Nyimbo Za Tenzi Za Rohoni Songs Swahili Mix - Nyimbo Za Injili (2 Hrs)

  Рет қаралды 1,892,393

PianoPio

PianoPio

Күн бұрын

Nyimbo zaidi ya 20 za Tenzi sehemu moja. Nyimbo za Tenzi za Rohoni Swahili Mix
Tenzi za rohoni, Wimbo wa tenzi, hymn songs
1.Usinipite Mwokozi
2.Salama Rohoni
3.Mwamba wenye imara
4.Yesu Unipendaye
5.Mteteeni Yesu
6.Kombolewa
7.Chakutumaini sina
8. Tenzi za rohoni songs
20.Tenzi za rohoni mix
2x. nyimbo za tenzi.

Пікірлер: 449
@evelynekanana5424
@evelynekanana5424 Ай бұрын
Ee mungu skia maombi yangu nkiwa Saudi 🇸🇦 rinda my husband akiwa Qatar 🇶🇦 Ee baba yangu skia maombi ya wana wako naomba nakuamini🙏
@SellahOndiso
@SellahOndiso Күн бұрын
Yesu nakuhitaji katika maisha yangu nienende pamoja nawe.
@GracePanduka
@GracePanduka 6 күн бұрын
Jamani nampenda Yesu kwa maisha yangu yote kwasababu ameniokoa
@KelvinIddy-f6v
@KelvinIddy-f6v 14 күн бұрын
Nahitaj salama ya rohoni mwangu leo yesu nikuaminie na kukupenda❤
@AgnessNjeri
@AgnessNjeri 6 күн бұрын
Usinipite mwokozi wangu uniponye roho na mwili wangu 🙏
@HustonMugesi
@HustonMugesi 7 күн бұрын
unapo dhuru wengine Bwana usinipite pamoja na familia yangu.
@noahpaulgonde8571
@noahpaulgonde8571 2 ай бұрын
Yesu usinipite baba na mm nipate mtoto Salam niitwe mama 🙏🙏🙏
@alfredmarydemakaya7514
@alfredmarydemakaya7514 2 ай бұрын
Imani yako imekuponya, Amina 🙏
@lawrencenyamai8659
@lawrencenyamai8659 2 ай бұрын
Na mungu akasikie kilio chako
@CarolineNdemo-hx9lq
@CarolineNdemo-hx9lq 2 ай бұрын
Naomba Mungu ajibu tamanio la moto wako🙏
@elizabethharding7360
@elizabethharding7360 Ай бұрын
May God hear your prayer ❤
@EmmaMuthee
@EmmaMuthee Ай бұрын
May your wish be granted by Almighty God 😭😭😭my sister in law suffered 9yrs without a child familia yake wakamtenga but sisi in laws wake we love he very much na we supported her through prays and now she's a mother of 2children a boy and a girl,,so God is God of good plans so keep calling Him and if let me know your name I will be helping you with prayers and I believe God will answer your prayers 🙏🙏🙏
@DorcasNasimiyu-g4e
@DorcasNasimiyu-g4e 6 күн бұрын
Usinipite yesu nakutegemea
@hellenachieng3708
@hellenachieng3708 11 күн бұрын
May God be with you all the time.
@metlarousse4839
@metlarousse4839 Ай бұрын
Mèsi anpil bondye Pou gras ou pa kite mwen bon sovè koute kwiye mw kan ou okipe lèzòt yo pa pase mwen mwen mèsi jezi papa mw santi'm beni
@CynthiaJerop-j6m
@CynthiaJerop-j6m Ай бұрын
Nisalama rohoni ni wimbo naipenda sana
@MercylineAchayo
@MercylineAchayo Жыл бұрын
Nionapo amani kama shwari:hiyo wimbo huwa unaninguza moyo wangu nasikia am okay, grory be to God
@jacksonjustinianmagezi
@jacksonjustinianmagezi 4 ай бұрын
Amani ya moyo imepatikana, Bwana apewe sifa sana.
@ElizabethMuniki
@ElizabethMuniki 3 ай бұрын
​@@jacksonjustinianmagezi⁰⁰⁰0
@MwaluMagandula
@MwaluMagandula Ай бұрын
😊😊
@DerickKihundwa
@DerickKihundwa Ай бұрын
😅q😊
@RehamaAmisa
@RehamaAmisa Ай бұрын
Usinipite mungu wangu
@EditaJackson
@EditaJackson Ай бұрын
Mung naomb usinipit me na mchumb wang tuvuke salm pka kufung ndoa AMENI
@eliasilaizar9787
@eliasilaizar9787 Жыл бұрын
Haleluya Mungu azidikuinuliwa Milele Na milele Amen
@LevinusBwikizo
@LevinusBwikizo 2 ай бұрын
Mungu usinipite kwenye usahili wa kazi ninaotarajia kuufanya
@ObedyBazirake
@ObedyBazirake Ай бұрын
Jina la bwana yesu kristo asifiwe nyimbo hizi zinaniimarisha ki roho mungu akubariki mutu wamungu
@KelvinIddy-f6v
@KelvinIddy-f6v 14 күн бұрын
Yesu nakutegemea ww leo usinipiti naomba UCK wa Leo nishike mtoto wangu naamini utatenda na ninakupenda ❤ yesu wangu na mwokozi wangu
@savvyd2588
@savvyd2588 5 ай бұрын
0:05 Usinipite Mwokozi 5:33 Ni Salama Rohoni Mwangu 10:38 Mwamba Wenye Imara 14:58 Yesu Unipendaye 20:21 Nimekombolewa na Yesu 26:03 Nataka Nimjue Yesu 30:41 Bwana U sehemu yangu 35:47 Kale Nilitembea 44:46 Kijito cha Utakaso 50:50 Liko Lango Moja Wazi 57:47 Sioni Haya kwa Bwana 1:03:23 Msalabani pa Mwokozi 1:09:08 Nena Mungu 1:13:44 Kijito cha Utakaso
@hellenachieng3708
@hellenachieng3708 17 күн бұрын
this good
@JeanmarieIninahazwe
@JeanmarieIninahazwe Ай бұрын
❤❤❤
@lodricklazaro1013
@lodricklazaro1013 Ай бұрын
god bless me
@minzaharuni2820
@minzaharuni2820 Ай бұрын
Mwenyezi mungu naomba usiku huu nijaze nguvu ya kuombà maombi ya vita
@MarionMungai-k8n
@MarionMungai-k8n Ай бұрын
Akujaze uombe hata wakati kunawema na pia wakati wa vita...illa kumbuka kwamba vita ni vya Mungu,hutupigania mwenyewe...
@SarahMosses
@SarahMosses Ай бұрын
Yesu usinipite unapodhuru wenginee na Mimi niguseee amen
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 11 күн бұрын
Ee Mungu sikia maombi yangu, bariki familia yangu na kazi zangu za shamba zikabarikiwe na wewe.inua uchumi wangu kwa njia zote zikupendezazo
@OscarKinyaha-i9y
@OscarKinyaha-i9y Ай бұрын
Naomba MUNGU anipe karama za rohoni ili nimtumikie ,
@neomisymon2343
@neomisymon2343 Жыл бұрын
Raha ya kuwa Muangilikana🎉🎉
@PhaniceBarasa-r5j
@PhaniceBarasa-r5j Жыл бұрын
Amen 🙏 nabarikiwa Moyo wangu Kwasi nyimbo munguawabariki awatie ngufu
@RehamaAmisa
@RehamaAmisa Ай бұрын
Ee mungu wangu nisaidie nafamilia yangu yote
@MirriamNdinda-ql9jp
@MirriamNdinda-ql9jp Ай бұрын
Usinipite mwokozi
@GodlivingMongi-jt6hy
@GodlivingMongi-jt6hy Жыл бұрын
Amina
@TeclaJepchumba-y4v
@TeclaJepchumba-y4v Ай бұрын
😭😭😭 God bless us and forgive us our sins Lord 🙏 glory be to God
@JemimaAyuma
@JemimaAyuma Ай бұрын
Jipe moyo mateso niamda muamini naye atakutea amina
@FredyJoseph-et5yb
@FredyJoseph-et5yb Жыл бұрын
Amen amen ubarikiwe sanaa usinipite mwokoz unapoguza wengine usinipite mwokoz wangu
@sylviaomwenga8740
@sylviaomwenga8740 Жыл бұрын
Asante kwa huo nyimbo na bubujiki sana Mungu azidi kuwainua
@markopiniel7978
@markopiniel7978 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mosesmwari2174
@mosesmwari2174 27 күн бұрын
mungu niponye kutokana na tatizo LA kiakili la wasiwasi,,
@JudyKita
@JudyKita 23 күн бұрын
I will be praying for you tonight moses
@oscarchia4596
@oscarchia4596 11 ай бұрын
Bless 🙏
@Estella122-m1v
@Estella122-m1v Жыл бұрын
Tunusulu Dhabi zetu nautujalie kuuono ufalume wake wz mbinguni
@Infinix23-s4m
@Infinix23-s4m Ай бұрын
Ameeeen7 touchable song glory to God 🔥🔥🔥🔥
@Evangelistcarol
@Evangelistcarol Жыл бұрын
Amen amina🙏🥰
@jbdebbie3077
@jbdebbie3077 Жыл бұрын
AM blessed SAUDI ARABIA 🇸🇦 watching ❤❤❤❤❤30th April 2023
@JacobMupya
@JacobMupya 2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 emen
@suzenmnkondya
@suzenmnkondya 5 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 baba nakuomba sikia kiliyo changu nipo chini ya mi guuu yako
@jamesmutisya5104
@jamesmutisya5104 Жыл бұрын
Whaau! Nyimbo za kuiponya roho
@fatumaleontina7083
@fatumaleontina7083 9 ай бұрын
Utukufu wa bwana na uwe pamoja nasi.
@ElizaTrasis
@ElizaTrasis 3 ай бұрын
Mubarikiwe kwa izi nyimbo napata amani Sana moyoni mwangu.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Жыл бұрын
Popote na Yesu ntakwenda.
@rahabmwangigichuki9494
@rahabmwangigichuki9494 Жыл бұрын
,l
@RahelKirote
@RahelKirote Жыл бұрын
Barikiwa binamu ,# Kenya family...❤
@angeliquedebora6028
@angeliquedebora6028 10 ай бұрын
Aksante saana Baba MUNGU kwa wema wako na. Neema yako juu yetu daima .....❤❤ kweli hakika ninaogelea na nimetakaswa ndani ya kijito cha damu ya YESU-BW. 🎉🎉🎉........ ni wako MUNGU Baba daima. TENZI ZA ROHONI uniweka uweponi ❤❤❤ BW-MUNGU atukuzweeeee. na awape .... ... kheri na amani siku zote.
@JohnKaribata
@JohnKaribata 2 ай бұрын
Namimi naguswa sana yesu ayinuriwe
@PaschalThobias-nz9vh
@PaschalThobias-nz9vh 3 ай бұрын
Hua najiskia raha sana kuskilza hz nyimbo
@AdrisaBebertto-nt4ue
@AdrisaBebertto-nt4ue Жыл бұрын
Amena
@RoseOmutibo
@RoseOmutibo Жыл бұрын
Songs zimennice sana Mungu awabariki
@KelvinKinyua-z8e
@KelvinKinyua-z8e Жыл бұрын
Na Asifiwe sana Bwana yesu
@StephanoMwakilito
@StephanoMwakilito Жыл бұрын
Iman ya bwana ikae pamoja nasi milele Amen.
@LizzieMaguire-ox1wk
@LizzieMaguire-ox1wk 11 ай бұрын
Nakombolewa na damu ya yesu Mimi mwana wake kweli Amina
@Tembamkuu
@Tembamkuu 6 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 4 ай бұрын
Kweli nimebarikiwa na jumbe zote za nyimbo hz moyo wangu umefarijika sn hasa kipindi hki kigumu cha majonzi ya kumpoteza mpendwa wetu tar 25.
@modelvinstrikah5381
@modelvinstrikah5381 Жыл бұрын
Kwaa Neema yake nafurahia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sabinakinunda3127
@sabinakinunda3127 Жыл бұрын
Abarikiwe mtunzi.unaniguse mengi.Yesu apewe sifa.Amen
@Simeonzeng402
@Simeonzeng402 Жыл бұрын
The ONLYONE WE must praise all day long is our Saviour Jésus-Christ
@LeticiaAttu
@LeticiaAttu Жыл бұрын
Ninamshukuru mungu kwa Kila kitu nikiwa nafatilia tenzi hizi
@johnmwazo7952
@johnmwazo7952 Жыл бұрын
Aamen🙏🏿 Chakutumainia sina
@noelineomuse8056
@noelineomuse8056 10 ай бұрын
❤❤❤reminds me my mum and Anglican church
@evelynnyongesa8007
@evelynnyongesa8007 9 ай бұрын
Kweli kabisa , Yesu usinipite unaposuru wengine ❤❤ Ameen.
@GetrudaNjabili-lr3wp
@GetrudaNjabili-lr3wp Жыл бұрын
Mungu acha aitwe mungu tu.
@deolalika8568
@deolalika8568 Ай бұрын
2024 nabarikiwa na tenzi za rohoni
@JanetKhakame
@JanetKhakame 11 ай бұрын
usinipite mwokosi,nipiganie
@josephinembinya2160
@josephinembinya2160 Жыл бұрын
For sure usinipite Jesus Kaa nami
@JacobNyambi-iq1or
@JacobNyambi-iq1or Жыл бұрын
Hakka wewe ni Mungu wa kweli na waajabu
@mwitazakaria69
@mwitazakaria69 Жыл бұрын
bwana ni mwema wakati wote.wakati wote bwana ni mwema
@easthernjoroge6809
@easthernjoroge6809 Жыл бұрын
Usinipite Yesu
@kelvinmugini6793
@kelvinmugini6793 Жыл бұрын
MUNGU YUKO HAPAAAA
@metrinenyaboke4593
@metrinenyaboke4593 9 ай бұрын
Am feeling like abandoned by the people I loved the most but this mix is giving me hope to keep pushing for the sake of my daughter and mother
@NewPlacetv1
@NewPlacetv1 8 ай бұрын
Hallelujah!!! Usinipite Yesu
@CecileMobwa
@CecileMobwa 8 ай бұрын
Que c est Merveilleux d écouter nos chansons authentiques et inspirées qui me nourrissent et me comblent de joie. MERCI beaucoup l équipe
@tembafreeman1478
@tembafreeman1478 Жыл бұрын
be blessed 4rever you are ameen shallom
@MoshiMaulid
@MoshiMaulid 3 ай бұрын
Raha nzuli na yenye Amani inapatikana Kwa yesu pekee popote uwendapo ni Amani JAMA Nani kama yesu
@ANNGITONGA-p1l
@ANNGITONGA-p1l Жыл бұрын
I give you glory and honor
@benardhamisi28
@benardhamisi28 5 ай бұрын
Mungu usinipite.Nioshe na Damu yake Yesu iliomwagika pale msalabani.Damu ya ukoo mbaya ikatike.Niendelee na Damu nzuri ya upendo,Raha,Amani kwa viazi vyangu vinne.
@mollywasonga
@mollywasonga Жыл бұрын
Usifiwe Msalaba, Lisifiwe kaburi, Linalozidi yote, Asifiwe Mwokozi!
@MosesJames-v7d
@MosesJames-v7d 4 ай бұрын
Moses jemusi
@victorombimambeya8415
@victorombimambeya8415 3 ай бұрын
Amen Amen
@m.d4706
@m.d4706 Жыл бұрын
Sifa ni zako milele Mungu wangu❤, feeling blessed 🙏😇
@thomasmuli5922
@thomasmuli5922 Жыл бұрын
Salama Rohoni hio wimbo uniguza moyo wangu
@joshuamwangwa6174
@joshuamwangwa6174 2 ай бұрын
nabarikiwa sana jamoooooon..... GOD be upon with singers
@HappynessShayo-g7b
@HappynessShayo-g7b Жыл бұрын
Niongoze bwana 🙏🙏🙏🙏
@CareenKim-yj4eg
@CareenKim-yj4eg Жыл бұрын
Asante kwa upendo wako mkubwa kwenye maisha yangu MUNGU
@Katamba255
@Katamba255 Жыл бұрын
pamoja na wewe MUNGU daima
@joyjoykanini3970
@joyjoykanini3970 Жыл бұрын
Utabaki kuwa mungu milele na milele Amina.
@MaCh-id4nw
@MaCh-id4nw Жыл бұрын
To wegigbul
@rhabrhab1797
@rhabrhab1797 Жыл бұрын
Usinipite yesu nakuhitaji kila dakika uwe karibu nami
@MosesDamas
@MosesDamas Жыл бұрын
😢Asate yesu kwa kurejesha aman katita maisha yagu tena
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og 3 ай бұрын
Usiniache bwana nusaidie baba unapozuru wengne usinupite baba🙏🙏🙏😭😭
@suzenmnkondya
@suzenmnkondya 5 ай бұрын
E mungu tusaidiye tupiganie mfame WA ajabu usitupite na waweka mama yangu lusia mwawalo na mama mkwe Wangu wapiganie yesu kiristu baba Hakuna kinacho shindikana kwako🙏🙏🙏🙏🙏
@SylivesterMayengo-e9x
@SylivesterMayengo-e9x Жыл бұрын
Hakika mungu nimwema sana
@HumphreyKazungu
@HumphreyKazungu 4 ай бұрын
Usinipite yesu ❤
@anodiusngimbwa3377
@anodiusngimbwa3377 Жыл бұрын
Muombe mungu kwa Kila jambo
@HeriethCleth
@HeriethCleth 6 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏
@sistim.kimaro6640
@sistim.kimaro6640 Жыл бұрын
Amen🥰🥰🥰
@patriciarudolph9089
@patriciarudolph9089 Жыл бұрын
Asante baba wa mbingu na inchi! Tupe upendo amani tuwekaribu na wewe!
@gracenakamba6053
@gracenakamba6053 7 ай бұрын
Chakula cha lohoni asante
@Gloriousministriesforallnation
@Gloriousministriesforallnation 7 ай бұрын
​@@gracenakamba6053😊😊😊
@YvonneMulongo-q4p
@YvonneMulongo-q4p 8 ай бұрын
amen,i do fellowship at friends church ,these are the good songs we do listen too.
Best S.D.A Nyimbo za Kristo 2021- Vol. 2 -- Nyimbo za Kristo Mix
58:10
HARRYKELLY WORLD
Рет қаралды 318 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 77 МЛН
Expected Ending?
00:45
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 7 МЛН
NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI WORSHIP MIX 2024 - DJ KRINCH KING
48:47
DJ KRINCH THE KING
Рет қаралды 94 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 6 МЛН
Nyimbo Za Kristo - 2022 SDA #Sda songs #nyimbo za kristo 2022 #latest sda songs
1:30:01
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
NYIMBO ZA WOKOVU COLLECTION (2023) - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (Swahili)
1:26:48
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 2,6 МЛН
KATIKATI YA MIUNGU - Swahili Nonstop Worship by Rosemary George
58:45
Rosemary George
Рет қаралды 292 М.
HammAli & Navai - Всем заметно
3:33
HammAli & Navai
Рет қаралды 682 М.
Adil - Қызым | Official Music Video
3:39
Adil
Рет қаралды 2,1 МЛН
Лилия
3:00
Али Ахмет - Topic
Рет қаралды 27 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - May ichsam (Official Music Video)
4:35
NevoMusic
Рет қаралды 2 МЛН
ANT
3:17
Bisariev - Topic
Рет қаралды 69 М.
Amre - Сағынышым менің
3:43
Amre Official
Рет қаралды 132 М.