No video

BASHIRU AKATAA KUTEULIWA TENA "SITAKUBALI KUTEULIWA, SITAGOMBEA NIKISTAAFU"

  Рет қаралды 18,014

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Жыл бұрын
Wewe ndiye Jemadari wa siasa Baadhi ya Wanasiasa ni walevi wa madaraka ASANTE Dr Bashiru
@sophiaabeid6024
@sophiaabeid6024 3 жыл бұрын
Uko wapi sasa.msiwemnaongea.mnamaliza maneno.
@philipkomba5525
@philipkomba5525 Жыл бұрын
😀😀 na baadae akateuliwa ukatibu mkuu kiongozi lkn hakuukataa
@jeffcash5437
@jeffcash5437 5 жыл бұрын
Safiii kamanda
@paschalmakondo3163
@paschalmakondo3163 5 жыл бұрын
Namfananisha na nyerere
@ameniameni617
@ameniameni617 3 жыл бұрын
Uongo dhambi yaani
@petershokolo9894
@petershokolo9894 3 жыл бұрын
Mbona sasa umeteuliwa ubunge umekubali tonge linamambo kweli 🤣🤣🤣🤣
@abdul2780
@abdul2780 3 жыл бұрын
HIT MAN WA MAGUFULI.NI BORA SASA UPUMZIKE WATU WAKU SHUGHULIKIWA RAIS SAMIA HANA. LAKIN TUNAJUA ULIKUA UKIFANYA NINI.ALLAH ANAKUNGOJA.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Hahahaaa,,,,,ni mapema mno ndugu Bashiru!!!!!!!!
@michaelmugashe5963
@michaelmugashe5963 2 жыл бұрын
vp saiv alikataa ubunge wa kuteuliwa?! Je alikataa katibu mkuu kiongozi? aisee
@eddybayzor5072
@eddybayzor5072 5 жыл бұрын
Safi sana baba
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 3 жыл бұрын
Kiongozi akiwa hana agenda ya kuongelea huwaga anaropokwa tu hahahaha
@idifonceshizle
@idifonceshizle 5 жыл бұрын
Safi
@labanbishirabandi3740
@labanbishirabandi3740 3 жыл бұрын
Hili ni linafiki hakuna mzalendo hapo
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 жыл бұрын
Hilo sio sawa, kuwa Katibu Mkuu wa CCM kama chama tawala ni cheo kikubwa zaidi kuliko Waziri Mkuu, hakuna tena nafasi ya uteuzi inayomfaa labda aombe Urais wa Nchi. Katibu Mkuu wa CCM ni Mkuu wa Watumishi wote wa Serikali isipokuwa Rais tu ambae ni Mkuu wa Serikali, Nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Naomba UIANGALIE Zanzibar katika utekelezaji wa majukumu yako. Kwa kutotekelezwa makubaliano ya Muungano CCM wa Zanzibar tunapata shida sana kukinadi chama chetu baadhi ya mambo yanayoelezwa na wapinzani wetu kuna asilimia fulani ya UKWELI.
@peterchibukumakomeo3031
@peterchibukumakomeo3031 3 жыл бұрын
Jamani mie hii CCM imenitia maradhi, imefikia kitu chochote chenye hizi rangi za ccm miye huwa nakitilia mashaka, huwaga najitahidi kujizungumzisha lakini haisaidii, na hii inafanya maisha kuwa ngumu, hata kama wala sipo tena huko Bongo karibu miaka 30 kwa sasa.
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 5 жыл бұрын
UTABAKI KUWA JUU, BABA!!! AINA HII NDIYO YA VIONGOZI NDIYO TUNAOWAKOSA KTK MIAKA HII, BADALA YA YAKE NI VIONGOZI UNAONA WATU KAMA WAKINA MBOWE WAKIJIMILIKISHA MALI ZA VYAMA MA KUBAKI MADARAKANI MUDA WOTE!!
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 3 жыл бұрын
2025
@eutychusthiongo1335
@eutychusthiongo1335 3 жыл бұрын
Dr Bashiru atakuwa Rais ndani ya miaka 10 ijayo
@richardsoka2400
@richardsoka2400 3 жыл бұрын
Keshakiuka ahadi yake hiyo! Mdomo huumba!!!
@justinewaziri7082
@justinewaziri7082 5 жыл бұрын
aise. huyu kiongozi atabak kuwa juu. tuna imani na ww katibu
@mwanaidizumo6364
@mwanaidizumo6364 3 жыл бұрын
M
@akwanzamtenga2174
@akwanzamtenga2174 5 жыл бұрын
Ngonjera anamdanganya nani? Eti huo ndiyo utamaduni wa CCM. Ebo
@damkanyembe5884
@damkanyembe5884 4 жыл бұрын
dokta magufuri alikuona hajakosea kwako Fanya kz unaendana na kasi yamweshimiwa
@ELLYSTVONLINE
@ELLYSTVONLINE 5 жыл бұрын
wenye akili wamemuelewa! "Tumikia nafasi uliyonayo kwa weledi bila kuwaza kwamba nafanya ili nije nipate madaraka ya juu, ukitumikia vema ulipo sifa zako zitakubeba"
@gbbuku4714
@gbbuku4714 5 жыл бұрын
Aisee katibu Umeziba pengo mpaka imekua ova halijawah kung'oka
@akwanzamtenga2174
@akwanzamtenga2174 5 жыл бұрын
Bashite je? Utamaduni wa CCM?
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 5 жыл бұрын
Utamaduni wa ccm? Mwongo!!!
@kijanaabdu7732
@kijanaabdu7732 5 жыл бұрын
Kwa nini huyu jamaa anasema maneno haya?
@mamamunira236
@mamamunira236 5 жыл бұрын
Kijana Abdu kashaona ngoma ngumu
@eddokasanga6338
@eddokasanga6338 5 жыл бұрын
Unamaanisha au ?????
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 5 жыл бұрын
KAMUULIZE MEMBE ANA MAANA GANI, NAFIKIRI YEYE ATAKUWA ANAELEWA ZAIDI! MAANA HABARI ZA WATU KUWA NA MIKIA MIFUPI MEMBE ANAZIELEWA ZAIDI.
@sophiaabeid6024
@sophiaabeid6024 3 жыл бұрын
Uko wapi sasa.msiwemnaongea.mnamaliza maneno.
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,4 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 33 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 38 МЛН
Wanachama CCM wamshukia Dkt. Bashiru
6:46
Azam TV
Рет қаралды 10 М.
HOJA MEZANI | Ufafanuzi kuhusu kauli ya Dkt. Bashiru Ally
51:07
LIVE: UN Security Council meeting on international peace and security
2:02:26
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 33 МЛН