ngoma Kali Sana Kaka kwa wakati wetu sisi vijana sijui uyu msanii alihenda wapi aki ❤❤
@eliudmkumbwa5681Күн бұрын
yupo lkn hana hit
@maggiembotela3243 Жыл бұрын
Belle tisa... Big up sana.. 2023.. nakumbuka friends wangu maweni kongowea in 2012... Kina modrich ... Mapesa.. papaa.. Asumanii... Yaani acha tu .. ❤❤❤.
@RaphaelOsano Жыл бұрын
In 2023...this song reminds me of my first girlfriend. When love was pure,real and genuine😂
@itaagahood78986 ай бұрын
why did u bresak up
@agneskimaro48985 ай бұрын
Dah🎉
@levocatusgatu42953 жыл бұрын
Daaaah gonga like kama Bado unasikizaaaaa hii Ngoma ya 9 ndani yahuu mwaka2021
@elishamdapo21363 жыл бұрын
Pamojaa Sanaa .nipo kwenyeee ngoma hiii 2021 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@DaunostKendra Жыл бұрын
Mr blue aliunguruma sanaaaa humu 2023 June blue apewe maua yakee 🌺🌺🌺🌺
@Jamal_muller_Jordan2 ай бұрын
Hii song sio ya 2023 n ya 2017
@KambaleyvanMuhindoАй бұрын
Cool ngoma tamu
@wybzokizzy44169 ай бұрын
I used to sing the song to my girlfriend 😂tuliachana lakini😅shetani mbaya
@celestinemakolo39544 ай бұрын
Pole sana mzee hiyo kawaida sote tumetoka huko
@wybzokizzy44164 ай бұрын
@@celestinemakolo3954 Mzee ndio nani buda
@CornelioMsangi-ui7dq3 ай бұрын
😂😂😂 pole sana
@YadadDeus3 ай бұрын
Pole manzé, haha 😂 😂
@anuarymhina62943 ай бұрын
Hukuwa na pesa those dayz😂
@almasramadhan79443 жыл бұрын
Ngoma kali sanaaa ,itaishi milele kwa kila kizazi cha Tanzania
@Gabrielombeni3 ай бұрын
Pamoja sana 🎉
@omaraayan2 жыл бұрын
Wewe ni wangu heheh ww ni hohoho...belle9 uko top kila time we love you in kenya
@ragamaedwin53743 жыл бұрын
Big up Bellman, still listening to this song it gives me a memory of some years back. Listening from Kenya
@titussarkai27402 жыл бұрын
God in heaven bring bell9 back to music amen 🙏
@patrickthuranira3205 Жыл бұрын
It reminds me of st Lucia in nyahy. Reminds me 2010 when I met Beatrice Mbilinyi from TZ my classmate ... Now in Us keep safe
@brysonmusita818318 күн бұрын
Bizzy Babylon with what a verse❤❤❤
@Devisoafricantyger Жыл бұрын
My one legend when I was isibania boys 2014,,,,and still hit 2024
@amanidzoro19523 жыл бұрын
Great musician here. Big up Belle 9
@hodevanymusic6 ай бұрын
Am her 2024 still vybing with this big tune
@erickmeshac3135 Жыл бұрын
Very memorable,Belle9 sauti yako ni ya kipekee
@kkkkkk94135 ай бұрын
Who else is listening to this masterpiece 2024
@mustaphasultan66883 ай бұрын
Nimejikuta naikumbuka hii ngoma nimeiplay sas hii verse ya mwisho blue anamuachia belle dah, belle ametembe mapka mwili unanisisimka. Old is gold bhna watu zaman walikuw na talent kweli 👍👍👍 wherever you ere belle we ni mtu na nusu brorher....
damn it, 130k views; how come? this song is probably one of the best song ever. really. greetings from poland.
@Moregun6192 жыл бұрын
When music was music 👌🏾👌🏾2022 we still here
@radojembe73473 жыл бұрын
Kitambo Sana kibaha boys 2011 hit likes if you agree, noma na nusu
@radojembe73475 ай бұрын
Daaa aisee nomaaa sanaa
@hafidhihamisi9425 Жыл бұрын
This song has more than 12 years but still alive listening the instruments waooo and Blue was flowing yeah Big song that is my playlist every time
@dismasngicho50942 жыл бұрын
ausio maah! ngoma tamu yaani mziki hugusao asili❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephasila41252 жыл бұрын
Best of the best . Carries a lot of memories
@salamamzee22265 жыл бұрын
Daaah wew mkali kinoma
@wilsonamiduamidu77145 жыл бұрын
belle9 ametisha ile mbaya
@LihogosaMicrocredit-n7y4 ай бұрын
Kuna muda natamani niwachape vibao wanaouharibu mziki wetu et wakisema wanaimba mziki waupeleke Duniani Belle 9anahtaji heshima yake jamani😭😭
@dhahabucharo-os2rr4 ай бұрын
Aaa ila umejua kunichekesha😂😂😂😂😂
@faizahnyambura36792 жыл бұрын
What a sweet song 😍.
@MudhihiliMkalolaАй бұрын
2024 tuko hapa💥💥💥
@Omar.Fadhil Жыл бұрын
Bongo classic still vibing 🎧🎵🎶 Respect #Belle9 #MrBlue
@jumamario-vr1mw3 ай бұрын
Kama upo gongs like 2024
@itaagahood78986 ай бұрын
whose here in 2024 listening
@mwinyihajj51192 ай бұрын
am in.
@mohamedhamisi97664 күн бұрын
Damn classic moja matata sana blue ni sumu kinoma
@Daniel-o3z5c11 күн бұрын
2024 bado inawika sana leta like 😅sina time na vicheche
@johnkitenge6973Ай бұрын
APA 2024 Nani eko Na burudika kama mimi . Kama uko liké commente zangu
@KingCyrus-iw9yx5 ай бұрын
I was a graphic artist in Kenya 🇰🇪 way back, then one day with my paints and brushes i fell inlove with this song 🎵 I wanted to draw ✍️ Love ❤️ but unfortunately they couldn’t pay . Big time Belle 9 and Mr blue
@zclassicfashionz157325 күн бұрын
Bablon byset.... iyo midundo ni hata+ Verse tuloirudia 2024 tujuane
@patrickngubu63693 ай бұрын
I used to sing this song to my 1st love mpaka alikua ananiita belle 9
@InnocentBamboo-my7lrАй бұрын
2023 hapa watoto wa 2000 ndio walikuwa wameanza kuacha ziwa la Mama wengineo
@neemaenock26886 ай бұрын
sister wini ulijua kuweka mapoz 😘
@emanuelbonifance59623 жыл бұрын
ngoma kali & everyday ina peta
@isackkikonyiisack2 ай бұрын
Daah nakmbuka mbali sana nikiangalia hii nyimbo
@nasseradel97843 жыл бұрын
Sichokagi kuckiliza ngoma zako bro
@eliudmkumbwa5681Күн бұрын
enzi hizo siwezi at kutongoza lakn kuna wale size yangu walikuwa wananipenda sana lkn sina cha kufanya 2008 hiyo 🤝
@karimmwambe15502 ай бұрын
Hatari sana hii ngoma🎉
@jaredomullo25132 жыл бұрын
Still luving it hard.. Bado nai feel km jn.. 2022. Iko💓
@abdallahrashidi4192 жыл бұрын
Strong song
@bashiruhassani101714 күн бұрын
2019 iyo nyimbo ilisumbua vibaya
@JustineBwire-h3k Жыл бұрын
Great!! good work. I salute you mr.
@ZebedayoLazaro-y3z4 ай бұрын
golden voice🔥🔥🔥
@nalediservices89719 ай бұрын
Cette me rappelle quand j'etais encore à la faculté à l ulpgl Goma DRC, ...
@AlhajiMajengo10 күн бұрын
Uwakikaaaa
@radojembe73475 ай бұрын
Daa i remember those days My teeneger i grew up with song 2011.... tiffa seif i remember you always
@moseswangwe73052 жыл бұрын
My favorite song ever😁😁
@paddyotieno578623 күн бұрын
Back when Bongo was beautiful music. Sai kelele tu
@VictoriaZakaria-d3n6 ай бұрын
Nyimbo za zamani ni nzuri sana
@salimomari15024 күн бұрын
Nyimbo nilokuwa natongozea skuli mademu 😂
@enockajustus81853 жыл бұрын
Very nice ,,continue for continuity
@Darian25503 ай бұрын
Where's this legend in 2024❤
@bashilokweemedi20893 ай бұрын
Bonge la ngoma kbs hili ngoma linanikubusha mbali sana kbs
@athumantemba89926 жыл бұрын
Unajua Sana mkali wangu Belle tisa
@MusaYunusu4 ай бұрын
Mr blue kamaliza kilakitu
@hafidhihamisi94253 ай бұрын
The songs always drive my mind be happy, ist more than milions of the song of bongo flavour nowadays
@stevietellem7 ай бұрын
❤❤ I love this song forever in my Playlist 🎉
@Hussein-gx4qu3 ай бұрын
Nilikuwa kidato enzi hizo hii nyimbo inatoka ilikuwa Kali sana
@benardoduor99952 ай бұрын
This song sometimes make me, think about My first girl friend ❤,any way let her soul rest in peace 😂😂😂
@elishasolomon97423 жыл бұрын
Soma iyoooooooo!!! Blue.
@rahmayasin90942 жыл бұрын
Napenda ngoma za belle 9❤️
@ShomviForog3 ай бұрын
Backvoice walikua Bora sana🎉❤
@abushirially1563 жыл бұрын
What a vibe
@prince_vicky2 жыл бұрын
still on my playlist
@halidishabani13073 жыл бұрын
January 2021
@mohammedally54423 жыл бұрын
2021
@pastorymziba16833 жыл бұрын
2025
@paschalmdatchfrancis16223 жыл бұрын
Nakukubali xana bele 9 wewe nizaidi ya simba
@bahatikimario68453 жыл бұрын
Belle 9 umepotea wapi mkali daa!
@AbaaDayyan2 ай бұрын
Blue aliumiza sana ndani hii ngoma
@ayubuwilison62983 жыл бұрын
Kitambo sana yani hivi kwanza kwann jamaa kawa kimya sana arikua anaweza uyu jamaaa mmh arudi kwenye gem bana
@neydamas18843 жыл бұрын
Bendera ya mziki tz imeshikwa na watu wabaya
@khamisally955918 сағат бұрын
Sasa hivi upepo umebadikika. Watu wanapenda mziki mbaya kwasababu ya ushabiki tu. Hovyo kanisa yaani.
@haridimnimbo73774 ай бұрын
10/08/2024 Belle 9 bonge la Ngoma aisee
@petromhiliwa26583 жыл бұрын
Mkali wangu belle nakukubali sana
@dedanjohnАй бұрын
2024🔥🔥🙌🏾 we getting old😅
@veronicalucass89483 жыл бұрын
Nomanoma 😍😍😍😍😍
@HusseinBish3 ай бұрын
TikTok Imenikumbusha Hapa... Legend blue Always micharazo💥🫰🏾🇰🇪🫰🏾
@Santiagokevin2542 ай бұрын
One of the best
@peteramedeus49033 жыл бұрын
25/8 /2021 huuu mzigo ni balaaa snaaa
@wilsonamiduamidu77145 жыл бұрын
du bonge la gomaaaa
@lovenesreuben61793 жыл бұрын
2021 still iron ❣️
@kobietash35042 жыл бұрын
My childhood 💔
@hosearioner36372 күн бұрын
Mimi na wewe mpaka milele...
@bashiruhassani101711 күн бұрын
Iyo nyimbo ilisumbua 2009
@blackpromise98163 жыл бұрын
Ngoma kali sanaaa🇹🇿
@aloycetemba86523 жыл бұрын
Sanaaaa
@abelikilula953511 ай бұрын
We ni wangu kabisa
@adamsonalinanuswe82452 жыл бұрын
I love this song
@godfreygathee25492 жыл бұрын
Love this song
@nduwayoyvette2 жыл бұрын
good
@jonasijona53693 жыл бұрын
2021
@evansbarasa10483 жыл бұрын
Pick up bro ngoma zako zote nazipenda
@chiefexecutiveofficer49423 жыл бұрын
Brother daah kiukweli aisee sauti yako ya pekee sana najiuliza huu uwandishi mkuu uendaga wapi piga hii moja uone