kwetu dubai lakini namfahamu mr blue na beka flavor😄😄..basi wapatie like hapa twende pamoja sote👏👏👏👏
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Jose brown bongo kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@kevinwabwire75902 жыл бұрын
Dubai
@Dianaf77422 күн бұрын
Wenye tuko apa Dec 2024😂😂mlike apa
@SwahiliMedia6 жыл бұрын
Kama Kwa Siku Unasikiliza Hii Ngoma Zaidi Ya Mara Moja Gonga Likes Hapa Twende Pamoja
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Swahili Media kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@benjambesseltdltdt.v.shiny94574 жыл бұрын
0689943550
@adolphinajalala64544 жыл бұрын
Tuko pamoja kaka
@Muhozasally8 ай бұрын
Niko ichi ni rwadanawpasana
@andrewokusi7 ай бұрын
iLike this song from vihiga Luanda western
@yahyamumbar85745 жыл бұрын
Kali moja bizzy
@erickkarisa69086 жыл бұрын
Mpende mcpende mashabik,, ananyongonyea kungangania kutozawa best w East Africa guys
@rhobimarwa81626 жыл бұрын
nikiwa online sipiti bila ngoma hii maskioni mmmmmhh wanaume mungu awajalie matendo yaendane na maneno
@niyukurieric50893 жыл бұрын
Beka fundi wamziki wa bongo flava
@tumaininemes98146 жыл бұрын
Nilikua naisubiria kwa hamu iyi video......bigup beka 1 & mr blue
@gervastweve86126 жыл бұрын
kama unamuona beka akizidi fanya vizur like hapo chini
@timbadaud96566 жыл бұрын
namkubari sana beka
@rayanalhabsi80296 жыл бұрын
Gervas Tweve beka kauwaaaaaaaaaa
@gervastweve86126 жыл бұрын
rayan alhabsi umeona eee
@raitonmwaipopo94666 жыл бұрын
sana
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Gervas Tweve kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@gilbertbaya15466 жыл бұрын
Nice song mazee thumb 👍👍 poa sana byser.
@melanindiva89576 жыл бұрын
Beka wangu nakupedanga bure 😍 I hope ukuje New York au somewhere karibu na New York kama ukuji am coming to Tz just to see you 😍 happier comes first am next 😂😂😂😂
@hamisibakora55686 жыл бұрын
beka umenimaliza kinyama chaaaaa
@zebedayoyohana21143 жыл бұрын
We hautokuja the past couple weeks to a o
@emedishebabinbawili47326 жыл бұрын
Kama una mkubali uyu ndugu yangu basi like na tell me how u like him...🔥
@peacekoshuma65915 жыл бұрын
Namkubal kinyma
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Emedi Sheba Bin Bawili kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@kiluwasalum50026 жыл бұрын
kuna w2 wanajua kuimba kiu kwl kaa mungu akujarie dogo yure jamaa aingii ata kidogo ukwl upo wazi
@mgemasamsoniponakukubalsan73435 жыл бұрын
Sana kaka mkubwa
@mgemasamsoniponakukubalsan73435 жыл бұрын
nimeikubal sana hii ngoma daah
@edwardsichilengwe23304 жыл бұрын
Asley kwa kweli kaachwa hapa muwe wazi
@rhobimarwa81626 жыл бұрын
kweli wanaume mungu anawaona maneno matamu matendo machungu
@shishiramnzava35656 жыл бұрын
rhobi marwa dah umewaza nini?
@rhobimarwa81626 жыл бұрын
Shishira Mnzava sijawaza vibaya Ila mnamaneno matamu sana Ila matendo yenu nimaumivu
@shishiramnzava35656 жыл бұрын
Ha ha ha hya bnaa but maneno dawa piaa msituchoke si wanaumwe kwenu kama watoto tu
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
rhobi marwa kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@ndayisengafrorence84615 жыл бұрын
Mapenzi niyawa wili wa tatu nikudanganyana kabisaa 🙌
@margeysmarvin72736 жыл бұрын
Good music is about the beats n most importantly the voice. Beka nailed it, the poetry, rhythm n sound is excellent, imma keep watching n watchiiiiiing
Beka uko vizuri. Shukrani Mr. Blue, the legend in music for supporting your young bro!!!! Tanua mzee baba Beka washaelewa muda tu wenye roho za kwanini!!
@marvinkigame28386 жыл бұрын
I think Beka was smoothest voice among his former crew.. big up man... Keep it up 👍
@johnmuchumi81556 жыл бұрын
beka umemaliza kishenzi noma xana +254 ndaaani
@saidiothmani64335 жыл бұрын
Bonge la ngoma.jamaa anajua
@sherylcarlos25806 жыл бұрын
Nakukubar sana Beka Mashaili yako Ya ukwer, Duh Mr bluu ndo umezeeka ivyo hahahaha jaman Uemsam boy kwishaaaa Aseee iyo mi devu sasa fyuuuuuu,
@mnelamwanajr49776 жыл бұрын
Dah nyimbo ni nzur Mungu akuongezee jmn
@ainga936 жыл бұрын
Top 50 to watch and I think 1st from +254... Beka uko fiti bro. Though bado nahata Yamoto sana
@ckukuu84046 жыл бұрын
Team Khaligraph Jones The OG umenipita leo
@ainga936 жыл бұрын
hahaa, kwa nyimbo zote mbili amerelease
@salihatssaidi51106 жыл бұрын
Qaliiiiiii👆👆👆👆👆👍
@abdulshaban63436 жыл бұрын
yaaan ww ni zaid vile wanavyo kuchukulia bro kama nilivyosikia happy akisema mtu unae jielewa na mtu unaejua nn unafanya katka kaz zako nakukubali saaana
@wanenetv96726 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hGqoo2eCjJWeebs
@bekamzuri66176 жыл бұрын
Beka
@meryjacbo11446 жыл бұрын
beka uko vizuri snaaa
@rosemutisya20736 жыл бұрын
Beka Na mungu akufikishe mbali
@samsonmusa76266 жыл бұрын
Amini msiamini huyu dogo anamzidi aslay
@ibrahimomary1366 жыл бұрын
ndo ivo kabisa
@nicobura55436 жыл бұрын
Not yet Ila apambane
@zureamajuto29496 жыл бұрын
samson musa beka na asly mwenye sauti mzuri beka
@saraaudax57586 жыл бұрын
kabisaaaaaa
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
samson musa kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@jayrama67616 жыл бұрын
Much love from 254 (001) Mji $ultan Welcome any Time
@amhustlesamhustles76946 жыл бұрын
Babylon byzzz Nouma sana weye
@ashurakimbisa36286 жыл бұрын
jaman mistary imetulia kizazi sana uwiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 adii raha
@chrysostomngonyani64566 жыл бұрын
Bongo fleva niijuaye n hii, ♥♥♥
@alfredycheyo88476 жыл бұрын
Beka you are so talented blood brother.Plz Keep it up !!
@wilsonwizzo24836 жыл бұрын
we dogo ni nyoko japokuwa Mimi ni team chama la sana #WCB lakini mbosso na aslay hawawez lEveL hizi
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Tanasha Newz kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@edwardsichilengwe23304 жыл бұрын
Sauti tamu beka anawazidi, ila kwa ufundi mboso noma sana. Nikisikiliza sonona aaa we mboso anaua jamani japo na huyu msenge fundi sana aslay kaachwa
Emanuel K vanny II kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@zulekhaomary75265 жыл бұрын
Mr blue kalinyanyasa bit😉
@4yayasmusic3946 жыл бұрын
Hii nyimbo naikubali hayo mapigo inavyoanza mpaka raha Haya twende saresare kama unamkubali beka1 like hapo
@princefever31158 ай бұрын
Who's here again in 2024??
@ArthemondNimubona Жыл бұрын
Hiyi nyimbo naibali sana❤❤
@desmondkhaseke43212 жыл бұрын
Beka's voice was the best in the former crew
@esthermibaleo19002 жыл бұрын
Wow this is an awesome song Beka flavor na Mr Blue pia I'm proud of you guys more blessings 💙
@NamkoliNamkoli51 минут бұрын
Ngoma imetoka April 28 . 2011 niko form 5. Mustafa sabodo sc . Nirisikiriza kutwa mzima shuleni mpaka nikampata msichana school. Mpaka sasa ni mkewangu. Na tuna watoto 2.
@wasafitvfm1356 жыл бұрын
KAZI NZURI
@geraldinhoelias80076 жыл бұрын
beka we noma, nakukubali sana... nimeiona ngoma mpya kutoka Mozambique
@mussampambichile86476 жыл бұрын
Kali sana hiiiiii yani ungetowa mapema ingetisha
@tropicalpol16286 жыл бұрын
Mr bulu nakubali paka dk ya mwishoo
@zenasaid17526 жыл бұрын
hongera kazi nzur zidisha kumuomba mungu ufike mbal na ndoto yako itimie mziki sasa una ushindani sana usilewe sifa
@fazi0shkoper2056 жыл бұрын
It song iko good
@PWANIMUSICUPDATES2 жыл бұрын
Ni cheche mzee babaz tukikanyaga tunaacha alama 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdulwarithchulubye56966 жыл бұрын
BEKA ww mkali Na unajuwaa,ungana Na KING KIBA..kundi hilo balaaa..nyie mnaimbaaa Na mna sauti za kuimbaaa,big up
@msabahamalonda22496 жыл бұрын
Nakukubali sana BEKA na napenda sana kaz zako, ila napenda jua mzigo mpya lini shabiki yako napenda kujua ,,,,. One love
@jemedary62716 жыл бұрын
Hii ngoma naipenda sana, japo video imepoa lakini najua cku utafnya maajabu utaumiza kichwa zaidi kwenye script, yaani kuna mda huwa napenda hata ningewepo kwenye kuchangia mawazo ya ubunifu wa script, but ilove this audio and video somehow. Big up becka flavor.
Hongera kwa kazi nzuri Wazeee piteni na kwa #mr_nay mzigo upo hewani kama unapenda ngono basi fanya dhanaaaaaaaa
@eddygonza8916 жыл бұрын
Iko pouwah sannnahh... Kazi nzuri Beka
@officialhuntershery90856 жыл бұрын
Yap ngoma ni Kari Kama tuko Pamoja like zako zihusike
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
HUNTER SHERY kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@queenmangowi75846 жыл бұрын
Kazi nzr sanaa unaelewa venye nakukubali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥@bekafleva
@deusntobi14504 жыл бұрын
Nakupenda sana beka na si bule ila sababu ya mziki mzuri ufanyao ndo sababu nakuelewa sana.
@zenabzenab21616 жыл бұрын
nyimbo mzuri hongereni kwa kazi mzuri 🔥🔥🔥
@joycebaiya55403 жыл бұрын
Napenda San nyimbo za kaka Beka
@momax_tv5 жыл бұрын
Najua Mapenzi ni ya wawili,watatu ni uongo kdanganyana,sungura n fisi hawapatani,...siunajua vile nnakpenda ww hatamacho sitazami mpembeni moyo wangu umeuchora tatoo ww niamini tu tunde dunia Mamangu mzazi beka amemfunika Mr blue sana
@ehizdc99735 жыл бұрын
I love this guy pls make a song wizkid or davido so that your music can sell well in Nigerian because it is just few of us that know u here an u are deam good
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
blaq Aiorfa kzbin.info/www/bejne/e2PMhquDq6-Ve8U
@SwahiliMedia6 жыл бұрын
Gari Limewaka Mungu Akupiganie My Broh
@joaoassikali21634 жыл бұрын
Nakubali sana
@noellahappy5126 жыл бұрын
wooooow asante kwa video nilikuw ata sipendi kuona wimbo huu auna video
@princejlee70986 жыл бұрын
Nakukubali sana man unatoaga viukali kinoma mungu akuongezee kipaji ili tuzid burudika
@jemimahoboyere17855 жыл бұрын
Still there.....Wow!!! Beka,,......songs zako sisemi tena..ebu gonga like ka pia zinakumaliza
@PhylNation6 жыл бұрын
254 likes ziwapi kwa beka flavor Tukisomanga comments
@maithasirya2528Ай бұрын
Haina kifani hata kidogo..... Beka forever
@MichaelEEgesa5 жыл бұрын
Nakukubali Sana beka kwa nyimbo zako, big up
@alfredycheyo88476 жыл бұрын
Huuuuuuu,Mapenzi ni ya wawili wakati huo ni uongo kudanganyana.Mr Blue na Fravor for life !!
@zenith87986 жыл бұрын
Someone post Lyrics please!
@TotoBadi-df4sx10 ай бұрын
Wapi like ya 2024🙏🔥🔥
@youngboy22006 жыл бұрын
Kazi nzuri 🔥 🔥 🔥
@MnkondeJr3 ай бұрын
Daa max alikuwa anakujulia sana mtafute huyo ndo producer wako
@ernestndauka93016 жыл бұрын
After Audio now is Video!!! Ongera sana Beka Flavour
Tisha sana Beka Flavour we unaweza Sana.... Mr Blue ujawai kukosea......Ngoma imekolea maskioni....siichoki.... 👍
@edwardsichilengwe23304 жыл бұрын
Kama muziki ungekuwa ni sauti tamu tu, basi kiba na mond unawakilisha. Ila kwasababu muziki una mpangilio na mitindo tofauti hapo ndo kaka zako wanapokukanyaga
@emmanuelychristopher55416 жыл бұрын
Nyimbo makin xn big up 👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
@m2kumbom2kumbo566 жыл бұрын
Beka hahahaa broo haujakosea mr blue hpo ume succeed nko 1 4n Kenya kucoment
@ainga936 жыл бұрын
M2kumbo M2KUMBO zii nlikutangulia
@m2kumbom2kumbo566 жыл бұрын
Team Khaligraph Jones The OG wap ulianza kucoment
@ainga936 жыл бұрын
Nlikutangulia na dakika mbili
@ainga936 жыл бұрын
Was top 30 to watch
@m2kumbom2kumbo566 жыл бұрын
Team Khaligraph Jones The OG Fresh ila nmelowe na hizi ngoma
@duniayakijani78684 жыл бұрын
Daah! Jamaa fundi aisehh
@majidsalum646 жыл бұрын
we Beka nyokoooo daaa nyimbo hii unaenda kutolea posa kabisa
@sirjoel42286 жыл бұрын
unatsha kaka mm csem zaid yakusema unajua had unakela🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵
@djthao98365 жыл бұрын
Nimetokea kumpenda Beka sana mwanzo Anajisimamia mwenyewe,sio kama wengine tunaowafahamu
@khadijamfaume8386 жыл бұрын
nyumbo naipenda sana nailudia mda ote hongela beka Wetu unatuakilisha
@maengomkopi6 жыл бұрын
Hii video nilikuwa naisubiri kwa hamu sana big up kwenu beka na blue
@jumadaniel87443 жыл бұрын
Yaan wabongoo🙌🙌🙌nyimbo Kali hiv hata 1m Haina kwel!!!!???
@binbenmartin34256 жыл бұрын
Beka's voice Hunikumbusha Yamoto band,,. Yamoto was the best african group ever..
@nassorombutite45262 жыл бұрын
Nice song bro tunakukubali sana bro kutoka kibaoni ifakara
@msemakweli78066 жыл бұрын
KAZI NZURI.... 🔥 🔥
@habibaadam66666 жыл бұрын
AlikibaVEVO tunangoja ngoma my brother
@JIMBO_MEDIA6 жыл бұрын
AlikibaVEVO account fake. 27 subscribers duh.
@selle25526 жыл бұрын
Reaaly fake
@josebrownbongo97776 жыл бұрын
AlikibaVEVO vipi bro 👊👊nakupenda ali k
@barikisanga99946 жыл бұрын
%%%
@hajuboy28826 жыл бұрын
nakubali sanaa beka sauti ako hata niwe wap naikubali big up sanaa
@najmahtajiweedy80456 жыл бұрын
Hap bong kuna wasanii na wanamzki huy ndiye msanii kuliko wale wanaotoka kweny usingiz na kutoa kiwimb big up san