Рет қаралды 50,042
Goma DRC: Juhudi za kidiplomasia zinaendelea kujaribu kuleta mapatano na kukomesha mapigano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa DRC, ambako waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji wa Goma na wanaripotiwa kuelekea kusini kutwaa maeneo zaidi. Rais Tshisekedi ameahidi kwamba vikosi vyake vitaanzisha mashambulizi makali dhidi ya M23 - na kuongeza kuwa jumuiya ya kimataifa haichukui hatua za kutosha kuwakomesha waasi hao.