Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili #goma #kinshasa #drc #tshisekedi #kagame #bbcswahili #bbcswahilileo
Пікірлер
@YorandaBonephas6 күн бұрын
Basi kwaushauli wangu kagame kama huhusiki nahicho kikundi basi utowe ushirikiano wakuwatowa m23
@Mzalendo-n8q6 күн бұрын
Yeah..hapo umeongea..Ili watu waaminj..yeye pia atume wanajeshi wake
@HomeboyTZ197 күн бұрын
Rwanda ina Madini lakini hainunui Silaha za Maana sababu Viongozi wamekubali kutumika na Mabeberu.
@RashidAhmed-h7t7 күн бұрын
Shida sio kagame bila shika Kuna mabepari wapo nyuma yake
@shukurumsebaloli7 күн бұрын
Kagame nitatizo sababu amesha kubali kuwa kibaraka
@MosesMushi-p2p7 күн бұрын
Tatizo ni ruto nashangaa anangangana kusuhulihisha ichi yake imemshinda anajifanya kusulihisha congo ruto ni mojawapo ya mporaji wa mali za congo
@tanzanitetv7 күн бұрын
Nchi kubwa kama Kongo DR wanasumbuliwa na kaichi kadogo hivi
@ThomasAssey7 күн бұрын
Umoja wa afrika na wa kikanda wa afrika mashariki ni kama wa kitchen party
@tanzanitetv7 күн бұрын
Wakongo hawana jeshi 100% ni wapuuzi sana,
@immaabukuku71807 күн бұрын
Ni bora ambavyo raisi wa Kongo hakuwepo wangapigana kabisa ona kilichotokea kati ya ramophosa na kagame
@afrakanaswahilitv55206 күн бұрын
Rais Tshisekedi wa DRC alishindwaje kujenga jeshi madhubuti la kulinda nchi yake dhidi ya makundi ya waasi?
@tanzanitetv7 күн бұрын
Tishekedi ni dhaifu sana na jeshi lake
@moussamoussa61667 күн бұрын
Unaitwa Rais, Una nchi, Una Usalama wa Taifa, Una Jeshi, kweli unapigwa na M23 wajinga wale, Ondoka Madarakani wachie wanaume waongoze Congo, Rais mzima anasimama kwenye TV anasema eti mataifa ya nje wameshindwa kunisaidia, Shwain kweli Tishekedi. Raisilimali zote za Congo nchi haina hata Silaha nzito za kupambana na M23, Hivi hao Viongozi wa Africa wana matatizo gani? Wamerogwaaaaaaa
@tanzanitetv7 күн бұрын
UN na USA 🇺🇸 na EU ndio wanafadhili m23 ,tishekedi act acha kulialia
@ThomasAssey7 күн бұрын
Tatizo la Kongo ni la udhaifu wa kikanda Afrika imeshuhudia Karne ya viongozi dhaifu mno ambayo hawajui sii tu Sheria bali hata wajibu wao kama viongozi! Ni aibu kuwa na viongozi wa namba hii Uporaji wa rasilimali Kongo ni wa muda mrefu umefanywa na Rwanda lakini mataifa ya afrika yameshindwa vibaya kuchukua hatua za maana ni aibu
@mustafamsati95997 күн бұрын
Viongoz wa africa ni washkaji watu wa kampani yaani kwaiyo wanalindana viongoz kwa viongoz kwaiyo mtu akipiga dililake usimtibulie yani hivyo kwaiyo kagame anatumiahio
@QaahtaQaahta7 күн бұрын
MUSIHARIBU KISWAHILI. ANDIKENI "SULHU NI NINI?" AU "KUNA SULHH GANI"
@rutimarlon7 күн бұрын
Congo rais wao analia kwa rwanda makubwa kweli
@rwekazamugasha64487 күн бұрын
In 1961, the UN secretary Dag Hamasjòld died on the plane on the way to seek a cease fire in Congo. Today, 2025, the problem still exists 😢. President Kagame is 💯 right. No one is addressing the problem.
@tanzanitetv7 күн бұрын
Badala ya kuanza mapigano yy anatishia tu
@tanzanitetv7 күн бұрын
Ramaphosa naye ni dhaifu tu
@Randybury3787 күн бұрын
Acheeni mkwara mdomo tu wanakuja kuchukua kinshasa
@reface67806 күн бұрын
Shida Tchisekedi anafikiri umoja wa mataifa utaleta amani wakati wao ndo wanachangiya vurugu Congo, cha msingi raisi aamuwe vita kali tu.
@gefreymtalo56137 күн бұрын
Kama m 23 sio ya ruanda kwanini hutoi ushirikiano kutoa hicho kikosi ?
@KondoAmini7 күн бұрын
Hakika huu mgohoro ni mdogo sana bali unakuzwa baadhi ya mataifa kwa maslahi yao Yaani kama kweli Rwanda inahusika suluhu yake ni vikwazo yaani namaanisha vikwazo haitakiwi kuingia au kutoka kwa chombo chochote Cha usafiri katika Rwanda na ndani ya miezi sita tu watasalim amri ila shida maslahi binafsi ya baadhi ya mataifa
@NassorHassan-o8c7 күн бұрын
Ndio jez ya Yanga ipo Rwanda kwenye Vita itakuwa M23 Yanga Dah tutaona mengi mara hii 2025
@mustafamsati95997 күн бұрын
😁😁😁😁 sie wananchi ni m23 aaah tutakeradh
@ThomasErro7 күн бұрын
huyu dada ni ujinga wake imemponza, m nawashauri waache kujihangaixha
@jonasmpita22067 күн бұрын
wazungu wanatuvuruga, Kagame unatunisha msuli unawaweza Afrika kusini?
@JospinChikuru-y3g7 күн бұрын
Rais wa Kongo anataka heshima ya ibchi yake
@michaelbalele9297 күн бұрын
Ranga Ranga kwa Tanzania ni story tu utaskia hizo pesa tujengee shule😅😅😅😅😅
@MosesMushi-p2p7 күн бұрын
Uyu dikiteta la Rwanda linatakiwa lichapwe tu viongozi wa africa mnamuchaje aendelee kytamba
@ANONYMOUS-v5t4x7 күн бұрын
VIVE M23; MUTAONGEA MCHANA USIKU MUTALALA
@mustafamsati95997 күн бұрын
Rwanda nazan hakuna mtu mwengine anaeweza kuongoza taifalao kwaiyo kagame akitoka atawataftia nduguyake amuapishe ila kwa raiya wa rwanda sijaskia kua kunamtu hata wa kumkosoa kagame
@hemedbamja31977 күн бұрын
Kikwete ndiye alijua kuidhibiti M23;nakumbuka walipopelekewa moto na JWTZ wiki 2 tu wakaomba poo😅
@nzizajovinpaul49557 күн бұрын
Kikwete bado yupo nandiye bado anaongoza Tanzania hilo linajulikana" mwambie awatume wanajeshi wengine kwani wengi wamekufia vitani. au unataka tukupe hidadi ya matekwa ya majeshi ya JWTZ au waliokufia vitani?? Unacheza na simba wa M 23 👮👮👮
@hemedbamja31977 күн бұрын
@nzizajovinpaul4955 : unachokiongea wewe ni habari ya kusadikika.ila mi nimekumbushia fact iliyotokea ambayo kila mtu aliisikia.kingine tofautisha mtu anayeongoza direct na indirect haiwezi kuwa sawa.hiyo idadi ya jwtz wanaokufa huwezi ithibitisha. Basi Wacha tusubir huyo Simba M23 akamate nchi nzima,atawale.ili raia waache kufa bure
@mupenziandre39107 күн бұрын
Mchambuzi mwelevu kabsa
@thedriver.michael.39757 күн бұрын
Suluhu ni nini? Badala ya suluhu ni gani. Kumwingilia badala ya kumwingililia . Alafu unasema BBC Swahili na ni waswahili kweli
@hasaniFransisKonk7 күн бұрын
Nimeiona jezi ya yanga😂😂😂
@JospinChikuru-y3g7 күн бұрын
Tuunge Rais wa Kongo mukono eeeh umoja wa mataifa
@RabanReuben-q1h7 күн бұрын
Jaman umoja wa mataifa UA ingilie jambo hili maana inaonekana kwamba ,inaweza kusababisha vita,na kusababisha madhara makubwa kwa wana nchi wao lakini pia kwa wana nchi wa wanchi jilan hasa wanao kaa mipakan kama watanzania,burundi ,uganda na hivyo vita kuhusiha nchi zote hizi
@danwayne7867 күн бұрын
Rwanda hawafai kuandaa mashindano ya langa langa il hali wana husika na vurugu Katika inchi zingine jirani. Africa kusini wapewe jukumu hilo.
@BarakaKusalula7 күн бұрын
Kongo waache M23 wamiliki ardhi yao
@HillaryKemboi-w6h6 күн бұрын
Ongera m23 zidii kusonga mbele,mungu ako nanyi na kilio chenu kitaskika,