chini
@asinatjuma80883 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jmagelegraphics46583 жыл бұрын
Oyooooooh piga like chap kwa king
@Venture_18183 жыл бұрын
miguno ya #KingKiba tuu hapo mwanzo unaelewa shughuli itakua nzito humo ndani! ilikua ndoto ya muda mrefu kuona sauti za Dhahabu zikirindima kwenye mdundo mmoja..... watu wanaojua mziki na kuuchezea vile watakavyo wao ila kwetu burudaniii hakika Bongo Flava iko mikono salama kabisa , Congratulations #Mopao X #KingKiba 🔥🌍
@faithachieng64533 жыл бұрын
Juzi nilisikiza na my dad before niweke akaniambia usiweke izo nyimbo zenu za uchafu nikamwambia hii ni ya adabu akaniuliza msani ni nani kumention kiba alisema uyu kijana ako na adabu sana big up king ady wazee wanakusikiza👊🏼🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@vitrecsoilmill51073 жыл бұрын
Utamu wa wali nazi uutafune na ndizi, king himself
@vailethywalter28423 жыл бұрын
Mafundi mmekutana ,nyimbo tamu Sana love Alkiba voice❤️
@hamidjuma88533 жыл бұрын
sana2
@alfanbundo42183 жыл бұрын
Ukisikia Mziki mzuri, this is what we are talking about. Bravoooo
@asinatjuma80883 жыл бұрын
Ni moto
@kcboyvevo94183 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oJC4lpSXeJubbqs
@naahally9362 жыл бұрын
Love u kiba and barnaba boy nyie mnaujua mzk hambahatish
@EricMBAZUMUTIMA-i1o3 ай бұрын
Aho nisa kabixa
@BETConlineTVTZ3 жыл бұрын
ALIKIBA,BARNABA,KAYUMBA-BONGE LA COMBO WHO AGREE WITH ME.
@hamidjuma88533 жыл бұрын
saf sana
@fredyaddy50243 жыл бұрын
Wimbo mzuri hongereni kaka zangu Ally kiba na barnaba
@pendomwabuka86963 жыл бұрын
Wanyakyusa tujuane kwenyee huu wimbo,,barnba ft king kiba 👑👑👑👍👍👍👍
@fatmaothman61423 жыл бұрын
Elove Alikiba
@agnesrichard64933 жыл бұрын
🔥🔥🔥 tupoo
@faridaessa78443 жыл бұрын
Tulipo nkamu gwangu olinkafu
@pendomwabuka86963 жыл бұрын
@@faridaessa7844 ndinkafu ughonile
@jumashabani56593 жыл бұрын
Daaah!!ngoma ya cheketua ni nzuri mnooo huwa sichoki kuisikiliza na kuitazama kwa social medi.....I love so much this song CHEKETUA.................
@khateqhate91233 жыл бұрын
My Tanzanian king...KING KIBA....for 20yrs you still reigh my kingdom of bongo much love 🇰🇪
@kamedia10663 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iJexe3lqj7Kpm68
@jasminejuma43753 жыл бұрын
💪💪
@spaceman71683 жыл бұрын
Yes, nyimbo bora kabisa itakayo ishi muda mrefu, waweza isikiliza pamoja na wazazi, watoto ni ya heshima sana. Huitaji kuimba matusi ili upendwe, muda utafika jamii itaelewa nini maana ya music, waimba matusi watapotea wenyewe.
@jonesiha19453 жыл бұрын
Shikamoo kwa maelezo mazuri sana na yenye yatadumu daima
@gastongowi6723 жыл бұрын
Hakika umeongea kiutu uzima mungu akubariki
@azizali54423 жыл бұрын
Well said Brother 👏👏👏
@silversindjalabakeni25333 жыл бұрын
Wow good music good sound good song mafundi walili wakikutana basi amini Vita inakwisha Barnaba classic and king Kiba sauti zenu ni utajiri munao jivuniya team Kiba and Barnaba classic like zenu jamani 👳♂️👰 ## LOVE IS GOOD BABY ## 🎤🎺🎹🎸🎧🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yungdrew4673 жыл бұрын
Umeongea moyoni kabisa🔥
@manonoali95573 жыл бұрын
ali kiba the real legend very consistency since his first song
@nobertfanuel22993 жыл бұрын
The best song, Number one on trending Barnaba ft Alikiba is 🔥🔥🔥🔥 gonga like apa twendezetu
@kamedia10663 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iJexe3lqj7Kpm68
@unclegmihale4553 жыл бұрын
Two Musicians.....hatr sna .....Mfalme....na Mopao..
@salumhillal54872 жыл бұрын
Very nice hasa designing ya mavazi na sauti nzuri ya Alikiba
@mayungantugwa33483 жыл бұрын
Mayunga kutoka Mtimbira malinyi Morogoro Tz, Kama nyimbo hii imekutach Twenzetu na like mungu mingi
@charleslulandalah97853 жыл бұрын
Nipo Morogoro wilaya ya kilombero tarafa ya mang'ula kata ya mwaya kijiji cha tazara
@pelinahmatandula46043 жыл бұрын
Malinyi nyumbani kabisa igawa moja hiyo
@kamedia10663 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iJexe3lqj7Kpm68
@danfordmkwandule95283 жыл бұрын
Dah Malinyi nyumban Mimi pia. Much love kwako kwakuwakilisha 👊👊👊
@finah7913 жыл бұрын
Jirani yangu kabisa..from ifakara
@onesmocharles40343 жыл бұрын
Mungu azidi kumbariki king pamoja na mopao..atubariki pia tunaoangalia hili goma..tim like weka like hapa
@mohamedmussa39313 жыл бұрын
Good music Good voice Good artists Respectable music Like kama zote kwa goma hili wapenda mziki mzuri sio makelele
@habibasnjeri80783 жыл бұрын
Very good music
@fazilamushi11143 жыл бұрын
Aisee huu wimbo mzur Sana hongera
@misperkerubo78083 жыл бұрын
AliKiba's Voice manze ni ya kutoa nyoka pangoni😹😹 utamu wa wali nazi ni kula kwa ndizo🥰🥰🥰. King Kiba you are on another level 🙌🙌🙌🙌🙌
@isaackela78793 жыл бұрын
Don't have to say waaaah...Alikiba ft Barnaba... This song make me feel like I am in an other planet...
@bukuruhassan97513 жыл бұрын
Broo niko South Africa cape town really I love this song brother barnaba nilianza kukufatilia mwanzo unatowa nyimbo yako ya message mpaka leo cheketuwa na appreciate
@hamidjuma88533 жыл бұрын
jamaa anajuw a
@asinatjuma80883 жыл бұрын
Ni moto
@hidayaking33833 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@bukuruhassan97513 жыл бұрын
@@hidayaking3383 yani ni ma king wawili masauti nyororo nyimbo achoshi masikioni siyo kama awo wanaimba kama kwaito za ki SOUTH AFRICA week moja nyimbo inapoteya
@prizzle_photodesign23443 жыл бұрын
Jamani eeeeh,😍😍😍😍🎈🎈🎈, nacheketuka kutoka Pande za Taiwani 🇹🇼, Two legends you made something amazing, kwa kweli mme ua, washabiki atuna budi, kuwapa hongera, asanteee Mfalme👑 vs Barnaba 💪💪💪💪
@Fasixyonene3 жыл бұрын
Asilimia 100% Barnaba uko vizuri sana kaka naitwa Chazy ni msanii underground naomba supporter yako kaka KZbin napatikana kwa jina la MTATARAPA
@halimak58643 жыл бұрын
Alikiba got melody his vocals are so gd his de reason I learnt kiswahili coz ov his music much love from Uganda
@jonesiha19453 жыл бұрын
That's Super!
@jasminejuma43753 жыл бұрын
Your most welcome 😘 love
@adamhashimu44623 жыл бұрын
True he got the melody
@kamedia10663 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iJexe3lqj7Kpm68
@uchebechata98233 жыл бұрын
Tunao kubariana Kama hii ngoma kalii anipe like apa mziki mzuri unaweza kukaa ata na wazazi wako mka angalia aina shida yani
@mustafasalehmwanamilongo2173 жыл бұрын
Niatari kingkiba njo mwisho mfalme hakuna mwengine kukakuwa mwengine ni feki
@jeulihb85323 жыл бұрын
masheh hii ndo haitoki namba 1 waachien na wenzenu ,perfect song
@PRINCELUCKY_EastAfrica3 жыл бұрын
Kubwa sana hii 💥💯Mob love from the Kenyan PRINCE LUCKY👑👑
@lazarojr89233 жыл бұрын
Kinyakyusa nimekisikia jamani watu wambeya toeni like kwa King kiba kwa kuimba Nyakyusa(ugonile )
@johnsonjuliusmassaka55193 жыл бұрын
ugonile linamaana gan br
@joss.nkilio.35373 жыл бұрын
Hata kingoni tunasema hvo hvo Ugonile maana umelala au umekufa umeoza
@maidamwaipopo76453 жыл бұрын
Kinyakyusa kipo juu
@henrymsouth453 жыл бұрын
Kaongea kigogo wewe
@hamidjuma88533 жыл бұрын
haaaaa
@Jainey_Dickson3 жыл бұрын
King Kiba all the way😩🥺.... Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi💥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪uzuri kenya hatuna team,we're supporting good music
@hamidjuma88533 жыл бұрын
saf sana
@abshiramiri92313 жыл бұрын
Ndo yenyewe hio
@gabrielmpanda97093 жыл бұрын
Hiyo ni kweli kabisa Hata katika upigaji kura kwa wasanii wanaoshiriki ktk tuzo mbalimbali wa hapa Afrika mashariki ni wakenya ndo mnaongoza kwa kupiga kura Nyie hamana unafiki mkisema ni nyeusi basi nyeusi kweli na mkisema nyeupe basi ni kweli nyeupe Hongereni kwa kusapoti wasanii
@chocolatevivian8303 жыл бұрын
True darling 😍 😍 😍 😍
@duncanbrian40913 жыл бұрын
Hahaha...true..we just love good music from Tz..but hapa this Two legends have killed it
@loguelogueloguelwangila71923 жыл бұрын
King vraiment félicitation à cette chanson à une bonne message nakupendeyaka tu iyo baba nyimbo aina matusi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@asinatjuma80883 жыл бұрын
Yani ni bora hata kwa matumizi na familia cheketua ni moto
@hamidjuma88533 жыл бұрын
asali yangu
@mzungukobe44163 жыл бұрын
Utamu wa walinazi utafune na ndizi weweeeee nimeipendaniyo iyooo😍😍😍kiba we noma kaka
@violethdavie473 Жыл бұрын
Nyimbo pendwa kwangu Barnaba ft kiba ,,.. team kiba pigaaa keleleeeeee Mpo kwa sauti hii ya mwambaooo
@princessshazia9143 жыл бұрын
Achillia wimbo wa taifaa my favorite artist king en mopaooo
@iskodady57863 жыл бұрын
When u are looking for a true definition of a king of bongo flavor music and u find Alikiba, u nod your head with a big YES..respect King kiba and B.boy barnaba classic.
@masatufaustine9363 жыл бұрын
Huu ndiyo muziki mzuri...wenye kujua mziki wanapokutana, wow! Hongera kwa wafalme wa sauti.
Jamani ngoma Kali Sana naomba like kwa Wana wa Tabora unyamwezini ♥️♥️
@peterfujokalogi78213 жыл бұрын
Kali sanaa King kiba ulijua kuweka vidokezo
@remmypatrick48313 жыл бұрын
King Kiba Killed With the melodies... You can feel the Vocal prowess.... meeeehn He was Born to Sing.... Barnabah pia Umekill mbayaaaaaaaa...... Dope song
@adamhashimu44623 жыл бұрын
Kiba mtu mbaya sana
@Lolo-rv7et3 жыл бұрын
I thought nimeskia peke yangu..his vocal maahn!!!
@kingsmusicfans14163 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bp3Je5iKbaeWo5Y
@daudimichaelntambala60963 жыл бұрын
Kuna muziki na nyimbo na kuna wana muziki na waimbaji (hawa ni wana muziki)
@asinatjuma80883 жыл бұрын
@@daudimichaelntambala6096 haswaaaa
@travellerboy8963 жыл бұрын
Mziki Mzur for real, umejitilosheleza kwa kila kitu, Istoshe wote wanajua kuimbaa.