Unachoma vipi mwili wa binadamu aliyefariki?

  Рет қаралды 16,227

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Kuuchoma mwili wa binadamu baada kifo limekuwa ni jambo la kawaida kwa miaka mwingi miongoni mwa jamii za India na Nepal ambapo mchakato huu umekua ukifanyika mahala palipo wazi na utamaduni wa tangu enzi za kale . Kuanzia karne ya 19 , uchomaji wa maiti ulianza kutekelezwa katika maeneo mengine ya dunia .

Пікірлер: 24
@salehalnahdi8613
@salehalnahdi8613 5 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH kwa neema ya Uislamu. ALLAH tufishe katika Uislamu na waongoze wengine katika Uislamu.
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 жыл бұрын
shukrani Allah kuniweka katika kizazi cha kiislam
@nabilsalim4642
@nabilsalim4642 5 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 жыл бұрын
Namshukuru Allah kunijalia kua muislam sasa mnachomana moto ili iweje?
@nabilsalim4642
@nabilsalim4642 5 жыл бұрын
Alhamdulillah
@nabilsalim4642
@nabilsalim4642 5 жыл бұрын
Alhamdulillah kuwa Allah akbar dini yangu islam
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 10 күн бұрын
Alhamdulillah alaa neemat l'islam. Nashukuru kuwa muislam. Napenda wahubiri, wahadhiri wawaelezee hawa ndugu zetu wanaochomana moto uzuri wa uislamu huenda Allah akawajaalia wakaujua Uislamu na kama hawatakuwa waislamu basi itikadi yao ya kuchomana moto labda wataiacha wahubiri moto wa jahanamu na siyo wauanzie hapa duniami mbele ya macho ya wanadamu
@umpump8472
@umpump8472 5 жыл бұрын
Alhamdulillah nehmat isslam. Allah ajrni minanar
@salehrasta9165
@salehrasta9165 3 жыл бұрын
I proud to be muslim
@fenrearubeiy4170
@fenrearubeiy4170 5 жыл бұрын
Alhamdullah
@nabilsalim4642
@nabilsalim4642 5 жыл бұрын
Alhamdulillah
@queenmunny244
@queenmunny244 8 ай бұрын
Dah 😢😢 kuchomwa
@umpump8472
@umpump8472 5 жыл бұрын
Allah atuwepushe na moto
@mussasualehe7146
@mussasualehe7146 5 жыл бұрын
Madini tofauti tofauti duniani
@romeoromeo4125
@romeoromeo4125 5 жыл бұрын
Yaan inatisha sana
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 5 жыл бұрын
Inaonekana kwao wanashida ya ardhi. Huu ni ukatili wa juu sana.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Hawa ni dini yao..... Ukifika. India kuna dini. 3 muislamu.. Mkristo.. NA. Hindusi
@richardmichael7523
@richardmichael7523 5 жыл бұрын
Si jambo jipya duniani ila kwa ukanda wa Afrika Mashariki ni jipya kiasi maana kidini, kimila na desturi tumeshazoea kuzika wafu wetu isipokuwa kama wamekufa kwa ugonjwa kama Ebola.
@mamyrylovemeagain2406
@mamyrylovemeagain2406 4 жыл бұрын
Munatiana moton ata mambo bado
@supqimohd5360
@supqimohd5360 4 жыл бұрын
Hiiiiiiii grelled man served with ?????
@richardrobert8392
@richardrobert8392 5 жыл бұрын
ni gani hiyo
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Shetani kawapambia makafir ili Moto kuwa Salam kabra ya jahanam namshukuru Allah kunijalia kuwa muslim
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Shetani kawapambia makafir ili Moto kuwa Salam kabra ya jahanam namshukuru Allah kunijalia kuwa muslim
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA
15:04
Millard Ayo
Рет қаралды 296 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 24 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 573 М.
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 133 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 598 М.
"UJUE UKWELI" WA NCHI. ANGALIA MPAKA MWISHO James 6
1:41
James Sitta
Рет қаралды 9 М.
MELI kubwa Duniani Hii hapa, Ni Mji Unaoelea, Inatembea milele bila kusimama,Utashangaa ubunifu wake
2:38
Kona ya Teknolojia - Habari na Maujanja
Рет қаралды 608 М.
MWANZO MWISHO MWILI WA BILIONEA PATEL UKICHIMWA MOTO
7:40
TANZANIA ONE
Рет қаралды 3,3 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН