Hofu ya Vita yatanda Mashariki ya Kati

  Рет қаралды 102,444

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 167
@ShegaShegalo
@ShegaShegalo 3 ай бұрын
❤❤❤❤ ibrahimu yupo vizuri naamechambua vizur bila kuelemea upande wowote hongera sana
@AhmediKilingamoyo
@AhmediKilingamoyo 3 ай бұрын
Hongerenisana lakinipia Hongera kaka Ibrahim
@ShetuiStephen
@ShetuiStephen 3 ай бұрын
Vita hivi ni maandalizi ya vita ya tatu ya dunia lkn bado mpaka kwanza kanisa linyakuliwe, maana baad ya kanisa kunyakuliwa na Bwana Yesu Kristo,kutafuatia dhiki kuu.
@NeemaHamissi
@NeemaHamissi 3 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi Yesu yuko karibu
@lifardKombolela
@lifardKombolela 3 ай бұрын
mimi nipo tayali kupgana kwajili yawapalestina
@living_creature99
@living_creature99 3 ай бұрын
Wahi sasa maana nafasi ni chache 😂😂
@CragyMsuyer
@CragyMsuyer 3 ай бұрын
Tupo pamoja
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 3 ай бұрын
​@@CragyMsuyerMagaidiiii
@SaneMwezi
@SaneMwezi 3 ай бұрын
😂😂​@@living_creature99
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 ай бұрын
​@@living_creature99😂😂😂😂
@kwadumikomaenterprises1131
@kwadumikomaenterprises1131 3 ай бұрын
Ibrahim mungu akulinde sana kaka
@HafidhjumaJuma
@HafidhjumaJuma 3 ай бұрын
Ibrahim mchambuzi bora na mfatiliaji
@ridhiwankanjoe2078
@ridhiwankanjoe2078 3 ай бұрын
Safi sana Ibrahim rahbi umewachana vizuri sana hasa huyo mtangazaji wa VOA,alitaka kupenyeza propaganda zake hapo nawakati tumeona wauwaji wa Israel walivyo chezea Kichapo kama mbwa mwizi MEDIA za magharibi na washirika wake siku hizi watu tumeshaamka sio kama zamani.
@ntibanyurwadjuma4722
@ntibanyurwadjuma4722 3 ай бұрын
Yaani Kaka mi na wewe kipindi tumekielewa vizuri umeona alivyotaka kumnyamanzisha kaka Ibrahim ils Ibrahim kakomaa aise next kipindi Ibrahim awepo Jamali pls VOA
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 ай бұрын
Huyo yeye anaangalia bbc
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 ай бұрын
Shukran sana bro
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 ай бұрын
Ibrahimu shukrani kwakuwa mkweli na mwazi kwa hao wafuasi wa Israel. Uko vizuri kwakweli
@wakujawakuja310
@wakujawakuja310 3 ай бұрын
Ni mtu na nusu
@DeborahIrakoze-dz6mc
@DeborahIrakoze-dz6mc 3 ай бұрын
Neema ya amani duniani eeh Mungu Baba.
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 3 ай бұрын
Toka lini Mungu akawa baba yako. Utalaaniwa wewe.
@ZachariaalexanderMakanza
@ZachariaalexanderMakanza 2 ай бұрын
Na kwa kweli marekani inachangia sana kureta vurugu duniani. Mm napenda utulivu Dunia nzima
@AbdallahSalum-vi3tw
@AbdallahSalum-vi3tw 3 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ... KAMA ISRAEL ITAPIMA KUJIBU BASI IRAN PIGA BILA KUONA HURUMA.ZILE SILAHA NZITO ZITUMIKE SAWASAWA NI JIHAD .TAFADHALI SANA.
@kibokokabisa5246
@kibokokabisa5246 3 ай бұрын
Ukosahihi tukopamaja
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa kaka maneno yako.
@ZachariaalexanderMakanza
@ZachariaalexanderMakanza 2 ай бұрын
Naongea Toka tanzania
@AbelKasalampepo
@AbelKasalampepo 3 ай бұрын
Mungu wa Israel awasaidie
@ibrahimayoub8972
@ibrahimayoub8972 3 ай бұрын
anae itwa pr. hajui hata kuongea, anangata maneno kulinda asiwakosee mabwana zake, haongei ukweli. hongera sana ibrahim umejitahidi kuongea ukweli.
@seifmasoud3061
@seifmasoud3061 3 ай бұрын
Prophesna huna maana hujui kuongea au unajipendekeza kwa Marekani na israil makafiri wenzio
@YahyaIddi-vd4su
@YahyaIddi-vd4su 3 ай бұрын
Marecan ya mjua vizurii hahaha muweza
@abdinasirissack1357
@abdinasirissack1357 3 ай бұрын
Hmjmbo voa swahili pa moja na citizen wetu na pia azam tv 📺 nawa salamia nyinyi nyote hii nasikia sauti y ma ndugu bmj murihi n pia kaka sauti nyoro rooro abdu shakuur abuud hii viita y m shariki y kati ata enea majiraani wote kea ville usi ongoojee ye amani na utulifu ukiwa we hutaaki amaani asanteeni voa swahili
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 ай бұрын
Hacha iunge mbona wao wanaungana israeli ❤❤❤❤israeli ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@maulidympembeta6045
@maulidympembeta6045 3 ай бұрын
Dada mtangazaji umetokea kunivutia mno namna unavyoongea lugha adhimu ya kiswahili lakini pia sauti Yako tamu mno inavutia sana . Aisee! Kongole dada yangu
@ZachariaalexanderMakanza
@ZachariaalexanderMakanza 2 ай бұрын
Kwa sababu inawaonea sana wapatestina ,na huko rebanon
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 3 ай бұрын
Vita zitaendelea ikiwa muisrael hataondoka kwa ardhi ya mpalastine vita zitaendelea na hakutakuwa na amani duniani hatuwezi kunyamazishwa na magaidi waisrael na wamarekani
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 3 ай бұрын
Wanauwezo cs n taifa la mung mkisem marekankwn marekan n mungu
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 3 ай бұрын
Ongereni
@NatusJames-k9i
@NatusJames-k9i 3 ай бұрын
Mhhhh kimbembe.....!
@NdayishimiyeERickson
@NdayishimiyeERickson 3 ай бұрын
Tulisha juwa. Leta zingine habari
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 3 ай бұрын
Mungu ibariki Israel
@issadassa6668
@issadassa6668 3 ай бұрын
Kwalipi
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 3 ай бұрын
Walipigwa sawa sawa na Iran
@MzeeOsama
@MzeeOsama 3 ай бұрын
Kwahiyo marekani wavouawa wapalestina kwa ni sawa
@shabaniselemani6425
@shabaniselemani6425 3 ай бұрын
Awajanasa atakombora moja yairan
@actormkoma
@actormkoma 3 ай бұрын
Umejuaje wewe
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 3 ай бұрын
Kwani hatuoni?Kama wamenasa ni kidogo TU.Sehemu kubwa makombora hayakunaswa.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 ай бұрын
Umoja wamataifa mauongo tu tanzania hana vifa vikupinga nibunduki namabomu tu katiba yaovyo umoja wamataifa ukowapi
@ZachariaalexanderMakanza
@ZachariaalexanderMakanza 2 ай бұрын
Kusema kweli mm naichukia sana Amerika na lsael kwa vitendo vyao vya kuongea mataifa mengine duniani
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 3 ай бұрын
Mwisho wenu umefika uraaaaaa
@KenethSanga
@KenethSanga 3 ай бұрын
Hivi ilan Kwa Nini wanagombana na mungu waache mara moja.
@ZanzibarOrchestra
@ZanzibarOrchestra 3 ай бұрын
😂
@WillySonny-u1k
@WillySonny-u1k 3 ай бұрын
Ww ndio nyoko mpumbavu usie elewa, Mungu ndo nan hapo wew mpuuz
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 3 ай бұрын
😂
@chachamturi259
@chachamturi259 3 ай бұрын
Hongeren sana wachambuzi mmechambua Safi sana bila upendeleo pongezi kubwa kkwaleoieende kwa lmchambuzi Ibrahim. Naitwa chacha mturi. Natokea Sala last. Dar les Salaam,Nawatakia kazinjema
@numberoneselectedfromgod
@numberoneselectedfromgod 3 ай бұрын
Ok
@JacobLopeyok
@JacobLopeyok 3 ай бұрын
Unapopigana na Israeli, kumbuka unapigana na Mungu mwenyewe maana ili ni taifa la Mungu.
@MjInsightMedia
@MjInsightMedia 3 ай бұрын
I wish you included me in this analysis
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 3 ай бұрын
Ibrahim rahbi wewe ni muumini wa kweli siyo mnafiki umesema ukweli bila uoga Allah akuhifadhi Allah akuridhie pepo ya firdasi bila hesabu.hakuna mtu mbaya duniani kama watawala wa marekani.na hakuna nchi Dunia nzima inavunja amani duniani kama marekani ni adui wa Dunia nzima.utawala wao niwavita Kila siku hawataki kuona nchi nyingine zina rasilimali hata kidogo.mungu siyo mjinga kutoka neema kwa Kila nchi.wanaona Raha watoto wawatu wakiuwawa je wangeuwawa wakwao wangesema vita iendelee?
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 3 ай бұрын
Anacho sema kaminey ni kweli marekani ndio kichocheo cha vita vyoote dunian.
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 3 ай бұрын
Wenye akili timamu ndio wanaelewa maovu ya marekani kwenye hii dunia. Ni marekani huyuhuyu alivoona Korea kaskazini wanajiimarisha kijeshi wamarekani wakaanza kelele na kusema Rais wa Korea kaskazini ni Gaidi wakati mtu yupo kwenye nchi yake na anaimarisha jeshi lake. Kiufupi wamarekani ndio wamwagaji wa damu ulimwengu mzima
@ntibanyurwadjuma4722
@ntibanyurwadjuma4722 3 ай бұрын
aise km Luna Siku nime enjoy VOA Léo aime enjoy, kipindi kimeanza Lini? Huu Mchambuzi ktk Tanzanie next kipindi awepo Jamani. ktk Athens
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 ай бұрын
Nchi tatu wanaishambulia israeli hamseni wakipigwa elishababu mnasema mlekani israeli❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@ZachariaalexanderMakanza
@ZachariaalexanderMakanza 2 ай бұрын
Na pia marekani iache kabisa kujiunga mikono Israel na kuchochoa uchokozi kwa nchi nyingine
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 ай бұрын
Israel haiwezi kuyakabili
@SelesitinCheketela
@SelesitinCheketela 3 ай бұрын
Mimi namptetea islael nimbalikiwa
@AbdallahSalum-vi3tw
@AbdallahSalum-vi3tw 3 ай бұрын
IRAN PIGA ISRAEL NA ATAEMSAIDIA. A MAN IS DECISION. USIACHE NAFASI AMANI ITAPATIKANA UKIMPIGA.
@gefreymtalo5613
@gefreymtalo5613 3 ай бұрын
Mafuta yapo tz / Kenya/ Uganda/ hata zanzibar yapo kila inchi ichimbe Mafuta [ hii hali mpaka lini ? ]
@FilbertRobert-e4u
@FilbertRobert-e4u 3 ай бұрын
Yetu machooo😂
@ZachariaalexanderMakanza
@ZachariaalexanderMakanza 2 ай бұрын
Ukweli Israel inastahili kupigwa Tena bila huruma
@JohnEugeni-f8m
@JohnEugeni-f8m 3 ай бұрын
Uislamu ni sura mpya tu ila kiukweli islael hakuwahi kukaa kirafiki na mataifa hayo ya mashariki ya kati tangia mababu zao manabii Daudi alipigana na wapelestina,yoshua alipigana na wapelestina na manabii wengi walipigana na hao waarabu kilichotokea watu walewale wamevaa vaz jipya linaloitwa waislamu lakin ni mataifa yaleyale yakipagana katika sura mpya Kwa kifupi waislael watashinda Kwa kuwa hapo ni kwao na Kwa mababu zao hawana eneo lingine la dunia
@77r34
@77r34 3 ай бұрын
Huu ni mwisho WA duniaaa
@gefreymtalo5613
@gefreymtalo5613 3 ай бұрын
Irani / teherani / Iraq/ misri zinaingia vipi kwenye vita kama pale mwanzo hawahusiiki ?
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 3 ай бұрын
Achen ushabik wachambuz
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 3 ай бұрын
Ha ha haa mmechemka Ibrahim kawashida
@borntolearnaway
@borntolearnaway 3 ай бұрын
VOA wnaogopa kuweka mambo wazi 😂
@seifmasoud3061
@seifmasoud3061 3 ай бұрын
Mtangazaji unaogopa kufukuzwa na washirika wa israil mbona ukimkatiza habari Ndugu Ibrahiim
@SelesitinCheketela
@SelesitinCheketela 3 ай бұрын
Hiyovitapaka yesuaje
@nyagorioerick5439
@nyagorioerick5439 3 ай бұрын
Bwana,vita Iran na wenzake wakiamua kushambulia mbaka hizo meli za marekani zitakimbia au kuangamizwa so marekani watapata hasara kubwa Sana.unchanja wao WA kuwauwa viongozi kagunduliwa bro.
@MgishaBoaz
@MgishaBoaz 3 ай бұрын
Hao waarabu hawatakiwi kupewa uhuru sana maana hao huwaza mabaya siku zote haitakiwi wakae salama ili wasijipange zaidi ni kuwa zohofisha kila wakati. Ndio maana Marekani na Israel imesha wasoma vizuri hao makafiri wa kiarabu😮😮
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 3 ай бұрын
We ni fara,Bado una minyororo ya ukoloni akilini mwako.Hujui historia ya kuanzishwa kwa Taifa la Israel,taifa lililokubali ushoga kisheria.Pia hujui historia ya Dunia, historia ya utumwa, ukoloni na Ukoloni mambo Leo.Nenda ukasome na ukafuatilie mambo ujue ili uache ukenge.
@MgishaBoaz
@MgishaBoaz 3 ай бұрын
@@SwedyMohamed-vt5zm Israel haijawahi kuharalisha ushoga ila waarabu mambo ya ushoga ndio yamekisiri kwao. arafu wewe istoria hujui soma biblia utaelewa kasome vizuri
@AzizaHussein-wq8ql
@AzizaHussein-wq8ql 3 ай бұрын
​@@SwedyMohamed-vt5zmaende kwa p did uyo
@CharlesModest-dl6pp
@CharlesModest-dl6pp 3 ай бұрын
Huu ndio wakati wa kumaliza Iran.Iran ikipigwa mashariki ya lakini itakua salama. Iran hawezi mziki wa Israel na Marekani kama vita ikitokea. Sadaam ili shambulia Israel alicho kipata anajua mwenyewe.
@alisalimo2861
@alisalimo2861 3 ай бұрын
wacha unazi ww profesa hapo An apigana mmarekan
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 3 ай бұрын
HAWA WAARABU NI WABAYA SANA WANAPENDA VITA NA KUMWAGA DAMU SIJUI KWA NINI WANAJUA KABISA ISRAEL NI TAIFA LA MUNGU LKN WANAZIDI KUSHINDANA NAO!!!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
MBONA MUNGU HALILINDI 😢😢😢😢😢MASHOGA NDIO WANALILINDA MWISHO WAKE UNAKARIBIA
@StephenKimondo-qw3et
@StephenKimondo-qw3et 3 ай бұрын
Kwa hiyo wewe kwa kuwa sio Mwisraeli ni taifa la Shetani? Acha kumeza mambo bila kutafuna. Hakuna Mungu anayehalalisha umwagaji damu wa watu wasiokuwa na hatia: wanawake, wazee, na watoto. Mataifa mengi duniani yanailaani Israeli kupitia Umoja wa Mataifa (UNO) kwa mauaji ya watu wasiokuwa na hatia, unadhani hao wote ni wajinga. Fikiri mara mbili my friend.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
@@StephenKimondo-qw3et HIYO KWA WAGALATIA INAITWA COLONIAL MENTALITY WACHUNGAJI WETU WAMETUPIGA BAO NA TAIFA TEULE AMBALO HALIJAFIKISHA HATA MIAKA 💯🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
😂😂😂alafu fatilia history kafiri wewe nani anae penda vita vita yote ya middle east unajua nani alie anzisha or unasema tu, jiulize Syria, Iraq, Taliban, yemen, libya, Japan aliepiga bomu la nuclear, jiulize nani alienda kuvamia Vietnam alafu useme ni muarabu uyo au ulikua kijijini umenza kufatilia habari juzi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
@@MohamedAhmada-ie7ke VITA YA DUNIA NA UTUMWA KWA MIAKA ZAIDI 400 MAGONJWA WOTE NI WAZUNGU JAMANI WAGALATIA NA BADO WANATUITA MANYANI HATA UKIWA MCHUNGAJI NI NYANI TU 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 3 ай бұрын
Mungu wa israel alal wal asinzii atamlinda km anavyomlinda
@ZanzibarOrchestra
@ZanzibarOrchestra 3 ай бұрын
Unamzungumzia mmarekani au mungu wake yupi?😂
@AggreyLugano
@AggreyLugano 3 ай бұрын
Indeed israel is a tough country. As small state as it is being attacked by countries and big economies surrounding it but they unable to defeat it.
@ahmedsaidbachuba2398
@ahmedsaidbachuba2398 3 ай бұрын
Ibrahimu ume chambua lakini maelezo mengine sio sahihi, marekani si mafiki anaonyesha upande,irani nai israel hawana tofaut wote wauaji,irani anataka kueneza ushia ambavyo ushia hauna tofauti na itikadi na islael , na hawezi kushinda Vita hiii wote mashetani, watakao shinda wata toka maka na madini huko saudia
@Zanzibardadju
@Zanzibardadju 3 ай бұрын
😢😢 habari za hasubuhi? Mm naona kma Israel wanauwa wananchi wa Irani SSA Irani ifanye hvo kwao. Uchungu bin uchungu
@JumaSemindu
@JumaSemindu 3 ай бұрын
Kila kombola lilinaswa kwa plopaganda Israeli mko vzr kama mna uwezo kivita mbona hammalizi zaidi ya mdomo tu
@AbdulRahim-f4g7y
@AbdulRahim-f4g7y 3 ай бұрын
Iran mbn hujaishqmbulia
@henrypambisa5483
@henrypambisa5483 3 ай бұрын
Mimi naona ujinga wa izail kujiona ni bora kuliko wengine
@issadassa6668
@issadassa6668 3 ай бұрын
Kwanini Israel inapigana pigana kilawakati Israel inakasoro niwachokozi sana nahili litakua anguko lake
@ShetuiStephen
@ShetuiStephen 3 ай бұрын
Ninyi mnaosema Ibrahim hana upendeleo,kwenye uchambuzi hivi wakati ule jeshi la wapalestina lilipo vamia Israel na kuua waisrael na watanzania wenzetu mbona hamzungumzii huo uuaji ,Hata huyo Ibrahim kwa wakristo pia anaonekana kuwa na upande
@shabaniselemani6425
@shabaniselemani6425 3 ай бұрын
Mnafichaficha Upwell vibaraka wa wasenge
@MonaMbalike
@MonaMbalike 3 ай бұрын
Wakati huy marekani ndio mchochez WA siku zote yaan marekani n ndumi la kuwili
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 ай бұрын
Huwo ndio ukweli wenyewe
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 3 ай бұрын
Ibrahimu nani alianza kumshamburia mwenzake tangu awali...hata vita iendelee mpaka leo?
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 3 ай бұрын
Nduguyangu Israel inauwa Raia wa Palestine hata kabla wewe hujazaliwa lakini media za Magharibi hazionyeshi ukweli. Walichofanya hamas ni kisasi tu
@gefreymtalo5613
@gefreymtalo5613 3 ай бұрын
Sio mpango wa hamas kuanzisha hii vita bali umoja wa inchi fulani ambao kila inchi inarusha Makombora Israel sio kila kitu utakikuta darasani bali hata kwa macho vinaonekana
@amaskaisimbi9130
@amaskaisimbi9130 3 ай бұрын
Nafikilia we ni islam, ukisema hamas, ezebora... sio magaidi hum😂, nilifikilia uko mwelevu kuona mbere but na,.kwanini msiongelee mambo yanatutatiza Africa, mambo ya warabu hayatuhusu sisi. Africa tuna mambo magumu mengi yakuongerea yanatuzingatia.
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 3 ай бұрын
Gaidi ni muyahudi maana anaua hadi watoto.
@amaskaisimbi9130
@amaskaisimbi9130 3 ай бұрын
@@saliminyusuph6122 ,wa toto wa islael waliwuawa October 7 wawo sio watoto? Kwanini hamfikilie kama werevu? Mjinga hata akisoma badoo nimjinga hata ukimuelezea haelewi. Kwasababu Palestinian ni wa kanisa moja na nyie ndo hamutaki kujua ukweri wamambo. Hakuna mwenye amezaliwa kuwuwawa , awe muislael ama Palestinian ama mwafurika, lakini ukiwuwa familia yangu mwanzoni utagalamia consequences. So think before you talk make sure you know the whole truth don't just talk without do research yourself that's wise advice for you all.
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 3 ай бұрын
Aslimia 90 ya makombora yalilenga shabaha na kusababisha uharibifu mkubwa,
@SandeMoshi-yu4tb
@SandeMoshi-yu4tb 3 ай бұрын
Mtangazaji hapo rekebisha kauli yako Israel haipambani na makundi ila inapambana na wapigania haki.hao wanataka haki ya Palestine iliyozulumiwa muda mrefu ..ila Dunia hawataki kuweka hili suala wazi hivo mzozo hauwezi kuisha hadi perestina iwe huru na maeneo yake
@JamesMtewa-i8g
@JamesMtewa-i8g 3 ай бұрын
Profesa Monda njootu ulime mihogo kihonda uku
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 ай бұрын
Zipigwe tu kwani vp kila mtu atakufa ata uyo netanyahu atakufa tu siku moja so vita iendelee tu
@AyubuRashid-j7g
@AyubuRashid-j7g 3 ай бұрын
Poa tu babu wazichape tu
@AzizaHussein-wq8ql
@AzizaHussein-wq8ql 3 ай бұрын
😂😂😂😂 kassim umejichokea zako😅
@modestaemanuel6355
@modestaemanuel6355 3 ай бұрын
Netanyahu ni man of War.sasa Netanyahu hawexi kuzima chochote.wacha vita vipigwe tu, hakuna kitu kibaya kama kuingilia uhuru wa watu kwa njia za hitikadi za kidini, eti mwanamke asiendeshe gar8 mwanamke asifanye kazi ofisini mwanamke asifanye kile na kile na kile
@BekaKanyori
@BekaKanyori 3 ай бұрын
Hayo yote tatz makekan yan angepatikana mtu akaipiga malekan tu
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 3 ай бұрын
Nani ataweza mmerekani ni muhuni
@ZanzibarOrchestra
@ZanzibarOrchestra 3 ай бұрын
​@@jacksonamos2008hata muhuni ana muhuni mwenziwe alie mzidi.
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 3 ай бұрын
Mda utaongea 2 tunawasubili mjib
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 3 ай бұрын
Wairani na Wapalestine ndo binadamu Waisrael sio binadamu
@sarrgodanaguyo3892
@sarrgodanaguyo3892 3 ай бұрын
Kwani mungu ni ya israel pekee israel zita chomeka siku karibu kwa idinillah
@nassorabdallahomar8526
@nassorabdallahomar8526 3 ай бұрын
Mm nikotayari kisaidia israel kupigana kwani nitaifa la mungu
@MgishaBoaz
@MgishaBoaz 3 ай бұрын
Kumbe tupo wengi waarabu sio watu ukiwapa nafasi na uhuru wana jipanga kuleta fujo duniani
@seifmasoud3061
@seifmasoud3061 3 ай бұрын
Unao sarport israil wewe ni msenge unafirwa hao wenzio kuma wewe watu wanauwa watoto na wanawake na watu wasio hatia unaunga mkono wewe mfirwaji kumamamako mbwa wewe na wazee wako unaonekana wewe unapatikana kwakufirwa mamako
@seifmasoud3061
@seifmasoud3061 3 ай бұрын
​@@MgishaBoaz...kila anaesa unga mkono wauwaji na wasenge nae ndio hapohapo na wewe kumamamako mkundu wewe unaona raha watoto wetu arobaini kuuawa wewe mtu au mbwa??
@seifmasoud3061
@seifmasoud3061 3 ай бұрын
Nyote munao unga mkono israil mambwa kumamazenu
@kolisonkolison3681
@kolisonkolison3681 3 ай бұрын
@@seifmasoud3061 UNAWEZA KUJIFUNZA CHOCHOTE KUTOKA KWA YEYOTE.
@ahmedsaidbachuba2398
@ahmedsaidbachuba2398 3 ай бұрын
A
@DuuSaid
@DuuSaid 3 ай бұрын
Inaonekana Haina uwezo wakulinda anga yake kwasababu irani imepitiliza kupita kwenye anga ya israil majumba mengi ameyawacha na kutunga anapotaka irani nakufanikiwa🤓
@seifabdul7153
@seifabdul7153 2 ай бұрын
Si Israel ni IDF yahud ambae ni mhamiaji wao wanawafukuza wenyeji
@suhadsalim5528
@suhadsalim5528 3 ай бұрын
Kajibiwa vizur voice America😂😂😂 na propaganda zao
@jacksonmollely7133
@jacksonmollely7133 3 ай бұрын
Kumalamanazenu wachambuzi
@JumaMwalim-xi3en
@JumaMwalim-xi3en 3 ай бұрын
Asalam alaikum hii nivita ya tatu ya Dunia
@gibsonmkusa154
@gibsonmkusa154 3 ай бұрын
Natanyau is not health for middle east peace
@shabaniathumani6273
@shabaniathumani6273 3 ай бұрын
Ibrahim hilo jina wajua asili yakeee? usilitumie hili jina kutetea magaidi ka aliyejiita IBRAHI rais, oleee
@NdigaWilkinson-rm4pq
@NdigaWilkinson-rm4pq 3 ай бұрын
Ufumbuzi wa mgogoro wa siku kati ya Israeli na ulimwengu wakiarabu utapatikana tu Marikani mshirika mkuu wa Israeli atapo kubali kufanya hivyo.
@IbrahimOmary-d5f
@IbrahimOmary-d5f 3 ай бұрын
Hakuna mtu yeyote atakaye wafumba kinywa Israel maana hawajui wanachokifanya lait wangejua wanacho kifanya wangeomba msamaha Kwa Israeli ,maana ukimgusa Israel umemgusa MUNGU ayewaumba kumbuka taifa lakwanza kutengeneza makombora ni Israel kutafuta ushindi zidi ya Israel nikutafuta AIBU.
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 3 ай бұрын
Puguza ujinga ww soma vzuri
@dreamleague-uq2gx
@dreamleague-uq2gx 3 ай бұрын
Jidanganye ww 😂😂😂 hakuna taifa la mungu hapo. Izraeli ndo taifa la kwanza kusapoti ushoga, izraeli ni taifa kiyahudi[kizayuni] dini inayopinga zaidi ukristo kwao wao hawamueliewi kabisa yesu. Wao yesu ni mtoto wa haramu na hawamuelewi kabisa. kwaiyo wewe jidanganye tuh endelea kusapoti hao mashoga 😂😂😂😂
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
😂😂😂unatakiwa ukapimwe milembe
@ZanzibarOrchestra
@ZanzibarOrchestra 3 ай бұрын
​@@dreamleague-uq2gxumejitahidi kumpunguza ujinga lkn ndo starehe yake utamfanya nn?😂
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 3 ай бұрын
EE MUNGU ENDELEA KUIPIGANIA ISRAEL
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
Kama Mungu marekani ndio tayari anaipigania ila Mungu alieumba hii dunia hawez fanya hivo
@AzizaHussein-wq8ql
@AzizaHussein-wq8ql 3 ай бұрын
​@@MohamedAhmada-ie7ke😂😂😂👏✌
@princematumbo
@princematumbo 3 ай бұрын
David huna ujuwalo, umeulizwa Israel itaweza, unajibu marekani
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Duniani Leo
29:40
VOA Swahili
Рет қаралды 7 М.
Duniani Leo
29:46
VOA Swahili
Рет қаралды 39 М.
President Ruto gobbles Ksh. 500 million in State House renovation
6:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 53 М.
OPERESHENI YA KUWASAKA  WAASI DRC CONGO
8:27
VOA Swahili
Рет қаралды 440 М.
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 10 М.
What is happening in Southern Azerbaijan? | Documentary
18:53
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН