Bella Kombo ft. Melanie Antony & Josh Cleopa - Amina (Live Video)

  Рет қаралды 14,078

Bella Kombo

Bella Kombo

Күн бұрын

Пікірлер: 188
@pendomangi8400
@pendomangi8400 Күн бұрын
From Instagram to KZbin. Mungu atulinde na maadui zetu, Amina na iwe hivyo. Mungu abadili jina langu kabla mwaka uishe nikawe mfano Bora katika mwili wa Kristo, na iwe hivyo.
@bellakombo
@bellakombo Күн бұрын
🙌🏼🔥🫡
@bellakombo
@bellakombo Күн бұрын
Mimi niko hapa pia nasubiri 😅 NGOJA NITAMKE HII MAANA UZIMA NA MAUTI UPO KATIKA ULIMI..! NAMI NATAMANI TULE MATUNDA YA NINACHOKISEMA NA KAMA UPO HAPA BARAKA HIZI TUMETAMKA KWENYE WIMBO HUU WA AMINA ZIKAWE HALISI KWAKO NA UNAPOINGIA MWAKA MPYA 2025 UWE NA USHUHUDA 🎉 TYPE NA IWE HIVYO KAMA UNAAMINI PAMOJA NA MIMI
@Angel_101-h9c
@Angel_101-h9c Күн бұрын
AMINA! NA IWE HIVYO! IN JESUS NAME❤❤💯
@JescaMwanga-md3tq
@JescaMwanga-md3tq Күн бұрын
Na iwe hivyo🙏🏻
@vinzjey2640
@vinzjey2640 Күн бұрын
Hey Bella ..ushawai toa your Testimony and if yes naeza ipata wapi
@georgesunday4278
@georgesunday4278 Күн бұрын
Na iwe hivyo😊
@NossimLukumay
@NossimLukumay Күн бұрын
Amina 🙏🤍 na iwe Hivyo
@NossimLukumay
@NossimLukumay Күн бұрын
Bella Kombo never disappoints ♥️🙏... She takes you to spiritual places you have never been 🥹❤️‍🩹🙏
@danielbihuzu2365
@danielbihuzu2365 9 сағат бұрын
Spirit filled song with beautiful melodies; This WOG has something special 🎉 What a revelation 😊
@oumabyronproduction
@oumabyronproduction Күн бұрын
Amen ,,,AND LET IT BE IN MY LIFE. .... BE BLESSSED SISTER WITH THAT ENCOURAGING SONG❤
@Rickmk87
@Rickmk87 Күн бұрын
Dada bella sijui nisemeje ila Mungu amekuleta tanzania na utapenya zaidi your music live long🎉❤
@AdrianoPeter-yp1po
@AdrianoPeter-yp1po Күн бұрын
Ameen
@dennisfondo6720
@dennisfondo6720 Күн бұрын
My best gospel artist❤❤❤ ,..God bless u for this song,..
@josephjackson3922
@josephjackson3922 Күн бұрын
Thank God for sister Bella, she was definitely created to bless me with her annoited voice, I feel to say something Mungu akutunze,akulinde milele yote
@bellakombo
@bellakombo 10 сағат бұрын
Be blessed ❤
@DeusSamwel-pk9op
@DeusSamwel-pk9op Күн бұрын
Bella kombo 🔥🔥. Bwana akuangazie nuru yake ukafunguliwe kiuchumi..... Na iwe hivyooo❤️💯
@bellakombo
@bellakombo 10 сағат бұрын
Amen na iwe hivyo 🙌🏼
@elizabethmuthoki-mt3hh
@elizabethmuthoki-mt3hh 23 сағат бұрын
Amina amina na iwe hivyo....huu mwaka nibarikiwe..mungu afute machozi yangu
@mosesoduor6160
@mosesoduor6160 Күн бұрын
Bella!! Bella! Bella! this Woman of God kunibariki tu dah!
@masebomusic
@masebomusic 12 сағат бұрын
Bella Bella Bella 🙌🙌🙌 This is Wonderful Mama. Mungu aendelee kukutunza in Jesus name I Pray 🙏
@bellakombo
@bellakombo 10 сағат бұрын
Thank you ❤
@FionaAlphonce
@FionaAlphonce 10 сағат бұрын
May GOD multiply this grace upon you Madam Bella Kombo..🔥🔥🔥🔥🔥🔥👸🏽 Ti God be all the Glory am blessed
@WashingtonOkoth-vs2ie
@WashingtonOkoth-vs2ie Күн бұрын
kenya tunasubiri pia much love❤🇰🇪🇹🇿❤
@JBB875
@JBB875 Күн бұрын
Halleluya asante YESU kwa ajili ya bella Kombo na team yake… utukufu kwako wewe YESU wetuuuuu halleluya halleluya 🔥🔥🔥
@bellakombo
@bellakombo Күн бұрын
Amina na iwe ivyo 🫡
@misstee102
@misstee102 Күн бұрын
Bwana akanitete na kupigana na watesi wangu NA IWE IVYO🔥🙏
@CharmanteVasolene-og5et
@CharmanteVasolene-og5et Күн бұрын
Amen 👏 je reçois au nom de Jésus Christ ❤
@Farry-mk5sq2tl9
@Farry-mk5sq2tl9 16 сағат бұрын
Am blessed this morning, bella may God continue uplifting ❤🎉🎉
@Mcsceo
@Mcsceo Күн бұрын
Here aim Ww waited for so long mtumishi wa Mungu barikiwa sana Bella kombo..
@CatherineGicharu-dh6er
@CatherineGicharu-dh6er Күн бұрын
May God tick all my bucket list this year 😢Na iwe hivyooo!!Amina ❤🙏
@GloryNgonde-zc4jz
@GloryNgonde-zc4jz 15 сағат бұрын
nisitawi niongezeke nisipungue na watesi wangu wasifanikiwe, Amona Amina na iwe hivyooo🙏
@JenijoMajalisi
@JenijoMajalisi 18 сағат бұрын
God bless you sister,,Wimbo umenibariki na naona kuna vitu vinatendeka AMINA
@RahelKalume-sj6tm
@RahelKalume-sj6tm Күн бұрын
Amina naiwe hivyo kwa jina lake yesu 🙏🏻
@ScolaNalle
@ScolaNalle Күн бұрын
Amina...Na iwe hivyo kwangu in Jesus Name❤🙏
@rev.ruthmunyua524
@rev.ruthmunyua524 6 сағат бұрын
That intro...🔥🔥🔥🔥🔥.....AMEN...
@NDI_9877
@NDI_9877 11 сағат бұрын
Bella... God loves you the aaaah na oooh... That's make me feel God presence ❤️❤️❤️❤️lots of love from Kenya
@bellakombo
@bellakombo 10 сағат бұрын
❤❤❤
@hudaavictoria5591
@hudaavictoria5591 8 сағат бұрын
What a powerful song,Let it be so Amina🙏🎉❤
@beckyeddie812
@beckyeddie812 4 сағат бұрын
Bella kombo ....hats off all glory to God
@willygidion3404
@willygidion3404 14 сағат бұрын
Nivae joho la masters mwaka huu, MUNGU WA MBINGUNI MTETEZI WANGU ANITUNZE, NA IWE HIVYO
@monicahabule6125
@monicahabule6125 9 сағат бұрын
This is powerful 🔥🔥🔥🔥Amina ,na iwe hivyo🙏
@joycekadzo4822
@joycekadzo4822 17 сағат бұрын
Great song...Great prayer...Amina
@c.w7199
@c.w7199 13 сағат бұрын
Scripture says "Though He was the Son of God, He learnt obidience by the things He suffered".
@VICEGOSPEL-zu6is
@VICEGOSPEL-zu6is Күн бұрын
Sister Bella I'm waiting for the song❤ much love❤😘
@NeemaMilia-z3s
@NeemaMilia-z3s 9 сағат бұрын
Na iwe ivyo kwa jina la Yesu Kristo 🎉
@ADVANCE289
@ADVANCE289 Күн бұрын
Amina na iwe hivyo Glory to Jesus sisy bella your the best❤❤🎉
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Wew mwanamke mtu mzima nisikuone tena kwa zoravo. Uache kabisa kupiga picha nae. Sura mbaya ,una sura nene
@tabithamchana4660
@tabithamchana4660 Күн бұрын
Wooooooow amazing. Powerful voice
@EliasafiEliapenda-px3ss
@EliasafiEliapenda-px3ss Күн бұрын
Amen Amen Amen hongera sana Dada bella .Naogelea upakoooo
@kwitondaaudrey6564
@kwitondaaudrey6564 Күн бұрын
Amen. Let it be so 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@khadijarajab354
@khadijarajab354 Күн бұрын
Finally the wait is over🙏🏻
@gladnesskanuya3802
@gladnesskanuya3802 56 минут бұрын
What a prayer❤
@joramkyando9259
@joramkyando9259 10 сағат бұрын
🔥🔥Maarifa makubwa sana, Endelea kuwa baraka sis' en the whole team
@samshalizernexy10
@samshalizernexy10 Күн бұрын
ooh!!! Haleluya! this is great ministration.. unabariki kila kuchao
@janenaitore2128
@janenaitore2128 Күн бұрын
Amina Amina....❤
@gabrielmurro7134
@gabrielmurro7134 5 сағат бұрын
Amen 🙏🙏mwenyez mungu akupe afya njema uzidi kuitenda kaz yake kwa nguvu
@AtukuzweGift0-kg1ns
@AtukuzweGift0-kg1ns Күн бұрын
Am so blessed with u sister Bela....❤❤❤
@daisy-d5w2c
@daisy-d5w2c Күн бұрын
sp visual🙌🏾🔥🔥
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Күн бұрын
YAANI WAMOTO SAANA
@puritymutheu4633
@puritymutheu4633 Күн бұрын
Amina na iwe hivyo🙌
@favored-rl6fv
@favored-rl6fv 3 сағат бұрын
I receive all my blessings in Jesus name
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Nikuone tena .pia huu mwaka mwisho kwa zoravo. Jifanye kiburi. Piga picha tena .afu sama sali afiche tena kuwa anakutamka wew anaficha ee.
@justeraudax7255
@justeraudax7255 8 сағат бұрын
Na IWE HIVYO❤❤NIMEBARIKIWA ASANTE MUNGU WANGU
@belindahluyo2094
@belindahluyo2094 6 сағат бұрын
Naiwe hivo katika jina la Yesu. Amina🙏
@estherjackson2085
@estherjackson2085 23 сағат бұрын
Amen na iwe hivyo kwangu mwaka huu kwa jina la yesu
@edanmeshacknadeh8674
@edanmeshacknadeh8674 Күн бұрын
No 5 in queue
@johnnymoses1124
@johnnymoses1124 21 сағат бұрын
Amina na iwe ivyo..!!
@joycekonga4095
@joycekonga4095 3 сағат бұрын
Na iwe hivyo AMINA❤❤❤
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Күн бұрын
AMINA.NIMEPOKEA TAMANIO LA MOYO WANGU KATIKA JINA L A YESU
@nyandesmatiku7622
@nyandesmatiku7622 Күн бұрын
AMEN,,NA IWE IVYO …..IN JESUS NAME
@simiyuimmanuellongman2978
@simiyuimmanuellongman2978 Күн бұрын
naiwe hivyo. this song blesses my heart
@tabbiewachira9334
@tabbiewachira9334 Күн бұрын
Beautiful Amina
@JosephAmusavi
@JosephAmusavi 8 сағат бұрын
Let it be amen 🙏🙏🙏
@thiamwesley9042
@thiamwesley9042 22 сағат бұрын
Na iwe hivyo kabisaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GosproAlex
@GosproAlex Күн бұрын
Glory to God 🙏🙏
@sylvias.n.n6164
@sylvias.n.n6164 12 сағат бұрын
Intro 🔥🔥🔥🔥🔥
@emmanuelwilliam1515
@emmanuelwilliam1515 Күн бұрын
What a song 🎉🎉❤❤
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Mimi sio msaniii. Hudhuria iyo tarehe 27/9 uone
@RoyMunene-gk5qu
@RoyMunene-gk5qu Күн бұрын
God song ,from Kenya
@Meram2400
@Meram2400 11 сағат бұрын
NA IWE HIVYO🙏🏾❤
@joycesweetbertibambasi9317
@joycesweetbertibambasi9317 Күн бұрын
Naiwe hivyo❤❤❤
@DORAHWEKESA
@DORAHWEKESA 23 сағат бұрын
I think BELLA KOMBO AND WANJIRU should have another banger
@farajarogath196
@farajarogath196 Күн бұрын
Na iwe ivo,Amina
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Mwanamke unajiachialia kwa mwanaume wa mtu. Ushaniona kwa mpenzi wako
@BennyTemu
@BennyTemu Күн бұрын
Napokea asilimia mia moja
@emmanuelwilliam1515
@emmanuelwilliam1515 Күн бұрын
Amina na iwe hivyooo
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Mpende tena kimapenzi eee. Maana naona nimekurembea roho yako na moyo wako. Afu mwite tena mtumishi fulani madhabahuni eee
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Na sikuhitaji kwenye maisha yangu
@ministerlunas
@ministerlunas 7 сағат бұрын
All Kenyans 🇰🇪 let's gather here for let it be so... Gotha na like 😂
@lydiajengo174
@lydiajengo174 Күн бұрын
Hallelujah Na iwe hivyo
@asmansebwa
@asmansebwa 12 сағат бұрын
Na iwe hivyo🎉❤
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Na unayoyafanya yafanye kwa upande wa marafiki zake sio mimi. Ushindwe na ukome.
@EmmanuelBaraka-jy4sh
@EmmanuelBaraka-jy4sh Күн бұрын
Na iwe hivyo🔥🔥
@kellykiraithe2890
@kellykiraithe2890 13 сағат бұрын
Amina.
@jacquelinemajollo2113
@jacquelinemajollo2113 Күн бұрын
Na iwe hivyo Kwangu Amen
@victormwakipesile6990
@victormwakipesile6990 3 сағат бұрын
Bella❤
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 23 сағат бұрын
Na iwe hivyo sababu amesema mwenyewe. Marufuku kukata tamaa
@EgbertMubito
@EgbertMubito Күн бұрын
So much good
@everlynemutio
@everlynemutio Күн бұрын
Amina naiwe hivyo!
@kennedymaina-x9n
@kennedymaina-x9n Күн бұрын
🎉 waiting to be blessed
@adriennedahal-adamson2812
@adriennedahal-adamson2812 13 сағат бұрын
BARAKA ZA BWANA YESU ZIAMBATANE NAWE MILELE
@fridahlorithae5669
@fridahlorithae5669 9 минут бұрын
Amina
@joshuahassanmwamsangu9542
@joshuahassanmwamsangu9542 8 сағат бұрын
Amen amen na iwe hivyo
@samuelwambua-cx6sg
@samuelwambua-cx6sg Күн бұрын
Hiyo Beat aisee💯💯
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 8 сағат бұрын
Rudia tena kumletea shida. Na ukae ukijua mimi sio rafiki yako pia sio msanii kama wew. Mambo yako wanayajua na tiktok ukome na ukome iyo tiketi kuhusu. Ungekuwa mzuri ungeshakuwa na ndoa hata ya zoravo uyo . mvalishe sare tena na wew eee. Afu jiachilie kama vile hana mke
@leaderonduty9939
@leaderonduty9939 8 сағат бұрын
Josh❤
@sarahoswe3285
@sarahoswe3285 Күн бұрын
Ashera bado iko top
@GloryMlaky
@GloryMlaky 11 сағат бұрын
NA IWE HIVYO 🙏🙏
@DavidErias-g7g
@DavidErias-g7g 23 сағат бұрын
ubarikiw sana dadaangu
@annahmwenda
@annahmwenda 12 сағат бұрын
Na iwe hivyo 🙏
@GIFTSYLIVESTER
@GIFTSYLIVESTER 22 сағат бұрын
Bwana anipe kibali cha kukubalika na iwe ivyooo
@ayukomukabaneofficial60
@ayukomukabaneofficial60 Күн бұрын
God is good 💯💯💯💯💯🎉🎉🎉❤❤😊😊😊😊🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
YOUR QUIET LIFESTYLE IS DOING MORE HARM TO YOU - APOSTLE FEMI LAZARAUS
12:48
Light Network Channel
Рет қаралды 173 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 13 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Jua kali leo Jumamosi Full HD video
18:09
hh555
Рет қаралды 8 М.
Bella Kombo ft. Zoravo - Ameniona (Official Live Video)
11:50
Bella Kombo
Рет қаралды 3,6 МЛН
Zionist-NIMECHAGUA
8:49
Zionist Ministry
Рет қаралды 2,8 М.
Man denies first class seat to black soldier. What she does next will shock you!
43:30
Top20 Richest Gospel Artists In Nigeria 2024 & Their Networth
20:25
Trend With Khama
Рет қаралды 191 М.
If You Notice These Signs In Your Life, You Are Anointed By God
27:18
God's Country
Рет қаралды 1,4 МЛН
Bella Kombo Ft Paul Harding - Sina Mungu Mwingine (Live Video)
11:45
Bella Kombo ft. Mira Mbepera - Dakika 1 (Official Live Video)
9:17