If you want Dr.Ipyana to visit Kenya for a worship night gonga like
@b.emmaqulate4 ай бұрын
@dr.Ipyana should see this
@lizgesare26144 ай бұрын
Kwani Ni Wa Wich country
@sallypeter14074 ай бұрын
Tz@@lizgesare2614
@sarahwawuda51644 ай бұрын
Tanzania @@lizgesare2614
@b.emmaqulate4 ай бұрын
@@lizgesare2614 Tanzania
@nvpmedia64674 ай бұрын
Tanzania like ziko wapi 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Tz Tunashindwa kunyamaza ni Makubwa anayo tutendea uyu Mungu
@ministerHappyAllan4 ай бұрын
TUNAWEZAJE KUTULIA
@EmileLugendo4 ай бұрын
Nawezaje kutulia Bwana
@julianalameck90454 ай бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
@leoniajohn86764 ай бұрын
Nawezaje kutulia
@jasminesungura87304 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sophiaasenga2984 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza. Naitwa Sophia Anselmu Asenga. Yesu aliniponya Asma na pumu iliyonitesa Kwa miaka 18. Jamani nitawezaje kunyamaza wakati kaniponya. Nakumbuka ulikuwa ikinibana, unabanwa kisawa Sawa ukweli ukweli. Glory to God. I glorify lord Jesus
@petermushi40244 ай бұрын
🎉🎉🎉 unawezaje kutulia
@userbridgitnkatha4 ай бұрын
I can't keep quiet Lord,, you have already done it ❤🙏🙏 from Kenya 🇰🇪❤
@ritaaliela74014 ай бұрын
Sifa kwa Yesu
@marthawillium25474 ай бұрын
Oooh wooow.Yesu please keep this testimony for the future
@helenyohana18924 ай бұрын
Amen❤🙏
@OlivaMoshi4 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza wakati nilikatiwa tamaa na kuwa sitaolewa wala sitazaa, na mimi pia nikajikatia tamaa kabisa. Pale nilipoishia Mungu ndio akaanzia! uuuwii Mungu akanishangaza na kuwashangaza watesi wangu. Mbele ya macho yao nikaolewa na God fearing man haswa tena muhubiri wa injili yeye na familia yake. Yaani nimeandaliwa meza mbele ya watesi. Mume ambaye ukimuangalia unaanza kulia tena machozi ya shukrani kwa Mungu. Jamani am blessed and I have the best Christian marriage. Wakwe watumishi yaani namtumikia Mungu kwa ushindi mkuu. Siwezi kunyamaza na kuwaambia mabinti kuwa Yesu bado anao waume bora kwa ajili yao. Mungu wangu anatenda zaidi ya tuombavyo na tuwazavyo!!!! Yesu hajaishiwa na hatokaa aishiwe. Acha tumtangaze huyu Yesu ya kuwa matendo yake yanatisha kama nini!!!
@LeahJoshuwa3 ай бұрын
Oliva barikiwa sana
@magdalenamaziku96913 ай бұрын
SIFA NA UTUKUFU URUDI KWA MUNGU, Nashangalia na kuconnect na kibali hiki kwa Jina La Yesu
@magdalenamaziku96913 ай бұрын
SIFA NA UTUKUFU URUDI KWA MUNGU, Nashangalia na kuconnect na kibali hiki kwa Jina La Yesu
@deborasimon4223 ай бұрын
Haleluya Atukuzwe Mungu
@GaudenciaMatutu3 ай бұрын
Napokeaa hii Kwa viwangoo
@user-Joykananu4 ай бұрын
I will be back with a testimony soon. God please remember me, I want to be part of this testimony. Someone please like my comment.
@kerubonancy50573 ай бұрын
Amen receive your testimony in Jesus name
@priscillahmwendwa4650Ай бұрын
Oh God I want to sing this song deeply rejoicing in my heart tears of joy blowing down my chicks oh remember me Lord ,walk with me till the end of these storms 😢😢
@gustavrwekaza802Ай бұрын
🎉May your prayer be granted
@dorismuthio2664Ай бұрын
Me too
@WelluIzumbe29 күн бұрын
Mungu na kutendee dear
@MagrethAndrew-hj5ur4 ай бұрын
Naweza kunyamaza wakati Mungu amenitendea makubwa, mwaka 2022 ujauzito uliharibika na miezi saba nilitoka damu mpaka ikabaki moja nikaa ICU siku tatu na kuongeza damu unit 11, kiufupi nilichungulia kaburi, nikashonwa shingo ya kizazi na nikaambiwa sitakiwi kubeba mimba ndani ya mwaka.mmoja, lakini baada ya miezi miwili tu nikabeba ujauzito mwingine na 2023 mwezi wa 11 nikapokea bby girl wangu mrembo sana, yuleyule wa kike niliyempoteza, nawezaja kunyamaza mimi, uponyaji nilipata, sikufa kabla ya mpango wa Mungu na bby ninaye!
@HellenKahema4 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@dr_muyoka4 ай бұрын
Amen dadangu. Asante kwa ushuuda wako. Utanyamazaje ilhali Mungu amekutendea makuu? Jina lake litukuzwe milele na milele, Amen. 🙏🙌
@upendokikwelele6204 ай бұрын
Hongera Sana hapo huwezi kunyamaza
@pendopaul80114 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢🙌🙌
@NatovuakiThomas4 ай бұрын
Glory to God Hongera sana dada
@deborahkabwe60574 ай бұрын
Nilipata ajali nikapasuka kichwani nikapoteza kumbukumbu kwa muda wa mwezi mzima. Yesu alinirejeshea Tena . Kumbukumbu . Nawezaje kunyamaza
@MaryLaizer-zy6nm4 ай бұрын
🙌🙌🙌
@judyndaula63433 ай бұрын
Glory be to God🙏
@ansilalulehana47153 ай бұрын
Jamani jina la Bwana libarikiwe
@frankmbindi63623 ай бұрын
Dah nilijua ni mm tu
@Mr_batuku3 ай бұрын
Na usinyamaze sifa zake na zivume siku zote
@praiseandworship62934 ай бұрын
Whoever reading this,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
@alexnyaga66064 ай бұрын
Amen
@joanjohnson83084 ай бұрын
Amen
@gracemunanie93134 ай бұрын
Amen,am singing the song with much joy because I know He will do it for me
@joycelanda89874 ай бұрын
Amen
@JudithMsuya-pe1sx4 ай бұрын
Ameen
@ireneleonard47394 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza wakati Mungu ametenda makubwa kwangu nimehangaika n hormonal imbalance for 10 years n finally Mungu ametenda jambo jipya kwangu ! Tripplets on their way 🙏🙏🙏🙏naachaje kumsifu huyu Mungu mwenye matendo makubwa kwangu !!haikua rahisi kusubiri ila 18.08. 2024 God did it 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️
@dorynfao4 ай бұрын
Glory to God🎉🎉🎉
@sarahoden13443 ай бұрын
Hongera mamy shuhuda hzi zinanitia nguvu
@judyndaula63433 ай бұрын
Glory be to God🙏🙏🙏🙏
@annafoya38513 ай бұрын
Glory be to God🙏
@RebecaKamwela-j1g3 ай бұрын
Groly to GOD.
@AlphonceDM4 ай бұрын
Wale tulinaoangalia hii baada ya kuona Dr Ipyana akiwa amepiganiwa na Bwana baada ya kupata ajali mbaya ya Kifo lakin bado halalamiki anatutia moyo nione like za kutoshaaaa❤❤❤❤ Hatuwezi Kunyamaza
@helenaJOSEPH-z2m27 күн бұрын
Hatuwez kunyamaza😢naona jinsi Mungu anaenda kunipa degree yangu ya pili,pamoja na magumu,naona anavyonivusha😢😢
@KeziaChalu-l2n7 күн бұрын
Nawezaje kunyamaza alinitoa kwenye opareshen ngumu nikatoka salama
@beatricekatunzi37215 күн бұрын
@@helenaJOSEPH-z2munanitia moyo sana.Mimi na umri wangu wa Miaka 52 nimebakiza miaka 8 kustaafu naelekea kuanza dissertation ta degree yangu ya pili.Licha ya magumu ninayopitia bado namuona Mungu yu nami Nashukuru Mungu kunipandisha hatua nyingine katika utumishi wangu ambapo nilishakata tamaa sana.Hakika siwezi kunyamaza namshangaa Mungu
@beatricekatunzi37215 күн бұрын
Wakati uliopita niliona ulimwengu wote unanicheka,nikaona Mungu ameniacha Leo tena national ninapendelewa na Mungu I can't explain
@GraceNafula-n1h4 ай бұрын
Nawazaje kunyamaza wakati amenipa mtoto wakati tuiliitwa taasa mimi na mume wangu👪
@DIGNAJASTIN-dl8yj4 ай бұрын
Mungu sio kama wanadamu nivwatofauti kabisa
@epifaniamilinga28484 ай бұрын
Mungi yu mwema.Hongera
@vanesamedard16894 ай бұрын
Mungu Mwaminifu 🙏
@soniamkumbwa55404 ай бұрын
Hallelujah. Hakuna lililo gumu kwa Mungu
@MiliamNgozi4 ай бұрын
Ee Mungu wangu anitende na.mimi
@leah_km4 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza mimi jaman 🥹 hapa dar nilkuja na kibeg tu cha mgongoni na kiswaswadu ila sasa Mungu amenipa kaz ya kufanya chumba chenye vitu vya kutosha 😭 na kabat lilolojaa nguo 🥹🥹😭😭 mimi ni nan jmn!! Leo Mungu kanipa na biashara yangu kabisa ndugu zangu wakija dar wanafikia dar na wanakula had wanasaza Ooh Lord!! Hi ni kubwa sana kwangu NAWEZAJE KUNYAMAZA MIMI 😭😭🙏
@SophiaChande4 ай бұрын
Be blessed Leah ❤️
@ZakiaSaid-wp6pm3 ай бұрын
Mungu mkubwa nahisi kulia machozi ya furaha Kwa ushuhuda huu😢
@lennykamau81003 ай бұрын
Na sifa zimrejee mwenyezi mungu
@FATUMANgala-j1z3 ай бұрын
God bless you more
@joycelanda89872 ай бұрын
Oh Hallelujah!! Praise the Lord!!!
@denisbongore30984 ай бұрын
Waliojanzwa nguvu za Mungu kupitia huu wimbo tunaomba like jmn 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 atuwezi kunyamaza Yesuuuuuuuuu tunakupenda
@leonidamichael26643 ай бұрын
The crying the happynes the feeling is unexplainable
@DCH-6814 ай бұрын
Nawezaje kunyamanza wakati umefanya sijaona namna hii ❤❤❤❤❤❤❤❤ 2024, I got my visa and traveled, my wife got promoted, sijaona namna hiii, asante Yesu
@Wilsonciza-x1cАй бұрын
🙏
@PraelKui14 күн бұрын
Naweza aje kunyamaza wakati nimeona mwezi wa mwisho wa mwaka 2024🥳🥳🥳🥳🥳🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SamsaiMedia4 ай бұрын
Anyone from Kenya Tupia like hapa maze🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eliufoosimonchuri41604 ай бұрын
Our brothers and sisters mko safi sana. Many blessings to you. Namna hii hatujawahi ona.
@winymaomond24304 ай бұрын
Tuko🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nancynjeri43484 ай бұрын
Tuko ndani 🇰🇪🇰🇪
@wafabian81164 ай бұрын
Niko Niko🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nasiwezi kunyamaza
@marygokune23514 ай бұрын
Here🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@denisbongore30984 ай бұрын
Wooooooooiiiiiiiii jmn mm huu wimbo naweza usikiliza ata kwa siku mara saba kama wako walioupenda huu wimbo kama mm naomba like zenu nimeshindwa kunyamaza jmn!!!!!!!
@festobumi3 ай бұрын
umekua sehemu ya maisha yangu! yaaan ashukuriwe Mungu❤❤❤❤❤
Mungu BABA, ameniokoa na ajari mbaya , Lori limetugonga nilikuwa kwenye daladala.Hakika siwezi kunyamaza kama wengine wamefariki Mimi npo hai 🥺🥺🙏🙏😔
@MsMamemy4 ай бұрын
Jamani likes hazitoshi huu wimbo ni zaidi ya deliverance... Huyu mtumishi wa Mungu azidi kulindwa na damu ya Yesu na he is unstoppable hata shetani alipotaka kumzuia kwenda kuhudumu Rwanda hakuweza... Sijaona likes za kutosha from Rwanda let's thank God for the life of Dr Ipyana... Thumbs up from 🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇺🇬.... Let love lead
@jackeminja96944 ай бұрын
Anyone from Tanzania likes here.
@Olivier_Ndanyuzwe4 ай бұрын
Heavenly Father I pray that you keep the person reading this alive, safe, healthy and financially blessed Amen 🙏.
@judyndaula63433 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🙏
@justinamautice97302 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@Lioness_24074 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza..Mungu umemponya mwanangu aliekua na matundu kwenye moyo mawili, nilikua nampeleka clinic Muhimbili kila baada ya miezi miwili...tangu kuzaliwa...now ana miaka 8 amepona bila operation wala dawa za hospitali...siwezi kunyamaza kabisaaa....eeeeh namna hii sijaona namna hii Yesu🙌🙌🙇
@FridaMwita4 ай бұрын
I can feel dear,siwez kunyamaza pia sickle cell,miez kumi na Moja Sasa mwanangu hajalala hospitali wala kuona mlango wa hosp,hajaongezewa damu,I ntank God for this,ilikua Kila week hosp Kila baada ya miez miwil tunalazwa anaongezewa damu.siwez kunyamaza mim😢
@Lioness_24074 ай бұрын
@@FridaMwita halafu mtu aje kuniambia et Yesu ni scam..aaah hapana jamani siwezi kunyamaza kabisaa huu wimbo naweza nikausikiliza siku mzima nisichoke kipenzi,Yesu ni mzuri mnoo🔥🔥🙌
@SophiaChande4 ай бұрын
❤❤❤❤
@mselledamas90783 ай бұрын
Ooooh haleluya ninalia kushukuru kwaajili yako
@Lioness_24073 ай бұрын
@@mselledamas9078 ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen 🙌
@Jackmushil2 ай бұрын
Nitarudi soon kutoa ushuhuda, Niombeeni jamani nami nifunguliwe tumbo niitwe mama na mimi
@ckkevinkigen49685 күн бұрын
Hallelujah, Tunangoja matendo ya Mungu katika Maisha yako
@lilianboimanda74433 күн бұрын
Kwa imani Mungu atakupaaaa amennnn
@josephkmuigai1745Күн бұрын
Mungu akutendee kulingana na Imani Yako.Anayaweza yote
@MercyKundu-te7zi3 ай бұрын
Niligonjeka kanza ya macho na ilikuwa imebaki one week na nikufe nilitolewa jicho moja sai niko na nko mzima na hilo jicho moja praise God 🙏🏾nitawezaje kunyamaza mm , Kenya's 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yusterjoseph35953 ай бұрын
glory to God
@FATUMANgala-j1z3 ай бұрын
Glory be to God
@cynthiaawuor-bk8eg2 ай бұрын
Glory be to God
@benignendayizigiye2244 ай бұрын
Nawezaje kunyamanza wakati Mungu katuokoa kwenye ajali ya Ndege with my brother and sister😭😭…na na tumezaliwa 3 tu ….nawezaje kutulia na wakati umefanya namna hii Bwana sijaona namna hiii😭😭
@graceilahamis70174 ай бұрын
Hakika Mungu ni mkubwa
@syrinemwikali77003 ай бұрын
Wow what a testimony Glory glory glory to the Most High God 🙌 🙏
@benignendayizigiye2243 ай бұрын
@@syrinemwikali7700 amen Glory to our almight God🙏🏾🧎🏻♀️
@benignendayizigiye2243 ай бұрын
@@graceilahamis7017 sana tutaendelea kusema ukuu wake 🧎🏻♀️🙏🏾
@benignendayizigiye2243 ай бұрын
@@graceilahamis7017Mungu apewe sifa na nitaendelea kumshkuru Mungu kila nikikumbuka hilo 🧎🏻♀️🙏🏾
@irenemwikali74004 ай бұрын
Sitaweza kunyamaza, Yesu amenitendea Amen 🙏🙏. Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes
@fredrickojiambo2543 ай бұрын
Sijaona namna hiii I can't be silent 🔕🔕
@BlessingBaraka-i1s4 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza na yeye aliniponya kwa mlipuko wa bomu 2013 sahi najivunia Yeye pekee ndani ya maisha yangu, ni Blessing from Kenya🇰🇪
@CatherineNzeki4 ай бұрын
AMINA.UTUKUFU KWA MUNGU
@FATUMANgala-j1z3 ай бұрын
Amen sifa zimrudie mungu
@joyceassey23474 ай бұрын
Sitaweza kunyamaza Mungu anakwenda kunipa kazi nzuri ,,,nitarudi hapa hapa kupiga kelele zaidi siku si nyingi
@JoyceHaule-o7b3 ай бұрын
Amina amina
@joyceassey23473 ай бұрын
Here I am kupiga kelele na uyu Mungu jaman,,ametenda kwa kishindo acheni tu🙏🙏🙏🙏
@joyceassey23473 ай бұрын
@@JoyceHaule-o7b Mungu amejibu
@luzaliagigwa5705Ай бұрын
Ameeeen
@gracepaul59014 ай бұрын
Nilipata ajari mbaya sana nikielekea kazini nikiwa speed sana. Gari iliacha njia na kugonga Mti, kisha ikageuka na kurudi nilikotoka na kuniangusha tairi kushoto mbele na nyuma zikabaki ringi tupu.Mungu wangu akanitoa mzima kabisaa. Nikiwa naelekea Nairobi na Bus kampuni Easy coach baada ya Gari yetu kuondoka. ASB mlima wa Mayumayu uliyeyuka na kua matope, nyumba na ❤magari baadhi ikiwemo Bus LA Easy coach vikafunikwa na zaidi ya Watu 250 kufa. Nilipata attack ya kishindwa kupumua na kuvimba mwili wote nikiwa naendesha Gari . Mungu aliwezesha alinifikisha hadi getini kwangu. Hatimae hali ikazidi kua ngumu lakini niliweza kufikishwa hospital nikapata tiba ya dharula. Eeh Yesu ninakutenda dhambi kwa mawazo, maneno, matendo na kutitimiza amri zako. *Nisamehe Bwana* NAWEZAJE KUNYAMAZA SASA?
@BrigitaJosephАй бұрын
Kwakweli usinyamaze maana sio Kwa mapito hayo
@ingozescopion4 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza wakati aliniponya na uraibu wa kamari na uvutaji wa bangi
@WelluIzumbe29 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua dear
@beatricekatunzi37215 күн бұрын
Amen.Mtumaini sana Jehova
@elizabethjohnson40894 ай бұрын
Ee Yesu sijaona namna hii siwezi kunyamaza, mengi uliyotenda kwenye maisha yangu, umenipa wazazi, umenipa mume, umenipa watoto wawili wazuri, umenipa kazi nzuri yenye heshima, na umenipa wadogo wazurii , Yesu siwez kunyamaza
@justinemagige1439Ай бұрын
Mungu amefanya tena kwako na famiia yako utawezaje kunyamaza?????
@jackeminja96944 ай бұрын
Dr ipyana ameshindwa kunyamazaa na amemtukuza Mungu hata kwa Hali aliyopitia siku ya uzinduzi WA nyimbo badooo Mungu amemtendea Nami cwez kunyamaza kumtukuz Mungu kwa ajili yake...Glory to God Bwana amejivika utukufu na heshima..Mungu yupo jamani
@tumainirwela64884 ай бұрын
Alipitia hali gani?
@neboughtkalwila4 ай бұрын
@@tumainirwela6488 angalia video amepost kwenye akaunti yake, alipata ajali mbaya sana, Bwana kamtoa salama, ijapo alijeruhiwa
@reginakaniki42094 ай бұрын
@@tumainirwela6488alipata ajali my kagongwa na gari
@antussatemba66764 ай бұрын
@@tumainirwela6488alipata ajalii
@christinankya4335Ай бұрын
Ajali
@ginxginx90172 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza, sijaona namna hii, nipo kwenye kipindi kigumu cha kutengana na aliyekua mume wangu, amesaliti agano la ndoa na wanawake wengi mno zaidi ya watano na manyanyaso juu, na bado kuniacha nalea mtoto wa mwaka bila kodi bila kazi, bila senti tano mfukoni mwangu, ila Mungu mkuu akaninyanyulia watu na hapa napoandika ushuhuda huu nimepata kodi kabla ya deadline yaani ni kuwasiliana na mwenye nyumba kumuuliza niingize wapi kodi yake 😄, and I declare more blessings after blessings upon my life in Jesus name.....Huyu Yesu matendo yake yanatisha 🙏 Nikutie moyo unaesoma ujumbe huu, usiogope Mtegemee Mungu katika maisha yako, hata uwe unapitia wakati mgumu kiasi gani kwa Mungu hakuna jambo gumu kabisaaaa, tusimwekee Mungu mipaka, amini!!!! Yesu anakupenda, ni maombi yangu Mungu akuvushe na kukushindia katika gumu unalopitia in Jesus name I pray.
@justinemagige1439Ай бұрын
Hongera sana na mimi atanivusha kwenye changamoto zangu na familia yangu pia itavushwa tutamaliza mwaka kwa ushindi kwasababu tutasema hakika Mungu ametenda na kila asikiaye atafurahi nasi kwasababu BWANA atafanya kwa maajabu makuu!
@godfreylugiko97687 күн бұрын
Amina dada mungu akuwezeshe
@patriciamapunda6220Ай бұрын
Nawezaje kunyamaza, nilichekwa niko nyumban wenzangu wanaolewa,2024 nimechumbiwa, nimefunguliwa kampuni na natarajia mtoto...hizi ni baraka tosha kwangu
@justinemagige1439Ай бұрын
Hakika huwezi kunyamaza wakati BWANA ametenda!
@denisalex25015 күн бұрын
Nibaraka tosha mungu akusimamie Mimi kijana Nina diploma ya uhasibu naomba kazi kwenye kampuni yako
@yvonnekwikiriza91074 ай бұрын
Here after Dr. Ipyana's public announcement of the accident. Shetani atashindwa milele. JESUS CHRIST is enthroned forever more AMEN.
@moseshunja17924 ай бұрын
Ashashindwa, hana nguvu. Mungu ni mwema.
@yvonnekwikiriza91074 ай бұрын
@@moseshunja1792 AMEN
@naomiicks51783 ай бұрын
Amen, don’t touch my anointed and do them no harm. Says the Lord psalm 105:15 so the Devil has to pay. He will not die but live to declare the goodness of the lord in the land of the living. May the angels of the lord protect him day and Night and his family too . We cover him with the blood of Jesus
@bambe1173 ай бұрын
Number yake inapatikanaje
@ebenezerchristopher96054 ай бұрын
Tunawezaje kunyamaza wakati Mungu umemuokoa mtumishi wako Dr. Ipyna na mauti ya ajali ❤️🙌🙌🙌
@barakazakayo70004 ай бұрын
Tuliokua tunaisubiria hii video tujuane jmn🙏🙏🙏🙏 Nawezaje kunyamazaa sasa❤❤❤ Barikiwaa sanaa Kaka Dr Ipyana❣️❣️❣️🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏
@goddiegilbert21474 ай бұрын
Nipo hapa kaka
@barakazakayo70004 ай бұрын
@@goddiegilbert2147 Ameen sanaa kaka Barikiwaa 🙏🙏🙏🙏
@NadhiriBlessing4 ай бұрын
Tupoooooo😅
@barakazakayo70004 ай бұрын
@@NadhiriBlessing Ameeen kaka ♥️🙏🙏
@winnieprice50144 ай бұрын
Nimewasili hapa hallelujah 🎉
@NzwallaNzwalla-t9v2 ай бұрын
najua sijachelewa sana naomba hata like moja, mimi siwezi kunyamaza🙇
@mammai67983 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza Wkt Nilimuona Mungu live alivoshuka haraka kuniokoa baada ya kugonga Treni na gari lng tena nikiwa na firstborn wng wa miezi tuu alienizawadia Mungu baada ya uzazi kusumbua muda mrefu lkn hatukufa wala kuumia ! Ingawa gari lilikuwa hoi !
@FATUMANgala-j1z3 ай бұрын
Sifa kwa mungu
@justinemagige1439Ай бұрын
Hakika hauwezi kunyamaza BWANA amekutendea makuu katika familia yako!
@saudaantony91524 ай бұрын
kwenye huu wimbo najisikia kulia tu😭😭😭😭😭😭 Mungu yupo jamanii tusichoke kumshukuru na kumwabudu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@lizpallangyo80574 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza hali Mungu amemponya Dr.Ipyana na roho ya mauti, nimekumbuka Mungu alivyoniokoa na ajali ya mauti,gari ya Noah iliponigonga na kunirusha mbele na kunipitia juu hadi leo nipo hai nina nguvu,namtukuza Mungu
@boazdanken4 ай бұрын
Namna hii sijaona namna God Bless you Mtumishi wa Mungu
@T.O.G.W.M4 ай бұрын
Barikiwa zaidi Boaz Danken
@siashayo64664 ай бұрын
Hakika hatuwezi kunyamaza mtumishi
@antussatemba66764 ай бұрын
Sijaona namna hiii blessing over blessing❤❤❤❤
@collinsshitandi61763 ай бұрын
Barikiwa sana pia mtumishi wa Mungu.
@DavidMugunda3 ай бұрын
Furaha festival Mbeya ❤❤❤
@REHEMACONERIOCOSTANCE4 ай бұрын
Naweza kunyamaza mim jmn wakat Mungu hamenitendea mumewangu alipo fariki ndug wa mumewangu walinipokonya kila kitu na mpka watt wangu wakawakata kbs nikawa sijui watt wangu watasomaje na wataishije, lkn Yesu halitenda akatoka mtu wa kuwasomesha watt wangu wote wa 3 tena shule za boding, jmn naweza kunyamaza mim zaid yakulitukuza jina lake
@justinemagige1439Ай бұрын
Destinyhelper huyo kweli MUNGU huwa anainua watu ili utukufu wake tuuthibitishe tukiwa bado tunavuta pumzi hakika MUNGU amekutendea jambo kubwa kila asikiaye atafurahi nawe.Amen barikiwa sana!
@SophiaAbubakar-u5rАй бұрын
Uwezi kunyamaza
@REHEMACONERIOCOSTANCE29 күн бұрын
Siwezi ata kidgo@@SophiaAbubakar-u5r
@REHEMACONERIOCOSTANCE19 күн бұрын
Amina @@justinemagige1439
@elihaikamrema16932 ай бұрын
Niliumwa na nyuki hadi nikakubali matokeo pale niliposema basi. Mungu aliniletea kijana mmoja akanifunika na akaniondoa kwenye ajali. Nawezaje kunyamaza wakati Mungu alinisaidia sana na kuniokoa na kifo kumpatia Mungu Like huku mkisema hakuna Mungu kama wewe Yawe.
@faithmwangi62044 ай бұрын
Like from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I can't get enough of this song😊.It is timely.I cannot afford to be silent to my God.The things He has done and the things He's doing are marvelous in my eyes.
