MZEE MAKAMBA AMCHANA DKT BASHIRU MBELE ya RAIS SAMIA, "WEWE MAGUFULI ALIKUITA JEMBE, TATIZO NINI?"

  Рет қаралды 41,915

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 105
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Жыл бұрын
Watu kama kina Bashiru,pole pole na sample zingine kama izo wasichoke kuzungumza ukwel maana mnawakumbusha majukumu yao
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Жыл бұрын
Wew mzee una hof na mungu kwhy walio kufa ni wabaya au acha unafki wew
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 6 ай бұрын
Mzee mnafiki sana weweee
@bahatihaerter5651
@bahatihaerter5651 Жыл бұрын
Kwa hiyo Mkapa na Magufuli walikua wabaya ndo maana wamekufa?damu zao zina wasumbua ndo maana mnaropoka ovyo. Nchi hii ya watu fulani,sio ya watanzania wote
@lizybagamba2067
@lizybagamba2067 Жыл бұрын
Bashiru don't giveup'japo peke yetu hatutaweza...lkn M/Mungu atatutetea...songa mbele huctishwe'
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 Жыл бұрын
Ccm tumewajua watuwenu wazuri Ila sisi wazalendo Magufuli ndo mzuri kwetu
@frbm1729
@frbm1729 Жыл бұрын
Nchii imejaa wanafikiiii
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
My Brother Bashiru hicho ndiyo chama chako ulichochagua vumilia hao ndiyo CCM usichoke kutoa darasa huyo Mzee Makamba hana hoja hana Capacity thinking anafikiri watanzania wa leo ni wale wa miaka 45
@ayubufumbuka3233
@ayubufumbuka3233 Жыл бұрын
Ni Jambo la mda tu ipo siku Mungu atatupatia Magufuli wa pili nchi itakuwa salama kumchafua Magufuli sawa na kuichafua Afrika nzima maana Afrika nzima ilimtaka Magufuli
@martinkisha6307
@martinkisha6307 Жыл бұрын
Bashuru usirudi nyuma Hawa wametengeneza kizazi Chao kufaidika katika inchi hii
@alirashid3239
@alirashid3239 11 ай бұрын
NJAA MBAYA
@seifhabib5987
@seifhabib5987 Жыл бұрын
Wee Babu chunga kauli yako iyoo inamana Makufuli sio Mzur Unampangiya Mungu sio
@frbm1729
@frbm1729 Жыл бұрын
Acha kufulu za kishenzi,nyerere,mkapa na magu wamekufa in maana siyo wema?
@bunzalisisa6929
@bunzalisisa6929 Жыл бұрын
makamba kesho kufa
@frbm1729
@frbm1729 Жыл бұрын
Kizee Cha hovyooooo Hadi kichefuchefu.
@absalomnamoyo7176
@absalomnamoyo7176 Жыл бұрын
Hahahaha
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb Жыл бұрын
Kikundi cha watu kinachokula pesa ya umma bila jasho, as simple as that
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 Жыл бұрын
Nchi hii inaongozwa na unafk mwanzo mwisho
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Жыл бұрын
Mmmmmh!!!!!!!!!!!.haya.
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Жыл бұрын
Huyu mzee nae ni chefu sana
@paulkizushi1868
@paulkizushi1868 Жыл бұрын
Wasambaa bn
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
kazi ya kunguni na chawa ni kujificha kwenye koti na kuendelea kunyonya damu ..
@hadijahaji9712
@hadijahaji9712 Жыл бұрын
Kabisaa
@nyerere1259
@nyerere1259 Жыл бұрын
MNAJAMBAJAMBA TUU KUPAMBANA NA ALIYEKUFA, NYIE HAMTAKUFA.
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 Жыл бұрын
Hovyo sana
@championboy7
@championboy7 Жыл бұрын
U Doctor wa kuunga unga 🤣🤣🤣🤣
@richwaleolundenga8519
@richwaleolundenga8519 Жыл бұрын
mzee wa ovyoo huyu anatetea tu ufisadi
@chackym4416
@chackym4416 Жыл бұрын
Watu wazur hawafi?????? Dahhhhh siasa mbaya sana.
@mundalikope581
@mundalikope581 Жыл бұрын
sawa
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 Жыл бұрын
January makamba ndo naniii, mwamvuli wake ndo huu.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Kwahiyo mzee unataka kusema magufuri mmbaya ndio mana kafa? Innaalilah waina ilaih raijiun
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Жыл бұрын
Tutaona hao wazuri kama wataishi milele! Ukitaka kuruka agana na nyonga na ukitaka kusema kitu fikiri kwanza jamii itafidika vipi na semi zako.
@jamessoke4454
@jamessoke4454 Жыл бұрын
Hii ndiyo nchi pekee yenye watu wanafiki na wabinafisi
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 Жыл бұрын
Hana tena akili uyo mchukulieni tu asha kuwa mtuzima
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 7 ай бұрын
Mzee, makamba unazeeka vibaya kwakuwa hutakimbukwa kwa lolote bali kwa mabayatu ,mzee mwinyi anasema maisha ya binadamu ni hadithi
@veronicasteven
@veronicasteven Жыл бұрын
Wewe hutakufa
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 Жыл бұрын
Mzee huyuu atafakari maneno yake. Waliofariki ni wabaya nyie ndo wazuri.
@PeterNMzee
@PeterNMzee Жыл бұрын
Huyu mzee vipi tena
@richwaleolundenga8519
@richwaleolundenga8519 Жыл бұрын
mbona anapiga kampeni na kujijengea mazingira
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
PANGENI VIZURI, ILA PIA MUNGU ANA MPANGO KASHAPANGA
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 Жыл бұрын
Kabisa mdogo wangu MUNGU yupo Ana Ona
@lizybagamba2067
@lizybagamba2067 Жыл бұрын
Mzee pua yako matundu yake yameelekea Chini'Mungu huchunguza mioyo kifo chaja...
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel Жыл бұрын
Pumbavu sana eti watu wazuri hawafi
@hadijahaji9712
@hadijahaji9712 Жыл бұрын
Watanzania wanamengi moyoni mwao lakini mungu ndiehakimu wahaki
@hadijahaji9712
@hadijahaji9712 Жыл бұрын
Tutaona mengi miikaijayo
@januaryjambo5064
@januaryjambo5064 Жыл бұрын
Wazuri hawafi? Waliokufa ote ni wabaya! Ndo maana milembe ikawekwa Dodoma naomba na Tanga waweke branch
@benjamindenice53
@benjamindenice53 Жыл бұрын
Mzee nakuhelewa sana .
@rebeccamagita9174
@rebeccamagita9174 Жыл бұрын
Huna jipya mzee we tulia 2
@ayubufumbuka3233
@ayubufumbuka3233 Жыл бұрын
Niliiamimi sana CCM na rais wangu samia lakini hawa watu samia wanakuchongea na wananchi hawa ni maadui wa taifa ilitakiwa wazee hawa ilitakiwa uwang'oe uweke uweke damu changa
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Hawa watu na genge lao ndo wanataka watutawale wao mpaka wajukuu zao ili kulinda mali zetu walizozipora mama kama anajielewa awapotezee tatizo mama anaogopa yasije mkuta kama mpendwa wetu magufuli ila Allah kamsikia makamba na atajibu very aoon
@shinemakenzi8101
@shinemakenzi8101 Жыл бұрын
Kwa hakir yako mama is out of that gang none sense
@saimonwatanzaniatanzania1436
@saimonwatanzaniatanzania1436 Жыл бұрын
Watu wazuri hawafi hata siku Moja
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Mzee Makamba nakushauri ustaafu siasa au uandikiwe hotuba . Hii sio mara ya pili ulimi unateleza???
@avelinamichaelndibayukao5656
@avelinamichaelndibayukao5656 Жыл бұрын
Mtu mzima ovyo
@championboy7
@championboy7 Жыл бұрын
Ni abu kakweli anasema waziwazi kuwa ushindi n lazima
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 Жыл бұрын
Ni wakati wake bashiru kukomaa ni pito la kumnowa bashiru hili litampambanuwa yeye ni nani hasa mchumia tumbo au!
@joshuamatagane1318
@joshuamatagane1318 Жыл бұрын
Ni vema kuwa na maneno machache, kwenye maneno mengi kuna upotovu....
@mosesbarnaba7851
@mosesbarnaba7851 Жыл бұрын
Du! Watu wazuri hawafi du!
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Mzeeee kwel nakama mtoto
@bostonmatuid4708
@bostonmatuid4708 Жыл бұрын
Inchiyetu imeshahamishiwa zanzimbar munavyoivurunda itamagu yukojuuyenu
@OscarBethel
@OscarBethel 6 ай бұрын
Siunaona sasa mungu hamfichi mnafiki wanaanza kujipambanua wenyewe waliomuuwa makufuli ni wao wenyewe ndio maana wanasema watu wazuri hawafi sisi tunajuwa kizuri hakidumu wao wanageuza mada kwakuwa wanajuwa walichokifanya
@OscarBethel
@OscarBethel 6 ай бұрын
🎉HAyo yanayofa ywa na makamba Dio yaleyale yaliokua yanafanywa na mwinyi kwaajili ya watoto wao mwinyi alifanikiwa Sasa tumwangalie Mzee mkamba jeeatafanikiwa lazima uwe chawa Ili mwanao afanikiwe
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Mafisadi wote yaani mnajiona kama Nnchi ya Baba yenu 2025 umeagana na mungu utafika
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Kabisa kiukweli
@husseinmwakajinga8019
@husseinmwakajinga8019 Жыл бұрын
Mtoe huyomzee makamba hana jipya zaidi kutetea ugaliwake tu
@steventeophil7775
@steventeophil7775 Жыл бұрын
Huo ndo mwisho wa upeo wako
@aminakhalid300
@aminakhalid300 Жыл бұрын
Mamuughu kaibu kaya kwetu maa iwe, karibu sana
@PeterNMzee
@PeterNMzee Жыл бұрын
Upuuzi mtupu
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Жыл бұрын
PATACHIMBIKA NYI SUNIRINI TU, TIME WILL TELL.
@mwajumakweli
@mwajumakweli Жыл бұрын
Mmh
@MuhammedSaleh-kf2nw
@MuhammedSaleh-kf2nw 5 ай бұрын
Makufuri. Mzuri kwetu. Sisi wanyonge
@mahewasamwel9001
@mahewasamwel9001 Жыл бұрын
Kila nafsi itaionja mauti.
@jacobmwakisole8910
@jacobmwakisole8910 Жыл бұрын
Ohooo ok
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel Жыл бұрын
Mnafiki huyu mshirikina
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 Жыл бұрын
Ameongea kinyume mzee
@championboy7
@championboy7 Жыл бұрын
Kwahy waliokufa walikuw waovu? Kwel na wapumbavu wanazeeka
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Mzee wa watu angeanguka akavunjika sijui mngesema nini unamwambia apige mbio mtu wa miaka 80+
@rehemakayuga7051
@rehemakayuga7051 5 ай бұрын
Duh Kweli Pumzi Ni Kiburi
@jamesgidale7935
@jamesgidale7935 6 күн бұрын
Mama angalia si ajabu hawawatakuzunguka
@RehemaSefu
@RehemaSefu 6 ай бұрын
Magufuli
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 Жыл бұрын
Mhhhh Yaani huu mkutano Ni wa vijembe tu huoni logic.
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Hahaha uyu mzeee anajkuta naniii😅
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
MLIKUWA WAFUU WAKATI WA DR MAGUFULI, HAKIKA MH. SAMIA AMEWAFUFUA KTK UWANJA WA SIASA...MAISHA YANABADILIKA...JE MSIBA WA SIPIRIAN MSIBA UKOJE KWA SASA? MZEE KINANA NI KIONGOZI, NAPE, JANUARY, HUUWIII...MWANAHARAKATI HURU WA RAIS MAGUFULI,
@TrinaGriffo
@TrinaGriffo 6 ай бұрын
Alivo mfupi sasa 😅😅
@khamismohammed1650
@khamismohammed1650 6 ай бұрын
Wazaz wake walikuwa watu wabaya
@ignasnyembo1256
@ignasnyembo1256 6 ай бұрын
Tunasubiri vifo vyenu. Leo mzee mwinyi kafa na yeye ni mmbaya
@RobinsonKilango
@RobinsonKilango 4 ай бұрын
Wewe mzee mnafiki uliopita kipimo nchi hii umaskini ujinga na maradhi kazi hakuna Maisha magumu hotuba yako inaangamiza nchi wizi wa kuiba kula na kutangaza aliie shindwa wewe mzee ufahamu kuwa iko siku utaripa maumivu ya watanganyika
@titosanga9602
@titosanga9602 Жыл бұрын
Mzee anapalilia sembe ya mtoto ndio mana anaongea utopolo tu, kazeeka mwili mpaka akili.
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Жыл бұрын
Mbona huyu mzee anaonge Kama nguruwe? Tutaona Kama wewe utaishi milele. Bashiru yeye ni mzarendo, mtanzania halisi mwenye uchungu na Nchi yake.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 6 ай бұрын
Yote njaa na unafik kufikia had kukufuru et et wazur hawafi bado zam yako
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Ww mzee acha ujinga mbona unatapatapa ww vp kaa utulie kama ni kutuibia umesha tuibia ww vp magu alikua mbaya et daah ccm inatilisha aibu
@florinjoseph2504
@florinjoseph2504 Жыл бұрын
wazee wa namna hii hawafahi kabisa
@salehjojozi9286
@salehjojozi9286 Жыл бұрын
WEWE ULOSEMA NCHI IMEHAMISHIWA ZANZIBAR USHALEWA AW NDOMNAANZA FOKOFOKO ZENU NASIYO WEWE TUU UNANAWENZIYO MABUMBUMBU ANOTOWA NIMUNGU NA MAMARYU SAMIYA SULUHU M MUNGU KISHAMPA NA KWAULINZI ALOMUWEKEYA M MUNGU NDOMNA ADHIRIKA NA KUJICHOMOZA MMOJAMMOJA YARABI TUNAKUOMBA NA HAKUNA MWENGINE WAKUOMBW ISIPOKUWA WEWE MWENYEZI MUNGU UMZIDISHIYE AFYA NJEMA RAIS WETU AFYA NJEMA YEYE NAFAMILIYA YAKE NAWATANZANIYA WOTE YARABI NAKUOMBA UWENDELEE KUWAFICHUWA WALEWOTE WA NJE YASEREKALI NAWALOKUWAMO KWENYE SEREKALI WEWE NDOUTOJUWA VAKUWAFANYA NAUMLINDE MZEE WETU COMRED YUSSUF MAKAMBA KWAKILA LILILOBAYA NAUMLINDE RAIS WETU WA ZNZ DOKTA HUSEN ALI HASSAN MWINYI KWAKILA BAYA NAWAFEDHEHI WOTE KAMA ULIVOWAFEDHEHI KWA MAMAYETU SAMIYA SULUHU WANOTAKA KUMHARIBIYA KATIKA MIPANGO YAKE YA KUYJENGA ZNZ
@TrinaGriffo
@TrinaGriffo 6 ай бұрын
Sasa uyu mzee anaongea au anachamba
@feisalissa3009
@feisalissa3009 Жыл бұрын
Mimi nampeda sana mzee makamba , 💪💪💪💪😘😘😘😘😄🥳💉💉💉
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 11 ай бұрын
Mjinga wewe
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 Жыл бұрын
Wapo kwasababu sio wazalendo ni mafisadi kama wewe
@reubenedward4946
@reubenedward4946 Жыл бұрын
Ovyo sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
Prepare for your kids to eat ….
@husseinmwakajinga8019
@husseinmwakajinga8019 Жыл бұрын
Mtoe huyomzee makamba hana jipya zaidi kutetea ugaliwake tu
@anuaryamisi2031
@anuaryamisi2031 Жыл бұрын
Bumbuli ni kwenu lakini hujafanya chochote
@anuaryamisi2031
@anuaryamisi2031 Жыл бұрын
Mama samia ww ni mcha mungu na ujue ipo siku utakuwa kaburini na utaulizwa kwa yale yote uliyo yatenda mama fanya maamuzi yak kwa hofu ya mungu wala hutazikwa na makamba wala kiongozi yoyote mama chonde chote kuwa na hofu ya mungu cheo ni zamana tu
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
JOHN MALECELA ALIVYOPONEA CHUPUCHUPU MBELE YA IDDI AMIN | TUJIKUMBUSHE..
9:05
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
HISTORIA YA YUSUPH MAKAMBA
6:22
Davistar Media
Рет қаралды 7 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН