Пікірлер
@LweguRutaserwa
@LweguRutaserwa 21 сағат бұрын
Excellent Job!
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Күн бұрын
Nyie mnakaa ofisini tu,Buguruni pamejengwa kivuko ila watu wanapita chini mbona kusiwe na sheria ya kuwakamata na kupigwa faini. Fuso au tandem ndio zinaharibu barabara zinabeba mzigo mkubwa sana wapunguziwe gvm
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Күн бұрын
Kwenye Component hiyo Lazima na kupanda miti kando ya barabara. hawapandi miti wala haaachi sehemu mahsusi kwa ajili ya miti kwa mpangilio zuri wakati wanajenga na ikijapandwa baadaye inakuwa hovyo na haipendezeshi mazingira au barabara
@pascal2415
@pascal2415 Күн бұрын
Hichi kitu nimejiuliza sana
@keminchawhite1809
@keminchawhite1809 2 күн бұрын
Good job
@EliaKiyaulilo-gg4cb
@EliaKiyaulilo-gg4cb 5 күн бұрын
Hongereni Kwenu,,
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 6 күн бұрын
Wamekutana wote walikuwa NECTA
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 6 күн бұрын
Huyu Mzee ni wa Elimu sana sana.
@emmanueljengo8103
@emmanueljengo8103 7 күн бұрын
Ahxante baba kwa kuliona hili viva dereva 🙏💪💯
@section8ight174
@section8ight174 8 күн бұрын
JAMANI MSISAHAU KUZIFUKIA NYAYA ZA UMEME CHINI YA ARDHI. NYAYA ZA JUUJUU NI MAMBO YA ZAMANI HAYO!!
@JohnPastory-j2dy
@JohnPastory-j2dy 15 күн бұрын
temesa wabovu sana
@DenisFelician
@DenisFelician 16 күн бұрын
Kazi nzuri Sana Serikali yangu but tunaomba Hilo eneo Serikali Kwa kushilikiana na private sector watazame namna ya kuweka mji wa kisasa kama sehemu ya kumuenzi muasiasi wa daraja hili la JPM
@jovaswai1587
@jovaswai1587 16 күн бұрын
Mradi mkubwa wa billions of dollars mnauelezea kwa camera ya simu..
@user-fl3fb5gh6b
@user-fl3fb5gh6b 16 күн бұрын
Rip jpm
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 16 күн бұрын
gooood❤❤❤❤
@josephmartin292
@josephmartin292 19 күн бұрын
Vituo vibadilishwe mjini viwe dizaini nyingine mavituo yanatia aibu
@MariaIsabel-l6i
@MariaIsabel-l6i 20 күн бұрын
Mbona ujenzi wa barabara ya mbande - msongola umesimama kwanini???je nikweli Septemba mtakamilisha???
@HajiMgwami
@HajiMgwami 21 күн бұрын
haya anayo yaongea ni mipango ya ujenzi ilipangwa auyeye anaongea maono na mipango yake, akija adhalani kuomba hayo inamaanisha kwenye vikao vya awali hawakuyapanga hao
@festokemibala5832
@festokemibala5832 21 күн бұрын
Nonachoona SGR na BRT hazikuwa harmonized ndo maana miinuko ya hivyo vivuko is too steep kutokana na ukaribu wa hiyo miundombinu. Muhimu kuvitunza no matter kuna miinuko hiyo
@theonestkibuga1900
@theonestkibuga1900 22 күн бұрын
Kigamboni mh Naibu waziri mpango wa BRT uko vipi
@user-uj8lh8fj4j
@user-uj8lh8fj4j 22 күн бұрын
Hongera kwa nama samia ila tunaelekea AFCON 27 tunaomba mchakato wa mto jangwani uanze jaman naon kila cku ni story tu
@user-uj8lh8fj4j
@user-uj8lh8fj4j 22 күн бұрын
Naibu wazir hamjafikiria kwa umakini brt ya tegeta ilitakiwa iende mpaka ya bunju kwani kule ndo kuna watu wengi
@festokemibala5832
@festokemibala5832 21 күн бұрын
Hii miradi siyo kwamba imebuniwa karibuni, hasha! Ni miradi iliyobuniwa enzi za Mzee Mkapa ikilenga kuimarisha usafiri ktk jiji la dsm na viunga vyake. Wataalam walienda kijifunzia huko nchi za Asia mashariki. Utekelezaji ndo ulianza ktk kipindi cha mwisho cha Kikwete. Maeneo uliyotaja labda ije BRT IX
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 17 күн бұрын
Kweli aseee sisi wa mabwe pande na bunju b huku ndo tuko wengi bila kuwasahau wa mbweni na mapinga
@EvaMwangunule
@EvaMwangunule 23 күн бұрын
Daraja Akuna hata taha vchekesho mama uliza taha vp miwaniyako haikuonyeshi au
@user-uj8lh8fj4j
@user-uj8lh8fj4j 25 күн бұрын
Kigamboni ni kamji fulani kazuri ila hakana barabara ilitakiwa ilivyofanywa mtoni kijichi na JPM ndo ilitakiw pia ifanywe kigamboni i mean barabara za mitaani serikali nawashaur muiangalie kigambon haina barabara nzur kila ck nikipita naon wanaziba vilaka tu
@user-uj8lh8fj4j
@user-uj8lh8fj4j 25 күн бұрын
Chalamila ni miongoni mwa wakuu wa mikoa bora kutokea dar hongera nimefufah miundombinu ya barabara wapewe sekta binafsi safi sana wazo zuri
@user-uj8lh8fj4j
@user-uj8lh8fj4j 26 күн бұрын
Tunasubir tuone maan viongoz wetu ni mabingwa wa kuongea vitendo sifuri
@dottosamsonmashine3125
@dottosamsonmashine3125 27 күн бұрын
Mzeee nakufatiria sana
@Gregoiresidehustle
@Gregoiresidehustle 28 күн бұрын
any news kusiana na maendeleo ya ujunzi wa mabarabara mkoani kigoma?
@RamsoKassim
@RamsoKassim 28 күн бұрын
izo siasa 2 iyo Barbara wwe sio wakwanza ata wenzako walima kama wwe wwe unaret stoli yakampen ,ino atufai sikioni achafanya katika uwongoz wak huu mwaka Kwa mgumu kwake
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 28 күн бұрын
Mbona Barabara ya Tabora Mbeya haiongelewi, harafu waziri unadanganya watu eti serikali inajenga mabarabara Kila Kona , acheni siasa za uongo.
@mgogoboy
@mgogoboy 28 күн бұрын
Jamani wanchi wa rindi na mtwara tusaidieni
@bongo39
@bongo39 Ай бұрын
Habari hii chanel ina nembo ya serikali nategemea kuwa labda inaweza kuwafikia wahusika wa idara husika magomeni makuti a jijini daresalaam wilaya ya kinondoni hii sehemu ni squatter ila baadhi ya wananchi wamepima na kupata hati ila sasa watu wanaonunua wanaendeleza michoro ile ile ya zamani ambayo nyumba zimejengwa kiholela hata gari ya zima moto haziwezi kupita kabisa mfano mtaa wa mchinga makuti a kuna nyumba imejengwa ndani ya eneo la barabara na hamna hata muhusika aliesema kitu miaka yote hiyo wala aliezkuzungumzia kuhusu hiyo nyumba na no ya nyumba kapewa umeme kapewa
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Ай бұрын
Mama Yuko vizuri kwenye maelezo
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Ай бұрын
Namkubali sana huyu waziri yuko vizuri kwenye majukumu yake namuomba siku moja nimuone leivu kabisa mwenyez mungu anisaidie.nimuone tu
@mduda_i
@mduda_i Ай бұрын
Iringa tunaomba barabara ya Iringa mjini mpaka Ruaha National parks. 🤲🏾
@innolee1
@innolee1 Ай бұрын
Hizi videos zingekua nzuri zaidi kama zingeonyesha maendeleo ya mradi zaidi kuliko sera za viongozi wa kisiasa
@kaminambeho
@kaminambeho Ай бұрын
Naona umetaja raisi mara nyingi kuliko walipa kodi wako ambao wanamfanya huyo raisi wako😂awe madarakani jamani jaribuni mtuheshimu walipa kodi basi dah😢
@DaudiMede
@DaudiMede Ай бұрын
Barabara ya mwendokasi kuishia DAWASA inashindwa kufikia watu wengi zaidi wanaokaa Bunju na maeneo ya pembezoni, natumai wahusika wataliangalia hilo! Maana hata sasa hivi watu wengi wanaishi maeneo ya mbele zaidi ya DAWASA
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 Ай бұрын
Barabara ya bunju kwenda mabwepande na moja kwa moja hadi kwenda stendi ya magufuri itaanza lini kuwekwa lami Hizi barabara ni muhimu na ni viunga muhimu sana kukuza uchumi wa jiji letu
@UjenziTv_
@UjenziTv_ Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/iKiYhquXfcaEgJosi=wbMSz1ONPgkFwEp4
@mwitanyantora4542
@mwitanyantora4542 Ай бұрын
Hogera jpm hukoulipo
@bongo39
@bongo39 Ай бұрын
Mama watendaji wa serikali hawapo serious kabisa na kazi zao wala hawana uchungu kabisa na miundo mbinu yetu na mengineyo mengi mama ukiangalia jiji la daresalaam mfano mdogo tuu mafuniko ya mashimo yaliokuwa barabarani wameiba mfano pale soko la kisutu kuendea city mall zaidi ya miaka 5 liko wazi pale klabu ya yangu pale kutokea daraja la kigamboni watendaji kila siku wanapita au mpaka msikie watu wamekufa hapo ndio muanze kujitokeza na amri na nguvu za soda mama hawa watendaji hawakuungi mkono kabisa wanakula kodi zetu tuu mama mchengerwa na bashungwa hivi mpo kweli fatilieni haya maeneo mujiongeze muwe wabunifu mama anapambana kila kona sasa kuna faida gani ya kuwapa hayo majukumu jamani kuna sehemu squatter mfano mdogo tuu hapo magomeni makuti kila leo watu wananunua wanajenga mbaya zaidi wanaendelea kufata ramani zilezile za squatter wanajenga sasa hamuoni kuwa badae mtaanza kulipa gharama zisizokuwa na Tija baadhi ya watendaji sio waaminifu wanachora michoro wanahalalisha na kutoa hati nendeni hapo magomeni makuti mkaangalie watu wanavyojenga wanavyotaka kwa kutumia pesa zao
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Mambo mengine yanahitaji matambiko ya watu.
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Mnamtukuza rais mno,toa pongezi kwa WaTz wanaolipa kodi mtakua mnawatia moyo
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Ай бұрын
Safiiiii
@dismasdonald745
@dismasdonald745 Ай бұрын
Hapo ndo mnapoharibu, kila kitu rais, imeshakuwa kila anayesimama kuongea kwenye kitu chochote lazma aseme mama samia! Inakera acheni
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
HUO UPIGAJI BARABARA GAN. UDONGO MTUPU
@nashonjoel20
@nashonjoel20 Ай бұрын
Hongereni Wizara na Dk. Samia kwa kazi nzuri nchi nzima. Kigoma Sasa inafunguka
@benjaminibirama6664
@benjaminibirama6664 Ай бұрын
Huo ni upigaji..... barabara haiko vzr kabisa
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Ай бұрын
Waziri, samahani janga limetokea, lakini quality(umahili) wa hiyo barabara ni mbaya sana.