@sylviadanford91384 ай бұрын
Nimetaza video hii Leo Leo usiku nikapokea pesa ya mtaji wa biashara ambao kisutegemea kama ntapata🎉❤😁nawezaje kunyamaza Yehova wakati umefanya kwangu...Glory to Jesus ,ubarikiwe sana Mtumishi hakika Bwana anakutumia kweli.Miujiza imekuja kwangu kama nilivyosema siku unatangaza unatoa hivi karibuni nikasema utoapo hii nyimbo Ije na muujiza wangu na God did❤❤❤fireeeeeee
@justinemagige1439Ай бұрын
Amen naimani tutazidi kupokea baraka zake MUNGU iwapo tutaamini!🙏
@keziahmumina45074 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 loves you Doc Ipyana.. praying for your speedy recovery
@kapeljjkapeljj54074 ай бұрын
Nilinyimwa visa mara 3 nikakata tamaa finaly mara ya4 nikapewa kirahis kabisa now niko US sjaona namna hii woow Glory to God
@BettyGeorge-el1gb4 ай бұрын
Nawezaje kutulia wakati Yesu umefanya umenipa mume , umenipa kazi, umenipa na biashara kubwa, umewaokoa ndugu zangu. Na ulevi umemponya baba 😭😭😭 ee Yesu nmna hii sjaona namna hii🙌🏽🙌🏽
@antussatemba66764 ай бұрын
Sifa na utukufu n kwake ninaomba akatende nakwawengine wanaoteseka🙏🙏
@BettyGeorge-el1gb4 ай бұрын
Amen and ameeen 🙏🏿
@richardsangano65923 ай бұрын
Mungu nimwema
@LightneesAgustino-q8t2 ай бұрын
Wimbo unanibaliki sana ♥️❤️♥️♥️
@justinemagige1439Ай бұрын
Amen🙏
@geraldinho2404 ай бұрын
Nawezaje kulia wakati mungu umefanya Kama unamkubali dr ipyana tujuane like zene 👍👍👍
@zebedayombera82134 ай бұрын
Nawezaje kunyamanza umenitendea makubwa from rwanda 🇷🇼 like zetu ziko wapi tukishukuru mungu wetu tumeona rwanda 🇷🇼
@markkyalo85834 ай бұрын
Lot's of love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God is lifting you for the sake of our generation! more Grace
@puritymakena28424 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BeatriceOchieng-t2w2 ай бұрын
❤
@lydiawambui64704 ай бұрын
Suffered depression since 2018 but am very free know,siwezi nyamaza....God has done it again
@Nutellahun2 ай бұрын
Nilikaa muda mrefu sana sina kazi wala muelekeo wowote..Nmepitia masimango na manyanyaso ya kila aina..Sikuchoka Kumuomba na kumlilia huyu Mungu..Akanijibu na kunipa kazi..Sipo ninapotaka kufika ila kwa hapo nilipo namshukuru Mungu sana.. NAWEZAJE KUNYAMAZA! Huyu Yesu ni mzuri sana.
@sophiabonaventura8229Ай бұрын
Mshukuru Mungu,wengne tunaptia worse situation no job no comfort how i wish i had a job like you.
@lenahbrooke60964 ай бұрын
How can I not talk about Him when He has literally protected me from my evil workmates 🙏🙏😭😭😭😭
@anethteodos62084 ай бұрын
Yesu akutetee😢
@emmyhellen7272 ай бұрын
Mungu azidi kukutetea na Ushindi ni wako
@pascalinamwabena994 ай бұрын
Sijaiona namna hii kwa taifa kama Tanzania kuinua watu wenye Roho ya uamsho wa kumuinua Mungu kwa ibada ya nyimbo nzuri namna hii sitoweza kunyamaza... Mungu akutunze chombo kiteule cha Mungu wetu shukrani apewe Mungu ametupendelea TZ
@CatherineNzeki4 ай бұрын
AMINA.HUU NI USHUHUDA HALI YA JUU
@antussatemba66764 ай бұрын
@@CatherineNzekiamen❤
@ianjesse85254 ай бұрын
I cnt have enough this song siwezi tulia kama bwana yesu amefanya love from Kenya 🇰🇪
@rosemarympatamali51724 ай бұрын
Yesu aliyenipa watoto nawezaje kunyamanza sijaona Namna hiii❤❤❤❤❤❤❤❤
@salomewafula17193 ай бұрын
Nashukuru mungu maana unaenda kumpa my sister mtoto...bwana najua umetenda....she has stayed on mountain for too long😢😢
@sikolianafula4 ай бұрын
2 weeks to my graduation Indeed the journey was not a walk in the park but my God did it for me Financially and in everything Jamani nawezaje kunyamaza🙇 Blessings🥳
@b.emmaqulate4 ай бұрын
Congratulations Mwana mhana❤ God has done it
@sikolianafula4 ай бұрын
@@b.emmaqulate amen yaya
@alicemwangi49094 ай бұрын
🎉🎉🎉Nashangilia na kumpa Mfalme wa Amani ibada ya Sifa amenitendea siwezi kunyamaza🙏🙏🙏🙏
@antussatemba66764 ай бұрын
Cangatulation dr🎉❤
@judithtz35094 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza Kwa vile tu Yesu alovyonitoa katika maisha ya mateso ya tatizo lakukosa choo,miaka kwa miaka ikifika swala la haja kubwa kwangu,ulikua ni msiba,madaktari uwezo wao uliishia kwenye hamna namna yakupona isipokua upasuaji,Yesu Kwa damu Yako umeniponya bureee,mimi Judith ni mzimaa mzimaa,mimi niliekua nakaa mawiki bila kupata choo,nanikija kukipata ni maumivu makali,lkn Leo Ninapata choo kawaida Kwa amani,nawezaje kunyamaza jamani wakati tatizo hili limechukua maisha wa wengine na mm umeniponya kabisaaaa.
@SophiaChande4 ай бұрын
Amen be blessed Judith ❤️
@antussatemba66764 ай бұрын
Blessing❤❤
@joycelanda89872 ай бұрын
Amen! Glory to God!
@anjelineo.ms.osindi90074 ай бұрын
Just like the Samaritan woman in the book of John who couldn't keep quiet after meeting Jesus,,NAWEZAJE KUNYAMAZA JAMANI?
@annblessed1114 ай бұрын
Amen my sister
@AngelaOrinaBosibori4 ай бұрын
Aki jameni tutembelee 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪. God is great Nawezaje kunyamaza.❤😊
@JoyceHaule-o7b3 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza 2002 Mungu alinipinya na ajali mbaya ya tren Dodoma Mungu alinipa kazi nzuri serikalini nimetumikia miaka 34 leo nimestaafu kwa usalama bila shida yeyote nawezaje kunyamaza
@marymwahalende51284 ай бұрын
Huu wimbo imetoka siku ambayo nashukuru mungu kwa kuniongezea mwaka hakika nawezaje kinyamaza wakati yeye amenivusha na mengi tangu mwaka jana
@CatherineNzeki4 ай бұрын
AMINA SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU
@JastFinancial023 ай бұрын
Kama umebarikiwa Sana na wimbo huu gonna like hapa, me nimebarikiwa SANA❤ JESUS
@TrasielifasiElisha-c8x4 ай бұрын
Naitwa trasi elifasi nawezaje kunyamanza na ikiwa Mungu Amemsaidia mdogo wangu kupata ajira Sifa na utukufu vimludie Mungu 👏👏👏
@AnnalesiaFredrick-n5v2 ай бұрын
14 October 2024, soon nitarudi hapa kumshuhudia huyu Mungu....
@AnnalesiaFredrick-n5vАй бұрын
30 Oct 2024, Wednesday nimerudi tena kmrudishia Mungu sifa na utukufu...🙏🙏🙏🙏 Sijaona namna hii🙌
@AnnalesiaFredrick-n5vАй бұрын
Aaaaaaaaah Yesu weeee, sijaona namna hii 😭🙏🙌🙌🙌
@justinemagige1439Ай бұрын
Huwezi kunyamza kwaweli na mimi nitarudisha sifa na utukufu kwa MUNGU wetu,sisi ni washindi!🙏
@AnnalesiaFredrick-n5vАй бұрын
@@justinemagige1439hakikaaa🥰🙌
@AnnalesiaFredrick-n5vАй бұрын
@@justinemagige1439Mungu akakupe hitaji la moyo wako
@lydiaaruba66704 ай бұрын
Mungu ana Watu jamani.. like za Kenya team gulf njooni muone Yesu anaenda ❤❤🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@anngithere79514 ай бұрын
Siwezi kunyamaza kwa yale Mungu ametenda ntaimba nitaruka nitacheza kwa sababu ametenda eeeiiiii kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@officialquochezdonshwari23364 ай бұрын
Wakenya tujuane hapa , gonga like
@samwelmushi616214 күн бұрын
Na mie nawezaje kunywmaza niliyekuwa mzamia meli na mlevi na mvuta bangi lkn yesu amebadilisha maisha yangu sasa ni baba wa watoto watatu na wote wanasoma shule nzuri na nina mke wa ajabu ni nzuri sijawai kuona kweli nawezaje kunyamaza mie niliyekuwa mtu wahovyo kabisa kweli siwezi nyamaza
@FayzaF-y6y3 ай бұрын
Uliyenipa ujauzito full term miezi tisa adi Sasa napoelekea kwenye kujifungia na kwenda kumpokea mtoto wangu wa kiume niwewe tu umefanya...nakutumainia bwana siwezi nyamaza wala kutulia kwa Yale umetenda na utakayotenda Amina
@AssumptaNjeri-lu6fy4 ай бұрын
Siwezi kunyamaza,huyu Mungu amenisaidia kwa malezi ya watoto wangu,🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.
@sophiaabukutsa57394 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza wakati umefanya🙌 Sophie here +254 Been trusting God for a job it had taken lonnnnng,but who is like our God,in his own way in his own time He has done it for me❤
@eglajebichii45434 ай бұрын
Tapping this blessing in Jesus name 🙏🙏
@BrendaBoke-t3m4 ай бұрын
What God cannot do, doesn't exist.
@shyrosueTumaini4 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪siwezi na sitawahi nyamaza kushuhudia Yale Mungu amefanya in my life......
@samwelelias-z3c4 ай бұрын
Nawezaje Kunyamaza na kutulia kwa huyu Mungu jamani.... Aliyenifaulisha Mitihani yangu ya chuo 2023 miongoni mwa wanafunzi wa tano (5/43). Ninampenda Mungu jamn kwa kuwa anasikia maombi yetu. Nitamtukuza siku zote Na kwa wimbo sitanyamaza.Barikiwa sana Anointed Man of God. Hakika utavikwa taji kubwa MBINGUNI
@reenkatie17465 күн бұрын
Naweza aje kunyamaza, God healed me from Endometriosis praise God🙏
@LucieKajohntez26 күн бұрын
Nawezaje kunyamanza wakati umenipa uhai ,What a nyce song wapi likes zake huku kenya
@begukulemosobe96854 ай бұрын
Mungu akuponye mtumishi wake mapema, nawezaje kunyamaza wakati Mungu amefanya kwa kukuokoa na mauti
@CatherineNzeki4 ай бұрын
AMINA NA ATAZIDI KUMPA MAISHA MAREFU ILI AMUIMBIE NA KUMTUMIKIA
@GloryJulius-e2e4 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza 2017 nilipata ajali walikufa baadhi ya watu lakini katika walio pona na mimi nilikuwepo nawezaje kutulia Mungu wangu nawakati umefanya namna hii, hallelujah🙌🙌🙌🙌🙌
@gilbertgithaiga68104 ай бұрын
Truly Dr Ipyana as the word says,the Lord is saying, you will live long to see the goodness of God in the land of the living... Thanks for this song 🇰🇪
@HappyShirima-k9t3 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza Mungu wakati ulimponya baba angu mzazi ambae tuliangaika nae sio chini ya Miaka miwili alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo pamoja na inni ila mpaka Sasa baba angu Bado yupo na anaendelea vizuri eeeeh Mungu naomba uzid kumpigania baba angu Kila iitwapo leo nampenda sana baba angu ❤🙏
@christabelmuhonja7154Ай бұрын
Nawezaje kunyamaza wakati umefanya Bwana Niliomba ndoa na Mungu amenibariki na mume🙏
@chrystonegybe10774 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪This new song by Dr. Ipyana is nothing short of heavenly. The lyrics and melody touch the heart and lift the spirit. Every note of this song resonates with pure worship and praise. It's a beautiful reminder of the joy and hope we find in our faith. Truly uplifting thank you for this incredible blessing Man of God it's already hitting here in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Siwezi nyamaza
@littlephina334 ай бұрын
Hakika hatuwezi nyamaza Kwa anavyofanya... Nimempoteza Mama yangu mwaka Jana na ni mzazi niliyebaki nae Ila huyu Baba amefanya makubwa.. quick recovery nisivyotegemea, amesimama Nami kwa namna ya ajabu, now Niko na furaha, amenipa watu ambao wamesimama kama wazazi kwangu.... Oooh Mungu wa namna sijaona
@DicksonNelson-d1f4 ай бұрын
Pole
@EliasBoniphace-oi4ww4 ай бұрын
Kwakweli wimbo huu ukawe faraja kwako 🤝
@littlephina334 ай бұрын
@@DicksonNelson-d1f 🙏❤️
@littlephina334 ай бұрын
@@EliasBoniphace-oi4ww 🙏❤️
@littlephina334 ай бұрын
@@DicksonNelson-d1f 🙏❤️
@kipkiruigillie43324 ай бұрын
Emmanuel Peter kwenye bass yuko hatari Sana ,kepha mndeme the MD pia anafanya kazi safiii 🔥 huku Kenya 🇰🇪 Moore love.. wimbo huu wa baraka na mvuto sana God bless you servant of the Lord Dr lpyana ...kenya ns twende na likes kama zotee
@humphreywanjohiАй бұрын
Jamani hawa vijana wote wanyenyekevu wote wanafanya kazi njema sana
@neemabrian225828 күн бұрын
Nawezaje kunyamaza mimi neema Mwanangu nimemzaa mzima na shule akaanza gafla mtoto anafanya Kama tahira kula hataki kulala hataki na kuongea akawa tena akawa haongei Mungu aishivyo mtoto sasa ni mzima na anaongea Yaan nawezaje kutulia jamani🙌🙌🙌🙌
@lynnharry73593 ай бұрын
Nawezaje kunyamaza mwanzoni mwa mwaka huu nililazwa na mtoto, madaktari wakisema kuwa mtoto ana saratani/ cancer. Nimemuona Mungu kweli sijaona kama hii. Wakati tunalazwa alikuwa hawezi kutembea alikuwa anamaumivu kila mahali lakini sasa mtoto anaweza kutembea hana maumivu tena na tumeruhuiswa kutoka hospitali naamini Mungu ametenda na wakipima tena hatakutwa na ugonjwa kamwe.
@herosonsylivester51654 ай бұрын
Hivi kwa mfano nanyamazaje wakati Yesu aliniponya ugonjwa nikapona kabisa kabisa 😭😭😭🕺🏿🕺🏿
@judithpeter13754 ай бұрын
Nawezajee kunyamaza jamaniii, ni mengi ametenda kwenye maisha yangu , familia yangu sijaona namna hii🙏🙏🙏 uponyaji wa dada yangu , kupata amani ya moyo dhidi ya uchungu wa kukataliwa na zaidi ya yote ajira serekalini baada ya miaka 12 ya kusota hii si kawaida nawezaje kunyamazaa Asante Munguu.
@SmartDigital-j6s4 ай бұрын
piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bila kunyamaza , mataifa yote gonga like
@yustondelwa3 ай бұрын
Kamwe siwezi kunyamaza, nilimuona Mungu akiniponya tatizo miguu kuvimba na kuoza.....waganga na wachawi walishindwa kutatua tatizo... Lakini baada ya kutamkwa jina la Yesu.... Now am safe... Namtukuza Mungu kwa hili
@natashalameck68433 ай бұрын
Amen nothing is impossible to our mighty GOD
@BrotherHoodMentality4 ай бұрын
I believe this is the Swahili version of Jesus Iye 🔥🙌🏽❤🇰🇪
@Matilda-qs5eo4 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema siwezi nyamaza kusimulia ukuu wake..siku ya tarehe 5August 2024 ameniepusha na ajali tukiwa tunarejea nyumbani kutoka kazini gari yetu iligongwa kwa nyuma ila Mkono wa Mungu ni mkuu mno tulifika salama wachache warijeruhiwa..
@neboughtkalwila4 ай бұрын
Bwana ni mwema sana, utukufu ni kwake
@Matilda-qs5eo4 ай бұрын
Amen
@antussatemba66764 ай бұрын
Mungu ni mwema❤
@Sheddiengomar4 ай бұрын
Kama unaupenda wimbo huuu basiii eka emoji ya love kuashiria kuuupenda wimbo huuu
@RachelNgalya4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@nabenderodgers19544 ай бұрын
Nawezaje kweli wee, moto pasi
@lutumbinduta17024 ай бұрын
❤❤❤❤
@lutumbinduta17024 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@EmileLugendo4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@josephinejoseph7994 ай бұрын
Nawazaje kunyamaza . Yesu aliniponya kivyimba cha mukichwa. He is our healer
@onesmasnyaga-bf4heАй бұрын
Today I decided to listen to this song NAWEZAJE KUNYAMAZA ,,,AFTER They planned to kill me with an known disease 😭😭😭,,,sijaona namna hiii God forght on me ,,,,,i can't keep quiet even lack words to explain 🎉🎉🎉
@AnnaobadiaMwakalobo2 ай бұрын
Asante Mungu Asante Mungu Asante Mungu shuhuda zangu ni Nyingi sana umefanya kwenye maisha yangu Baba Asante kwa Baraka zako kwenye maisha Yangu Yale yote uliyonitendea Mimi Anna naomba na wengine ukawatendee Baba sawa sawa na mapenzi Mimi anna Umenibariki sana Mungu wangu Asante nakupenda sana wewe ❤🙏
@pendopeter1790Ай бұрын
Sifa na Utukutu tunamrudishia Yeye Mungu kwa matendo yake makuu katika maisha yetu 🙏