BEFORE I MEET YOU 💔 { 25 }

  Рет қаралды 92,582

Donta Plus

Donta Plus

Күн бұрын

#love

Пікірлер: 544
@natya4962
@natya4962 8 күн бұрын
Lissa aachane na wote mr D , rafiki yake na huyo jarufu wake, vinginevyo hakuna siri tena , ajiandae kuwa single mother. Mnaokubaliana nami like hapa👍
@AminaAlly-v7e
@AminaAlly-v7e 8 күн бұрын
Amna na hiy mimba atoe tuu maana n kumbkmb mbayaa ya maisha yake
@WinifridaKisinga
@WinifridaKisinga 8 күн бұрын
Mi nashauri atoe na Hiyo mimba aanze upya.
@VaneGesare-wf7oq
@VaneGesare-wf7oq 8 күн бұрын
Ajane na wote kabiza akh wanamfanya anakoza amani
@ladye7464
@ladye7464 8 күн бұрын
Atowe mimba tu
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 7 күн бұрын
@@natya4962 Kabisa
@Silvadsuzanabaixa
@Silvadsuzanabaixa 8 күн бұрын
Ni wangapi tunaipenda ngoma ya before i meet you? Bas kama unaikubali ebu gonga like yako moja tu apa from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🗡️🗡️🗡️⚔️⚔️⚔️
@VeenVv
@VeenVv 8 күн бұрын
Lkn Mr D kaniboo
@ScholarMawia
@ScholarMawia 8 күн бұрын
Wenye tunachukia Mr D ngonga like apa
@leilayathumani2295
@leilayathumani2295 8 күн бұрын
Cmpend
@KhadijahKinyuri
@KhadijahKinyuri 8 күн бұрын
Mm nampenda, Kwan huyu alivyolala na mtu mzima alifikiria nn❤
@mwatumbachirahishakiye1397
@mwatumbachirahishakiye1397 8 күн бұрын
Namchukia tena sanaaa kama Suzy
@SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
@SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 8 күн бұрын
@@KhadijahKinyuriukumbuke ha kulala kwa kupenda alkuwa yuko kazini
@FatumaDullah
@FatumaDullah 8 күн бұрын
​@@KhadijahKinyuritatizo watu wakipenda mtu hata acheze character mbaya wanansifu tu na kumuonea huruma
@LucienNdereyimana-v8l
@LucienNdereyimana-v8l 8 күн бұрын
Mimi naona Lissa aachane kabisa na Mr D na Jarufu pia aanze maisha mpa. haya nawapenda 🎉🎉🎉🎉❤
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 8 күн бұрын
Yaan hapo ushasema na pia aachane na suzy aangalie Maisha yake shida haziuwi MTU na hayo yote chanzo ni suzy
@MathieuMahoro
@MathieuMahoro 8 күн бұрын
Nikweli kbsa ,ila sibyo atateseka lissa
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 8 күн бұрын
Yaani kweli kabisa aky
@IreenAgustino
@IreenAgustino 8 күн бұрын
Uko sawa kbisa
@IreenAgustino
@IreenAgustino 8 күн бұрын
Lissa achana na wote t apo hakun siri mm nliwah kudet na mt na mdog ake na mdogo wake ndio akatak kunioa km hv hee naend kwa utambulisho nkakuta kaka ake nilipagawa 😅😅😅 ilibidi niachane nao wote nkaanza upya yalinkuta ila sikujuwa km ndugu maan moja alikuw dar ndug yak arusha yalinkuta
@Jacy_vaati
@Jacy_vaati 8 күн бұрын
Wenye tunachukia suzzy nko wapi, gonga like😅
@Basilisa-vc2rl
@Basilisa-vc2rl 8 күн бұрын
Suzy hafai kbx kuwa rfkii,, snich sana
@maggiemuliri3739
@maggiemuliri3739 8 күн бұрын
Wanatuboa na huyu Suzzy
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m 8 күн бұрын
Mimi simpendi kabisa yaani
@JoyceSalvatory
@JoyceSalvatory 8 күн бұрын
@@Jacy_vaati Ahaa!Anitwa Suzy mi nampenda anavaa Uhusika sawasawa ndiyo maana unahisi kumchukia ujumbe umefika bila shaka
@JosephatJoseph-x9o
@JosephatJoseph-x9o 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@IvonaMichelle
@IvonaMichelle 7 күн бұрын
Nampenda Sana Maya jaman anaigiza vizuri❤
@glorymanga3650
@glorymanga3650 6 күн бұрын
Ilaaa kusemaa kweli Aminaa anajuaa kuigizaa nampenda sanaa,kitengo chake anakifanyiaa kazii❤❤❤❤❤
@zuhurakagomba6808
@zuhurakagomba6808 7 күн бұрын
Mwenyezimungu niepushe na marafik weny roho mbaya kama suzy
@aziziyoungd8452
@aziziyoungd8452 6 күн бұрын
INSHA' ALLAH🙏🙏 me kwenye movie yenu ntaishia hap maana sio kwa uvivu huuu bye 👋👋 wana DONTAplus. From zenj Young d
@YasintaMabumo-x5k
@YasintaMabumo-x5k 8 күн бұрын
mambo ni fireeeeeeeeeeeeee em naomben like jmn wale 2liozaliwa mwez wa upendooooooooo
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx 8 күн бұрын
Waa suzy sio rafiki jamani , kazi nzuri munatufunza sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@MwanaishaFikiri
@MwanaishaFikiri 7 күн бұрын
Lisa mwambie jarufu ukweli wote,achague mwenyewe awe nawe au laa. Mr D sio wa hadhi yako ni bora uwe singo mother tu kuliko huyo shetani. Anayekubariana na mimi gonga like hapa❤❤❤🎉🎉🎉
@gresimanity3946
@gresimanity3946 8 күн бұрын
hii ngoma ni nzito jamani au mnasemaj
@marymbeyu4534
@marymbeyu4534 8 күн бұрын
Ila part ya wifi ilipata mchezaji bomba😂🎉🎉❤❤
@viviankemunto4435
@viviankemunto4435 8 күн бұрын
Hata sauti ya wifi ❤❤ imeweza
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 8 күн бұрын
Mr D Na Suzzy Wabaya Sana.hasa suzzy Mbaya Sana.pana somo kuwa sana.
@SamanthaJones-o1b
@SamanthaJones-o1b 8 күн бұрын
Wangapi wanachukia Mr D like apo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pendochacha1326
@pendochacha1326 8 күн бұрын
Kevin cha umbea 😂😂😂wa kumsaidia jarufu umepelekwa wapi jmn 😂😂😂nimemic unavyoshangaa ukimwona Mr D mtaani kwa akina suzy😂😂😂😂
@ChristineMaloba-hk9je
@ChristineMaloba-hk9je 8 күн бұрын
😂😂😂
@ShukuruSamwel-po1wh
@ShukuruSamwel-po1wh 8 күн бұрын
Lisa na Hilo Dera Sasa hali badilishi
@AminaAlly-v7e
@AminaAlly-v7e 8 күн бұрын
H movie mnatoa kwa wakat mpka rahaaaaa
@OmanOman-y7z
@OmanOman-y7z 8 күн бұрын
Lisa mkomoe uyoo Mr d toa iyo mimba na uwachane nao wote 😢😢 asante Kwa mafundisho mazur sanaa🎉🎉
@makanusaiid-e3o
@makanusaiid-e3o 3 күн бұрын
Nakupenda sana Lissa unajua sana kuigiza utafika mbali sana wewe na kevin❤
@سيييققق
@سيييققق 8 күн бұрын
Wenye wanajua mr D ni mchawi gonga like tujuane 😂😂itakuwaje mkaza mwanao uendelee kumtumia tuu.😢
@HhVvh-ny9hz
@HhVvh-ny9hz 8 күн бұрын
Lisa toa hio mimba alafu uwache wote n umove on n maisha yako😢
@HajiboAli
@HajiboAli 8 күн бұрын
Et atoe😮😮😮
@HhVvh-ny9hz
@HhVvh-ny9hz 8 күн бұрын
Eeeh sasa hio situation wewe huoni​@@HajiboAli
@GisèleNdayikeza-d6f
@GisèleNdayikeza-d6f 8 күн бұрын
😢😢
@ValerianaMdendele
@ValerianaMdendele 8 күн бұрын
Kutoa hapana atubu mbele za Mungu atamsameheee naatamfanyiaa njia pasipo nanjiaaa
@MwaJuma-x3t
@MwaJuma-x3t 8 күн бұрын
Point taken 🎉🎉
@عائشة-ذ9م
@عائشة-ذ9م 8 күн бұрын
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ErnesterAssenga-w1x
@ErnesterAssenga-w1x 8 күн бұрын
Mngekuwa mnatufanyiq iv n kweny penz la mtot wa boss aisee
@SakinaMariam-x8y
@SakinaMariam-x8y 7 күн бұрын
Kweli wallah wa nafanya vibaya😒
@JoyceSalvatory
@JoyceSalvatory 8 күн бұрын
Amina nakupenda unavaa Uhusika sawasawa.
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe 6 күн бұрын
Suzzy wewe mutoto mubaya rafiki mubaya huna ushauri wote kwa Lyssa unamudanganya tuuu😡😭🇧🇮🇸🇦
@GomachizinjaChizy
@GomachizinjaChizy 8 күн бұрын
Hongera sana suzzy, nakupenda tu bure 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AnnEton-f2b
@AnnEton-f2b 8 күн бұрын
Kazi nzuri wanadonta 🥰 lakini mmesahau mtoto wa Boss
@AbdulyIbrahim-z4p
@AbdulyIbrahim-z4p 8 күн бұрын
Jamn rafkizangu dahh huyu Amina haya mungu asaidie haya yaswe maisha yake maana duuhhh
@VioletteManirakiza-jf2rk
@VioletteManirakiza-jf2rk 8 күн бұрын
Wakwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 naomba like zenu
@CallingsimonjamesCallingsimonj
@CallingsimonjamesCallingsimonj 8 күн бұрын
wakwanz kuipata
@rtrw708
@rtrw708 8 күн бұрын
Ningekua lissa natoa mimba arafu suzi
@samjabri2611
@samjabri2611 8 күн бұрын
Uyu angekuwa mzuli kwaku ona mwenzie wabaya🎉🎉🎉
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 8 күн бұрын
Amina anajifnya hajui Ndio ataenda furahia
@nancepatrick4769
@nancepatrick4769 8 күн бұрын
Zusi ningekua karibu ungekula kibao we ndo chanzo unajifanya mwema kumbe shetani wanakubali weka like
@olicej7837
@olicej7837 8 күн бұрын
Piga kabsaa nikuongezee Pepsi ya baridi 😂😂😂😂
@JOSEPHKabeya-t7y
@JOSEPHKabeya-t7y 8 күн бұрын
Lovennes toaiyo Mumba umhache Mr g njarufu n Suzi
@EuniceOyamo
@EuniceOyamo 8 күн бұрын
Yani lisa anataka gari zote zisimamishwa kwa barabara makubwa hyo😂😂😂😂
@Wamwakera254
@Wamwakera254 8 күн бұрын
Kiukweli tumejifunza kitu kupitia kw lisa na mr d sisi wasichana wasasa tujitume kutafuta hela kw njia nzuri lkn siyo ukahaba cz kuna maisha baada ya ukahaba 😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🇰🇪
@RahmaMasika
@RahmaMasika 8 күн бұрын
True
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 8 күн бұрын
Kweli kabisa umeongea
@ChristineWafula-bn7tq
@ChristineWafula-bn7tq 8 күн бұрын
Sema Suzy msaliti na wivu imemchaa jameni unauza mwenzako mjana kweupe
@MwaJuma-x3t
@MwaJuma-x3t 8 күн бұрын
Ila maya kafanana na wifi sana mashallah tabarakallah ❤❤❤❤
@TWOBULLETS-z6z
@TWOBULLETS-z6z 7 күн бұрын
Kama unamchukia huyu mr D dunga like hapa mwanangu ,, Huyo Mr D ni Mzee mfala yaani kipuuzi sana, namchukia sana sana. Yaani Mr D haoni hata aibu huyo Mzee??😡😡
@mwendemercy4488
@mwendemercy4488 8 күн бұрын
Hila suzy mungu anisamehe kabisa sikupendi juu yaonesha atakwamaisha yakawaida unakaa kama uko hivyo tu.
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 8 күн бұрын
Amina anachoyo ww si umejichubuwa na mikorogo Yako iyo
@LeilaAbdi-p4i
@LeilaAbdi-p4i 8 күн бұрын
Yani tuko ndani kwampigo hakuna kuchelewa alooooo❤❤❤❤
@IreneErneus-w2n
@IreneErneus-w2n 8 күн бұрын
Wakwanza kutoka mwanza nawapenda sana
@Ester-d7f
@Ester-d7f 8 күн бұрын
❤💯❤
@josphinekanario4536
@josphinekanario4536 8 күн бұрын
Kelvin alienda wapi nimemmiss kwa movie. Jamanii
@olicej7837
@olicej7837 8 күн бұрын
Kelvin aliambiwa na jarufu aachane nae urafiki wao umeishia apo ngja tuone kama jarufu atamtafuta tena😂😂😂
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 8 күн бұрын
Siku mingi bna sijaona kipenzi changu Kelvin kwani ameenda wapi,mbona hatujaona Lisa akifukunzwa ❤ Kenya
@SamouOman
@SamouOman 8 күн бұрын
Kelvin jaman nampenda sana siwez ishi bila yeye 🥰🥰 napenda nimuone kul muda
@SamwelMartina
@SamwelMartina 8 күн бұрын
Hii movie sio nzuri kabisa, hebu kaeni mtulie mtoe movie Kali kama KESHO YANGU, kiukwel kesho yangu ilikuwa nzuri sana na imegusa angle nyingi.
@SophiaJoseph-n4o
@SophiaJoseph-n4o 7 күн бұрын
Hayo nawewe ni mawazo Yako ebu tuache sis tujifunze vitu tofauti tofaut unataka kesho yang itazame Kila ck
@IRENEKOMANYA
@IRENEKOMANYA 6 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@MagdalenaPaul-h1k
@MagdalenaPaul-h1k 8 күн бұрын
Weeeee ningekua mimi ndo lisa nilivyogundua kwamba jarufu ni mtoto wa mr d ningehama mji nabadilisha line uwiiii yaan ni mbele mbele yao🏃🏃🏃
@tonykonki1437
@tonykonki1437 8 күн бұрын
Lisa shinda yako nple huelewi mwenye unamuamini huyu ndo handui mkumbwa,funga mndomo mama😊
@MaryamIsmaeel-v3i
@MaryamIsmaeel-v3i 8 күн бұрын
Huyu suzi,yy ni maslahi kwanza,kujali baadaee❤❤❤❤❤
@EsperenceAyumba
@EsperenceAyumba 8 күн бұрын
We Lisa mbona auna akili umeisha juwa kwamba Mr D na jarufu ni mtu na babake kwa nini usiwaache wote. Ata jarufu akijuwa unatembeya na babake unafikiri atakuowa jmn like Ata 10 tu
@EuniceOyamo
@EuniceOyamo 8 күн бұрын
Ni ayibu sana angewawacha day one kujia
@EsperenceAyumba
@EsperenceAyumba 7 күн бұрын
Ni mjinga​@@EuniceOyamo
@MayanziMlingi-d8u
@MayanziMlingi-d8u 6 күн бұрын
Na mimba Ina mtesa
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m 8 күн бұрын
Kama ni mimi huyo mr D namuwa wallah najifanya nakupenda nakupoteza kabisa😢😢😢😢
@MapenziZuma-k7x
@MapenziZuma-k7x 8 күн бұрын
Ningekuwa Lisa ningetoa hiyo mimba na nikaachana nao wote, pamoja na suzy nikaanza maisha yangu kivyangu
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 8 күн бұрын
Upo sahihi, ila asitoe mimba, yy awaache wotee na hta suzzy akate urafiki wao, alfu akae mbali nao woteee
@JoyceSalvatory
@JoyceSalvatory 8 күн бұрын
@@MapenziZuma-k7x Hapana kutoa mimba asitoe aachane nai wote lakini pia hii ni tamthiliya ngoja tuone itakuwaje?
@olicej7837
@olicej7837 8 күн бұрын
​@@JoyceSalvatoryila ningekuwa mimi ata huyo Suzi nikumnyamazia kbsaa sema Lisa nae akiri hakuna
@MulhatAmeir-c5x
@MulhatAmeir-c5x 8 күн бұрын
Wow mapema tuu nawapenda km ivo
@HadijaVinyu
@HadijaVinyu 8 күн бұрын
Wa kwanza Leo naomba like hata moja😂😂😂😢
@JohariHasham
@JohariHasham 8 күн бұрын
Suzy rafki mbaya jaman hadi lissa haoni ukwer apana kweri mze mzima asiojiheshimu 😢😢😢😢😂😂😂😊😊❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@WiltherArisa
@WiltherArisa 8 күн бұрын
Wazo langu lizza aambie jarufu ukweli na awaaje wote aanze upwa na kila kitu itakuwa sawa,
@MonalisaNdimbo-f8m
@MonalisaNdimbo-f8m 8 күн бұрын
Amina amina jmn kama kacherean kanaongea hatar😂😂 ila mnapendeza wazur ❤
@JudithShikumo
@JudithShikumo 7 күн бұрын
Nmetokea kumpenda Maya jamani ana roho nzuri
@NasraIbrahim-dw1hr
@NasraIbrahim-dw1hr 8 күн бұрын
Suz mshenz et ukubwa ndio huo sio upigiwe ngoma 😂muda nachek mud unaniuz kwa kipaji hicho hongera ❤❤❤
@mpagikhatib3684
@mpagikhatib3684 8 күн бұрын
Halafu lavunes kilakitu unamuhadisia nahuyo ndio aduwi wako Amina nimbaya Sana hafai kuwa best wako
@WssWss-w3p
@WssWss-w3p 8 күн бұрын
Good job guys am watching from saudi Arabia 🇸🇦 👏 ❤❤🎉🎉
@mwagombamwachupa3396
@mwagombamwachupa3396 8 күн бұрын
Mimi nipewe tu uyu dadaake Jarufu,,mchangamfu ajabu😅😅🎉🎉
@sarahummy3402
@sarahummy3402 8 күн бұрын
Funzo kwa wazee(sugar daddies) mnaotafuta ndogo ndogo mtalala na wakaza Wana.
@OmanJalan-xc8nx
@OmanJalan-xc8nx 8 күн бұрын
Nyie sasa hapo mnatufundisha nn sasa bola mpango wa julius ungetimia kuwagonganisha kwa fumanizi ili wasikitike wote kwa walichokishiliki.ili ijulikane wazee waache kutembea na vibinti 7bu wanaweza kua wakwe zao sasa nyinyi mnatupeleka wapi ndo wazee waendelee kutembea na mabinti wadogo. mnafeli
@GladysKutuk
@GladysKutuk 8 күн бұрын
Lisa tembea na mr d kaa mara ya mwisho kisha mtilie sumu afue mbalii .... Linakera hilo lizee😂😂😂😂😂😂
@MDMehndiHassan-ve9zy
@MDMehndiHassan-ve9zy 8 күн бұрын
Sasa Lisa kubali kuwampweke kubali kukosavote achana namr d achana najalufu kwasasa naiyomimba ikiwezakana kuitowa bolauitoetu uwakatae mzima nauyo Amina siyolafiki mzuli kuwamakini😢😢😢😢😢😢
@AlbertAlfred-i1u
@AlbertAlfred-i1u 7 күн бұрын
Suzzy we ni nyoko tena we mbaya sana
@Salama123-iw7hj
@Salama123-iw7hj 8 күн бұрын
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda wote
@ElizabethAbedinego
@ElizabethAbedinego 8 күн бұрын
Nampenda mayasa❤❤❤
@DuncanKipngeno-hl8nz
@DuncanKipngeno-hl8nz 7 күн бұрын
Mr D ndio shida
@muuminati
@muuminati 7 күн бұрын
Suzy sio rafiki mzuri ata kidogo
@Mapeninah
@Mapeninah 8 күн бұрын
Naomba like ni mimi pia ❤kabla mume wangu aninyanganye simu..
@clariszawadi2010
@clariszawadi2010 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Mapeninah
@Mapeninah 8 күн бұрын
@ yani tokea niuze ngo’mbe kununua Wi-Fi,makosa kidogo tu nitachukua hiyo simu🤣🤣
@sashaamoha
@sashaamoha 8 күн бұрын
Jamani maya ongea yako tuuu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ila suzy kijego 😂😂😂😂😂😂😂
@MilcahKawaza
@MilcahKawaza 8 күн бұрын
Suzi. wewe umefurahia moyoni hapo kanafiki tu
@jacquelinekivamba8541
@jacquelinekivamba8541 8 күн бұрын
Before I meet you tunako elekea mbona ni motoooo😂😂😂🎉🎉🎉
@KurthumAbdallah
@KurthumAbdallah 8 күн бұрын
asiachane najarufu amtafutie watu mr D wamkabe wampokonye simu
@faudhiashaban789
@faudhiashaban789 8 күн бұрын
Daah hiiii situation ya lisaaa ucombee ikukuteee jmaaaan maishaaa hayaaa😢😢😢😢mungu tunusuruuuuu aiseeeee hasa cye watoto wa kikee daah maisha magumuu utaftaj mgumuuu daaah
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 8 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@JanetkalamaJanetkalama
@JanetkalamaJanetkalama 8 күн бұрын
Amina nakchukia San wew sio rafik mzuri shenzi San wew😡😡😡😡nngekuwa karib nawe Amina ningekutwika ngoto ad ukadidimia kimo
@NajmahAbdillahi
@NajmahAbdillahi 8 күн бұрын
Tena ya nguvu
@IRENEKOMANYA
@IRENEKOMANYA 6 күн бұрын
😅😅😅😅😅jmn anaigiza tu , ni uhusika kauvaa tu
@FurahaMbilinyi-f7v
@FurahaMbilinyi-f7v 8 күн бұрын
Suzy mnafiki nawe lisa unajimaliza kwa suzy hadi unaniboa
@IreenAgustino
@IreenAgustino 8 күн бұрын
Lisa na wew usimwamby shoga ako kila kitu unajimliza san
@PhineasMunene-c8i
@PhineasMunene-c8i 8 күн бұрын
Dada wa kazi
@EliusMugisha
@EliusMugisha 8 күн бұрын
Uyooo suzzz simpend
@RoseKimath
@RoseKimath 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂suzy kibokooo😂😂😂😂
@AzizaJohn-w4u
@AzizaJohn-w4u 8 күн бұрын
Suzy ana wivu sana huyo
@FélicienMATENGA
@FélicienMATENGA 7 күн бұрын
Maya napenda kuigiza kwako
@JuliethaIssaya
@JuliethaIssaya 8 күн бұрын
We Lisa acha ujinga uyo rafiki ako ni mnafiki
@DaimaMrisho-z3j
@DaimaMrisho-z3j 8 күн бұрын
😂😂😂 suz mapesa🎉🎉🎉🎉
@NdikiminweCéline
@NdikiminweCéline 7 күн бұрын
Jamani suzi😂😂😂❤❤ nakupenda sana unajuwa kucambana
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 8 күн бұрын
Nasubiria Kelvin tu akirudi mniambie
@LipsDenda
@LipsDenda 8 күн бұрын
Wangapi wanataka lissa asake mtu mwngne
@HudhaimatHaji-wf8nh
@HudhaimatHaji-wf8nh 8 күн бұрын
Maya unapendwa na mm❤
@GinaFaruqueFaruque-e6j
@GinaFaruqueFaruque-e6j Күн бұрын
Jamani nakupenda sana Maya mpole sana maya❤❤
@SurprisedHangingGondola-jz5bt
@SurprisedHangingGondola-jz5bt 7 күн бұрын
Ila suz jaman 😊
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 8 күн бұрын
Jamani guys tujuane kwenye comment anayofanyiwa lissa kwakweli ayafahi huu rafiki yake mnafiki jamani amemtengenezea mwezake kamburi duuh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Deborahdestiny-sy9ie
@Deborahdestiny-sy9ie 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@PaschalLadislaus-f1y
@PaschalLadislaus-f1y 2 күн бұрын
Sema dada ake jarufu nampenda bure. Ananafasi yake kwenye moyo wangu
@LilianShikuku-te3jy
@LilianShikuku-te3jy 7 күн бұрын
Ila Mr.Dee kazidi jameni 😢😢wanaoungana na mm naombeni likes hata kama ni tani❤❤
@ZawadyAmosy
@ZawadyAmosy 8 күн бұрын
Movie bila kelvin hainogi jaman kaah mbna hamuelewi😂😂
BEFORE I MEET YOU 💔 { 26 } #love
24:08
Donta Plus
Рет қаралды 38 М.
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
MAMBO WANAYO YAPENDA WANAWAKE WALIO OLEWA
11:28
Romance & Marriage
Рет қаралды 140
HOUSE BOY 😥 [ 1 ]
31:33
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 47 М.
ANAPATA MIMBA YA BOSS WAKE, ANAOGOPA KUA SINGLE MAMA #cleymswahili
19:59
Ibituma ivyapfuye mu buzima bwawe bizuka by Apostle Kevin SIBOMANA
1:15:02
Ubugingo Busagutse TV
Рет қаралды 15 М.
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН