BEATRICE KITAULI - YESU UNIPENDAYE (Official Video)

  Рет қаралды 606,630

BEATRICE KITAULI

BEATRICE KITAULI

Күн бұрын

OMBI LANGU KWA MUNGU WIMBO HUU UKAMGUSE MUNGU AKUTANE NA HAJA ZA MOYO WAKO. IMBA TU KWA IMANI.
ZAMA ROHONI

Пікірлер: 210
@BabuJ54
@BabuJ54 10 жыл бұрын
Huu wimbo nimefurahia sana vile umeuimba. Unanikumbusha miaka ya sitini shule ya msingi huko Nairobi. Tuliuimba mara nyingi katika school assembly. Jesus Lover of my soul..
@datiuskamushanga8988
@datiuskamushanga8988 9 жыл бұрын
Hongera sana dada kwa wimbo mzuri!!!!
@ericknyakizee314
@ericknyakizee314 8 жыл бұрын
nimebarikiwa sana na maneno mazuri yanayotia nguvu toka kwenye wimbo huu
@EliasCharlesNyanza
@EliasCharlesNyanza 6 жыл бұрын
Awesome, endelea kusimama katika roho na kweli, na Bwana akubariki
@Mwituyi
@Mwituyi 10 жыл бұрын
wallahi kazi yako ni sinema ya kupendeza ajabu. sauti nyororo yenye mvuto na ladha. zaidi ya yote wimbo unabariki sana. wakaribishwa Kenya dada Beatrice. Barikiwa
@happygodmoye1739
@happygodmoye1739 9 жыл бұрын
Jux
@CalebMakenzi
@CalebMakenzi 9 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana Dada Beatrice kwa wimbo huu unani kumbusha vile mamangu mpenwa alivyo kuwa akimba vile unavoo imba unafana kama mama yangu sura na matendo MUNGU AKUBARIKI
@slavoyeko1907
@slavoyeko1907 7 жыл бұрын
nice song nipo Dubai lakin siwez choka listen to this song I'm blessed...thank Beatrice be blessed
@masakimasaki99
@masakimasaki99 9 жыл бұрын
Kati ya nyimbo bora zaidi nizipendazo.
@vgfeal
@vgfeal 10 жыл бұрын
Yesu unipendaye, kwako nakimbilia #Blessings
@solompanju4318
@solompanju4318 9 жыл бұрын
Amen nabarikiwaa na nyimbo izo MUNGU wetu hawabariki watumishi wote.
@stvstv4938
@stvstv4938 6 жыл бұрын
Wow where have you been hiding this talent sister. The song speaks direct to the soul.
@piterlaiza5576
@piterlaiza5576 4 жыл бұрын
Bomba sana dada Mungu akubariki sana
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@seziholiness9860
@seziholiness9860 5 жыл бұрын
Angela chibalonza sang it without a book it was amazing it's a inspiring song b blessed
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@clementurassa7526
@clementurassa7526 9 жыл бұрын
Nyimbo nzr sana beatrice mungu aendelee kukutangulia katika kazi yako ya mikono yako
@shirimalamecky2567
@shirimalamecky2567 8 жыл бұрын
Nzuriii nzuri sana napenda sana
@bonnyronoh
@bonnyronoh 9 жыл бұрын
My first time listening to your song. You are truly blessed madam betrice
@bonnyronoh
@bonnyronoh 9 жыл бұрын
Amen, thank you
@halidomary5708
@halidomary5708 9 жыл бұрын
nabarikiwa sana kila nisikilizapo hii nyimbo. Mungu akubariki sana dada beatrice
@fredrickamirah3159
@fredrickamirah3159 9 жыл бұрын
you are blessed beatrice
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 2 жыл бұрын
Mungu atusamehe makosa yetu,atusafishe kwa damu yake
@Zeddywehu
@Zeddywehu 5 жыл бұрын
Amen,Yesu unipendaye
@isaacmunayi193
@isaacmunayi193 9 жыл бұрын
Hakika, Yesu ni mpenzi wetu, Anatupenda bila ya masharti yeyote .Barikiwa sana kwa kuweza kuwa wa baraka kwetu.
@edithaalex6916
@edithaalex6916 2 жыл бұрын
Plz z
@edwardsenkondo6219
@edwardsenkondo6219 7 жыл бұрын
Hongera sana nyimbo nzuri sana....Sicho kuisikiliza
@jacbluvanda4749
@jacbluvanda4749 6 жыл бұрын
Amen amen barkiwe sana dada wimb mzuriiiiiiiii japo nili kupotea
@bonifacesaria7470
@bonifacesaria7470 8 жыл бұрын
Ameni nimejikuta ahsubui ya leo haya maneno yananitoka bilala kunijua naamini Mungu wangu ana kla sabbu y kunikumbusha hli. nawawapenda wote katka bwana jumapili njema wapendwa
@amoslwelwe2035
@amoslwelwe2035 9 жыл бұрын
Big up Beatrice kitauli nimepanda kwani hakuna gome nyingine ubarikiwe
@geraldtarimo2080
@geraldtarimo2080 8 жыл бұрын
Mungu ,.Yesu kristo akuinue sana barikiwa Mtumishi Wa Yesu ,,
@charlesmushi5350
@charlesmushi5350 7 жыл бұрын
sauti nzuri nyimbo nzuri imenipa utukufu
@naumgideon4239
@naumgideon4239 8 жыл бұрын
Nice song cwa cweli umeniguza God bless u ❤👍🎤🎵🎶🎼🎻🎹🎷🎺🎸🌷
@naumgideon4239
@naumgideon4239 8 жыл бұрын
+Beatrice Kitauli May the Lord God bless n uplift you
@danielnghabikishiwa8255
@danielnghabikishiwa8255 10 жыл бұрын
Nikweli Bwana wetu YESU KRISTO anatupenda ndio maana alikufa kwa ajili yangu na yako pia hutusaidia tunapougua,tunapoanguka hutuinua hivyo tumtegemee yeye kwani ni kisima cha uzima,hivyo tujitahidi tustende dhambi .
@gladnessmutasa3472
@gladnessmutasa3472 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Dada Beatrice nafarijika sana nikisikia wimbo huu
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 5 жыл бұрын
asante Gladness Mungu akubariki sana kwa kutazama
@pracidisimali1119
@pracidisimali1119 8 жыл бұрын
Thanks sister Beatrice.wimbo wa uguzo sana.nimekuwa nimeshushika baada ya kusikiza wimbo huu,am blessed.god bless u sister.
@wilsonpaschol9117
@wilsonpaschol9117 7 жыл бұрын
wimbo mzur barikiwa mpendwa
@noellukupe820
@noellukupe820 8 жыл бұрын
BARIKIWA SANA DADA BEATRICE.WIMBO MZURI NINAOUPENDA SANA.
@emmanuelmajabi2821
@emmanuelmajabi2821 9 жыл бұрын
Kazi nzuri usichoke ende;ea mbele
@PSTSTEVEMAKAU
@PSTSTEVEMAKAU 7 жыл бұрын
Wow, wonderful and touching songs.May Almighty God bless you abundantly.
@elifurahambise3957
@elifurahambise3957 4 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana napoimba tenzi hii!
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@imanimagoti900
@imanimagoti900 10 жыл бұрын
Good song,voice and key
@leonardkorir4629
@leonardkorir4629 8 жыл бұрын
Thanks Beatrice for your nice song;may God bless you sis
@carolimahetu1885
@carolimahetu1885 8 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na wimbo huu
@manyaga_oden
@manyaga_oden 8 жыл бұрын
ASANTE SANA DADA BEATRICE. BARIKIWA NA HUDUMA. NAKUSHAURI TAFUTA WATU WA KISWAHILI WAKISAIDIE KABLA YA KURUSHA HABARI KWA UMMA; Mfano HATUSEMI hii nyimbo TUNASEMA HUU WIMBO. Barikiwa sana.
@nassralanzi7986
@nassralanzi7986 8 жыл бұрын
umenifariji dada barikiwa sana mie mkenya january 25,2016
@janethzebedayo5416
@janethzebedayo5416 8 жыл бұрын
ubarikiwe
@wilsonlomayani1395
@wilsonlomayani1395 4 жыл бұрын
nassr alanzi mtumishi mungu akuinuwe ktk utumishi wako
@soniakazania8349
@soniakazania8349 8 жыл бұрын
Ubarikiwe dada,nafaridjika amen
@tasianajuma3197
@tasianajuma3197 4 жыл бұрын
Asante yesu hakika mungu anaweza
@welhardmgaya5867
@welhardmgaya5867 8 жыл бұрын
Be blessed. Keep your words to God. Love it so much.
@lomnyakindaskoi5251
@lomnyakindaskoi5251 8 жыл бұрын
Mungu awe nawe katika shamba lake
@fkilawa
@fkilawa 8 жыл бұрын
Amen....ubarikiwe mlawi wa bwana
@lucyimma4704
@lucyimma4704 3 жыл бұрын
Amen dada ubarikiwe sana 🙏
@eliamazziwa2241
@eliamazziwa2241 7 жыл бұрын
Kati ya nyimbo bora kwenye tenzi hii pia imo Kwa kweli naipenda sana Barikiwa sana.
@naomimsamba8573
@naomimsamba8573 4 жыл бұрын
Yesu unipendae huiburudisha nafsi yangu
@judithlusenge9835
@judithlusenge9835 8 жыл бұрын
mungu anaweza
@mortonpatrick448
@mortonpatrick448 10 жыл бұрын
Wimbo wa Tenzi no mzuri sana Wimbo wa Yes unipendaye.
@robertmaginga6132
@robertmaginga6132 7 жыл бұрын
Amen umebarikiwa kweli
@michelleakinyi6098
@michelleakinyi6098 3 жыл бұрын
Nakupenda sana dada Beaty
@koletayohana8700
@koletayohana8700 7 жыл бұрын
hongera dada Beatrice
@fareenkirau317
@fareenkirau317 9 жыл бұрын
my first time to listen to ur songs, so touching. be blessed
@liliangicheru608
@liliangicheru608 9 жыл бұрын
+Fareen Kirau jhaaj
@marypeter3801
@marypeter3801 6 жыл бұрын
Good message
@finamsigwa2688
@finamsigwa2688 6 жыл бұрын
stay blessed my sisy
@elicanalupondije6515
@elicanalupondije6515 8 жыл бұрын
Barikiwa
@kalungikingalu9694
@kalungikingalu9694 3 жыл бұрын
Wimbo huu haujuji kwangu barikiwa
@phabianjohn2963
@phabianjohn2963 8 жыл бұрын
hongera sana Dada Beatrice kwa kutuinjilisha via nyimbo za tenzi za horoni.
@josephinaa9554
@josephinaa9554 8 жыл бұрын
nice tenzi
@gloryngawe4534
@gloryngawe4534 6 жыл бұрын
ameen
@philipobarare9217
@philipobarare9217 9 жыл бұрын
mungu awabariki zana
@mariamnyerere7499
@mariamnyerere7499 6 жыл бұрын
ubarikiwe. Dada angu naupenda sana huu mwimbo namkumbuka mchungaji wangu
@umbwamdogo7427
@umbwamdogo7427 8 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@happnessmlay4310
@happnessmlay4310 8 жыл бұрын
you make my day blessed
@NduatiJohn
@NduatiJohn 7 жыл бұрын
I like the song. Thanks
@eliyangenzi2277
@eliyangenzi2277 9 жыл бұрын
barikiwa sana dada
@sylivestermatagi4287
@sylivestermatagi4287 8 жыл бұрын
Yesu anatupenda sana...ubarikiwe dada beatrice..
@geraldmuchiri3918
@geraldmuchiri3918 5 жыл бұрын
Ni Baraka tupu
@evancemukongoro4877
@evancemukongoro4877 6 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana, sauti na vyombo vya muziki vyaambatana sawaswa.
@innocentkowero8425
@innocentkowero8425 5 жыл бұрын
Yesu unipendae ni ww utoshaeeee
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@albanbros7210
@albanbros7210 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dadangu
@jeremiahmasunga7782
@jeremiahmasunga7782 8 жыл бұрын
ubarikiwe b
@mathewmnyambi6417
@mathewmnyambi6417 8 жыл бұрын
ubarikiwe Mtumishi beatrice
@mathewmnyambi6417
@mathewmnyambi6417 8 жыл бұрын
Napenda unavyoimba nabarikiwa
@mathewmnyambi6417
@mathewmnyambi6417 8 жыл бұрын
Amen mtumishi be blessed in Jesus name
@patrickkasiga8716
@patrickkasiga8716 8 жыл бұрын
i alwas appreciate this song when i hear in my ears. I do feel glories and graces of God to get in my soul, in my heart, and my body in general. now say thank you to my Lord of the Servant to us of our mind to serve us.
@lucyemmanuel9101
@lucyemmanuel9101 Жыл бұрын
Ppp
@mwanziajesse3772
@mwanziajesse3772 9 жыл бұрын
So sweet song, blessing my soul.
@esmonchumba2601
@esmonchumba2601 9 жыл бұрын
Good one come to australia utuimbie
@JOHNMAKALANGAJI
@JOHNMAKALANGAJI 9 жыл бұрын
may God bless u B
@JOHNMAKALANGAJI
@JOHNMAKALANGAJI 9 жыл бұрын
Beatrice Kitauli Amen
@Miiigy
@Miiigy 10 жыл бұрын
very good my dear may God be with you....
@Miiigy
@Miiigy 10 жыл бұрын
Beatrice Kitauli we can't wait to hear something new from you,, your doing great job,,
@moraalabasterimagineky2778
@moraalabasterimagineky2778 8 жыл бұрын
thank u sis u motivate me tooo much be blessed I lk songs
@ElizabethLoth-lq8vt
@ElizabethLoth-lq8vt Жыл бұрын
nabarikiwa sana hakika
@erhardwilla7228
@erhardwilla7228 10 жыл бұрын
God bless you my sister
@emmanuelyahya9712
@emmanuelyahya9712 10 жыл бұрын
Nyimbo yako nzur mpnz
@maarasubcounty5522
@maarasubcounty5522 5 жыл бұрын
The God of St. Thomas and Dante is a God Who loves, the god of Aristotle is a god who does not refuse to be loved; the love that moves the heavens and the stars in Aristotle is the love of the heavens and the stars for god, but the love that moves them in St. Thomas and Dante is the love of God for the world; between these two motive causes there is all the difference between an efficient cause on the one hand, and a final cause on the other
@ezekielnachenga5873
@ezekielnachenga5873 10 жыл бұрын
WIMBO WA KUFUNGUA SIKU HASA UNAPOHITJI KUSUDIO LA MUNGU LITENDEKE KWAKO
@kadzorobertzimba7606
@kadzorobertzimba7606 7 жыл бұрын
amen bwana haezi nitupa wanadamu wajapo niacha amen
@leilakulwa3591
@leilakulwa3591 7 жыл бұрын
Amina barikiwa kwa Wimbo wenye ujumbe mzuri
@salmahakoth1021
@salmahakoth1021 7 жыл бұрын
May god bless you sister..
@brunomusphany8428
@brunomusphany8428 7 жыл бұрын
Nice song, be blessed
@paschalkatemi3214
@paschalkatemi3214 7 жыл бұрын
Mungu akupandishe zaidi ya hapo
@betrichr3022
@betrichr3022 2 жыл бұрын
God Bless you more and More
@malkiafuraha9694
@malkiafuraha9694 5 жыл бұрын
Amen. God bless
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@alfanrashid3072
@alfanrashid3072 9 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana
@alfanrashid3072
@alfanrashid3072 9 жыл бұрын
Nabarikiwa mno
@chirchirkimutai9711
@chirchirkimutai9711 6 жыл бұрын
hii nyimbo inanikuza sana.ubarikiwe dada
@charleskinungi659
@charleskinungi659 6 жыл бұрын
Very inspiring hymn Beatrice...i.listen to this song so quite often.. Charles; North Carolina USA
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 2 жыл бұрын
Nyimbo hii Huwa inanibariki
@richardmugacostantine2791
@richardmugacostantine2791 5 жыл бұрын
Mungu akubariki.
@marthasango6736
@marthasango6736 6 жыл бұрын
Be blessed may God rift up your ministry
@annaracheldaniel5132
@annaracheldaniel5132 7 жыл бұрын
glory to God,
@malakisospeter3325
@malakisospeter3325 9 жыл бұрын
halleluya aman kwa bwana
@GraceTindwa
@GraceTindwa 7 ай бұрын
Amina, Amina, Amina,
@jamesmgonda
@jamesmgonda 3 жыл бұрын
Hauimbw hivyoo ameuharibuu
@HenryMusila
@HenryMusila 8 жыл бұрын
let we praise Lord God for his Blessing for us
Yesu Unipendaye - Pst. Stanley Nnko (Official Music).
8:26
Pst. Stanley Nnko
Рет қаралды 2 М.
BEATRICE KITAULI Ft ROSE MUHANDO - KESHO (Official video) Skiza 8084272 to 811
5:37
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 41 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 92 МЛН
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 6 МЛН
LIKO LANGO MOJA WAZI. dinu zeno. 0625954315
7:05
Dinu Zeno
Рет қаралды 3,2 МЛН
Mwamba wenye Imara - Godwin Ombeni
5:47
GODWIN OMBENI-ONLINE TV
Рет қаралды 6 МЛН
VITO VYA THAMANI (KITAMBO BWANA YUAJA)
5:28
MrMwadila
Рет қаралды 245 М.
ROHO YANGU NA IKUIMBIE BY PASTOR MARY KANEMBA
7:23
Pastor Mary Kanemba
Рет қаралды 723 М.
Yesu unipendaye
7:35
Joyous Sound Studio
Рет қаралды 74 М.
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 14 МЛН
NATAKA NIMJUE YESU. dinuzeno.0625954315 whatsapp.
6:05
Dinu Zeno
Рет қаралды 3,2 МЛН
YESU UNIPENDAYE BY PCEA PRAIS TEAM (Official Video)
5:07
PCEA TUMAINI PRAISE TEAM
Рет қаралды 9 М.
Nyimbo Za Tenzi Za Rohoni Songs Swahili Mix -  Nyimbo Za Injili (2 Hrs)
2:02:27