Rastafari wa Mwanza wamfanyia ibada maalum hayati rais John Pombe Magufuli

  Рет қаралды 9,814

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

''Kwetu yeye ni kama nabii Yohana''
Jamii ya Rastafari wa Mwanza wamefanya ibada maalumu ya kumuombea hayati Rais John Pombe Magufuli wakisisitiza alikuwa ni shujaa na mtetezi wa wanyonge.
Vilevile wamemuombea Rais mpya Samia Hassan Suluhu hekima ya kutimiza kwa ukamilifu na uadilifu majukumu yake na kuendeleza mema yote yaliyoachwa na mtangulizi wake.
#burianiraismagufuli
#ripmagufuli
#burianijpm
#magufuli

Пікірлер: 32
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Imani Aifukuzwi Kwa Matusi Bali Maneno Ya Imani
@zephaniaisanzu5888
@zephaniaisanzu5888 3 жыл бұрын
Blessings in the name of most high JAH rastafarian ever living,ever faithfully, ever sure.RIP RASTA MAGUFULI.
@IbrahimMohamed-fk5cc
@IbrahimMohamed-fk5cc 3 жыл бұрын
Blessings of i Jah rastafari together we love our leader more love more life for Tanzania and Africa stay blessings irie i&i
@moussashamba719
@moussashamba719 3 жыл бұрын
TAFARI MAKONEN,,HAILE SELASSIE THE LION OF JUDAH..CONQUER THE BABYLON,,I AND I
@mohammedalnabahan.4127
@mohammedalnabahan.4127 3 жыл бұрын
Innallilah wainnaillaih rajiun, haya Allah ndo msahihishaji wakila kitu.
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 3 жыл бұрын
Banqe sio chai
@bhunogebhunoge2636
@bhunogebhunoge2636 3 жыл бұрын
✊💝
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 3 жыл бұрын
Amiina🤲🤲🇹🇿
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
Daah imani hizi haya twendeni
@solomonichisaye8767
@solomonichisaye8767 3 жыл бұрын
John=Yohana Yaan Rasta wameshindwa kuelewa
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 3 жыл бұрын
Huu msiba mkubwa sana ibada za masanamu zimerud wallahi.....Ewe Allah muumba mbingu na ardh we ndio unayestahiki kuabudiwa peke yako,, tusamehe waja wako na utuongoze njia ya sawa
@diti4899
@diti4899 3 жыл бұрын
Kila mtu na imani yake. Msipende kutugawa watanzania
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 3 жыл бұрын
@@diti4899 nakubali kua kila mmoja ana ihmaan yake lakin sio sawa kua kila ihman iko sawa...ndio maana wakaletwa mitume kuwalingania watu lengo ni kuwafikishia ujumbe utaowapelekea kweny maisha ya aman baada ya kufa na ndio lengo la kila ihman LAKINI kubwa zaid kulinganiana ni katika kufikisha tu na wala haiondoi umoja wa watanzania kinachotuunganisha watanzania sio dini zetu bali yale yanayojenga nchi yetu hayo ndio tushirikiane na sio din..... Nahisi nmekujibu ndgu ang mtanzania mwenzang
@seinamador5474
@seinamador5474 3 жыл бұрын
Rasta haabudu sanamu, Allah kiarabu, Adonai wayahudi, Yehova wahebrania na Mungu kiswahili. Mungu ni mmoja ila mwenye majina mengi na ajidhihirisha katika vitu tofauti
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 3 жыл бұрын
@@seinamador5474kwa hiv wanavyoabudu nilivowaona kweny hii clip hawana utofauti na Waabudia masanamu
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 жыл бұрын
Ameen
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 3 жыл бұрын
Safisana
@seinamador5474
@seinamador5474 3 жыл бұрын
Jah Rastafarai
@khulayfnassor6938
@khulayfnassor6938 3 жыл бұрын
Marasta wote makafiri kumbe
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 3 жыл бұрын
ulikuwa hujui? Rastafari ni dini kama dini nyingine
@seinamador5474
@seinamador5474 3 жыл бұрын
Rasta sio dini bali njia ya maisha. Dini ni kuamini lakn Rasta ni uelewa
@salehrasta9165
@salehrasta9165 3 жыл бұрын
Laailaha illa llahu Muhammad rasulullah.
@mossassaid2683
@mossassaid2683 3 жыл бұрын
Usilo lijuwa
“Sisi tunamwita Magufuli mfalme Solomon” Raia wa Kenya
1:35
BBC News Swahili
Рет қаралды 225 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 130 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 34 МЛН
Tamasha la Land Rover festival Tanzania
1:45
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Mawakili wa Gachagua waibua maswali kuhusu jopo la majaji
10:09
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
BBC News Swahili
5:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 4,1 М.
Ndugu waliovunja rekodi za dunia kwa kucheza na mpira
2:15
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 М.
Familia ambayo watu wote wana upofu
2:28
BBC News Swahili
Рет қаралды 585
Ibada ya waumini wa imani ya Rasta
2:04
DW Kiswahili
Рет қаралды 70 М.
Yahya Sinwar: Kiongozi wa Hamas aliyeuawa huko Gaza ni nani?
2:03
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,7 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 18/10/2024
28:16
BBC News Swahili
Рет қаралды 15 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН