'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'

  Рет қаралды 48,931

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Mwandishi wa BBC Leonard Mubali amefanya mahojiano na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kushikiliwa kwa viongozi wao kinyume cha sheria, matukio ya utekaji pa moja na uchunguzi dhidi ya tukio la kuupigwa risasi miaka michache iliyopita
#bbcswahili #tanzania #siasa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Пікірлер: 148
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 күн бұрын
HATA UKIMUANGALIA TU USONI ANAFAA KUWA RAIS ❤❤❤❤
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 күн бұрын
😂😂😂
@godfreykahabi1964
@godfreykahabi1964 2 күн бұрын
Rais halali wa mioyo ya watanzania mhe Tundu Antipas might Lissu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 2 күн бұрын
Tundu Lisu MUNGU AWE Pamoja Nawe
@bagumandongwe8566
@bagumandongwe8566 Сағат бұрын
Eti Mungu awe nae, huyo atawaletea sheria zakuhalalisha Ushoga sijui kama mnamfuatilia amaunga mko sana ushoga, muwe makini msipende maneno tu kumbuka siasa ni maneno matumu “UNAYOTAKA KUSIKIA”
@RobertMshiko
@RobertMshiko 2 күн бұрын
Nakupata zivuri rais wetu ujae wasiokuelewa.sijui
@NyanchokaChacha
@NyanchokaChacha 2 күн бұрын
P
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 2 күн бұрын
😂😂😂 rais wenu na nani mkuu?
@CharlesKazeze
@CharlesKazeze 2 күн бұрын
Huyu Tundu Lisu unaweza kumchukia shauri yako ila ana akili sana na ni mwalimu mzuri sana jaribu kumfuatilia na kumsikikiza kiila anapoongea
@khadi-z4o
@khadi-z4o 2 күн бұрын
SAFI SANA BIG BOSS LISU POINTFULL NO CAP. UMEONGEYA MWANASHERYA WNG🎉. CCM WASHENZITU NA POLISI WAO WAHALIFU NALIPO WAZI.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 күн бұрын
ALIUMIZWA VIBAYA KWA AJILI YAKUTETEA HAKI ZA WATANZANIA NA SASA ANATUTETEA🙏🙏🙏🙏🙏
@willykomba8376
@willykomba8376 2 күн бұрын
Mungu hakutaka afe
@jaredayiera3279
@jaredayiera3279 2 күн бұрын
Mithali 29:2 wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali Mtu muovu atawalapo watu wanahumia 16/09/2024
@emmanuelmayuma3466
@emmanuelmayuma3466 2 күн бұрын
Hii ni dhahili watawala walihusika,hata samia alipomtembelea LISSU haikuwa mapenzi,kwani Nyalandu aliyeenda kwa mapenzi,alihitilafiana nao.
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Күн бұрын
Samia siku zile alikuwa bado hajabadirika,
@JulianaPetro-b7r
@JulianaPetro-b7r 2 күн бұрын
Sisi siyo watoto wadogo.tunajua sana watekaji na wauaji ni kina nani.tumechoka na hii serikali.
@dennissamora729
@dennissamora729 2 күн бұрын
Yaani asiyemuelewa Lissu, arudi kwao Kongo! Maana anaelezea kwa lugha fasaha ya kiswahili A-Z na hoja yenye mashiko!
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 2 күн бұрын
Vijana amkeni acheni ujinga CCM majambazi kabisa wauniiiiiii wakubwa
@MeliYaMaweBm
@MeliYaMaweBm 2 күн бұрын
Chadema Oyeeeee😂❤
@onlythestrong8659
@onlythestrong8659 2 күн бұрын
Tundu Lissu they shot you because they feared your intelligence. Mungu amekuepusha katika majanga kadhaa. Naamini moyoni wewe umetumwa na mwenyezi mungu kuwa mkombozi na sauti ya kukemea maovu wanao fanyiwa watanzania. I am here to support this movement. Mh Tundu Lissu utakapo kuwa Rais naomba kuwe na somo la katiba ya nchi tangu primary school. Hilo litawasaidia watanzania wote pamoja na kizazi kijacho, ili kuelewa ni nini kinatendeka katika nchi yao. Nimegundua kitu kuwa watu wengi haelewi siasa kwa sababu ya mifumo yetu ya elimu.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 күн бұрын
ALAFU KUNA MACHAWA WA CCM WANASEMA ETI CHADEMA WANAJITEKA WENYEWE HII NI AJABU SANA. NA NI MASIKITIKO MAKUBWA.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 күн бұрын
💯💯💯💯💯
@evaemil856
@evaemil856 2 күн бұрын
Sasa km wenyewe CHADEMA ndiyo wanatekana na kuuwana si ndio vizuri kuleta walelezi wa kimataifa wafanye kazi Yao?
@user-xn5zd6sz6c
@user-xn5zd6sz6c 2 күн бұрын
😢
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 күн бұрын
Kbs😢
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 2 күн бұрын
Yani tatizo husikilizi vizuri ila umejaa uchawa tu kama ungesikikiza vizuri kichwa Yako ingeelewa tatizo ushabiki wa mipira mnaingiza kwenye maisha yenu
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
​@@mbwanahasan2971nadhani kuna kufanana kwa hoja na kupishana katika kuwasilisha. Kama wapo wanaosema hawa wanatendewa sivyo na kujiteka wangeletwa wachunguzi toka nje ya nchi .. serikali haitaki kuruhusu Scotland yard...
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 күн бұрын
Ni CCM ndo watekaji na kuuwa
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 күн бұрын
Yaani Chadema kila mtu anahusikaje tuu, Wangine Wanasema Jeshi la Polisi na Wengine wanasema ni CCM. Huku kutapataoa bila Ushahidi kutaja watu hovyo ni Dalili za Chama kufa
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 2 күн бұрын
@tanzanite9944 Chadema hakifi labda utatangulia wewe!! Kumbuka ulikuwa mkakati wa Mwendazake na Waandamizi wake kama kina Dr Bashiru kuua vyama vya upinzani hasa CHADEMA. Leo hii Mwendazake hayupo; baadhi ya watu wake wa karibu ktk ofisi yake hawapo; CHADEMA na watu kama, Mh Lisu wanaendelea na harakati za kuleta mageuzi. Hivyo wewe sio Mungu na CCM sio Mungu wa kuamua hatima ya mtu au Chama chochote kile.
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 2 күн бұрын
Acha kuongea utumbo.watu wanauwawa.hilo hilioni umazungumza upumbavu.tutusa kweli wewe.​@@tanzanite9944
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 күн бұрын
Hivi Samia watoto wake wangeshambuliwa angenyamaza? Nanyi fanyeni defence yaani mjilinde? Muanze na watoto wa Samia
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 2 күн бұрын
Chunga mama usifuatwe make hao ni shida
@DicksonJaphet-fq7ov
@DicksonJaphet-fq7ov 2 күн бұрын
Tundu 🎉 Ahsante Sana.
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 2 күн бұрын
Kujua Sheria ni jambo jema sana sikia uchambuzi huo
@The1979bornagain
@The1979bornagain 2 күн бұрын
Mtazangazi Leonard Mubali, sauti yako wewe haisikiki. Washa mic yako usikike vizuri
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 күн бұрын
Their days are numbered.✌️
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 2 күн бұрын
Mahakama hazisaidii maana zimejaa majaji na mahakimu machawa. Hawafanyi kazi kwa weledi bali kwa kuchumia matumbo yao
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 2 күн бұрын
Na ni makada wa CCM na sio kwamba hawajui Sheria ila wanaelekezwa wafanye nini na hawana namna maana hawana pakushikiria zaidi ya CCM, uliona wapi kada wa CCM ndio msimamizi mkuu wa uchaguzi na wakati yeye ni mnufaika?
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 күн бұрын
Brother intelligent very
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 2 күн бұрын
Kwasasa Lisu ndio mwanasiasa Ambae ana tosha kwa Nafasi Ya Uraisi Wengine wote ni machawa lakini yeye bado ana moyo wa kuipigania Nchi yake Mungu amlinde our next President Ambae ana Maono Yakuitoa hii nchi kwenye Mkwamo wa kimfumo
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 7 сағат бұрын
All the way from Nairobi... I'm going to be there on 23rd
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 2 күн бұрын
Siku moja itafika watawajibishwa tu hata kama watakuwa wamestaafu na kuwa wazee vibogoyo. Itabidi walipe kama wahalifu wengine wanavyolipa kwa uhalifu wao. Hakuna mwanzo usio na mwisho wala marefu yasiyo na ncha
@Williamstozzo
@Williamstozzo 2 күн бұрын
True
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli 2 күн бұрын
My president 2025
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
Not only yours !! Its ours with effect from 2020.
@josephmlazier1391
@josephmlazier1391 2 күн бұрын
Mama ABDUL mwenyewe ajui sisi wananchi tukiamua ubaya ata tunaweza kusema kwa pamoja kwamba yeye sio Rais tuliomchagua hivyo atuachie tu nchi yetu kabla hajaizamisha kusikojulikana
@driss4957
@driss4957 2 күн бұрын
Lisu Kabali yao,nyeusi anasema nyeusi.
@jaredayiera3279
@jaredayiera3279 2 күн бұрын
Luka 3:14, Askari Nayo wakamhukiza sisi nasi tufanye Ninii Akawambia Msithulumu Mtu awe yeyotee wala kumshataki kw uwongoo na mutozelewe na msahara wenuuuuu 16/09/2024
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 2 күн бұрын
Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu
@JosephRugafunga
@JosephRugafunga 2 күн бұрын
Ilikuwaje makosa kuweka wagombea pamoja na mawakala wenu na nchi ni ya vyama vingi
@sadamissa5687
@sadamissa5687 2 күн бұрын
Nchi imekua kama Korea kaskazin kwa kiduku
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 2 күн бұрын
Free Tanzania
@DanieliLaizer-r2k
@DanieliLaizer-r2k 2 күн бұрын
Ni hatari sana kwa nchi yetu tunakoelekea lakini kwa Hali hii Kuna siku maalumu kisiyo na jina itaisha tu kwa lipi kwa kisasi hiki na tunakoelekea one days
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 2 күн бұрын
Waambie Rais wetu tuna kuku bali sana
@JulianaPetro-b7r
@JulianaPetro-b7r 2 күн бұрын
Du ! Nakutegemea mwanamke kuwa na roho ya uuaji kama vile.mwanamke anayezaa kwa uchungu.
@daviddsouza735
@daviddsouza735 2 күн бұрын
Na anayetoa mimba?
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 күн бұрын
KWA JINSI HIYO KAMA NI CHADEMA WANAUA AU POLISI BASI SCOTLAND YARD NDIO MUARUBAINI
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 2 күн бұрын
Umeelewekaaaaaaaa
@shmohd11
@shmohd11 2 күн бұрын
Na viongozi wa dini ya Kiislamu je? Msiwe na ubinafsi, jumuisheni na wale wa kidini
@LazaroJohn-n2l
@LazaroJohn-n2l 2 күн бұрын
Dar mpaka mwandishi mwenyewe amemkubali lisu ni mwamba
@RajabuMussa-h5n
@RajabuMussa-h5n 7 сағат бұрын
Mungu akulinde sana ila damu Yako na ya watanzania wingine zitawaumbua sana na zitawatesa sana wanaojifanya miungu watu
@BenedictKadege
@BenedictKadege 2 күн бұрын
My presdent 2025
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z Күн бұрын
Good point, Hakuna Sheria inayo sema Chadema wauwane,na wakiuana wasifanyiwe uchunguzi,hii ni kuwapakazia na kuwa hadaa wananchi tu
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 күн бұрын
Kama Uhasama, sorry, usalama wa taifa wana mamlaka ya kukamata, kwa mujibu wa sheria mpya, lazima waue. Ni kama magaidi. Hawana mahabusu wala magereza. Hivyo, suluhu ni kuua. Mchezo huu unaanzia kwenye uislam ambapo kuna baadhi waliaruhusiwa kuua bila kuwa na dola kwa sababu, logically, hawakuwa na mahali pa kuwatunza watuhumiwa. Lissu umenikumbusha John Troon wa Scotland Yard alivyombaini Moi akaamua kumfukuza na kuua ripoti ya tume ya uchunguzi aliyoiita mwenyewe. Kwa kukumbushia, hata uchunguzi wa vifo vya Edward Sokoine, Horace Kolimba, na Daudi Balaa sorry Balali haujawahi kukamilika. This is Tanzania or TIT.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Күн бұрын
Duuh hatari aisee, sema ile sheria mpya ya mwaka Jana ni kiama aisee Idara ya usalama wa taifa haiwajibiki mahala popote pale na Wala ukikamatwa huna mahala popote kwa kwenda kuishitaki....Nadhani ni Tanzania, Korea kaskazini, Russia, China,Cuba,Venezuela ndo Zina sheria mbovu Kama hii ya kwetu kuhusu usalama wa taifa(So sad aisee, yote ni sababu ya wanasiasa kujiimarisha kiutawala).
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 2 күн бұрын
Hivi watu wabaya hawawezi kutumia gari la polisi,? Kwakuwa tuna nchi jirani zetu katika uchunguzi,hivi ni kweli kuna kitabu alichoandika katibu mkuu wa chama cha chadema, wa zamani mwenendo wa chama na uongozi wake,tundu Lissu kitabu hicho umekisoma?kama umekisoma unasemaje kwa kuwa imeeleza km chadema wanayekana wao wenye kwa wenye,ili kuwashawishi wananchi wawe na kutokuwa na nidhamu kwa Serikali inakuwa Madarrakani,?
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 2 күн бұрын
Yani watu wabaya wanatumia magari ya polisi na silaha kubaka wapinzani wa chama cha udikteta na ujamaa nchini tanzania? Kwelin unaamini hivyo?? Umaskini nchini tanzania hautotatuliwa kwa kukkalia mikono na kuzima akilli yako.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 күн бұрын
Khalfan,haya maovu hayakuanza Leo au jana,toka uchaguzi wa awali wa vyama vingi,wengi mno wa wafuasi wa Upinzani wamepigwa,wameibiwa,wamenyanyaswa na hata KUUWAWA.Lisu yuko sahihi
@dennissamora729
@dennissamora729 2 күн бұрын
Uns akili kweli we?
@NgajaNgaja-s4v
@NgajaNgaja-s4v Күн бұрын
Hali inatisha sana 😂😂😂
@mshumbusideogratias9567
@mshumbusideogratias9567 2 күн бұрын
Mubar mtu makini sana mm nimekozoea kwenye simulizi za rk
@MosMan444
@MosMan444 2 күн бұрын
Mwandishi, maikrofoni yako betri low imeisha charge eehhee! Siku nyingine mjiandae vema. Maikrofoni test 1...2..3 fuu, fuu, fyuuu! Pia mmeshindwa! Take care!
@KhalfanJuma-ii4fk
@KhalfanJuma-ii4fk 2 күн бұрын
Mungu ni mwema ipo siku ataonyesha maajabu yake na utakuwa kiongozi wa Taifa letu. Amiiini🙏
@StephanoMbwambo
@StephanoMbwambo 2 күн бұрын
kwakweli mhe tundu lissu mungu azidi kukutia nguvu. maana wananchi wakitanzania mpaka sasa hatuna imani na serikali ya sasa ya kitanzani.
@walterbhoke7935
@walterbhoke7935 20 сағат бұрын
waziri wa ccm hawezi kutunga kanuni Bora za uchaguzi Kwa vyama vya siasa
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 күн бұрын
Hivi pamoja na matamko mbalimbali ya viongozi wa dini na wadau mbalimbali kutaka uwajibikaji ufanyike Bado tu wahusika wapo ofisini na hata aliyewajiri hasemi lolote nao sasa wanalalamika. Sasa tufanyaje? Haki tuidai Kwa Mungu Kwa kuwa ndo muweza wa yote "Amina".😅
@ukweli255
@ukweli255 2 күн бұрын
Vitu kama hivi kuna WANANCHI hawawezi kuvisikia kamwe...Je tunaopata nafasi ya kuyasikia na kutambua yanayosemwa tunachukua hatua GANI
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 күн бұрын
Kwa hiyo sheria inawalinda watu wa CCM tu. Wanauwa watu kuvuruga usalama sasa wanaitwaje watu wa usalama wakati wanajifanya wa usalama wa taifa. Wauwaji wanajificha katika vichaka vya usalama wa taifa na polisi. Vyote hivyo vyombo ni wauwaji wakubwa sana
@KenedySeraphine
@KenedySeraphine 2 күн бұрын
Hatutaki majibu marahisi kwenye maswali magumu hakuna Sheria inayosema chadema wauwe sababu ya kijinga kabisa majibu kama hayo yanalidharaulisha jeshi letu
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 2 күн бұрын
Huwa najiuliza kwanini MH TUNDU ASIWE RAIS WA TANZANIA KWASABABU ANA UJUZI NA ELIMU KUBWA ,HONGERA MH TUNDU KWA ELIMU YAKO WEWE NI MZALENDO NA MKOMBOZI WA TAIFA LETU
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 күн бұрын
SABABU NI KIBARAKA LABDA DIWANI 😢
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 2 күн бұрын
Katika jambo hili kama kweli tuna dhamira ya kweli na tunakerwa atufurahishwi tunataka kukomesha haya mambo tuonyeshe Kwa vitendo kama kweli sio mnajuana.
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 2 күн бұрын
Free Zanzibar
@kaguripenina63
@kaguripenina63 2 күн бұрын
Free tanganyika
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 2 күн бұрын
HII HAINA KUPEPESA MACHO,CCM NA POLICE NDIO WAHUSIKA WENYEWE WA KUUA,HII DHAMBI NI YA RAIS MWENYEWE.
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 2 күн бұрын
Polisi, Usalama Wa Taifa, Mahakama ni taasisi za serikali zilizo na watu wa ovyo mno. Soulless people. Devils and Monsters in human form
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 күн бұрын
Yan staona sababu za kugombea au kushliki uchaguz kama katba ita endelea kua hii hii
@daviddsouza735
@daviddsouza735 2 күн бұрын
Viongothi wa thithiemu, na wengine wa chatema kuna mambo mengine midogo hayahitaji chama au siasa ili kupambana nayo Mifano- usafi wa mazingira. Ukasanyaji wa taka.
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 2 күн бұрын
Mbona inaonekana kama nchi nzima chama tawala ni wachache sana tofauti na zamani randomly research inaonyesha ni ndugu jamaa tu lakini majority siyo wengine ??? Aisee Sina chama lakini na hofu kubwa sana ya uwezekano wa tawala mpya
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 2 күн бұрын
Rais wetu wapenda amani
@JemisKileto-z4v
@JemisKileto-z4v 2 күн бұрын
Huyu shujaa anafaa kuwa rais na anautu wakibinadamu
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 күн бұрын
Yan nyinyi mna shindwa kumhoji samia maswali mnawaswali watu ambao hawaja ishika dola skupoteza mda huko hamtaki kuhoji juu ya bandar na watuwanao tekwa hovyo mna kaa kutafuta tafta vya kuahoji upinZan.
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 2 күн бұрын
MUNGU AKUPE AFYA LISSU HAKIKA TUNAIMANI NA WEWE TUVUSHE
@sangewangoya1182
@sangewangoya1182 13 сағат бұрын
Sio kila kifo ni kifo tu!
@johnkitoka9632
@johnkitoka9632 2 күн бұрын
Hawa waandishi wetu wako shallow sana namna walivyo uliza maswali. They don't ask intelligent questions questions.
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Күн бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@MohsenAljahwary
@MohsenAljahwary 18 сағат бұрын
Uchunguzi wako Tundu Lissu acha kudanganya watanzania Mleteni Driver wako aliyekuwa nawewe wkt unapigwa hizo Risasi Feki mmemficha wapi inasemekana yuko Nje ya nchi basi aje akamilishe ushahidi hamjamleta.Nna wasiwasi nae mmemuuwa pia ili asije akasema ukweli hayo mapmbo mnayoendelea kupanga.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 күн бұрын
TENA MSIBA MZITOO. MAANA NI KILA WAKATI
@erickjosephat863
@erickjosephat863 2 күн бұрын
Tatizo mpaka mahakama nayo amna kitu ni muhimili unaojitegemea lakini kwa ualisia akuna lolote
@mselledamas9078
@mselledamas9078 Күн бұрын
CCM imechoka haifai kuongoza NCHI lisu ni rais ajae
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 2 күн бұрын
hivi mke wa lissu yule wakili bado wapo nae ? Simuoni tena yule dada jaman mwenye kujua hili maana tulikua tunaona wako pamoja niliona wakasemaa lisu cjui kaoa mzungu nani mwenye kujua
@VIPSwahili
@VIPSwahili 2 күн бұрын
Yuko nje ya nchi na watoto wao
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
Huko ni kujitia upofu. Hoja zilizopo hapa hazimhusu mke wa Lissu.!! Umewahi kuhoji alipo mume wa Samia kwenye vikao vyake ?
@SDM2024-z4s
@SDM2024-z4s Күн бұрын
Huyu lissu fala kwl,sasa kisa mtu anajitambulisha kuwa ni polisi ndo polisi au.. Acha ufala ww uraisi sahau mzee
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 2 күн бұрын
Rais Samia anataka urais kwa DAMU za WATANGANYIKA? Mbona hatujasikia Wazanzibari wanatekana na kuuana? Kama uhai wa WATANGANYIKA hauna thamani basi NI Bora ajiuzulu madaraka yake ya urais na ikibidi arudi kwao Zanzibar akasaidiane kuwateka Wazanzibari wenzake.
@JosephRugafunga
@JosephRugafunga 2 күн бұрын
Kwa nini una tumia umangi meza kutojali serikali iliyopo madarakani kisheria pia na chama talawa
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 күн бұрын
Sijui unatazama wote ni matikiti kama wewe
@EmmanuelMahingule
@EmmanuelMahingule 2 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@DavidKagulu
@DavidKagulu 2 күн бұрын
Ccm ni washenzi wasio staili kuishi Karne hiii
@JulianaPetro-b7r
@JulianaPetro-b7r 2 күн бұрын
Kwanini watawala wanapenda utawala wa damu?
