Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili #BBCSwahiliLeo #Mpox #Uganda #Ukraine #Russia #Arsenal
Пікірлер: 21
@wllykipz6596Ай бұрын
Welcome to join Arsenal
@mathayomwashambwa1238Ай бұрын
Sisi nyani hatuli, kongo wanakula...janga kubwa sio mpox bali kujisahau kuhusu Mungu, kama vile corona ilivyoheshimu Afrika ndivyo mpox itapita hukoooo
@mumbogojoseph6672Ай бұрын
Aksanti sana
@sheddyscanner1702Ай бұрын
Yanga Bingwaa
@peteremanuel4948Ай бұрын
Mimi nasema dawa yagonjwa huwo najuwa🎉
@AronMeshack-us8fdАй бұрын
Ooh my Lord
@edwardmuhia5569Ай бұрын
Revival is here already. revival won't come when conditions are favorable.
@JosephAgustino-f9zАй бұрын
Hapo kwel Ukraine kachafuka mungu awaepushe na hyo kisanga vita yaishe
@johnkjamal1317Ай бұрын
😂😂😂😂 Arsenal nawapenda sana
@radhiasalum7156Ай бұрын
😢
@johnkjamal1317Ай бұрын
Wicklif Jee umetuuna Arsenal inapendwa na watu wote karibu kwetu Arsenal hakuna matata
@dizzomdee5181Ай бұрын
Nawapata nikiwa Tanzania
@pastorpetermageta6833Ай бұрын
Mojawapo ya dalili za mwisho wa dunia
@Mzena4343Ай бұрын
Kwanini congo mle nyani lakini
@radhiasalum7156Ай бұрын
Bbc bwana mbona hamjasema kama kuna askari wamekamatwa?😅si mseme tu uraaaa kazibiti kundi la wanajeshi wa ukrain?😂😂😂😂😂wamchongo kweli habari zenu😅😅
@maswetoАй бұрын
Uwe na chanel Yako mkuu ili iwe inatangaza unayoyapenda tu
@radhiasalum7156Ай бұрын
@@masweto si hivyo hawa vibaraka wanasema ya upande mmoja sasa nini maana ya matangazo ya duniani?
@EmanuelMkongwiАй бұрын
@@radhiasalum7156 🫡🫡🫡 Sahihi sana wanaficha zingine
@williamraphael6426Ай бұрын
Hahahaha arsenal ni kama urusi unaanza vita kwa nguvu zote mwishoni inashindwa