Uislamu ni neema Alhamdulilah Allah amekataza kiumbe kumchoma moto kiumbe mwenzake
@Dhulqarnain-qc6gz5 жыл бұрын
Ila ukaruhusu mtu kumchinja binadamu mwenzie.
@zeyfaafarzey10365 жыл бұрын
Alhamdulillah
@mussashehizaathumani52205 жыл бұрын
Mussa Shehiza to
@yusuphjuma46385 жыл бұрын
@@Dhulqarnain-qc6gz sema sema
@ismailbuchwa3985 жыл бұрын
@@Dhulqarnain-qc6gz hapana... Ao una uthibisho kwa hilo
@salumuhamissi34925 жыл бұрын
Wengine munajifanya kulaani hyo kaz lkn mukisia sauti ya mwizi munatoka majumbani kiberit na petrol kumchoma mwizi
@bukheribukheri7985 жыл бұрын
Umeshasema mwizi
@khadijakassimu37105 жыл бұрын
Heri yeye anaechoma maiti kuliko raia wanaochoma mwizi(Mimi shemeji yangu ni Muingland lkn pia alipofariki alichomewa kwao England ,mdogo wangu ndio aloenda akarudi na jivu
@nellywizz96315 жыл бұрын
Tunaongea tu ila wote atuna akika km kizikwa chin ya udongo ndo njia sahihi
@lassonlwemaw95865 жыл бұрын
Wewe akili auna mwiz alitumwa kuiba
@hadijamatola52304 жыл бұрын
Ni kweli kaka iyo ni kazi km kazi nyingine ila dahh km ni mpenzi wako mhhhhh anaweza kukumaliza ila ni hisisia zangu🤗🤗
@petermgombozi80984 жыл бұрын
Sasa akukute na mkewake anakuchoma kama wachina😂😂😂
@asiamwarabu75104 жыл бұрын
Hapo kwenye kuchoma na vitu vyake laptop simu itakuwa iPhone hizo turudie kidogo aiseee mmmh sema we Baba nenda kalime Mungu atakusaidia dhambi Sana tumeumbwa Kwa udongo na tutarud udongon sijaona sehem ilioandikwa tuchomane jmn Alhamdulilah kuzaliwa muislam
@masoudyrashidy90415 жыл бұрын
Dah Al hamdulillah Allah atustiri sisi na vizazi vyetu na waislamu wote kwa ujumla in sha Allah
@hildababyabdullah56275 жыл бұрын
Amiin Allahumma Amiin
@masoudyrashidy90415 жыл бұрын
Shukran na ww pia
@hildababyabdullah56275 жыл бұрын
@@masoudyrashidy9041 👍
@habbyhamdoun70645 жыл бұрын
Amiiiin..
@ashurasss10444 жыл бұрын
Amiin
@wazirihamisi64842 жыл бұрын
Nakushauri brother hiyo kazi ni haramu iache kabisa mara moja ya kuzika kwa kuunguza hatakama unalipwa pesa nyingi hili jambo ni haramu anae azibu kwa moto ni Allah pekee subhanallah wallahi ikiwa ww ni muislam sema alhamdulillah mshukuru sana Allah
@aminaagostinАй бұрын
Hamdulilah 🙏 I'm proud Muslim 🙏
@lucasdismas43144 жыл бұрын
“mtu mweusi anapokuwa na njaa ndio anakuwa na akili” 😂
@EmanuelMwimi4 жыл бұрын
Hahahah
@dasilvajunior30164 жыл бұрын
😜😜😜
@jumamohamed93504 жыл бұрын
Kama
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Hap 🤣🤣🤣 Km Mazur
@safari235 жыл бұрын
Kazi nzuri baba
@jei_maimu69575 жыл бұрын
Duh,,atari sana..UOGA WAKO NDO UMASIKINI WAKO!!! 🙌🙌🙌 big up master
@MUKSINIMBARUKU Жыл бұрын
vp kuhusu msimamo wa imani yako?
@sarahminja72555 жыл бұрын
Aiseee huyu kweli kazoea kuchoma choma mpaka miwani yake aliyotuvalia ni ya kuchomea watu
@lattyhansy66085 жыл бұрын
😂😂
@salimumanyiri26985 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🌹
@sollo11825 жыл бұрын
😀😀
@fatmaathuman67065 жыл бұрын
Umenichekesha eti miwani yke
@shakilamasoud89795 жыл бұрын
😂😂😂😂
@atwityemkolla29715 жыл бұрын
Mmh inatisha aseeee. Mungu tusamee madhambi yetu,turehemu kwa rehema yako iliyo kuu
@johfighter1705 жыл бұрын
Daaah yaan huyu jamaa na hao wenzie akina Gaju ni noma sana mpk mzee baba Milard anahc kuchomwa chomwa tu!! 😂😂
@azizahassan36735 жыл бұрын
Duu jamaa kiboko
@bensonmahenge8895 жыл бұрын
ALie sikia mtu anakithembe kama hamorpa agonge like hapa
@ashurasaburi89675 жыл бұрын
Na wewe ukifa uchomwe tu
@princess-uf5ux5 жыл бұрын
@@ashurasaburi8967 kwel
@tkhabari5 жыл бұрын
@@ashurasaburi8967 hahaaaaaa
@jumandutu22754 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@miriamjohn76442 ай бұрын
Huyo ni mchumbq wangu mchoma maiti😅😅😅😅 kila nikikaa Nawaza kuchomwa
@anthonyfaru99085 жыл бұрын
Halafu unasema eti we Unafanya KAZI ngumu, Sikia madini HAYO, halafu jamaa hawazi wala nini
@chaudelechauchaudeee33475 жыл бұрын
Jamaaa ashazoea
@florahburton96415 жыл бұрын
Kabisa yan
@richardb.masika43755 жыл бұрын
Ooooo kaz yazege ngumu...mamaeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@richardb.masika43755 жыл бұрын
Yani uyu ukiingia ktk angazake anakuona kama andaz2
@AS-qh5mb5 жыл бұрын
@@richardb.masika4375 😁😁
@bramwels20115 жыл бұрын
Kama umesikia kwamba mtu Mweusi akiwa na njaa anakuwa na akili gonga like tuwende pamoja!
@lissagloo3505 жыл бұрын
The way he is speaking kama anachoma takataka😭😭
@michaelchiwalo84445 жыл бұрын
Hahahhaha si ndo hapo , Kwahiyoo anaombea wakufee wengiii
@Bisekoson5 жыл бұрын
Maiti ni takataka tu, tena angalau taka taka unaweza kurecycle. Vitabu vinasema binadamu ni udongo tu, ukishakufa huna thamani tena.
