Pumbavu zenu kabisa yaani ishu za yanga kwenda kuwauliza mashabiki wa simba si uenda wazimu huo
@peterpain5594Ай бұрын
Kwani sisi watanzania tunatakaga nn mtu skifanya vizuri anakuwa mmbaya akifanya vibaya bado hanaonekana hafai
@chescomolla5557Ай бұрын
Kwani yanga hawana wanasheria kwanini mambo ya kisheria hadi aseme kisugu wa simba waacheni wauwane huko haya ni yao wafe nayo
@yudamanyumbu4978Ай бұрын
Mmhh sasa tangu lini huyu mwenda wazimu akaisema Yanga vzr ila nyie wana habari kumbe hamnazo kwahiyo mmepewa hela ili kutafuta mabaya ya Yanga sio poleni sana ila mjiangalie sana
@BarakaChristopher-dv4wfАй бұрын
Hapo ndo penyewe wazee wamepiga panapo uma thank you heris injinia kaajiliwe kule pamba kabula usajili ujafungwa usije ukatuaribia timu yeti ya yanga tumekugundua mapema 🤣👋
@MagrethSebe16 күн бұрын
Lhata kama hamjui kusoma hata picha hamwoni
@humphreyleodgar9434Ай бұрын
Kisugu sio mtu wa Mpira ni chawa tu
@MagrethSebe16 күн бұрын
Mpeniugunda timu jats kama hijui kudpma hats picha hameoni
@Leeeeeeee-96Ай бұрын
kisugu katega 🤣🤣🤣🤣🙌
@MKanutiАй бұрын
Akili una
@tabusalumu1061Ай бұрын
Una bundi wala nini hao wazee wa mcongo tu wala sio wanachama
@tabusalumu1061Ай бұрын
We kisugu unaota ndoto za mchana hangaikia timu yako
@RashidiAhmad-ow5fbАй бұрын
Kwani nyie makolo inawahusu nini?
@user-lx9jl7de3mАй бұрын
😊
@issackibrahim9103Ай бұрын
Mimi. Simba kwahili water wanataka.kuharbu.soka letu
@josephatkibona2814Ай бұрын
Wazee akili zao bado wamelala hawataki mafanikio nmegundua hapa tukae makini wanaenda kuivuruga timu wao hawafurahii mafanikio wanaitakia nini timu waacha mambo ya ajabu mnaonekana wa ajabu
@husseinkonz5192Ай бұрын
Magoma kawagusa kalio vibaya
@AbdulwahabAbdul-ri9glАй бұрын
Mm simba lakin kwann mambo haya yantokea ikiw smb ip vzr yang unavurugk why?
@ShukuruGerald-tc3ysАй бұрын
Wee mbwa ata mama yako alikuw mjanja akakuzaa wewe mbwa
@user-wk2bg8zf3lАй бұрын
bundi limehamia jangwani
@josephatkibona2814Ай бұрын
Huyu mzee anamatatizo aangaliwe vizur kitu gani anaitakia timu ya yanga mzee acha mambo ya ajabu fanya shughuli zako nimegundua ww mzee hutaki mafanikio unataka nini funguka kama unataka uwezeshwe mtaji sema upewe au umetumwa yawezekana mamuluki wewe