Beka Flavour - Sikinai (Official Audio)

  Рет қаралды 752,322

My Channel

My Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 316
@planetsaturn7426
@planetsaturn7426 7 жыл бұрын
Aslay akachunge sasaaaaaaaaa baba ake ametoa muziki sio nyimboo Team Beka nipeni like zakuzidiiiiiiijijiiiiiiiiii
@aminaadam5337
@aminaadam5337 Ай бұрын
Zy
@RomanusTv
@RomanusTv 7 жыл бұрын
LADIES AND GENTLEMEN HII NI ANOTHER HIT FROM YOUR ONE AND ONLY *BEKA FLAVOUR* KAMA UNAMKUBALI BONYEZA LIKE HAPA
@mildrednjobvu3943
@mildrednjobvu3943 2 жыл бұрын
I really love this song keep it up beka
@DorcasTshibwabwa-y8v
@DorcasTshibwabwa-y8v 11 күн бұрын
Kama nasikiliza muziki iyi nakubuka kaka yangu sana. Kwa sababu anaipendaka sana ❤️✌️
@gervastweve8612
@gervastweve8612 7 жыл бұрын
daah, weee jamaa mkali mpaka basiii umeua, imoooooooooo mbeya like hapo "
@ruusakavandje3678
@ruusakavandje3678 4 жыл бұрын
Love this music ohhh
@bilalmawaya7632
@bilalmawaya7632 Жыл бұрын
Sikinai kama mtanipa likes wenye tuko hapa 2023
@najmahbaby8690
@najmahbaby8690 7 жыл бұрын
beka umetisha jitahidi sana ufikie malengo yako,wapi comments za +254 +974 kama unamkubali beka dondosha comment
@fatumaababy1281
@fatumaababy1281 7 жыл бұрын
Najmah Hassan nice song but kwa Asaly badooooo.+254 na 974.representing😁
@najmahbaby8690
@najmahbaby8690 7 жыл бұрын
+fatuma Ababy hapo nakuelewa dear 😂😂😂😂tupo tupo +974
@maggykary720
@maggykary720 7 жыл бұрын
nayonayo
@adambendera3045
@adambendera3045 7 жыл бұрын
fatuma Ababy kwa aslay bdo sana aslay...hyo ashndane na kina timbulo
@najmahbaby8690
@najmahbaby8690 7 жыл бұрын
+Adam Bendera timbulo pia hamuezi aslay 😅😅😅😅😅
@Josephjr123
@Josephjr123 7 жыл бұрын
Ya ya ya ya kichupa iki aki shikiki aiseee kama ume mkubali beka gonga like jamani
@mbarackiddyhamisi5354
@mbarackiddyhamisi5354 7 жыл бұрын
yk vizuri beka
@dennismuema356
@dennismuema356 2 жыл бұрын
Most underrated musician. He has good hits and yet he is not appreciated. What a talent
@mrmbisse2050
@mrmbisse2050 7 жыл бұрын
nilishasema beka n mkali hamkunielewa ona sass anavyowaaibisha wapinzan,, ukitak kuamin nachosem fatilia nyimbo z yamot band nying alikua anaanza yy kuimb ikimaanish yy ndo alotoa ideas ya wimboo ,,, much respect heka flav
@bonitojo
@bonitojo 7 жыл бұрын
Rizick Mbisse hapana mara nyingi alikua anafunga nyimbo aisee
@mrmbisse2050
@mrmbisse2050 7 жыл бұрын
Bonito Niyongabho lkn kiufupi beka n mkali kweny nyimb yyt aliimb vizur san
@msettyjohn2102
@msettyjohn2102 7 жыл бұрын
nqoma Kali xana
@mrishocossan3981
@mrishocossan3981 7 жыл бұрын
kazi nzr kazana kijana
@harunmaromba2054
@harunmaromba2054 7 жыл бұрын
beka kaza buti bro hii nyimbo umeipiga vzr xana nakuombea kwa mungu azidi kukupandixha kiuimbaji xaf xanaaaa
@ayoubally670
@ayoubally670 7 жыл бұрын
Hivi watu humu KZbin mmejenga majumba au?? Au mnalala humuhumu? Maana nilijua nitakua wa kwanza kuona kumbe mh!!! Beka we mkali Gonga like hapa
@patrickkalenga2935
@patrickkalenga2935 7 жыл бұрын
beka big up ujio wa pili ni mzur pia umeziihirisha ata song la kwanza ukubahatisha aisee song kali but chungeni sana maneno ya mashabiki wanaotaka competition za ajabu baina ya ww na aslay nyie ni family so pigen kazi wote mnajua big up producer nae kaitendea haki ngoma
@jamesmponda6626
@jamesmponda6626 7 жыл бұрын
Naigonga kila mda kila saa beka we mkali libebe nilijua sampo hi hatariiiiiii tupuuuuu 99.9%
@fonbabright7461
@fonbabright7461 2 жыл бұрын
Just heard this song from a friend's status on WhatsApp and Shazamed it and found this. Surprised it has been 5 years since this was released. The sound is wonderful though I don't understand what he is singing. One love from Cameroon 🇨🇲🇨🇲
@clintonjubilate
@clintonjubilate 2 жыл бұрын
]''10
@clintonjubilate
@clintonjubilate 2 жыл бұрын
'
@esnathmwaisumbe8607
@esnathmwaisumbe8607 7 жыл бұрын
hongera sana beka kaza uwafumbe midomo wanafiki
@gtopmodelofficial8348
@gtopmodelofficial8348 7 жыл бұрын
huku kwetu mbeya hatuna shaka na wewe wanyakyusa tumekukubali kazi nzuri beka
@angelshirima7347
@angelshirima7347 7 жыл бұрын
Gtopmodel official ha ha ha jmn nmecheka
@gtopmodelofficial8348
@gtopmodelofficial8348 7 жыл бұрын
+Angel nation 😂😁😂😀
@basheer4278
@basheer4278 7 жыл бұрын
Hii nd derby ya pili ilioshiba hapa bonge ukiwatoa KIBA na MONDI wanaofata ni BEKA na ASLAY maan leo baada ya ngoma ya beka kutoka kila mtu mtaan anaifananixha na ngoma ya aslay full kubishana.....imekaa poa sana kutengeneza derby unakua na uhakika wa fans naamini BEKA na ASLAY nd watakaochukua vijiti vya MONDI na KIBA kam unaamini ivo gonga LIKE
@khalidamin9917
@khalidamin9917 7 жыл бұрын
kka beka piga kazi usiskilize manen ya watu kk!! we ni mkal ata aslay haingii n bas tu kawah lkin haingii ata kidogo!!!! big up sana nice song
@tonijr8229
@tonijr8229 7 жыл бұрын
Nipo Denmark nakufuatilia sana mdogo wangu beka good job
@princemwijage8549
@princemwijage8549 7 жыл бұрын
We jamaa ni mkali sana sana nimeanza kuamini we ulikuwa mkali wao
@omarkasim8369
@omarkasim8369 7 жыл бұрын
pamoja Beka waache wale wauwe ndege kumi Kwa mawe kumi we jiwe lako moja ndege kumi na tano .
@zuenachege2708
@zuenachege2708 7 жыл бұрын
Nice song wapi like 254
@tausak4568
@tausak4568 7 жыл бұрын
That's my bae @beka big up sanaa sweet potato 😍😍😍😍from USA 🇺🇸 lov dis song ahiiiii
@dindon2282
@dindon2282 7 жыл бұрын
Nakubali mzeee...toa kideo sas
@everlynojweke1893
@everlynojweke1893 7 жыл бұрын
I really Luv ur songs beka big fun from Dubai❤
@faustinfabian8059
@faustinfabian8059 7 жыл бұрын
Kaz nzur beka hongera by ATM money music4life Tz
@munyarubugaismailally111
@munyarubugaismailally111 2 жыл бұрын
Daa🥺🥺 yemmy yemmy del busquet wherever u are
@owennicholausmafito6643
@owennicholausmafito6643 7 жыл бұрын
Dah! Beka fleva we ni noma yani hizi ngoma zako zate mbili nimezielew kinomanoma yani,we ni fundi bwana dah!
