BASHUNGWA AWAKA, MKANDARASI HUYU MATATANI "ASAKWE, ALIPE, ACHUKULIWE HATUA" CRB KIBARUANI..

  Рет қаралды 8,565

Wizara ya Ujenzi

Wizara ya Ujenzi

Күн бұрын

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amemuagiza Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kumtafuta na kumchukulia hatua za kisheria Mkandarasi Mohammed Ally wa Kampuni ya Sure Civil and Building Contractors Company Ltd aliyetekeleza ujenzi wa majengo katika Hospitali ya wilaya Karagwe ‘Nyakanongo’ kwa kushindwa kulipa shilingi Milioni 24.7 ya vifaa vya ujenzi alivypokopa kwa mfayabiashara licha ya ujenzi huo kukamilika miaka miwili iliyopita.
Bashungwa ametoa agizo hilo mara baada ya kupokea malalamiko hayo kutoka kwa Mfanyabiahara huyo, Abineza Ginivian wakati akikagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Mji wa Kayanga wilayani Karagwe.
Waziri Bashungwa akiongea kwa njia ya simu na Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori amemuagiza kumtafuta Mkandarasi huyo kuhakikisha analipa deni ambalo alikopa kwa mfanyabiashara huyo wakati ujenzi wa hospital ya wilaya Karagwe ukitekelezwa.

Пікірлер: 13
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 6 ай бұрын
Mh Bashungwa upo vizuri kwa maamuzi unayofanya safi sana ,yaani watu wamekua matapel sana na kujiona kua hawataweza kumfanya kitu.
@RenzoJofre-my9lz
@RenzoJofre-my9lz 4 ай бұрын
One Love bashungwa
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 6 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumushi wetu
@KatotoEvarest
@KatotoEvarest 5 ай бұрын
Ukosawa bashungwa chapa kazi
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 5 ай бұрын
Bashungwa ni bidhaa adimu sana! Anastahili kulindwa! Huyu hafanyi maigizo kama viongozi wengine walio wengi! Hata nafsi yake inaonyesha dhahiri shairi!
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 7 ай бұрын
Rwambezi wariojenga mashuri wameyenda nahera zetu tumezurumiwa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 7 ай бұрын
Namukna Ma Regina
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 7 ай бұрын
Mweshimiwa samahani Awa watu wariojenga hospital karagwe nyakanongo bashikwe bameyenda nahera zawana inshi tumezurumiwa Kila hadi wea tunakuriria mweshimiwa
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 6 ай бұрын
We ni Mtanzania kweli????
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 6 ай бұрын
Tunaomba mweshimiwa
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 7 ай бұрын
Yaani hii nchi 😂😂😂😂
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 7 ай бұрын
Namuona kashata
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 7 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA NYUMBA ZA WATU
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 619 М.
DKT. MSONDE AHIMIZA KASI UJENZI JENGO LA WIZARA
5:50
Wizara ya Ujenzi
Рет қаралды 835
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН