BASHUNGWA AMUONDOA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI, MTAALAM WA FALSAFA AKUTWA 'SITE' AKISIMAMIA..

  Рет қаралды 19,320

Wizara ya Ujenzi

Wizara ya Ujenzi

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 7 ай бұрын
Maua ya waziri Bashungwa sijayaona! Gonga like million kama umekubali alichokifanya mh. Waziri! 👏👏👏
@maximillianwilliam-n2c
@maximillianwilliam-n2c 9 ай бұрын
Hatari sana hii waziri wangu kwa nchi yetu kazi zinafanywa kifamilia ambazo zinahitaji taaluma halisi angalau umekuja baba
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 9 ай бұрын
Hii nchi inabidi ijitahidi sana kwenye miundominu ya barabara za aina zote na iwe na wataalamu stahiki. Dira ijayo izingatie hili
@willydugilo3258
@willydugilo3258 8 ай бұрын
Waziri angalia na temesa!! Kuna shida!!
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg 8 ай бұрын
Safi sana
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 9 ай бұрын
KWEL SAF SANA WAZIR
@AfricaQueen
@AfricaQueen 9 ай бұрын
Safiiiii sanaaaa fukuza hao waiziiii
@valenakomba7686
@valenakomba7686 9 ай бұрын
SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIÏI
@valenakomba7686
@valenakomba7686 9 ай бұрын
.MFUZILIE MBALI HUYO. HALAFU WSKIPEWA WAGENI WATU WANALALAMIKA. WASOME WA TANZANIA BURE SANAAA.
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 7 ай бұрын
Sio Kumuondowa Ni Kumfukuza Kazi.
@EmanuelyMbagalla-rt2vm
@EmanuelyMbagalla-rt2vm 9 ай бұрын
Wamesikia waziri anaenda, ndio wamekurupuka kupeleka vifaa na kuchimbachimba hata wasikojua watafanyia nini. Hapo rushwa na ufisadi unanukia, maana kama bajeti IPO kinachofanywa isielekezwe kwenye uhitaji ni nini?
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 9 ай бұрын
Daaah!!!😂😂😂😂😂😂😂 Aristotle kaletwa kwenye zege na kokoto! Ajabu Wallahi!
@AfricaQueen
@AfricaQueen 9 ай бұрын
😂🤣😂anajenga gorofa aristoteee😂🤣
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 9 ай бұрын
@@AfricaQueen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ChrisPA2007
@ChrisPA2007 9 ай бұрын
Aristotle anafanya Analysis site 😂😂😂
@Ally-f3h
@Ally-f3h 9 ай бұрын
Kwakweli liwale imesahurika Sana,tatizo hakuna wa kupaza sauti wabunge tukiwapa kura tu Wana hamia dar.
@bennymponzi2914
@bennymponzi2914 9 ай бұрын
Tembelea na mkoa wa morogoro hususani Ifakara to Mlimba hali mbaya sana
@bonanzamulungu7295
@bonanzamulungu7295 9 ай бұрын
Mh Bashungwa anaongea kama hataki ila ndio imeisha hiyo😅
@goodluckmacha3740
@goodluckmacha3740 9 ай бұрын
Ungeenda na barabara ya njia nne Hadi kipatimo, ni km 60 tu lakini njia imekufa hakuna msaada kabisa, wagonjwa wanateseka na maiti wanasafirishwa kwa pikipiki. Katika Karne hii kweli. Vyakula vinasafirishwa kwa malori ya wakandarasi na wananchi wanakula vyakula vimechanganyika na mchanga.
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 9 ай бұрын
Philosophy is not like that you think, this man is not a philosopher at all, this is zuga zuga mr bashungwa just ask him how many branches of Philosophy?
@allyngitu4584
@allyngitu4584 9 ай бұрын
Duhuuu kwahiyo bila kuja bashungwa ingefika mwenzi 7 toa wote
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 7 ай бұрын
Hyo mkandalasi weka ndani amekula pesa zetu,fukuza weka ndani.
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 9 ай бұрын
Tuache politik , hawa watalaamu hawawezi kufanya kazi kama sisi , hatuzipi hizi barabara vipa umbele , Engineer , au Meneja wa Mkoa hajaleta mvua huko , mvua ni jambo la asili ,hatuna mamlaka nalo, cha msingi hizo barabara mzipe kipa umbele zijengwe kitalaamu kiwango cha Lami , na miundo mbinu ya kuepusha maji kwenye barabara , badala ya kuwataka Engineers wapige kambi kwenye maeneo ya matukio .
@salummpango5250
@salummpango5250 8 ай бұрын
Hii wizara naona kama mlithi wake sasa anapatikana taratibu!! Huku ndio kwenyewe sasa!! Safi rais
@valenakomba7686
@valenakomba7686 9 ай бұрын
TUWEKEKEENI WACHINA WAKATUTENGENEZEE DARAJA LA KUDUMU. NA WEWE WAZIRI USIWAO AIBU WAAMBIE UKWELI BILA KUPEPESA MACHO.
@ZitoRamadhan-zq7mi
@ZitoRamadhan-zq7mi 7 ай бұрын
Serikali ya tanzania tukufu ikiongozwa na raisi Makini doctor samia suluhu khasani wanajua wanachokifanya ila watu wachache Wanataka kumualibia kiongozi wetu Makini Dah!!! Inauma kwakweli injinia hayupo saiti kweli sawa hiyo?
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 9 ай бұрын
Hana mzigo mheshimiwa waziri anafanya kazi kwa maslahi.anaona hakuna maslahi ndio mchezo wa hii Tz
@MussaAlly-t6m
@MussaAlly-t6m 9 ай бұрын
Dahhhhhh
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 9 ай бұрын
Huyo jamaa ALIWAHI kuambiwa na magufur kuwa umemechelewesha dalaja Lisa GN imeexpire, JPM akamwambi Ndio mama KICHWA KAMA GN😂😂😂
@tato8979
@tato8979 9 ай бұрын
😂😂
@MeshackGERD
@MeshackGERD 9 ай бұрын
Punguzeni viraka barbaran ase mpk kero 😢
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 9 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA NYUMBA ZA WATU DAR
@mapikomkindu565
@mapikomkindu565 7 ай бұрын
Bila hidaya tungejuaje
@bonanzamulungu7295
@bonanzamulungu7295 9 ай бұрын
Mh Bashungwa anaongea kama hataki ila ndio imeisha hiyo😅
@tato8979
@tato8979 9 ай бұрын
😂😂😂
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 14 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 76 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 18 МЛН
Новости дня | 13 декабря - утренний выпуск
11:46
Euronews по-русски
Рет қаралды 24 М.