A-Z Afunguka Binti Anayedaiwa Kulawitiwa na Aliyekuwa RC Simiyu, LHRC Yaingilia Kati

  Рет қаралды 142,301

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 1 700
@denisshow522
@denisshow522 6 ай бұрын
🎉uyu Dada ni malaya.dada mwogope mungu.utamwaribia uyo kaka maisha ila unayalaani maisha yako
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 6 ай бұрын
Kumbe ni utopolo 😅😅😅
@vijenialipokele5730
@vijenialipokele5730 Ай бұрын
Mrudie Mungu dada, huyo ni shetan yupo kazn, pia huyo kaka sio yeye Bali ni shetan alikuwa anakutafta wew akudhalilshe dad
@MercySalmon
@MercySalmon 6 ай бұрын
Binti wa hovyo umeperekwa kusoma ww unafanya yoko
@YusufuMalila-b1d
@YusufuMalila-b1d 6 ай бұрын
Binti Mungu anakuona acha kuharibu maisha ya watu kwa kutumikia watu
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 6 ай бұрын
Binti huyu ni binti shetani!
@josephlorri431
@josephlorri431 6 ай бұрын
RC mbakaji
@agathanyundo6798
@agathanyundo6798 6 ай бұрын
Hivi ufanyiwe tendo la kikatili namna hiyo usahau tarehe kweli!!!???
@Pexmediatz
@Pexmediatz 6 ай бұрын
​@@agathanyundo6798Akili yako haipo sawa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 6 ай бұрын
​@@agathanyundo6798hujawahi kubakwa tulia yakikukuta ndio utajua
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 6 ай бұрын
Pamoja na kumpongeza Mhe. Rais na Jeshi la polisi. Baadhi ya mabinti wa vyuo vikuu wana tabia ngumu ngumu sana. Wanapenda wanaume wenye pesa bila kujali ni baba zao.
@angelistertarimo8215
@angelistertarimo8215 6 ай бұрын
Hakika
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 6 ай бұрын
Haswa Sasa kumbe huyu Binti alikuwa ni mtu wake Sasa amembaka vipi jamani huyu si Malaya tayari jamani , na yeye mwenyewe amesibitisha kuwa alikuwa mwanaume wake
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 6 ай бұрын
Uyu katumwa amchafue jamaa,,kwanini aingie nae kwenye mahusiano ilihali anajijua yeye Ni mwanafunzi?,uyu mwanafunzi Chenga 2
@ashangohi450
@ashangohi450 6 ай бұрын
Tatizo wanaacha kilicho wapeleka wanafata tamaaa.hv angepewa ma v8 kabla ya hiyo kitu angeongea
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Tatizo munatamaa ya pesa wewe ni mwanafunzi ilikuwaje ukawacha masomo ukafata dudu la yuyu la mtu mzima wa kumwita baba sasa hivi unamchafua na alikuwa mpenzi wako wacheni tamaa
@SamiaSebarua
@SamiaSebarua 6 ай бұрын
Pole xana ndugu,, hapa utu unahitajika xana alafu hili ulitakiwa umalize kifamilia lakini hii ni elimu pia imewafikia na wengine
@Estarr-qj1gx
@Estarr-qj1gx 5 ай бұрын
Inabidi muwe mnawalinda kufunika sura jmn
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 6 ай бұрын
Tubuni kwa Maana ufalme wa Mungu umekaribia ,YESU Anarudi
@francejuya1248
@francejuya1248 6 ай бұрын
Yesu hajawahi kuwepo, amka mtu mweusi
@viwawakkuu_dodoma
@viwawakkuu_dodoma 6 ай бұрын
Unajielewa kweli wewe​@@francejuya1248
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 6 ай бұрын
Wayahud huko ndio usiseme mashoga kibao angekuwa karud
@Mina.15
@Mina.15 6 ай бұрын
Yesu akirudi niete jimbwa koko 😂😂😂
@theodorythobius3965
@theodorythobius3965 6 ай бұрын
Ameen❤❤
@CassianFabianKakobe
@CassianFabianKakobe 6 ай бұрын
Can we come to meet
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 6 ай бұрын
KESI IPELEKWE MAHKAMANI UKWELI UJULIKANE HAKI IPATIKANE
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 6 ай бұрын
Sahihi kabisa
@MamboKifunda
@MamboKifunda 6 ай бұрын
Very right
@victoriagasper4478
@victoriagasper4478 6 ай бұрын
Mmmmmmhh
@ballackmasungura6753
@ballackmasungura6753 5 ай бұрын
Mwongo wew
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 6 ай бұрын
Kwa maelezo ya huyu dada anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo,,,,,ni bwana Nawanda tu, amekutwa na dhahama!!
@graceruvugo610
@graceruvugo610 6 ай бұрын
Kabisa
@fredmatata8688
@fredmatata8688 5 ай бұрын
Can we come to meet!!!😀english is englishing here
@AMOSSILYVESTER
@AMOSSILYVESTER 6 ай бұрын
Mama nae ni malaya anazibitisha kuwa umefilwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 6 ай бұрын
Huyu ni binti sio mama na ni mzoefu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 ай бұрын
NI kweli kabisa.uko Ndani damu yao😅
@mariammmbaga976
@mariammmbaga976 6 ай бұрын
@@Aziz-p6s like mother like daughter
@Anton-t5c2w
@Anton-t5c2w 5 ай бұрын
Pamba nia haki yako hii nchi niya kipuuzi
@EdwardMaziku-td2li
@EdwardMaziku-td2li 6 ай бұрын
Huyu msichana ni muongo sana kuna jambo lipo limejificha maana toka mwanzo ni mpenzi wake,kwa fikira zangu walishindana tu kwa pesa aliyotaka na ndiyo maana akamugeuzia kibao mkuu wa mkoa na wanafunzi wa chuo ndivyo walivyo tania zao .hivyo muheshimiwa raisi alilichukulia haraka hili jambo kwani wengine wanatumwa na watu kumuharibia mtu.kwa maoni yangu muheshimiwa raisi wetu murudishe kazini nakuomba sana .asante
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 6 ай бұрын
We akili huna chukulia angekuwa dada yako au mwanao katendewa haya ingekuwaje? Acha ujinga
@EdwardMaziku-td2li
@EdwardMaziku-td2li 6 ай бұрын
@@sir_ENOCKMACHA we ndiye mjinga na mpumbavu usijua hata kumusikiliza mtu alichoongea pia hata hujui chochote baadhi ya wanafunzi wanayofanya,(wee mjinga nikuulize,alipelekwa chuo kusoma au kufanya mapenzi ?)maelezo yake yanaonyesha ni mwingi wa habari tokea mwanzo
@matallahkhamis9579
@matallahkhamis9579 6 ай бұрын
Dada au Mwanangu anaongea huu uwongo anastahili​@@sir_ENOCKMACHA
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 6 ай бұрын
Pia amepokea 10ml..Mama yake kapokea 3ml. Pia anasema aliwahi kufanyiwa na kijana mwenzake enzi za Balehe,Mama akayamaliza
@judicalosika7642
@judicalosika7642 6 ай бұрын
ATENDEWE!!! KITOKEA WAPI. Katoto.kashenzi kabisa haka, " alikuwa na mahusiano naye..." Hovyo kabisa​@@sir_ENOCKMACHA
@AbdallahShaweji-c7r
@AbdallahShaweji-c7r 5 ай бұрын
Ulikuwa na mpango wa kumharibia mwenzako kaz
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 6 ай бұрын
We mtoto umejiingiza mahali pagumu ambapo hujui mwanzo wake na mwisho Mungu ajuaye yote akusaidie na hata hyo mkuu wa mkoa alyesimamishw kazi Mungu amsaidie na familia yake maana hili pito ni gumu mnoo
@kokusimabayona4179
@kokusimabayona4179 6 ай бұрын
Hii issue ni kubwa sana...huyu binti aisee ajilinde tu mwenyewe maana
@samwa9496
@samwa9496 6 ай бұрын
Hili ni shushu limetumwa tuliosom Cuba tuelewa
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 6 ай бұрын
Mkuu wa mkoa ni raia tu kama raia wengine acha kumtisha binti.
@samwa9496
@samwa9496 6 ай бұрын
@@YusuphMwangobola simtishi angekubali kuanikwa sura kama mabanda ya uwani yamebomolewa huo uzushi haoni haya aseme alikuwa mpenzi wake na alitaka fungu kubwa akalikosa ndipo akaamua kumuanika cheza na watoto wala bangi la Arusha
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 6 ай бұрын
Namba za simu zinaweza kufuatiliwa Ili kudhibitisha hayo anayo yasema maana walikua wakipigiana simu
@kulengwamabula9508
@kulengwamabula9508 6 ай бұрын
Kunakitu hakipo sawa hapa
@omarymwenda1146
@omarymwenda1146 6 ай бұрын
Mwalimu Nyerere alisema ukipewa kazi ya Nchi ni lazima UJIHESHIMU, Ingawa hii issue ni very complicated so tusihukumu, TLS na LHRC mnafanya kazi nzuri sana. Tusubiri hatma ya Mahakama.
@SayyidAhmadBaalawy
@SayyidAhmadBaalawy 6 ай бұрын
Unaona wanafanya kazi nzuri kweli?? Atakapo potezwa huyu mschana ndio utajua kazi nzuri wanayo ifanya hawa watu ni wahuni sana mwanasiasa na mwana sharia wote niwatu wasio aminika. Mamake mwenyewe akipewa hela alikua akipokea nahakutaka kujua binty yake alipata wapi. Sasa ukiambiwa ana ukimwi ndio utajiona ukicho kifanya kilikua tamaa yako imekuponza
@leonardmabula9472
@leonardmabula9472 6 ай бұрын
Je huyo Mtuhumiwa alipataje namba ya Simu?, Kiukweli hata mimi bado najiuliza kama alikopi Barua na asijue inamaana gani?,Kwani anasoma chuo gani? Huyu Binti minions anajichanganya naomba afuatiliwe vizuri kwa security yake chunguzeni na Justice ittendeke Mungu ameshuhudia kilichotokea na Kama amepewa pesa kumchafua Kiongozi Mkuu alive aminiwa na Mh.Raisi ila naomba Mungu attended haki udanganyifu iwebatiri
@leonardmabula9472
@leonardmabula9472 6 ай бұрын
Pia naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vilichunguze hili yeyote akibainika yuko nyuma ya hili umayyad ufahamishwe nasheria za nchi zifuatwe ilatusisahau tunaelekea kwenye uchaguzi Mungu atuongoze tufike salama
@emmymossesngaswaga
@emmymossesngaswaga 6 ай бұрын
kiswahili kingi huyu mtoto anaonekana mtundu huyu mtoto😢
@raymond5175
@raymond5175 6 ай бұрын
Ni mpenzi wake, ameingia mwenyewe kwenye gari tayari ni mapenzi ya hiari hayo mengine ni kuharibiana maisha
@PatrickMaboko
@PatrickMaboko 6 ай бұрын
Huyo dada nimuongo,nanimuhuni.
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 6 ай бұрын
Huyu nae anatakiwa akamatwe na mke wa mkuu wa mkoa kwa kuzini na mume wake. Shenziiiii
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 6 ай бұрын
Amelazimishwa huyu
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega 6 ай бұрын
​@@ayoubmtumishi50kivipi kwani alifatwa chuoni kufanyiwa hivyo Binti mwenyew SI ndo alienda Kwa Rc na mahusiano kwanin aliyakubal na yey ni mwanafunzi
@Namtumbo
@Namtumbo 6 ай бұрын
​@@ayoubmtumishi50alienda kufanya nne fundisho kwa mabinti
@josephlorri431
@josephlorri431 6 ай бұрын
RC mbakaji
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 ай бұрын
RC c mbakaji huyo alisha liwa nyuma na w kwnza mku w mkoa n pili huyo n mzoefu,jambo gan we n x y pil,nyuma huyo alokula nyuma w kwanza, mbona humtaji we hii n dunia
@SalimuShaibu-p8p
@SalimuShaibu-p8p 6 ай бұрын
Mabinti mimi kuna binti alishaambiagwa na binti kua namtaka namsumbua ,baadae akasema anamimba yangu hao ndio wanawake
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 6 ай бұрын
WAKILI TV NIMEFURAHI SANA KUWAONA KAZINI. TETEENI WATANZANIA WANAONEA DAY N NIGHT😢😢😢
@JumanneNditi
@JumanneNditi 5 ай бұрын
Wa hovyo.
@victoriampunza1016
@victoriampunza1016 6 ай бұрын
Ogopa sana vitoto vya efu mbili😂😂😂 havikawii kukuharibia kazi
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 6 ай бұрын
Kwani huyu dogo alikutana wapi na Rc kama sio Rc kumfuata
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 6 ай бұрын
Anajiuza huyu​@@kefamwakipesile275
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing 6 ай бұрын
Hahahaaaa
@angelistertarimo8215
@angelistertarimo8215 6 ай бұрын
Balaa.na milioni kumi juu bado kimekomaa huku nyumbani kunanuoa shida
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 6 ай бұрын
​@@kefamwakipesile275mwelewe huyo mtoto asema alikuwa mwanaume wake harafu akagombana ,baada ya hapo alipo pigiwa Tena sm akakubali kwenda akijuwa rc amebadisha mawazo ya kuto taka Tena mkundu, huyu Binti yeye alikuwa alishakubali kuwa naye Kwa jili ya kugombana tu , Sasa huyu si Malaya km Malaya wengine kabakwa vipi
@JulietaCosmas
@JulietaCosmas 6 ай бұрын
Acha umalaya soma uwe na maisha yako acha kumwalibia kaz mwanzio
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 6 ай бұрын
Wallah mungu anakuona wewe binti
@estergeorge1557
@estergeorge1557 6 ай бұрын
Utandawazi huuu Mungu tusaidie
@damiankageba77
@damiankageba77 6 ай бұрын
Ni upuuzi uliopitiliza
@amaniamani6391
@amaniamani6391 5 ай бұрын
Udhalilishaji wa Hali ya juu huyu amtafute Mwanasheria adai fidia ya udhalilishaji
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 6 ай бұрын
Hivi kwanini IGP hajawapandisha cheo hao polisi wa Mwanza kwa kufanya kazi ya kizalendo?
@briankatani6770
@briankatani6770 6 ай бұрын
Wakuu. Wa mikoaaaaa Hahahaaa.washitakiwe na yule aliyemsaidia
@JosephKangungu
@JosephKangungu 6 ай бұрын
Habar imetengenezwa
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 6 ай бұрын
Hakika
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 6 ай бұрын
Walichokifanya Ni majukumu yao na police wote wanatakiwa kuwa hivyo.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 6 ай бұрын
Ulipo amua kuwa na uhusiano na mume wa mtu ulikua na Nia gani? Unajiaibisha Bora ungetulia Sasa kila mtu anajua kua ushapitiwa huko!!
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 6 ай бұрын
Mama umejitahidi. Kumureport huyu jamaa umewasaidia wanawake wengi pengine hata watoto. Hongera dada
@rachelsam8912
@rachelsam8912 6 ай бұрын
Kiingereza chenyewe anaongea broken, but kama ni kweli Mungu akusaidie
@akwilaisseri5312
@akwilaisseri5312 6 ай бұрын
Total broken 😂
@edithandunguru3405
@edithandunguru3405 6 ай бұрын
​@@akwilaisseri5312 Hata Kiswahili tu ni shida
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 6 ай бұрын
Kingeraza shida sana. Aoge kiswahili tu😅😅
@Darian2550
@Darian2550 6 ай бұрын
Ni first year bado...
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 6 ай бұрын
Hata kiswahili chenyewe broken,eti alfajil,unavofkilia,kusogerea
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 6 ай бұрын
Hana ukweli huyu dada
@justinealistides5146
@justinealistides5146 6 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema utusamehe sisi tulio dhaifu na kwa haki yako utuponye.
@hamidahmed392
@hamidahmed392 6 ай бұрын
Daaa
@hamidahmed392
@hamidahmed392 6 ай бұрын
Mmmmm
@NathanMwandiga
@NathanMwandiga 6 ай бұрын
Huyu binti dhambi itakukula kumbe ushafanyiwa awali na mwingine ww ni mzoefu umemuharibia kiongozi bure kabisa
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 6 ай бұрын
Ajifunze lugha fasaha... Hiv ndo nini👇 Haskali Lock city Cctv kamela Nashkulu Talatibu 😂Nimeisoma Balua
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 6 ай бұрын
kwenda zako malaya ww kumbe ulienda mwenyewe ulijua unaenda kusuka au wewe inaonekana ulikua unampa siku zote sema kwa sababu mmegombana Ndio unataka kumkomoa kwenda zako uko Yani mpaka Nauli umetumiwa halafu unasema Nini wewe ulitaka mwenyewe sasa ivi eti samia akusaidie akusaidie Nini yeye Ndio alikutuma uende au Nenda zako endelea Nahiyo tabia yako2
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 6 ай бұрын
Kwani kuwa na mahusiano na mtu ni dhambi? Kutumiwa nauli ni dhambi? Kosa ni kumwingilia kinyumbe na maumbile mtu
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 6 ай бұрын
Ni dhambi ndio,kwani wameoana!?,we hujui kua kuzini Ni dhambi???
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
​@@anodearsulusi7536 Kwani alimchoma sindano ya usingizi alipokuwa anatiwa nalo nyuma kwa sababu tuangalie yy alitoka akaako mpaka akafika kwa muheshimiwa na akamvulia nguo si kutaka huko au alimkuta njiani akamtia na nguo zake aibu mambo mengine
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 ай бұрын
​@@anodearsulusi7536siangekataa
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 6 ай бұрын
bora umenisaidia kumfahamisha huyu
@dawoodtekakie4012
@dawoodtekakie4012 Ай бұрын
Can we came? Mh huyu hata kizungu hajui anajidai kuzungumza 😊
@peterlyimo6696
@peterlyimo6696 6 ай бұрын
Unaingiaje mahusiano na mume wa mtu tena mwanafunzi wa mwaka wa kwanza?
@worldherotv
@worldherotv 6 ай бұрын
Kama unavyona
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 6 ай бұрын
Dini inamruhusu kuongeza
@charlzmboya
@charlzmboya 6 ай бұрын
0:19 ​@😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊worldherotv
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 6 ай бұрын
Mbaya ni mwanamume kwa ninu asitulie na mkewe mpaka anarubuhi mtoto wa chuo si angeenda kwa magumegume
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 6 ай бұрын
Binti karubuniwa mubaya ni mkuu wa mkoa wa simuyu mtu mzima anarubuni mtoto wa chuo amfire wewe kama mzazi utamlaumu mwanao au hilo lifilaji
@saadakombo4090
@saadakombo4090 6 ай бұрын
mabinti wa chuo wengi ni makahaba,mwenyez mungu atusaidie.
@hamisidale2704
@hamisidale2704 6 ай бұрын
Umelalamika kinyume na maumbile ingekuwa kawaida na maumbile tusingekusikia!
@StevenLyimo-u4y
@StevenLyimo-u4y 6 ай бұрын
Anatafuta ada huyo mwaka wa kwanza tu shida je akihitimu
@bahatimashauri3945
@bahatimashauri3945 6 ай бұрын
Tusingesikia maana c alkuwa mtu wake ko walishakulana Sana ko mzee baba aliamua abadili kwingne baada ya kufanya Sana mbele
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@bahatimashauri3945
@OthiamboMgovano
@OthiamboMgovano 6 ай бұрын
Af et hajawahi kusex nae 😁😁😁
@sabinasabinam-e1z
@sabinasabinam-e1z 6 ай бұрын
Amesema nimpenzi wake
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 6 ай бұрын
Toka hapo mjinga wew kazi yako nikutoa tigo
@0maryMuna
@0maryMuna 6 ай бұрын
Kaongo hako
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 6 ай бұрын
Muongo hasa katimwa huyu
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 5 ай бұрын
Hii ni kuhaliniana tuu Wala hakuna jingine😂😂
@matukutajuma156
@matukutajuma156 6 ай бұрын
HE! SIKIO LA KUFA MTUHUMIWA KAAHIDI ML5 KWA MAMA KAINGIZA ML3 BANK PILI YAELEKEA MLALAMIKIWA KALETA ZARAU POLISI! ILA BINTI MZOEFU!! NA KAPANGWA!!
@subirajohn728
@subirajohn728 6 ай бұрын
Inawezekana kabisa!
@ZephaniaMwailugula-l2d
@ZephaniaMwailugula-l2d 6 ай бұрын
Mbona hata sura mbovu haka kabinti
@johanessmwitamwita1723
@johanessmwitamwita1723 6 ай бұрын
Mmmmh jmn huyu binti anatumiwa kwa jinsi navyijua tz kwa issue kama tayri alishapotezwa siku nyingi huyu anatumika tuuu sio yy
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 6 ай бұрын
Nikweli kbs
@JosephKangungu
@JosephKangungu 6 ай бұрын
Kweli huyu mhhhh hakuna kitu.
@StevenLyimo-u4y
@StevenLyimo-u4y 6 ай бұрын
Delila huyo
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 6 ай бұрын
kweli kabisa haka kabinti hata maongezi yake hakielewi kanatumika haka
@rebecapaul3339
@rebecapaul3339 5 ай бұрын
Shenz malaya mkubwa ww utalipiwa hapa hapa dunian
@HappyAgilityPuppy-lg8wg
@HappyAgilityPuppy-lg8wg 6 ай бұрын
kwa sisi' tulio soma quba tushaelewa hyo 😂 huyu dada kwakifupi RC alikuwa mtu wake sawa na hako kamchezo huwa nikao au au hyo dada alisha zowea Kuliwa nyuma asa wamepishana tu mambo Frani au Kafikwa bei na mahasimu wa RC so kaamua kumgeuka mwenzie, nahili gemu linawadau we wengi wanajua hata akipmwa atakutwa hana malinda so it's true. but kes hii wakikabiziwa polisi makini watabaini kitu
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 6 ай бұрын
Iwe alifanya kwa hiari , au kwa lazima , ila kwa vile amesharipoti hiyo ni kesi kama kesi nyingine
@George-jz3jg
@George-jz3jg 6 ай бұрын
Upo sahihi
@George-jz3jg
@George-jz3jg 6 ай бұрын
Namchukia huyu binti kwasababu ameshindwa kumsitiri mama yake ameamua kumudhalilusha na mama yake kifupi amekosa busara kwasababu hayo mazingira yeye ndo aliyaanzisha
@user13375
@user13375 6 ай бұрын
@@George-jz3jg kamalaya kubuu
@WaziriAbdallah-vr4xg
@WaziriAbdallah-vr4xg 6 ай бұрын
Hicho kitoto huu ndo mchezo wake ila ukikaangaria ni.kama.hakapo.sawa inabidi atafutwe mtu wa kumuweka sawa pili tamaa hivi vibinti vya 2000
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 6 ай бұрын
Kumbe alikuwa mpenzi wako tu wa siku zote....Alafu uliitwa na nauli ulipewa ukajipeleka
@vero57
@vero57 6 ай бұрын
Hawa wanafunzi wana acha kusoma wanaaza mambo ya matusi mapemaa!!! Ovyo sana , eti mausiano wewe ndiyo kilocho kupeleka shule??? Alafu unatembea na mme wa mtu, na wewe kiongozi acha kutu alibis watoto tafadhali!!!!
@SalimuShaibu-p8p
@SalimuShaibu-p8p 6 ай бұрын
Mzoefu wakufirwa
@kirotostima
@kirotostima 6 ай бұрын
Shenzi kabisa kaongo kweli kashazoea kuliwa tigo haka
@jesusismyeverything1630
@jesusismyeverything1630 6 ай бұрын
Mungu ambadilishe , ni muongo Ni tabia yake
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 6 ай бұрын
Huyo muongo hujielw
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 6 ай бұрын
sana hiki kibint kiongo kinavoonekana alafu hakina hata haya wala hakikui vibaya viwani kama kobe kishetani hiki
@MfaumeIbrahim
@MfaumeIbrahim 6 ай бұрын
12:57 13:00 13:01
@AmimIigeni
@AmimIigeni 6 ай бұрын
huyo Binti anachangamoto ya akili apimwe Kwa maelezo yake
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 6 ай бұрын
Huyu binti hadanganyi kabisa, ana uchungu moyoni na she is very brave kucome public. Watoto wengi wa kike wanafanyiwa huu unyama kwa sababu ya umaskini tu. Jaribu kufikiria angekuwa binti yako au mdg ako. Stop this . Nyie ndio sababu watoto wanalawitiwa na kukaa kimya kuohopa watu msio na imani nao kama ninyi . Jamii ibadilike 🤬
@magallahramadhani8762
@magallahramadhani8762 6 ай бұрын
Boss mkuu mama yako
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 6 ай бұрын
Ameenda shule au kaenda kutafuta wanaume?Wasichana wengi wanatabia hii kutafuta wababa wenye pesa wakati wazazi wao wanafikiri wako chuo wanasoma​@@tunsumegideonmwamboneke9639
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 6 ай бұрын
Acha ujinga
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 6 ай бұрын
@@tunsumegideonmwamboneke9639 point
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 6 ай бұрын
Namba za simu na mawasiliano yatadhitisha haya mambo yatajulikana
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 6 ай бұрын
Kufanyiwa kwa mara ya kwanza kwenye gari sio kweli. Ulishindwa kumng'ata na kumparua. Yaan utoe tako kabisa bila mapambano. Mi angeniua kabla ya kunila tako. Tena kwenye gari. Mdogo wangu kuwa mkweli acha kutuzungusha.
@barakaalecnathaniel3716
@barakaalecnathaniel3716 6 ай бұрын
Kazoefu haka
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 6 ай бұрын
Hivi vitoto jamani mtu ana miaka 21 anakuwa na uhusiano na mtu sawa na baba yake
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Alimpa sasa hilo dudu la yuyu lilichana nguo itakuwa alivaa chupi na nguo zake nyingine labda aliwekea dawa ya usingizi kwenye drink ndio akatiwa
@williammbwambo79
@williammbwambo79 6 ай бұрын
Amepangwa
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 6 ай бұрын
Haya ndiyo yanayoendelea kwa watoto wetu wanapokuwa vyuoni .​@@williammbwambo79
@tagomshana4032
@tagomshana4032 5 ай бұрын
Kwaiyo Binti umeamua kujidhalilisha kumbe ulianza zamani nimatendo yako
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 6 ай бұрын
Hana cha maana anachokieleza ni upuuz mtupu2,njaa mbaya sana,kumbe mtu alikua mtu wako na unasema alikua na tabia iyo kwanini usingemkataa moja kwa moja,,unaenda kupokea apology kwani mmeo huyo??,mjinga sana.acheni umalaya kaeni darasani msome
@isakaonehealthdigitallabor8630
@isakaonehealthdigitallabor8630 6 ай бұрын
Huyu demu malaya mbaya zaidi alivyo mjinga baada ya kufilwa kwa maelezo yake alitoka rock city eneo alipokua amepaki Gali jamaa na kumfila Kisha kwenda nyumbani nyezi hostels kwake suala la kwenda police alienda kesho yake baada ya mama yake kumshauli aende police so nijinsi Gani ukiweka doti unaona kabisa demu alinogewa kifilo kwanini asingeenda Rock City Bank hapo mbele kuna askali muda ota wange mkamata jamaa hapo hapo usiku huo huo but isitoshe baada ya yote jamaa alituma watu 3 wakamuita hotel akaenda tena s msenge huyu demu alafu vingereza feki vingi mjinga mkubwa huyu mapumbu ya shangazi yake.....na akome kumuomba Rais wetu akusaidie muache Rais wetu atutaftie maendeo watakatifu wewe kaendelee kuuza mkundu mbwa huyu....eti nilipewa barua nikaikopi na kuweka Dole gumba PUMBAVU ZAKE
@MariamLigoha
@MariamLigoha 6 ай бұрын
Upo wapi Kwani, kunywa soda kabisa nakuja kulipa, mitoto ya siku hizi hovyo sana
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 6 ай бұрын
Jinsi ninavyonikera kama ningekuwa jilani ningedili nae
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 6 ай бұрын
@@rogerabdallah439 mnamtetea nawanda mnamjua ? Uliza graduates wa sua 2010.
@ericfelician7996
@ericfelician7996 6 ай бұрын
Hahaha matoto mapuuzi haya ,acha lifirwee
@charlessheks7166
@charlessheks7166 6 ай бұрын
Nalimiwani lako ukoapo unaharbu maisha yamtu..
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 6 ай бұрын
Kila siku mnaambiwa vitoto vya afu 2 sio hamuelewi,,, ona sasa kimemramba RC mstaafu.
@BakariMakame-j5f
@BakariMakame-j5f 6 ай бұрын
Tuna hangaika kulipa kodi musome yani world on fire
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 6 ай бұрын
Kazinzi haka😂😂 Mwaka wa kwanza chuo,kana miaka 21 kameshaanza kuchukua waume za watu...tumuiteje kama sio mzinzi...acha ball itembee.
@EdinaLaulent
@EdinaLaulent 6 ай бұрын
Kapumbavu Malaya mkubwa wewe unamharibia mwenzio maisha kumanina ingekuwa Mimi wewe Malaya wewe
@victoriagasper4478
@victoriagasper4478 6 ай бұрын
Kaongooo haka
@JohnShileMunisi
@JohnShileMunisi 6 ай бұрын
Nyie mlirushana siyo kweli.
@NamalaPothino
@NamalaPothino 6 ай бұрын
Naomba uchunguzi wa kina ufanyike ,duniani kuna mambo mengi mno
@titongholo6261
@titongholo6261 6 ай бұрын
Napata mashaka makubwa sana na maelezo ya huyu binti. Hivi kwa kitendo cha kuingiliwa kinyume ni rahisi hivyo kama anavyoeleza. Kama ni kweli Mungu anajua
@gracemwailima1780
@gracemwailima1780 6 ай бұрын
Hata mm sielew elew huyu bint yuko timamu kwel
@bonyngoyindengoyinde6139
@bonyngoyindengoyinde6139 6 ай бұрын
Uyu n mzoefu na mhuni tu!😅
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Watt wetu hamuendi kusoma munafata mengi huko nje wazee wanahangaika kutafuta ada kama hamuwezi kusoma muolewe tu musiwapotezee wazee wenu pesa zao za mikopo wazazi tuna mikopo kila cona tunasomesha hatari hii
@georgeanyosisye2182
@georgeanyosisye2182 6 ай бұрын
Mshenzi huyu kwanza jinga hata kizungu anachoongea kinaonesha serikali inapata hasara kama kapokea bumu.
@KALEGORAJABUMBEHO
@KALEGORAJABUMBEHO 6 ай бұрын
Pole
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 6 ай бұрын
Hayo ni mapenzi yenu kwa nn uje kuyatangaza huku kwenye mitandao na kama ungekua hujakubali ungevunja hata kioo cha gari yaonekana ulikubali sema hajakufanya yale mliokubaliana ndio maana umekuja kumuanika huku
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 6 ай бұрын
Kabla hujahukumu angalia age difference. Unadhani kwa nini huyo mhe. Alijialini kufanya aliyofnya tofauti na makubaliano naye. Intemidation is real. Hayajakukuta pia yakikukuta ndio utaamini.
@wisemaliva5376
@wisemaliva5376 6 ай бұрын
Anaoneksna mzoefu na Mambo ya sodoma
@alphonceluzigashija
@alphonceluzigashija 6 ай бұрын
Mhhh " can we come to meet " 😢😮 ila sishangai mana anajifunza ndio mana like like nyingi ila angeeleza kwa kiswahili tu fasaha mbwembwe nyingi kajisema mzee you know know wakati ulaya kwenyewe hujaenda😂.
@kimwerihamza4152
@kimwerihamza4152 6 ай бұрын
Tuliosoma cuba tumeshamuelewa huyo binti,mwanafunzi wa chuo anashindwa kutamka maneno ya kiswahili,tumuogope mungu kwenye kufitini
@RahmaAbuubakar
@RahmaAbuubakar 6 ай бұрын
Kabisa
@alinanusweosward-ov2nq
@alinanusweosward-ov2nq 6 ай бұрын
Yaaan bint anajikanyaga na kiingereza kingi ,mabint wa sample hii wa hovyo sana na always wanajifanya wajuaji sana na nadhani wapelelezi watafanya kazi Yao kujua nn na vip ilikuwa
@mpindafamily1496
@mpindafamily1496 6 ай бұрын
uyu dada ni muongo sana.autafika kwa mungu.unamsingizia mtu mwenzako kweli
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 6 ай бұрын
Kwanza nimuulizw ilikuwaje mpk akawa na mausiano na mkuu wa mkoa akat wauni kinao tu wa lika lake? Aka nikamalaya
@simonzelote5998
@simonzelote5998 5 ай бұрын
Sasa kama mmechukua 13000000 mnataka nini tena huyu dada dah nimekuogopa kidogo
@user13375
@user13375 6 ай бұрын
RC arudishiwe u RC wake tuu😮😮
@SamwelSimon-tf6oo
@SamwelSimon-tf6oo 6 ай бұрын
Rc anyongwe
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 6 ай бұрын
sana mana haka kabinti sikielewi kinaongea upumbavu gani ?
@FatmaLyego
@FatmaLyego 6 ай бұрын
Huyu binti ni muongo kabisa
@danielmgomo717
@danielmgomo717 4 ай бұрын
Kabinti ndio kanyongwe hakana akili.​@@SamwelSimon-tf6oo
@missarepafra3973
@missarepafra3973 6 ай бұрын
Haki ITENDEKE
@shabanirashidi2486
@shabanirashidi2486 6 ай бұрын
Shetani ibilisi tokaaa ,uyu dada Ata ongea yake anamchoma muheshimiwa hiv hiv dah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 6 ай бұрын
Kama alimfira kwanini asimseme?
@MamboKifunda
@MamboKifunda 6 ай бұрын
Nyinyi sijui mpoje...mnamponda huyu dada ila ipo siku yatawarudieni na nyie...
@AbdallahShaweji-c7r
@AbdallahShaweji-c7r 5 ай бұрын
Namba yàko
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 6 ай бұрын
Uyu Dada kajieleza Vizuri kabisaaa tuache maneno ya ajabu Hawa watu ndo michzo yao hapo wanajiongezea vyeo na pesa kuingia kwa wingi, Sema ili liwefunzo kwa wadada wanaopenda pesa Sana, pole Sana mdogo wangu Mungu akusimamie.
@sakinayahya78
@sakinayahya78 6 ай бұрын
Wanajuana ni mtu wake
@EmanuelMandoo
@EmanuelMandoo 6 ай бұрын
Hapo kametumika kisiasa
@JescaMarco-g5t
@JescaMarco-g5t 6 ай бұрын
Yamkini umefanyiwa kweli,ila kwanini uliacha kilichokupeleka shuls na kuanza kuingilia ndoa ya mtu? Acheni ujinga
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 6 ай бұрын
Pumbavu mnapenda ngono mno majbu yenu ndio hayo mnapenda maisha rahisi kwa kuuza miili yenu sasa mnalia nn hao mabinti wanaoenda wenyewe nao wapewe adhabu pia tofauti na wanaokamatwa kwa nguvu.
@EsterKiyabo
@EsterKiyabo 6 ай бұрын
Kweli
@musamwaifwani
@musamwaifwani 6 ай бұрын
Mhhhhh... Huuu uchafu sasa dawa yake ni kutubu na kutokurudia.. Kuanzia binti na wote tunaomkosea Mungu kwa mambo ya kipuuzi....
@JumaMukhtar
@JumaMukhtar 6 ай бұрын
Kamesema kalianza kufirwa toka kapo form two kumbe kazoefu kasitupotezee muda😢
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 6 ай бұрын
Haswa Malaya huyo asipotezee muda watu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 6 ай бұрын
Haswa Malaya huyo asipotezee muda watu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 6 ай бұрын
Wanaume Huwa mnajitafutia wenyewe matatizo ,cheo chako kikubwa waenda pata zahma Kwa mchafu huyu Binti mnyooo wa chooni huo
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 6 ай бұрын
Waandishi wae wanamhoji mtu kabla il wabaini KULIKO kumalizia watu bundle na kuwachafulia watu!
@Lifebeaconuplift
@Lifebeaconuplift 6 ай бұрын
Wapi amesema kwamba tokea form two
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 5 ай бұрын
😢Hata ivyoo sio vyema kumtoa hadharani kiivyo. Mnamdhalilisha haipendezi. Mngemtoa sauti au avae nikabu usoni.
@shabanirashidi2486
@shabanirashidi2486 6 ай бұрын
Ata kilivyo vaaa tu kimepangwa
@PaschalMagesa-j7l
@PaschalMagesa-j7l 5 ай бұрын
Eeeh c mnataka mabwana wenye magari
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 6 ай бұрын
Mamayako nae tunamfunga kwakosa lakupokea rushwa mana umethibitisha hapa wewe mwenyewe
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 6 ай бұрын
Umeonaeeeh mshenzi huyu mtoto umelaya wake unamfanya mpaka hamuonei huruma mamaake.
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 6 ай бұрын
Sahihi mtowaji na mpokeaji wote ndani na mtenda kosa mwanafunzi kwenda gest
@SamwelSimon-tf6oo
@SamwelSimon-tf6oo 6 ай бұрын
Mama yako akamatwe haraka sana
@FatmaLyego
@FatmaLyego 6 ай бұрын
POLISI MCHUNGUZE HILI KWA UMAKINI HUYU DADA NI MUONGO TU. TUKIO KUBWA KAMA HILO ANASAHAU VIPI?
@saidlindi9619
@saidlindi9619 6 ай бұрын
Wenye D mbili lazima wajue huyu dogo kapagwa kumuharibia mheshimiwa,,,anag'ata maneno tu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 6 ай бұрын
Angalikuwa ni mtoto wako angaling'ata nini badala ya maneno!
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 6 ай бұрын
sana kang'ata maneno kaongo haka
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 6 ай бұрын
POLICE waendelee kukulinda sana maana hali sio nzuri ninavyoona... Hongera Sana ulinzi na usalama wa Tz.
@faiditv5535
@faiditv5535 6 ай бұрын
Huyu bint alindwe
@jacksonmutasingwa1283
@jacksonmutasingwa1283 6 ай бұрын
WEWE BINTI MAISHA YAKO MBONA NAONA YANACHANGAMOTO SANA KUMBE HIII NI MARA YA PILI!!😢 ILA NA WEWE UNAONEKANA UNAPENDA MASEBENE!....PUNGUZA UTAKUFA MAPEMA! MUNGU SIMAMIA HILI JAMBO!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Hivi ni kweli kalawitiwa mbona kama siamini hii siyo mambo ya Siasa kweli
@titongholo6261
@titongholo6261 6 ай бұрын
Ni mambo ya Siasa
@damiankageba77
@damiankageba77 6 ай бұрын
Ni kapuuzi sana haka kadada
@reubenblackwell8401
@reubenblackwell8401 6 ай бұрын
Mwanaume yeyote awezi kumuomba mwanamke yeyote mapenz ya kinyume na maumbile kama hawajawahi kuwa wapenzi,
@marymanoni5536
@marymanoni5536 6 ай бұрын
Ulipata wapi no ya mkuu wa mkoa ulipata wapi mtoto mdogo mbona wa kawaida sn dd jamani mbona unajiaibisha ,tuone uwo muamala
@kokusimabayona4179
@kokusimabayona4179 6 ай бұрын
Ila this generation.....🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 6 ай бұрын
Kachafu sn kahovyo mno Malaya huyo yeye mwenyewe si alisema alikuwa bwana yake kwahiyo km asingefilwa wangeendelea kutombana , unajiabisha tu
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 6 ай бұрын
Huyo mwongo tu alipangwa ni kamchezo!​@@ziadasalimu1730
@marymanoni5536
@marymanoni5536 6 ай бұрын
@@ziadasalimu1730 yani kamejiaibiaha sn waache kujipendejeza kwa viongozi na kujipitisha pitisha ovyo aàaaa wanatuaibisha watt wetu htr
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 6 ай бұрын
Je angetombwa kawaida isingekuwa ugomvi
@jumakilongo-qz1jb
@jumakilongo-qz1jb 6 ай бұрын
Ulisikia maumivu kwani club hiyo ilifanya maajabu, na mbona kujipeleka kwanini usisamehe na vingapi umekula vyake?
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 6 ай бұрын
Pole msichana siwezi kukuhukumu maana sikuwepo unapofanyiwa hayo
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 6 ай бұрын
Kwasababu confidante hana ata kama kuna ukweli lazima tuwe na wasiwasi hajiamini
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 6 ай бұрын
Wewe binti pia ni mshenzi ,kumbe ni wazinifu toka zak hapa ,haya pia huna ,uso kavu kama kauzu ,muongo mkubw wewe ,
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Professor Jeffrey Sachs + Q&A | Cambridge Union
1:21:40
Cambridge Union
Рет қаралды 765 М.
Fahamu Namna ya Kupata Dhamana ya Polisi
21:48
WAKILI TV
Рет қаралды 192
🔴LIVE:  Makamu wa CCM Bara  Steven Wasira Akipokelewa Dodoma
1:24:45
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН