Mapigano ya Israel na kundi la Hisbollah sio sahihi waweke mpango mezani na wamalize tofauti zao maana watu wasio na hatia wanakufa ovyoo
@stevenjackson498518 күн бұрын
Nyie mnazungumzia Israeli tu kusitisha mapigano bila kujali nani alimchokoza mwenzake. Hezbollah mbona hamwaambii kuweka silaha chini na kujisalimisha?
@FilbertRobert-e4uАй бұрын
Duuuh! Ni hatari kuna nchi sitafutwa
@PeterMassami-w5uАй бұрын
Mapigano ya Israel na kundi la Hisbollah sio sahihi waweke mpango mezani na wamalize tofauti zao maana watu wasio na hatia wanakufa ovyoo