@EmanuelMbandi
@EmanuelMbandi 2 күн бұрын
Wananchi inatakiwa tujilinde sisi mtu akitekwa tumtafute sisi tumalizane naye
@NyumbayaWakfukkoo
@NyumbayaWakfukkoo Күн бұрын
HALI KISIASA NZURI ILA NYINYI MNACHAFUA KWA VITENDO VYENU VYA UTEKAJI LISU ACHA FUJO WW NI MKONGO UNALETA FUJO NCHI ZA WATU KWA UROHO WA MADARAKA . URAIS UPATI NA HAUPATIKANI KWA NJIA HIO
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
We need explanation through English and kiswahili language such explanation from BBC kiswahili on single language we tanzania we disagree why we use to see ather country use two languages local language and lntanationol language we have seen this for so long enough is enough let we tanzania creatisise BBC kiswahili use single language wich ather country no idea on kiswahili language this explanation from tundundulisu need lntanationol language because is the politician knowing by world that is the tanzania top opposition voice in our tanzania national
@LukasaNgawo
@LukasaNgawo 2 күн бұрын
😂
@mselledamas9078
@mselledamas9078 Күн бұрын
Jaji anateuliwa na rais katibu wa bunge anateuliwa na rais haki inatoka wapii?
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 күн бұрын
Sasa c mjichunguze wenyewe maana mlijishambulia wenyewe
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 2 күн бұрын
Kichwa kimejaa mavi
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 күн бұрын
Kopo
@JumaMagora
@JumaMagora 2 күн бұрын
Imekuwa kama DrugCartel killings
@dostovan5142
@dostovan5142 2 күн бұрын
Wapinzani si mtoke waendeshe nchi wenyew?
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 күн бұрын
Watoke waende wapi?
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
Nchi ni yao au yetu sote ?
@ElishaMalongo
@ElishaMalongo 13 сағат бұрын
Unadhani kwa akili zako sambamba na mazingira hayo unayoyaona,hao "Scotland Yard"serikali hii itakubali na kuridhia gharama ya watu hao waje kufanya kazi humu nchini?
@JulianaPetro-b7r
@JulianaPetro-b7r 2 күн бұрын
Sikutegemea kabisa mwanamke mh
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 2 күн бұрын
Fakes jiurnalist doesn't know to ask a questions he scared interlocutor.... Where Salim Kikeke...
@daviddsouza735
@daviddsouza735 2 күн бұрын
Which questions?
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
What were your expetations on the questions to Mr Lissu ?
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 2 күн бұрын
Ccorrection unasababishwa tukiaminiana anayeteka,
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph 2 күн бұрын
Ccm Hawawezi Teka Mtu Wakijua Wao Ndio Wanaoshutumiwa So Chadema Umeona Inaemda Kwenye Uxhaguzi Na Wao Hawako Tayari Kiushindani Ndio Mana Wanaleta Tahalluki,Shida Kwa Sasa Japo Ccm Wana Mapungufu Lkn Upinzani Ndio Hauna Chochote Cha Maana Kimshawishi Mwananchi
@Baron_Kigume
@Baron_Kigume 2 күн бұрын
Hii ni Hoja Dhaifu sana. inasikitisha mno kuona Kuna baadhi ya watanzania bado wana fikra hizi
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 2 күн бұрын
Kama hujapata shida huwezi jua shida ya mwenzako.
@zidatv1122
@zidatv1122 2 күн бұрын
Tanzania kuna nguruwe maji nyingi kama huna cha kuongea kaaa kimya
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
Kama wauaji wanafahamika si wakamatwe na kufikishwa mahali husika ? Polisi hawa ukizidisha muda tu mkutanoni wanakuvaa.. Ukitamka maneno makali unaitwa kituoni.. Ila CCM wao baridiii
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 күн бұрын
Akili hauna
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 12 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 56 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,6 МЛН
John Mearsheimer and Jeffrey Sachs | All-In Summit 2024
54:05
All-In Podcast
Рет қаралды 603 М.
SOGGY DOGGY AMUIMBIA ALIKIBA LIVE/ AFICHUA ALICHOFANYIWA NA PROMOTA
15:53
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Episode 64 - Alireza Eskandari | Boghche CEO
2:56:19
طبقه ۱۶
Рет қаралды 621 М.
VETA yatengeneza mashine za kuchuja mafuta ya Alizeti
7:08
VETA Tanzania
Рет қаралды 3,7 М.
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 12 МЛН