Mnyamwezi toka unyanyembe kaza blood sio rahisi kukanyaga kwenye viunga vya Yanga kwa sasa ukiona umepigiwa simu na Engenier kwa ajili ya kazi ujue unajua🙌🙌🙌🙌
@AmanziTwaibu19 күн бұрын
Wa kwanza leo naomba like zenu 💚💚💚💚
@MerickPaul19 күн бұрын
Sio reo ni leo
@hakiba120719 күн бұрын
Mwaka huu ni 🔥🌹🔥
@GeradinaJohn-xh8pw19 күн бұрын
Photo photo photo nimeitaja mara ngapi👌👌👌👌
@monicalucas373817 күн бұрын
Karibu kipa wetu,MUNGU wa mbinguni akulinde ukapambane vema🙏
@SylvesterSafari-nf4fy19 күн бұрын
Karibu sana goalkeeper mdaka risasi
@faidha2319 күн бұрын
😂😂😂 eti mdaka lisas
@israelkisanga858719 күн бұрын
Watalia mwaka huu, preva na wenzako endelea kuwashona hao makolo,
@sosomacharles992019 күн бұрын
Mungu amjalie akaonyeshe challenge kwa Diara hasa kwa upande wa penalti
@DjFae.b25519 күн бұрын
Iki kitengo Cha Media kiongezewe mshahara Kaz Yao nikubwa San. Asanteee San💚💛
@gy1777919 күн бұрын
Professional graphics designer.......well done
@joelympemba791219 күн бұрын
Watu wa graphics mko vizuri, hongereni sana
@caimedia19 күн бұрын
My team❤
@user-fb7gx5cf5m19 күн бұрын
Wa kwanza jamani mm apa
@sosomacharles992019 күн бұрын
Usajili wa Yanga wanasajiliwa kitaalamu,ila kule utaona Rasta tu na vipicha picha kama vile wapo kwenye magazeti🤣🤣🤣🤣
@rashidkopa19 күн бұрын
Kipipa #hapaninyumbani
@alphamwaihola179019 күн бұрын
Mm wa kwanza
@mosokaisack1219 күн бұрын
Karibu nyandaaa
@michaellemoyan45919 күн бұрын
Wa kwanza hapa.. like zangu 🎉
@sinaieliud445319 күн бұрын
Kaz nzur
@filemonkwaja618119 күн бұрын
Yanga bingwa
@MachoteghMacho19 күн бұрын
❤ love yanga watupeeeeee kombe tuuuuuuuuu. Nasemajeeeeeee na semajaaaaaa madunduka 😂kazi wanao
@mgenikhalfan747119 күн бұрын
Karibu Jangwan 🟢🍀💚💚💚💛💛kwenye furaha na raha
@gy1777919 күн бұрын
Saiv co makolo ni Debora FC
@issackonga19 күн бұрын
Baelezeeh abo habaoni bamambo yanavyo fanyika bayanga batamu sana bana sifa xana😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@PeterJohn-c8b19 күн бұрын
Yanga wanatisha kwenye utambulishooo sana
@user-hy3en6vk5f19 күн бұрын
Yaani tusipofika finally CAF basi ntajua shetani yupo kazini 💚🟢🟡 very nice registration 🙏🙏🙏
@salometillya363319 күн бұрын
Nimecheka kwa nguvu
@hidayahassan801419 күн бұрын
😂😂😂Mungu anakuona
@gregorysixmund202019 күн бұрын
Mbona mnawafundisha lakini eti Makolo wanatakiwa kuviskia tuu hiv vitu wataiga buree
@CosmasMunge-mb2cg19 күн бұрын
Team kubwa mambo makubwa utadhani ni ulaya
@user-he7ke4vh2b19 күн бұрын
Tunawatisha vijibwa sps club
@xmiaallan837519 күн бұрын
Injinia, safi bro...
@saimonjmai80119 күн бұрын
Team kubwa sana hii haya ndio mambo team kubwa inafanya safi sana
@vivanyboy974319 күн бұрын
khomen bwana mdgo akiri mingiiii
@user-vr5ss3ru3i19 күн бұрын
Yuko vizuri San huyo ajitumeyu atayoboa swax hapa kiwalala Yani sumbawanga
@issackonga19 күн бұрын
Ee mungu tunakuomba kwamsimu ujao ukawe wakwetu Tena tukaishangaze Africa kuwa yanga ikiamuwa inaweza hakuna kinachoshindikana chini ya jua 🙏🙏🙏
@kanyeshahigirimana568619 күн бұрын
Inshaallah Aaamin
@user-nl8ec4np1t19 күн бұрын
Amen
@saumbakar764319 күн бұрын
Inshaalah
@edmomaira320219 күн бұрын
Amen 🙏🏾 🙏🏾
@user-ql2hc7zt6b19 күн бұрын
Mikono salama
@MichaelNgowi-nc3vn19 күн бұрын
Karibu sana kwenye tim ya wananchiiii
@edgaleo694319 күн бұрын
Nouuumaaaa
@HusseinJumahussein-lf1xk18 күн бұрын
Karbu sanaa 💪💪🙏🙏🤲🤲🔥🔥🔥💚💚
@ShafiiHungo19 күн бұрын
Karibu kipa Abubakary kutoka ihef au singida blacki star
@user-kr2zi7du7y19 күн бұрын
Kwani uyu ni mzawa
@amaniomar175519 күн бұрын
Mwamba huyu hapa
@HassaniDilunga-ty4kn19 күн бұрын
Priva peponiii❤
@pambaboniface119918 күн бұрын
Dogo karibu sana...hapa ni makombe tu
@simonIbrahim-hc8vm19 күн бұрын
Namkubali sanaaa Abubakari ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
@user-lq1ui5ic8h19 күн бұрын
From Dubai Yanga damdam... what about Gilberto???😢
@AmanaAmos-hv3yz19 күн бұрын
Mimi sielewi jamani maana ,picha nyingi kwani nyengine wana save na zinakua za nini,maana kupost zinakua chache..
@vualemakame-ec2el19 күн бұрын
Jamani nipo saloon naweka rasta subiri utambulisho wangu mikia fc😂😂😂
@emmanuellupiga19 күн бұрын
Hata mimi
@dicksondamian681519 күн бұрын
Naombeni like jamani namm n mwananchi
@shaibusaady242019 күн бұрын
Allaah Akbar
@matiasisilwamba63919 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-hy3en6vk5f19 күн бұрын
Ila Hawa wachezaji wawe wanavaa full jezi waache majinsi
@mpangalalisotha680819 күн бұрын
Hongera sana Komeni,,ww ni kati ya makipa wachache BORA sana Tz
@Shabanihamisi-h9z19 күн бұрын
welcome yanga
@hajiissani82013 күн бұрын
Casilass mwanetu masta Rambo apa
@ShabanPaschal19 күн бұрын
Litakufa jitu
@mhinajerome596419 күн бұрын
Oya wanangu mnafanya kazi kubwa sana kiukweli mkiwa mnakula batawenu siwalaum kuleni tu
@user-qk8mh1hb6o19 күн бұрын
😂😂
@sabrinakassimu19 күн бұрын
💚💚💚🔥
@selemanmcharazo19 күн бұрын
Miongoni mwa watu ninaomkubali huyu Goal keeper usajili nzuri sana kikubwa wajitahidi kuchota maarfa Kwa Diara
@seciliamchalo562719 күн бұрын
Upo kama mimi namkubali sana huyu mwamba.
@selemanmcharazo19 күн бұрын
@@seciliamchalo5627 vibaya mno
@songombingo10819 күн бұрын
Hizi mambo huzikuti kule kwa Madunduka😂😂
@sosomacharles992019 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣wachezaji wanatambulishwa kwenye magazeti.
@NdevuKamdini19 күн бұрын
Nice
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj19 күн бұрын
Mayele pia alimgunga
@marymoshi57219 күн бұрын
😅😅 🎉
@mikanolmwano19 күн бұрын
🎉😊😊😊
@mosokaisack1219 күн бұрын
NYANDA ⚽🧠
@user-er1dk6zj6u19 күн бұрын
Hatunaga jambo dogo
@antonykpatricj286418 күн бұрын
Ndio maana ya ukubwa wa mwananchi
@Laucheng19319 күн бұрын
Mwaka huu makolo watakona
@antonykpatricj286418 күн бұрын
Nikikumbuka arusha uliuma meno
@MarystellaAugust19 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@martinabel389619 күн бұрын
eng tusajilie mbadala wa aucho
@marthageorge504319 күн бұрын
💚💛💚💛💚🔥
@rehemakotinjo746519 күн бұрын
💚💛🖤
@malietamaliet19 күн бұрын
😂😂uyu amjasumbuana kilugha kama boka ndo maan mdomo mwingi
@errydeo886519 күн бұрын
Hata man u,madrid,liverpool barca na nyinginezo hupata shida na mchezaji wa kigeni kilugha! Au unafikiri kila mzungu anaongea kizungu!! Language barrier ni kitu cha kawaida! Makocha na wachezaji huwa pia ni shida! Ts common!
@muddyramadhan325519 күн бұрын
Acheni zarau na mkoa wetu singida
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj19 күн бұрын
Nakumbuka alipigwa magoli na Aziz Ki, asiruhusu tu magoli ya kolo
@chillogeorge138319 күн бұрын
Ni mzawa huyu?
@abuunayfatu870119 күн бұрын
Wachukua video mko vizuri sana
@kiboshokiboshomungumkubwa778919 күн бұрын
Jina lake nani na katoka wapi
@Rodgers_0119 күн бұрын
Anaitwa Khomein aboubakar katoka ihefu.
@user-qk8mh1hb6o19 күн бұрын
𝒀𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒏𝒂𝒐𝒏𝒂 𝒊𝒕𝒂𝒌𝒖𝒂 𝒎𝒐𝒕𝒐 𝒔𝒂𝒏𝒂
@dicksonmakunenge4614Күн бұрын
Makono mia
@MachoteghMacho19 күн бұрын
❤ love yanga watupeeeeee kombe tuuuuuuuuu. Nasemajeeeeeee na semajaaaaaa madunduka 😂kazi wanao