HAJI MANARA AZUNGUMZA MANENO MAZITO ZAIYLISSA KAZIDI WIVU KWENYE SIKU YA BIRTHAY PARTY YAKE.

  Рет қаралды 33,341

BinaTv

BinaTv

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@uwimana6533
@uwimana6533 2 ай бұрын
Manshallah hongereni mungu awaalinde na ndoa yenu 🙏🙏
@lilianmungure8374
@lilianmungure8374 2 ай бұрын
Ila Manara Mungu akusaidie sana,unasifia mkeo badae unamwacha,acha tabia ya kuoa na kuacha Mungu hapendi hiyo tabia,Nawaombea maisha mazuri Mungu awatunze
@MaryamAdam-nc7ho
@MaryamAdam-nc7ho 2 ай бұрын
Mungu awabaliki muishi muda mlefu sn napenda hivyo nawapenda sn Alla kalim
@esthernekoye-ly5cx
@esthernekoye-ly5cx 2 ай бұрын
Mbona kama zai anafanana na yammi
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
. Mashaallah Allah azid kuwapa masikilizano katika safali yenu hii
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 ай бұрын
Mwenzangu na mie ungekuwa unaandika speech kwenye karatasi shogangu ila leo umenifurahisha umekaa haswa kama mke mashaallah!
@angelaminde1247
@angelaminde1247 2 ай бұрын
❤❤❤❤hongera sana
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Mashalah..mara nyingi majina ya herufi ya z ni waaminifu na wanawivu Sana na wakipenda wanapenda kwel..napia herufi ya z wanabahati Sana yakuolewa
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 ай бұрын
Manar wake zako wote huwa unawasifia ivovo
@DeoSeme-qe9qq
@DeoSeme-qe9qq 2 ай бұрын
Hongereni,Msisikilize maneno ya walimwengu Pendaneni saaaaana❤❤❤❤❤❤❤
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 ай бұрын
❤❤❤
@RisasiRisasi-uj8fk
@RisasiRisasi-uj8fk 2 ай бұрын
Hajji anazungumza ukweli uliopo,yakibadilila atasema,mimi nimempenda sana haji,yupo muwazi
@Zainabumsafiri
@Zainabumsafiri 2 ай бұрын
Mashallah mung awalinde ktk kila wakat awaepushe na husda na hasdi❤❤
@Malangalusaede
@Malangalusaede 2 ай бұрын
God bless
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 2 ай бұрын
Mkiachana hutaebdelea kuwa meneja wake😂😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Manara atadumu na uyu mke kwa sababu zai hn mappepe na sio muongeaji sn
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 2 ай бұрын
Bakiza MANENO, hukawiii KUGEUKA
@RahelSimon-bm8tm
@RahelSimon-bm8tm 2 ай бұрын
Nasubiri siku niko gerezani nipate sifa zangu
@hafsasaid9666
@hafsasaid9666 2 ай бұрын
In shaallah kwauwezo wa Allah mtadum kifo tu kitawatenganisha
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 ай бұрын
Inshaaallah
@SaudaKhamisi-vb8uv
@SaudaKhamisi-vb8uv 2 ай бұрын
Hongera sna
@frankmichael411
@frankmichael411 2 ай бұрын
Jezi yangu nitumie
@HhBbh-tn5uh
@HhBbh-tn5uh 2 ай бұрын
Huna lolote na yule mwengine ulimsifia kupita maelezo😮😮😮😮😮
@teddymutani856
@teddymutani856 2 ай бұрын
Yani manara anapendaga hadi anaoza unaeza kuta huyo anayempend yy hata moyoni hayumo angepunguza kupenda kwa kuonesha wazi ndo maana huea eanamyenda
@SuuhPrecious
@SuuhPrecious 2 ай бұрын
Huyuu zay anakupenda xanaaaaaaaa mwanamke mwenye wivu nimapenz
@aishahasan7722
@aishahasan7722 2 ай бұрын
Hata Rubby alimsifia hivohivo lkn wapiii😢😢,, achakujimaliza Hajji hukawii kubadilika😂😂😂
@SesiliaTemu
@SesiliaTemu 2 ай бұрын
Mpaka leo anampenda Ruby mimi nampenda Ruby ni mtulivu ,
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 2 ай бұрын
Kweli haji huu wapii
@uwimana6533
@uwimana6533 2 ай бұрын
Anaweza kuampole akawahana heshima namume japo haji anamapungufu yake 😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 2 ай бұрын
Hongera sana 😂😂😂
@ChritinaMasenga
@ChritinaMasenga 2 ай бұрын
Ukipata kujaliwa ,na kuheshimiwa na mtoto wa ma mkwe ushukuru,maana Pesa inatafutwa lakini faraja inapatikana kwa mtu,deka zai wangu,tulia na ndoa yako mama.
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 2 ай бұрын
God bless ❤
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 ай бұрын
Km kawaida yko bugati kupongeza kunaendana na kuchamba😂😂😂😂😂😂
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 2 ай бұрын
😂😂 hapo kwenye muda zai badilika, ila kwenye wivu nimependa zai zidisha, tonge Hilo upokonywe tonge mdomoni😂😂😂
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 2 ай бұрын
Basi haji usijimalizi ukisifia saana unaharibu
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 2 ай бұрын
Hajui kama vina muda
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 2 ай бұрын
@@verobecamfipa8655 kwakweli
@aiaiomar5623
@aiaiomar5623 2 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s 2 ай бұрын
Kuwa na akba ya maneno uta zalilika hawa viumbe hawajawah aminika bro
@saidasaid5855
@saidasaid5855 2 ай бұрын
Aibu kwa kweli eti mtoto wa kiswahiki😂😂😂na masimango ya kuchomekea😂😂😂eti ulaya mara kumi😂😂😂
@ZainabAbdullah-bc6pu
@ZainabAbdullah-bc6pu 2 ай бұрын
Sisi letu jicho😂
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Ila sijapenda swala la kumsema mkeo kuwa anamadhaifu sijapenda...apo kwel kuhusu yanga nimependa...usipokuwa yanga kwel juha🤣🤣🤣🤣Aya majuha mpooo??
@issazalala4907
@issazalala4907 2 ай бұрын
Kaka ongea kidogo tu 😂 wana wake Hawa someki atakupga tukio ohooo
@leaherasto929
@leaherasto929 2 ай бұрын
Zai katoboa
@radicaemmyradia
@radicaemmyradia 2 ай бұрын
Wambea wakuweka hayo maneno kesho tujuane🤣🤣🤣
@jacquelinelukumay9535
@jacquelinelukumay9535 2 ай бұрын
Utulie sasa
@salama1113
@salama1113 2 ай бұрын
Kikiumana hayo maneno utayakataa hukusema ww😂😂😂😂
@maryammohd8717
@maryammohd8717 2 ай бұрын
Mashaallah
@FatumaHassan-l5g
@FatumaHassan-l5g 2 ай бұрын
😅😂😂😂
@FortunataMasigati
@FortunataMasigati 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 2 ай бұрын
Tunasubiri muachane fimbo iri mpiga mwenzako naweye itakupiga tu
@patimaissa8572
@patimaissa8572 2 ай бұрын
Hamna kitu apa
@Alykondo99
@Alykondo99 2 ай бұрын
Mzushi kila siku wasifia
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 ай бұрын
Una sifa mbwa ww
@MercklineMalawandu
@MercklineMalawandu 2 ай бұрын
❤❤❤
@SanuraIssa
@SanuraIssa 2 ай бұрын
❤❤❤
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@GerrardUngwa
@GerrardUngwa 2 ай бұрын
❤❤
Fortune Mwikali’s Wedding. Landing in a helicopter.. See full video
10:40
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 1,8 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Harusi ya Japhet & Alice
2:46
Angel Films
Рет қаралды 68 М.
Дочка поразила СВОЕГО ПАПУ! 😮
0:25
КиноСклад
Рет қаралды 2,3 МЛН
Это самая умная косатка в мире!
0:28
EnderStories
Рет қаралды 738 М.
ВОТ ТАК ЕЙ И ДОВЕРЯЙ😂
0:35
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 4,8 МЛН
Покрасила ЛЕДИ БАГ 🤣
0:43
ANDRUS
Рет қаралды 2,1 МЛН