@janvierkevin4647
@janvierkevin4647 7 жыл бұрын
Kama ya kangaro, Mziki mtamu sana ww chezeya na mtu mwengine, Apana #BEKAFLAVOUR
@tonnykithinji2773
@tonnykithinji2773 Жыл бұрын
Wakikutia DOA nitakupa jiki...noma Beka
@lupetamhagama2145
@lupetamhagama2145 7 жыл бұрын
Cjakataaa umejitaidi beka ila aslay ni anajua sana ila sishangai kwasababu huu ni wimbo wako wa pili bado mpya kwenye game
@devidwarioba6095
@devidwarioba6095 7 жыл бұрын
toka ukiwa nilijua wew n mkali sema kila kitu alikua aslay but we n kiboko yao tisha mbaya dogo natamani cku moja nkakushirikisha ngoma yangu
@SaldohMascotRapper
@SaldohMascotRapper 7 жыл бұрын
Audio Nzuri napenda maneno yako. Good work 👏 wapi like +250
@mondnumz7746
@mondnumz7746 7 жыл бұрын
dah bonge la ngoma aiseeeee
@mohammedally8569
@mohammedally8569 7 жыл бұрын
Huyu Jamaa namkubali vibaya na huyu anahaiba ya kiuanamuziki haswaa .nakuona utaenda mbali kuliko
@badboy2577
@badboy2577 7 жыл бұрын
Beka uko saw tu saaana Mtafute Kin Kiba ufanye naye colabo atakuinua saaaaaanaaa
@marimarimu3697
@marimarimu3697 7 жыл бұрын
Sema nipo Emirates beka nakupenda sanaaaaaa I love so much
@marimarimu3697
@marimarimu3697 7 жыл бұрын
Team beka mpoooo gonga like kama wamkubal huy mt
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
❤❤💃💃💃🤝🤝
@ullymcdonald6254
@ullymcdonald6254 7 жыл бұрын
unanimalizaga we mtu una nini lakin khaaa... urock wangu
@mwebesafransis244
@mwebesafransis244 7 жыл бұрын
Wqkimbize baba akuna cha nani wala nani weye ndo namaaaaaaaaa
@sheekow40822
@sheekow40822 Жыл бұрын
Aaaaah I don't listen to bongo but someone dedicated this song to me 😍😍😍
@rehimasaleh6648
@rehimasaleh6648 Жыл бұрын
Nimemkubali kinyama2 yn song zake bomba bomba %
@strongchuma1095
@strongchuma1095 7 жыл бұрын
+971 namkubali beka boy...yaani sijui niseme Nini big up man...
@abuusaadsaidomar7311
@abuusaadsaidomar7311 7 жыл бұрын
ifoza we popup it. go beka flavour
@florycmb4ch4wene54
@florycmb4ch4wene54 7 жыл бұрын
Beka me nakuelewag tok uko yamot unavionj lkn still kwa aslay ww n mtt achakuproud pg kaz
@jallymsemwa
@jallymsemwa 7 жыл бұрын
KAFIE MBELE HUKO
@ullymcdonald6254
@ullymcdonald6254 7 жыл бұрын
Flory Cmb4ch4wene huna jipya hovyoo
@pillininga7157
@pillininga7157 7 жыл бұрын
uko juu beka
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 7 жыл бұрын
Flory Cmb4ch4wene Amakweli Media zina fanikiwa kuweka bifu kwa wasanii... Kama upeo mdogo kaka, jiongezeen basi kidogo... Msiwajengee bifu hawa vijana kama mlivo fanya kwa Wengine mpaka sasa chahuku akiendi kule....
@amoscharz3801
@amoscharz3801 7 жыл бұрын
Hatari Sana Huyu Jamaal aslay akalale Kwanzaa beka on 🔥 #sikinai
@khamisabubakar3461
@khamisabubakar3461 7 жыл бұрын
Beka nakukubali bro Sav dogo hapa mdogo wa shirko hpe ushanisoma long time bro
@mackenziengolo7mabula132
@mackenziengolo7mabula132 7 жыл бұрын
achia na ingine mwanangu dabodabo jumla ziwe tatu aaaf tuanze kupiga show nchi nzima
@jildow4533
@jildow4533 7 жыл бұрын
Watoto wenye kufunzwa. Hawawezi kushindana kamwe. I like dat song Brother Beka Flavour.
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 7 жыл бұрын
Mmmmh kwa mwendo huu EnockBella kaputi
@hemedypck6944
@hemedypck6944 7 жыл бұрын
aaaa noma Sana ngoma kali sana nakubali
@adijaadija2335
@adijaadija2335 7 жыл бұрын
penda sana beka😘😘😍👌👌
@augostinoboniface7748
@augostinoboniface7748 7 жыл бұрын
wanyoshe baba nyama kangaro nala
@julliewilliam6670
@julliewilliam6670 7 жыл бұрын
Hii ndiyo gud music,Hongera sana Beka flavour nasubiria video kinomaaaaa
@ZulfaHasaan
@ZulfaHasaan 6 ай бұрын
Big up sanaa
@sassboy9360
@sassboy9360 7 жыл бұрын
Ngoma Kali na nakukubali ila usishindane na aslay yupo vibaya yule..
@maduhundilanha7471
@maduhundilanha7471 7 жыл бұрын
Kaza buti bro,ucjawckilize wanokukatisha tamaa.
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 7 жыл бұрын
Kalinyingine mkali wangu.... safi sana..
@SwahiliMedia
@SwahiliMedia 7 жыл бұрын
Ngoma kali broh video yake lini sasa
@kashinatmateo99
@kashinatmateo99 7 жыл бұрын
Namkubal sana uyu dogo
@sai.jimepenyaiyoonaikubali7121
@sai.jimepenyaiyoonaikubali7121 7 жыл бұрын
yanileotu nimeisikiliza mala70 daaaaa nimeiyelewa ikovizuli yakiutu uzimaiiiii nimechezaje
@samkitaani8398
@samkitaani8398 7 жыл бұрын
umekalishaaaaaa nakukubal beka
@michaeljeremiah634
@michaeljeremiah634 7 жыл бұрын
nasema ukwel muda utaongea uyu jamaa mkali bana tuache majungu
@platinumtz3919
@platinumtz3919 7 жыл бұрын
beka fire mzeee nakubali
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 7 жыл бұрын
Kwakifupi yamoto band nilikuwa napenda kusikiliza sehem alizo imba huyu Dogo,ila aache kumwongelea sana aslay kwenye interview zake anajishusha
@ratiphabinda8158
@ratiphabinda8158 7 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma umetisha bekaa
@meek5338
@meek5338 7 жыл бұрын
Am from Turkish...this dude is 💥💥
@man-zh6ug
@man-zh6ug 7 жыл бұрын
huyu jamaa noma
@sweetlove2418
@sweetlove2418 7 жыл бұрын
If audio could be turning my head am afraid the video will kill me ohhhhh this track is flames
@SuzyMatemu
@SuzyMatemu 5 ай бұрын
😂😂that audio only so you create a video for yourself 😂😂❤❤❤❤
@blessedlilian7254
@blessedlilian7254 3 жыл бұрын
I really love your songs Baker,,zinafanya cheo Cha mapenzi kupanda kila siku
@mcisunga3822
@mcisunga3822 7 жыл бұрын
Asante sana sichoki kukusikiliza Beka Maromboso atabebwa tu kule wcb ajipnge mashine hizi mbili hatari Sana
@orestmkembela8195
@orestmkembela8195 7 жыл бұрын
wanao mkubali beka hawajielew, mjini ndo habar ya mjini
@bettyonyore7621
@bettyonyore7621 7 жыл бұрын
From +254 Ngoma iko juu
@martinmaina2370
@martinmaina2370 2 жыл бұрын
Talanta tamu.. mistari inaweza sana
@abdulkuyambuka9637
@abdulkuyambuka9637 7 жыл бұрын
Ngoma Kali na huyu jamaa anajua na Sauti anayo, mziki mzuri unaongea
@tumafreedom896
@tumafreedom896 7 жыл бұрын
Kweli beka wewe ni unajua
@danieldamass5999
@danieldamass5999 7 жыл бұрын
Amazing song congratulations beka for great work!!
@evaresthamaro5220
@evaresthamaro5220 7 жыл бұрын
Safi iko vizur
@amourjamal7292
@amourjamal7292 7 жыл бұрын
kazi nzuri
@fideliamakumi5973
@fideliamakumi5973 2 жыл бұрын
This is very nice,,,good work beka
@pendoclare7589
@pendoclare7589 Жыл бұрын
2023 mkowapi💃💃💃💃💃
@harunmaromba2054
@harunmaromba2054 7 жыл бұрын
beka hii ngoma imetulia xanaa nakuombea kwa mungu
@kwakehenry7525
@kwakehenry7525 7 жыл бұрын
noma ngoma Kali @beka
@robertndahani714
@robertndahani714 7 жыл бұрын
😁😁😁😁Pamoja sana Becka
@allymalick5959
@allymalick5959 7 жыл бұрын
baba tunasubir video kaliiiiiii Hanscana 😁😘😘
@jallymsemwa
@jallymsemwa 7 жыл бұрын
bekA PIGA kazi ndugu yangu c tupo hapa kukupa sapoti tu kila utakachofanya utafik MBALI
@manyaramanyara8872
@manyaramanyara8872 2 жыл бұрын
Beka the boy🔥🔥🔥🇰🇪
@nyandichearts
@nyandichearts 7 жыл бұрын
unajuwaaaa like king kibaaaaaa
@mackenziengolo7mabula132
@mackenziengolo7mabula132 7 жыл бұрын
bonge LA ngoma kudadeki wakikutia DOA nakupa jiki
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 7 жыл бұрын
unawezaaaaaaaaaaaaaaaaaaa brother
@goldenboy_2ro_600
@goldenboy_2ro_600 7 жыл бұрын
Mami mamy ooh unanikosha mwenzio ......wakwapi wale unanitukana na kibamia......nimesikiliza hii nyimbo ni kabaki nalia kiba ataimba nin mungu wangu.....
@fatumabahati496
@fatumabahati496 7 жыл бұрын
Hapo chacha broh iko chonjo
@amisisteven8339
@amisisteven8339 7 жыл бұрын
Powa sana kjnn
@meshakiobedi6777
@meshakiobedi6777 7 жыл бұрын
Ok san unaweza san broh
@AishaDada-v9k
@AishaDada-v9k 5 ай бұрын
Napenda.san.hii.wimbo
@delphinacharles1304
@delphinacharles1304 7 жыл бұрын
Hongera kijana ngoma nzuri
@islammwatoa2990
@islammwatoa2990 7 жыл бұрын
beka salute ww n mkali
@ashafelusi3508
@ashafelusi3508 7 жыл бұрын
.fait MTU Wang hongela sana
@ernestndauka9301
@ernestndauka9301 7 жыл бұрын
Kazi njema Brother!!! Kaza buti tufikie mafanikio ya mziki!!! 💃💃💃💃
@micknessmsuya7757
@micknessmsuya7757 7 жыл бұрын
Uko vizuri kijana
Beka Flavour   _  Libebe ( Official Video )
3:34
My Channel
Рет қаралды 639 М.
Harmonize - Mtaje (Official Audio)
3:46
Harmonize
Рет қаралды 7 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Beka Flavour - Kibenten (Official Video)
3:13
My Channel
Рет қаралды 3,5 МЛН
Pacha Wangu
3:50
Rich Mavoko
Рет қаралды 163 М.
Sikinai
3:26
My Channel
Рет қаралды 32 М.
Ben Pol - MOYO MASHINE (Official Music Video)
4:19
Ben Pol
Рет қаралды 15 МЛН
Beka Flavour - Libebe (Official Audio)
3:28
My Channel
Рет қаралды 328 М.
Beka Flavour  - Naona kiza (Official Video )
3:38
My Channel
Рет қаралды 1,8 МЛН
Killy Tz x Harmonize - Ni Wewe (Official Music Video)
3:03
Officialkilly
Рет қаралды 15 МЛН
Kayumba - Wasi Wasi (Official Video)
3:26
Kayumba
Рет қаралды 7 МЛН
Beka Flavour Feat Mr Blue - Tuwesare (Official Video)
3:32
My Channel
Рет қаралды 1,2 МЛН
Barakah The Prince - Siachani Nawe (Official Video) SMS [Skiza 8091581] to 811
3:32
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН