Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili #bbcswahili #bbcswahilileo #drc #goma #kinshasa #tshisekedi #kagame
Пікірлер: 52
@CedrickMulamba-lb6sl5 күн бұрын
Namshukuru sana mwenyezi mungu maana ndoto yangu imeanza kutimia kidogo kidogo ya kuona africa ikiamka nasimamia rasili mali yake kunu faisha bara la africa
@MseyaMayuki5 күн бұрын
BBC mnatuhabarisha vyema❤❤❤❤❤
@cyubahiroclement1915 күн бұрын
Saa chache kivipi nyie BBC hmpendi amani mnajulikana sasa M23 imesharudisha amani na mnaleta uongo wenu na kukatisha maneno ! Social media zote zinaonyesha laia wameshukuru mungu kukombolewa nyie mnaleta propaganda tu
@BahatiPascal-t6i5 күн бұрын
Acha ukuma wewe
@ndikubwimanafaustin55495 күн бұрын
Ukweli ni kuwa Rwanda haihusiki na vita hivo. Wanyarwanda tunataka amani kwa kila taifa duniani.
@fatmafatu11285 күн бұрын
Mnahusika sana tu
@AmadyYusuf5 күн бұрын
Alhamdulillah... tuko salama
@AlfredMataro-w3q5 күн бұрын
Ooh my God protect goma 🇨🇩
@cyubahiroclement1915 күн бұрын
Imesha waprotect nakuwapa M23 we kafutilie vizuli
@EliudiJastini5 күн бұрын
From Tanzania 🇹🇿
@FrancisSamweli-nh3uz5 күн бұрын
Waafrika tupendane mungu atusamehe
@HappynessBahemu5 күн бұрын
InshaAllah mazungumzo yawe yenye kheri na Masikilizano mazuri
@NyabyendaEthien5 күн бұрын
😮❤❤🎉🎉
@carolinetanui23825 күн бұрын
Tunawaombea Amani Congo🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SihabaAbdallah-li6dx5 күн бұрын
Aminn
@ElizabethLinus-d3j5 күн бұрын
Good mchambuzi umewambia waafrika kitu cha maana kama wanabadilika na wabadilike sasa kujipa ga ni muhimu nakujua kujitegemea pia
@AmadyYusuf5 күн бұрын
Assslaaam alaykuum my brother..odit
@Bounddeadlasse5 күн бұрын
❤❤❤❤
@LucySimba5 күн бұрын
Criff 👍
@CharlesSteven-z8v5 күн бұрын
Hao wachangaji wa habari tu😮😮
@HabimanaJeanpour4 күн бұрын
Nihatali😢
@KashumbaMshanzi5 күн бұрын
Mtaharam umejibu vizuri tusche kutorosha pesa
@abdulngenda64755 күн бұрын
Masikitiko leo kusikia Rwanda a adhibu Tanzaniya huko kwenye mapambano kongo
@PaulPhilimon-p8z5 күн бұрын
Watanzania😢
@MargaretMathiote5 күн бұрын
Usiku usiokuwa na usumbufu wa mbu
@HabimanaJeanpour4 күн бұрын
Abasirikali ba congo nakasamutwe
@BenjaNetanyahu5 күн бұрын
Africa watakufa kama kunguni, viongozi wa africa wana nuka ufisadi
@LucySimba5 күн бұрын
Usiku Mwanana
@PeterJonathan-c8k5 күн бұрын
Hizo sirahaa zinazouwa ndugu zetu zinapitia bandari za tanzania na kenya, kwa nini wasizuie zisifike rwanda kwa watusi wa kipumbavu waliolaniwa
@SihabaAbdallah-li6dx5 күн бұрын
Serekal zote lazima ziwe n silaha
@SalumuSalumu-h8r5 күн бұрын
Mpaka tutalipiza kisasi kwa Rwanda,wanyarwanda wawe tiyari ikiambacho wametutendea kitawarudia mara tanu
@cyubahiroclement1915 күн бұрын
Acha ujinga wewe kwani m23 ikipigania haki yamnyonge Rwanda wapi nawapi ? Mungu haskirizagi maombi yawaovu wewe 😢 hhh
@ThabiyaNgumbu5 күн бұрын
BBC ni wanafikisana wapotoshaji wa habali ndiyo manaa wamefukuzwa bukrinafaso
@eliabeliud4905 күн бұрын
Huyu boya Bora afe tu
@prudencekabemba78795 күн бұрын
Mbpna tz kutumpa walie da ufanya. Ini was tz m bona makufri Mufa ya iyo mobutj alishndwa Leo Tanzania atawe,a? Tama yasiSa nimbay
@ALHAMDUAMISSI5 күн бұрын
Africa tunamali tunachakula tunamaji mazuri tuna samaki tamu nuta kila kitu ambavyo ulaya hawana ila sasa je tunakunga za marazi wanayotumia kuuwa wa africa ????
@JacksonVian-n3l5 күн бұрын
iv mbona tunasikia asikal wanao pambana na m23 ndo wanatangazwa kufalik ila atusikii waas hawaf?
@MarckMasaki4 күн бұрын
BBC mbona hamukuenda gaza na lebanoni achani unafiki
@amirzamir4835 күн бұрын
Kwani hawa M23 kitu gani wanacjokitaka ? naomba ufafanuzi kidogo
@MarckMasaki4 күн бұрын
Ruwanda haiusiki chochote,raisi wa kongo hajitambui, afukuze hao wazungu wote aone kama vita haitaisha,atanishukuru sana,amuoni mwenzake taraoe . kamfukuza mashoga wote nchi sasa imetulia
@unclebk53002 күн бұрын
Nawish angekuepo Mwamba JPM niskie kauli zake juu ya jambo hili
@HabimanaJeanpour4 күн бұрын
Kwiyambura imyenda kbs
@AmadyYusuf5 күн бұрын
BBC..goma nzuri.. m23. Ni wa Congolese
@IsmailKashembo5 күн бұрын
Je huyo mukutano wa idjuma na juma mosi utakuwa na faida kweli ????
@tecnix201695 күн бұрын
sasa ruto alikuwa anaambia rais wa france nini????? kabla waafrika hawajakutana?
@monerexshowz52005 күн бұрын
nawaambia ukweli israeli wamepumzika
@AmadyYusuf5 күн бұрын
Congo tumepoteza mama zetu na ndugu zetu.. milioni 3.... yes
@jonathannjomo3 күн бұрын
Poleni sana tunawaombea from kenya
@AmadyYusuf5 күн бұрын
BBC..goma nzuri.. m23. Ni wa Congolese point of correction....sio waasi...hao Ni m23 wakomboaji