@reyham17225 жыл бұрын
Hahahah
@emmanuelandrew99415 жыл бұрын
Huyu jamaa ana roho ngumu kama nn Atar sana ni kwel kabisa kama anachoma takataka an
@naamohamed99645 жыл бұрын
@@emmanuelandrew9941 dahhh hatarii sana
@reginalucosi72865 жыл бұрын
Minapenda sana kazi ya kuosha maiti mwenzenu atasijui kwa nini ila nikipata ospt yoyote ntajifundisha zaidi
Let's appreciate together we can in God we trust say alhamdullillah
@uislamutv25735 жыл бұрын
Allah atujalie tufe halikua tupo waislamu thabiti
@antybabybintrashid23335 жыл бұрын
Alhamdhulillah
@najmasalimsalim27415 жыл бұрын
Alhamdhulillah
@masoudyrashidy90415 жыл бұрын
Naam da Asia hakika tunafaraja kubwa kua waislamu
@aminaabdallah77024 жыл бұрын
Broo acha hio kazi nikazi yakiyuhamu sasa haswa mbele yamungu hawo watakushitaki mbele yamwezimungu kazi yakiharamu sana muogope mungu fikiri hatimae mbele
@asyaibrahim15045 жыл бұрын
Mtangazaji nakuona umee vaa kofia juu.... Ndio ujuwe na mm pia nafanya utafiti wangu 🤣🤣🤣 kwenye miwani
@yakwetutv85255 жыл бұрын
Tena kaigeuza kwanyuma
@mazobason50315 жыл бұрын
Hahahaha
@tkhabari5 жыл бұрын
Hahaaa
@ukhutysalmaah14635 жыл бұрын
No Comment 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆maisha haya yani hakuna kuchagua kazi
@tkhabari5 жыл бұрын
😂
@tkhabari5 жыл бұрын
Sub our channel pls
@alhaddajmohammed47685 жыл бұрын
SUBHANNALLAH...! Kweli raha kuwa Muislamu MashaAllah. Coz Uislamu faradhi/mambo muhimu ya kumfanyia maiti ni ma4; 1) kumuosha, 2) kumvisha Sanda, 3) kumsalia na 4/mwisho ni kumzika Kaburini kwa kuzingatia vigezo na cfa za Kaburi kwa mujibu wa Kaburi la Muislamu. Kuichelewesha maiti zaidi ya cku, Wks, miezi ni kuinyima/kuicheleweshea haki zake/malipo yake marehemu eg' kama marehemu ni wa Peponi mnamchelewesha kwenda ku2mia/kufurahia kheri zake na kinyume chake kama marehemu anashari/dhambi zake (m2 wa Motoni) kumchelewesha kumzika inaweza kupelekea kushea nae adhabu zake/ghadhabu za Allah zinaweza kukukuteni/kuuipateni nyote kwa kumchelewesha kumpeleka akahukumiewe. But inashangaza na kusikitisha kuona/kusikia ndg kuridhia ndg wenu/maiti wenu achomwe moto na kumuogopa hata kutorithi v2 vyake, bac hata c wange wapa Masikini hivyo via!. Jamani nyie msobahatika kuwa Waislamu hebu usomeni Uislamu muuelewe/ulizeni mueleweshwe msikubali kusikiliza na kuamini uzushi na propaganda za Wapagani/Makafiri (Wafuasi wa Shetani). Kuzika ni miongoni mwa ibada kama ibada zingine na image yeyote ili iitwe ibada lazima ibada hiyo iwe imekubalika/imerdhiwa na Mungu co kujibunia /kuji2ngia. But Wasokuwa Waislamu hawana dini balinwamenibunia mifumo ya kuabudu na kujifanya ndo mfumo/njia walofundishwa na Mungu kumbe ni Ushetani, Upagni na Ukafiri m2pu. So someni maana ukweli hamfanyi ibada za kweli ni kujifurahisha nafc zenu 2..! Hata ndoa means c ndoa bali ni kuhizinisha kuzini/zinaa kwa kurithi mila/dini (njia) iloaccwa na Wapagani/Makafiri kama msingi wa upatikanaji wa dini c sahihi means ibada zote zifanywazo c sahihi/ni batiri. So jiandaeni ya kumjibu Allah/Mola Muumba.
@betramraphael72192 жыл бұрын
waislam mna vikosi vingi sana vya kigaidi hapa duniani. hakuna raha yeyote hile
@boniphacelusato Жыл бұрын
Huna haki ya kumuita Mtu Kafiri
@Sharmy_0210 ай бұрын
@@betramraphael7219kujitoa muhanga na kuvalishwa mabomu we huogop,
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Kazi kazi tu. Utakuta kajenga hapo, watoto wanasoma vzr, na anasaidia ndugu kwa kazi yake
@tkhabari5 жыл бұрын
Kaz kazi
@christophermsekena6165 жыл бұрын
Hii ndiyo maana ya man at work daah
@EmanuelMwimi4 жыл бұрын
Hatar
@djsandi44195 жыл бұрын
Kazi kazi babu ukipata mwingine wa kuchoma niite tushirikiane napenda sana hiyo kazi
@mwajabually24072 жыл бұрын
😄😄😄
@onsportleo19654 жыл бұрын
Aliyesikia magogo mabichi atie like hapo
@dasilvajunior30164 жыл бұрын
🐱🐱🐱
@hadijahmwajombe95884 жыл бұрын
haaaaa mungu wangu asa ndonasema ata mke anamoyo sana kwakweli kukakaa na mume uyo yataka moyo sana
@raphaelbruno27435 жыл бұрын
Creative man like u never die poor!!
@tkhabari5 жыл бұрын
Obsolutely
@shamymtanda16564 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂huyu wamtwara anachoma km anachoma mishkakii alafu hana shida namtu ila baba umeanza mda kuchoma maiti hata idadai wenda ndogo hyo babu
@gggjjahhhh94195 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳 Heee tutaona mengi jaman 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Hi miwan nimeikalili Sitonunua kamwe Hata nipew bule sitoichukua
@ummysaid56005 жыл бұрын
Hahahaha
@kasembebarakah44944 жыл бұрын
Upumbvu huo
@devisshirima6780 Жыл бұрын
Thawa thawa, thatha mbona unafanya kadhi ya ibilithi, akifika huko kama ana dhambi motoni watachoma nini? 😂😂😂
@ipyanaibrahim41225 жыл бұрын
Alie sikia kifua chest weka like hapa
@tkhabari5 жыл бұрын
Hahaaaa kifua chest
@missnamwambemomentstv7753 Жыл бұрын
Naangalia leo hii video...khaaaah! Huyu baba😢 ...." Kichwa hakiungui snaa...faster tu!!
@selemanmohammed35235 жыл бұрын
Jamaaa nimekubali sana yani kumbe ni party time bt style ana kazi yake!
@josephkiwale37411 ай бұрын
No joke bro amechoma maiti mpaka ndevu zimeungua,,
@johnshigela93695 жыл бұрын
Nimeona Kama miladi Ayo umeishiwa pozi Leo kwa interview ya ajabu leo
@salimumanyiri26985 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@sammy-b6281 Жыл бұрын
Uyu mzee Wachaina wakikutana naye wanatimka😅😅
@josephkiwale37411 ай бұрын
😂😂😂
@thetwen21675 жыл бұрын
Mtu mweusi akishiba hana hakiri 😂🤣😂🤣
@shaninaftary16935 жыл бұрын
😆🤣🤣😆umefanya nicheke kwa sauti wallah
@chayogasperi97835 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha ha katutukana hapa .
@carenmsafiri84984 жыл бұрын
the twen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salmaelvina10024 жыл бұрын
😁😁😁duuh mungu amekupo roho ngum
@najmaabdul38365 жыл бұрын
Duh mungu akusamehe yallahbi dah mungu nisamehe na nipe iman
@debormtitu27205 жыл бұрын
Hongera baba Ila usiwe unachioma cm laptop
@mdeeboy8465 жыл бұрын
Aithee,jamaa anatabathamu vithuri tu hata hana wathi wathi😂🤣😂
@wj14215 жыл бұрын
Khahahaa
@wj14215 жыл бұрын
Thatha atafanyaje
@aminahasan35645 жыл бұрын
Uislam ni mzuri sana🤔
@reginawitacha79215 жыл бұрын
Amina Hasan Kwani maiti za kiislamu hazichomwi ndugu
@aishaomari18815 жыл бұрын
Alhamdulilah gjala neema l islam
@najmasalimsalim27415 жыл бұрын
Alhamdhulillah
@jerrysonshayo15575 жыл бұрын
Amina Hasan...acha nyege ww... Uislam ni mzuri usingekufa mbwa wewe
@alexchungu95055 жыл бұрын
Amina Hasan , tupe evidences
@maryamjuma37995 жыл бұрын
Yaani anavyosema Hilo neno Kuchoma utafikiri anachoma mishikaki kumbe watu
@abdulfatahjuma53555 жыл бұрын
Duuh !! Kweli njaa lakini hizi nyengine si kazi
@humphreymwihambi43302 жыл бұрын
Ni kazi
@zaituniathumani33754 жыл бұрын
Baada ya kuchomwa na mungu. Unaaza kuchwa na binadam.dah . mungu atupe mwisho mwema .inshaallah.
@kasembebarakah44944 жыл бұрын
Izo ni tamaduni zao acha kujiona uko vzur na imani yako yakigenj hiyo
@florahburton96415 жыл бұрын
Yan hata mkeo akizingua unaweza mchoma wew
@jerrysonshayo15575 жыл бұрын
Florah Burton yaah
@olivanadickson19455 жыл бұрын
Nakweli kbs
@salmajuma40155 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@bigbossmanbossman69465 жыл бұрын
No he can't do that mbona ni kazi kama kazi ingine
@florahburton96415 жыл бұрын
@@bigbossmanbossman6946 sio kwa kaz iyo changamoto ujue
@leahally46183 жыл бұрын
😂😂😂😂nacheka km mazur anavosema nimechoma Yan km kuku dah
@wardajoseph69095 жыл бұрын
Astaghafrullah Astaghafrullah Astaghafrullah kwa nini hamuwaziki muogope mungu kaka yangu tubu kabla nawe siku haijakufika
@adamjuma98475 жыл бұрын
Asa kosa lake ni nini wakt kila jamii ina utaratibu wake wa mazishi
@neemakawogo71535 жыл бұрын
Ukifa huna thamani tu ni vumbi tu ww
@atukuzweluhanga74015 жыл бұрын
Kuzika ni utamaduni
@mariakayana99565 жыл бұрын
Hiyo ni sheria ya China..kila nchi inasheria zake
@anitajames43944 жыл бұрын
😀😀😀 nimesoma comment nimechekaa, jamani huyu baharia hana makosa,cose kila kabila wanautaratibu wao, sema inshu iliyopo hapa wote tuliosikiliza ni waogaa,maana yeye hapa ameangalia pesaa, uwoga akaweka pembeni😀😀😀
@kibasamohamedi80295 жыл бұрын
Na Mimi mwenyewe na Mimi nikifa napenda kuchomwa moto et. Kazi nzuriii sanaaaaaa
@halimaabdi20265 жыл бұрын
kibasa mohamedi unajiombezea kuchomwa au kifo kibaya Astaghafirullah
@kibasamohamedi80295 жыл бұрын
@@halimaabdi2026 . Kawaida tuu
@abdulabass58085 жыл бұрын
Wanaita ku Burne ,kama simple ,sasa wewe mzee baba km huyu endelea kungua km hatoku Burne fasta
@yasodishonest97925 жыл бұрын
Mulaniwe kwakweli. wote wenyeimani izo zakuchomana .kaaa na bado mzunguko mkubwa.Asante mungu kwa kunijalia uislam.mungeacha wachomane wenyewe.inaitaji moyo
@jacquelinosmond2212 жыл бұрын
Acha upuuzi kila sehemu na imani zao na tamaduni zao, rudi shule
@yasodishonest97922 жыл бұрын
@@jacquelinosmond221 kama na ww dini yako hii ludi class uijue haki.huu ni ukafili habibi
@rahimaaaaa86995 жыл бұрын
Kumbeeee ndio maana yulenwa Geza ULOLE NI MMAKONDE NDIO MAANA ALIMCHOMA.NAOMI MKEWE NI UJUZI WA.KIMAKONDE.
@aishachambo32935 жыл бұрын
Rahima Aaaa 🤣🤣🤣
@issakawanya85115 жыл бұрын
Bora kazi
@realrachelbuttu27835 жыл бұрын
Rahima Aaaa 😀😀😀😀
@georgemashauri46575 жыл бұрын
Fasta masaa3 mpka 4 daaaaa!
@asiaissamtanzania87005 жыл бұрын
Shezi wewe mbona sisi tunazikwa kikawaida wamakonde hatuchomani.moto?
@mgangashabanu88782 жыл бұрын
Ila mmarekani mbabaifu sana hahahaaha nimekumiss
@gabrielisack77865 жыл бұрын
Aliyesikia lose report tujuane
@amirikalindimya97425 жыл бұрын
Uncle wangu mm hatari sana nakumbuka enzi zile kibanda wazi umetisha unamisemo kama yote
@jogoolashamba30745 жыл бұрын
Ni kweli kuna mchina mmoja niliwahi shuhudia alikaa mochwari kama mwezi hv
@bernardminja50895 жыл бұрын
Huyo wa songea kampuni ya chico alikuwa boss wangu Mr zhung shigun,nilikuwa nae mradi wa kahama
@robertlinuma60515 жыл бұрын
Mnaobisha na nyie mtachomwa na mmarekan 😀😂
@mamasswtkichuna89695 жыл бұрын
Mmmmh , wonders shall never end wallah🙄🙄🙄mmmh aiseeee mungu tunusuruuuu
@tinkiboniface33425 жыл бұрын
Duh wa Kwanza like zangu
@mwanzashinyanga80605 жыл бұрын
kweli tupo mwisho leo hii binadamu anamchoma binadamu mwenzie bila kua hata na hofu duuh 😱😱😱😱
@nadystyle3395 жыл бұрын
Kama umesikia spitali gonga like hapa😜
@tkhabari5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@haidadishemahonge99705 жыл бұрын
😂😂
@hamadrashid51404 жыл бұрын
Mtu mweusi anapokuwa na njaa ndo anapokuwa na akili daaahhhh huyu jamaa noma
@eliyamalele.masindi49105 жыл бұрын
siyo kuchoma bali ni mazishi maana kunaaina nyingi za mazishi. ukisikia wanaozika wanasema majivu kwa makivu ndiyo hii.
😆😆😆😆😆nimecheka et mweusi akiwa na njaa anakuwa na akili kweri kbs😂😂😂
@subiraomar47715 жыл бұрын
Subhanallah ndio leo naskia
@Raymond64975 жыл бұрын
Sishangai sana..nilivokuwa mdogo kule kwetu upareni kulikuwa na mmakonde mkata mkonge alikuwa anasifika kwa kula watu, na tuliammini hivyo...so its more likely huyu bwana akawa na hiyo roho...
@tkhabari5 жыл бұрын
Kbsa
@zebdayleonard85995 жыл бұрын
Nilwachoma pale wa nne kule nilchoma watano hela iz ogopa
@greysonsimba53665 жыл бұрын
Mmh kaazi kweli kweli
@walivyojuma70955 жыл бұрын
Iyo si dhambi ww ndo imani yao wachina nawazungu nawabaniani nikawaida niimani tu iyo mbona poa tu hakuna dhambi yoyote
@richardb.masika43755 жыл бұрын
Hii dunia🤔
@wemakalamu35385 жыл бұрын
@@walivyojuma7095 the devol is a liar only God knows about everything ☝️☝️☝️unatumika vibaya aisee
@tkhabari5 жыл бұрын
Kazi kazi....
@fatumahassan82125 жыл бұрын
Subahnallah Yaani kaka nimemuogopa kwa history yake
@ummysaid56005 жыл бұрын
Yaaaani daaaaaah
@euniestherwilliam15132 жыл бұрын
Kazi anayofanya ni nzuri hajaiba Wala kudhulumu mtu
@harithwhite5895 жыл бұрын
Sio wachina tu hata wewe mtangazaji ukianguka tu hapo amekupiga moto
@mst1studio2705 жыл бұрын
Hongera saaaana! Ila Wewe unae mu Interview, jaribu kuandaa maswali hasa kuyaandika ndipo utoe Interview.
@BIN_NOOR275 жыл бұрын
Duhhh ama kweli "tonge tu lipatikane" kazi kazi tu
@tkhabari5 жыл бұрын
Ndo jambo la msingi hilo
@henrymatebe14923 жыл бұрын
Aiseee ukiona mtu ana hela wadada hebu jaribuni kukaa nae distance kidogo umsome kwanza tutawapoteza jamani daah
@salmaelhinai8335 жыл бұрын
Subhanallah
@zaynpdogdhgg87555 жыл бұрын
Subhanallah.hatakama kazi ni kazi lakini hii hatari manake yanatisha!!!!
@zamirumayembe43855 жыл бұрын
Namjuwa huyo Mmarekani yuko mtwara
@khadijahbanana56024 жыл бұрын
Ni mmarekani?
@BINTIwaKITANGA3 жыл бұрын
🙄🙄🙄🤔🤔Sasaaa kama marehemu anawekewa alichokuwa anapenda...sasaa kama alikuwa anapenda ngono jee?!?!😆😆
@lucymasuod415 жыл бұрын
Duuuu!!! Na wachina kumbe wanachoma maiti??
@mariamvicent73125 жыл бұрын
Lucy Masuod na me ndo kwanza nasikia leo
@lucymasuod415 жыл бұрын
@@mariamvicent7312 najionea maajabu ya dunia wenzetu sijui wana imani za aina gani kwa kweli
@tkhabari5 жыл бұрын
Yeah
@Mpakauseme5 жыл бұрын
Waachoma ndio kwasababu ya maeneo ya mazikio kuwa machache huko kwao tofauti na miaka mingi iliyokwishapita
@happymollel7134 жыл бұрын
Ni sawa ndugu,maana hata hao wanaosema dini zao haziruhusu kuchoma,hao hao wanahubiri kuwa ukifa na dhambi unachomwa Jehanum,uchomwe usichomwe,wote tunarudi mavumbini,au labda kama ukizikwa hautaoza
@jumaakalama12765 жыл бұрын
Nakuomba unifundishe broo mm kuna watu nataka niwachome wazima wanapuwa Shenz zao
@TeamKRX5 жыл бұрын
Ebu jianze mwenyeo ata mkono au kidole kabla hujawanza wao nyooo mrudie mungu wee hasira hasara
@saadakiyungi64375 жыл бұрын
😂
@fanuelmwalikaka92245 жыл бұрын
😂😂😂
@seifaysha29625 жыл бұрын
Jichome kwanza ww mkono
@rukiashoko75285 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@zahorrashid54595 жыл бұрын
Hahahahaha jamanii makafiri. eti mnawatia motoooo.duu.halafu.mnaita kuzika pia.
@njonjolomahfudh32385 жыл бұрын
Muamerika uyu😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatmaismail63934 жыл бұрын
Hatari jmn🙁
@mariammuscat43004 жыл бұрын
Stafirulllah kazimbaya sana aaallah tupemwisho mwema nagopa
@DrSanai5 жыл бұрын
Aisee nimependa kazi yako, ningependa unifundishe ndugu mmarekani.
@walivyojuma70955 жыл бұрын
Nikazi mzuri saana ata mm napenda saan pia nikifa hata mm nichomwe
@princess-uf5ux5 жыл бұрын
@@walivyojuma7095 ovyooo 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@BM_Smart2-65 жыл бұрын
Jamani mimi naona msimzingue huyo jamaa kama kuna vibali na ndiyo wachina wanavyozika nani angechoma. Ukiwa na vibali ni kazi halali na tayari anayechomwa ameshakufa achene woga. Ni sawa tu na mfanyakazi wa Mochwari. Mimi namuona anajiamini, Kiswahili chake tu ndiye kithembe