Niko hapa Arif najua we ni shabiki sana ya belle mwanetu ni fundi sana wa music
@omarymungi461210 ай бұрын
Msanii mwenye Kipaji Kikubwa katika sauti lakini Mfumo wa Muziki wa Tz umemzuia kutoboa, Belle 9, Bado nasikiliza hii mwaka huu 2024 !!
@ShabaniNassolo911 ай бұрын
Kamabado unaisikilizahii Ngoma adileo 2024 gonga like tukopa1 wazee👊
@estherraja2555 ай бұрын
👊
@hamisathuman27294 ай бұрын
Noma sana belle 9 fundi
@amoslutgel69814 ай бұрын
Tupo na hizi ngoma sako kwa bako mpaka tuage dunia
@delusmaichez21044 ай бұрын
👊
@elizabethmbula93882 ай бұрын
Nimeutafuta wimbo huuuuu
@robinsonmusonye20408 ай бұрын
2024 wapi likes baana
@SwaleheMosha-d8p4 ай бұрын
Kama umerudi kuutizama 2024 gonna like hapa tujuane....imma dulla marangu kilema
@flova70224 ай бұрын
Nothing lasts forever jaman
@rombianboy4 ай бұрын
Nikosaje....more love to Belle 9
@SwaleheMosha-d8p4 ай бұрын
@@rombianboy big up sana kipenz tuko pmoja
@SwaleheMosha-d8p4 ай бұрын
@@flova7022 salute sana kwako
@manenohongera76173 ай бұрын
Life has an end😢
@danmillianofredochlorinez77666 жыл бұрын
Kamaa umerudi kusikiliza mziki huu wa belle 9 ili kumtakia marehemu AGNES pumziko jema la milele dondosha like tuungane leaders club kuuwaga mwilii wake dah dunia njia RIP masogange
@omarymbalala62246 жыл бұрын
😢
@marynimeikubarbalaalukindo99036 жыл бұрын
Bwana ametwaa bwana ametoa jn la bwan lihimidiwe
@danmillianofredochlorinez77666 жыл бұрын
Amen
@fatumafashiondesigner14616 жыл бұрын
Dan Milliano fredo Chlorinez l
@lenciejoram48786 жыл бұрын
Lala salama Aggy
@HappynessSoli3 ай бұрын
Kama unasikiliza ngoma hii 2024 gonga like tuone
@AluleaCreateur8 ай бұрын
Tunao skiza tujuane hapa RIP masogange😢
@alexiswamillazo65206 жыл бұрын
2018 R.I.P masogange .😭😭 nimerudi kutazama baada kusikia umetuaga. Sote njia yetu dada. Gonga like kama umeguswa na msiba huu
@eliadaabel89916 жыл бұрын
rip ag
@KokoroComedian2 ай бұрын
Poa
@bonheurbnr19519 ай бұрын
2024 nous sommes toujours ici Rest in peace Agnes Masogange😢 all the way from Congo 🇨🇩
@lakepoint72182 жыл бұрын
2022 still listening i fell in love with this song coz of my late boyfriend i miss him so much, by this time he was also trying to thrive in the music industry .rest in peace Francis aka ANELKA. It was us against the world
@lemayanelisha98672 жыл бұрын
What happened to him?
@johnechesa88642 жыл бұрын
Pole my sister
@Kenyanmother2 жыл бұрын
weeeee he is breathing
@bigben0012 жыл бұрын
henzi za real bongo fleva
@mikekilonzo97762 жыл бұрын
May he keep on resting In Peace ❤
@ndimiamon74256 жыл бұрын
R.I.P @Agnes
@pakstanking5116 жыл бұрын
R.T.P dada yetu
@TheOne-fi6cs6 жыл бұрын
Nmefanya hivi nkiomboleza ndani kwangu, rest in peace dear Masogange!
@reymutalemwa34076 жыл бұрын
R.I.P
@chainbre2756 жыл бұрын
Jamani bado camini kabisa
@haddysophiasson75306 жыл бұрын
Ndimi Amon Yap
@jumasaid39104 жыл бұрын
Kama bado wamkumbuka masogange kama mimi gonga like
@agreymsemwa80216 жыл бұрын
Pumzika kwa aman Dada yetu kipenz cha watu hapa tz na Africa masharik kwa ujumla tunakuombe kwa mungu asitazame dhambi zako bal atizame mazur yako.Amina.
@epmzmusifiwar669410 ай бұрын
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 remember my childhood On This Song Forever 🥰 RipMasogange
Nakukubali sana bell9 Mungu akufanyie wepesi siku moja nisikie umavuka mbali zaidi salute kwako mwamba....imma dulla marangu kilema kilimanjaro
@ambasaabok87196 жыл бұрын
fell in love with this song,almost eight years and it still sounds deep,repose en paix aggy,may God judge you with mercy
@jankebizzy10 ай бұрын
❤❤i'm still listening to this
@alfredycheyo88476 жыл бұрын
Pole sana bro Belle 9.Dada yetu Masogange tutammis !!
@abdulshaban63436 жыл бұрын
aiseee jamn mpaka machoz yananitoka kwa jins nilivyo upenda huu wimbo na jins niavyo ona masogange ayupo tena molla mulazee mahali pema pepon ameeen daaah
@lilianaboka28935 жыл бұрын
I miss my first boyfriend when i listen to this song it use to be his favourite, most of the time he would dedicate this to me ,oooh no time flies so fast #REST IN PEACE ANELKA 😥😥😥😥 i loved you but God loved you more wish you were here people were aganist our love but didn't stop loving each other. Love you
@rebbecalundu31194 жыл бұрын
What killed her ,I watch and I cry RIP
@geraldswai54924 жыл бұрын
Jamani nakumbuka mbali.Leo 2020
@zuhubeby94746 жыл бұрын
nimeangalia tena huu wimbo kwa Ajili yako hili jina lilianzia hapa masogange rest in peace Aggy 😨😨😨😥😥😥😥😤😤😤😤😤😢😢😢😭😭😭😭mungu mkali jama 20/04/2018
@ummyomary18002 жыл бұрын
Yani acha tu inasikitisha 😭😭😭
@Skypaty203 ай бұрын
2024 na leo ni TBT 15agust nimerejea tena kutazama hii ngoma kali🔥🔥 kama bado unakubali kuwa hii ni ngoma kali like hapa🙌🙌🙌
@HealingWorshipTeam6 жыл бұрын
Rest in peace Agnes Masogange
@zakariajilinde62366 жыл бұрын
RWANDA5 TV punzika kwa amn
@GeraldAgustino-fz5mn Жыл бұрын
Daaah inakumbusha Niko tarasa la 4 Niko na kidem nakupenda naogopa kukiambia
@EricBreezzManyota6 жыл бұрын
Naikumbuka sana kama jana mwaka wa 2009 bado nipo kidato nilipoisikia hii nyimbo kwa mara ya kwanza. Ila leo mwanadada #Masogange kaaga dunia. Inauma sana ila ni mapenzi yake Mola. RIP Agness 'Masogange'
@harunotieno227011 ай бұрын
Happy New Year 2024... Continue Resting in peace sister Agnes Masogange
kifo cha masogange kimenileta mpaka uku😥😥😥😥😥😥😥😥😥 2018 watch
@gracemsanjila3276 жыл бұрын
Jovina Bunyomyo 😢😰😰
@esterhasan5246 жыл бұрын
ww ach t
@pauljohnny84176 жыл бұрын
r.i.p Agnes
@marykel90365 жыл бұрын
@@esterhasan524 rip aggy
@teresiahmfalmezimba52944 жыл бұрын
rest in peace masongange😭😭😭😭😭
@carolynogema11764 жыл бұрын
Nipo hapa kwa kumbukumbu ya masogange 2020 who is with me,,rip my sister😭,,we shall meet again😭
@abramsmalel406 жыл бұрын
2018 from KENYA with love. This song reminds me when I was young n naive n inlove.
@jumasingano43342 жыл бұрын
Yes!!ilipamba vilivyo sema now umepotea mkali katika game.
@mabonga50582 жыл бұрын
Siwezi kuisahau hii. Ilinifanya niwache shule kidogo badaye ndio nikarudi
@vincecolla90942 жыл бұрын
this jamz inanikumbusha mbali..KCO massive hapo finlays
@Moregun6192 жыл бұрын
This masterpiece reminds me of alot of good old memories 😤 some friends that i lost some that I don’t even know where they are.. Rip masogange
@sashazuberyzubery78046 жыл бұрын
Rip aggy masogange😿😿😚😪
@jamesmaring97689 жыл бұрын
Belle 9 my favorite. Man when I start making it, he will be the first artist I would like to work with. Ubarikiwe ndugu, you got them vocals man. U might not have the connection but u are still the best in TZ.
@hassanially73577 жыл бұрын
James Maring namkumbuka bele9 shoo yake ya kwanza ilikua uzinduzi jengo LA Air tel
@husenboy69636 жыл бұрын
James Maring kweli mungu anamakusud yake
@ReekJay5 жыл бұрын
Kweli kbs
@shukuruemil25333 жыл бұрын
Minakupendaka Sana niko mkongomani jikaze nitakuonaa te?'rafiiki
@MrSimbawanje4 жыл бұрын
One timeless song.. beat and lyrics on point and unique.🔥🔥🔥👌🏿.. RIP Masogange...
@juniorhabimana5565 Жыл бұрын
Il a déjà mourri?? Or died belle nine?
@BabaRikodi11 ай бұрын
I’m still listening to this song here we go 2024🔥🔥🔥
@chozachoza3318 Жыл бұрын
Mapenzi yanautesa moyo wee Hatari sana 2023
@lynemersy33638 жыл бұрын
i can repeat dz song even a 1000 times ur dope my dear sauti yako iko swafi.
@uberitinjarita84994 жыл бұрын
kam huwa unaangalia comment za nyimbo zako , na maanisha b9,kwa upande wangu nimemic radha ya sauti kama hii, bdo ujachuja broo. come up again , never give up, we miss u.
@annemutuku41355 жыл бұрын
All tym favourite song....inanikumbusha mbali...shine on your way Agnes
@pendomwita7501 Жыл бұрын
Masogange kumbe anafanana na mtoto wake jamani like Kama unaiangalia hii ngoma 2023
@Bonnere6 жыл бұрын
Who still listening this song in 2018 with me......😍😍😍
@rebecatimothy80676 жыл бұрын
0481797312 Bonnere am here...
@hamdiahmed81886 жыл бұрын
RIP agnes
@salomemshideko61266 жыл бұрын
0481797312 Bonnere me
@barakabanseti78936 жыл бұрын
tusalisana jaman
@theblackpearl70356 жыл бұрын
the vixen was buried today
@juliusvicent82472 жыл бұрын
😭😭😭😭 hakika dunia tunapita natunapo enda n sehem ambayo hatuijui
@ogossodorothy7445 жыл бұрын
In 2019 still listening to masogange 💞💞💞💞💞💞
@jonasafrican25376 жыл бұрын
😥😥😥😥 R.I.p Agns ....2018).j kweli wote niwapitaji Apa duniani jamni Jana tulikua wote tn tukifulay lkn Leo umeondoka jmn kama tondo. Eee Mungu Naomba huilize roho yake mahali pema peni mtanzania mwenzetu tulimpenda lkn ww Umempenda zaidi Aminaaa. kama kweli umejifunza kitu kupitia hili tukio kua duniani wote niwapitaji bc gonga like yako Apa. Amen
R.I.P masogange. Mbele yako nyuma yetu, pumzika kwa amani. Ni njia yetu sote!
@labankidake8233 Жыл бұрын
who's still listening to this masterpiece in 2023 mark your register here
@willfredkweka98226 жыл бұрын
Ulikua poa sana huu wimbo bahna daaah mungu ampumzishe kwa amani masogange
@jj24kith28 Жыл бұрын
RIP masongange......its sad to die that young...
@AllyRamadhan-cw8we2 ай бұрын
Belle 9 ni legendary kwel bongo flavor umetoka nayo mbali sana!!
@veronicakawawa70576 жыл бұрын
daaah kumbe tokea zamani ana wowowo lilikuwepo eti... rest in peace mama
@chepngetichwinnie97066 жыл бұрын
lala salama Aggy... mungu kakupenda zaidi....shine shine shine shine😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@nilastephen82656 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Agnes 😢😢😢😢😢😢😢 mungu aku weke mahali pema peponi dada
@husenboy69636 жыл бұрын
Nila Stephen pumzika kwaaman masagange mungu akueke mahali pema
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
I used to like the song until now I still do🙏😍❤❤2023 June here we go . Mungu amlinde Agnes Masogange popote alipo
@ezekiafilbert48967 жыл бұрын
wimbo wang kila wakat 2018 bdo nipo nao duh belle 9 tixhaaa xn
@hassanhalfan11586 жыл бұрын
Ezekia Filbert post
@leilazulpha3205 Жыл бұрын
❤❤❤ hi wangapi wanaskiza and steel look fresh 2023
@shiksshiks84945 жыл бұрын
You will never be out of our mind Agnes...continue resting in peace...
@msamsa1031 Жыл бұрын
This song , remind me back in 2008 , when it was my first time to land in Mombasa , the mat I boarded was playing this song , from then I followed in love with the tune
@rispaandoli23582 жыл бұрын
This song is fresh in my heart though its been years
@franckmgogosi59696 жыл бұрын
Agness hakika mungu alikuleta kwasababu duniani na umeondoka mbali na masogange. Tuta kukumbuka daima.
@cesyrashid28226 жыл бұрын
masogange ndio hvy umetutoroka kimy kmy my
@jenfan87815 жыл бұрын
Cesy Rashid Nataman kulia mim nan aje kunibembeleza jaman
@nakombogo48595 жыл бұрын
Cesy Rashid nishida masogange daaah
@mafinamaizez25146 жыл бұрын
Mungu akurehemu mommy nimekujua kutokana na hii nyimbo
@glomaentertainers6734 Жыл бұрын
My classmate, Dennis Marwa,Taranganya boys sang this song to my girlfriend and that's how I lost a love 💔
@Nyamataga22 Жыл бұрын
😂😂when was that I was there 2008-2011 ikerege ndo hom
@Pira-gm4gr Жыл бұрын
Sorry😂😂
@badmanno.16504 жыл бұрын
Mungu alilaze hilo tako la masogange mahali pema...halitatokea tako kma hilo..
@tahiyaally94997 жыл бұрын
06/07/2017 stil listening to this song......much love for u belle9♡♥♡
@melikiadikanyara66446 жыл бұрын
Mungu muweke maalipazuri musamee makosayake
@abramsmalel403 жыл бұрын
2021... Still here because of you agnes masogange. Rest in Peace sister 😭😭😭😭
@hatibumussa21196 жыл бұрын
pole bele9 sote njia moja nalia sana nikisikiliza hii ngoma ...tusijisahau mungu yupo
@erickricky38736 жыл бұрын
So emotional song cant stop playing it RIP to the lost soul
@ginakitosi27866 жыл бұрын
Tuzidi kumuombea Mwenyenzi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburii
@nafisamohamad31826 жыл бұрын
Dah naskiza hii nyimbo huku machozi yanitoka, yani inanihuzunisha kweli, R.I.P agness masogange always tutakukumbuka dada.
@evelynemoshi57056 жыл бұрын
Nafisa Mohamad 😰😰😰😰😰
@gracewangare82335 жыл бұрын
i was in uganda and i remember this song Rip
@yvonnecessy58386 жыл бұрын
Belle 9 uko wapi 2018 july...rip masogange
@almasaziz36138 ай бұрын
Masogange angekua mbaka leo dahh angekua wamoto sana 😢😢😢
@martinsiameto37344 жыл бұрын
This songs takes me sooo many years back... surprisingly I recall the lyrics.
@nalajarajabu27625 жыл бұрын
Kuna vitu navikumbuka sana nikiwa naskilza huu wimbo ,, unanihuzunisha na kunirudisha utoton...now 2019 ,,kaz nzur
@ngederemkatamkaachuwakineg52395 жыл бұрын
Unafanana na mm kabxa
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
Daaah ngoma Kali
@henriettenkuba70784 жыл бұрын
Kama umemkumbuka masogange ukapitia Basi like hapa
@Maziwamakuu5 жыл бұрын
2019 still watching ! The song brings a lot of memories from Kigoma TZ
@josephjohn67756 жыл бұрын
R. I. P Masogange Mungu Hailaze Roho Yako Mahali Pema pepon Dunian 2napita Nas twaja Nyuma yako