Belle 9. Salute bro ktk Vipaji vya Muziki tulivojaaliwa Nchini mwetu Bac nawe umo. But sijui nani kakuzimia Nyota yako. Songs zako zitaishi milele.
@pentagontrading270810 ай бұрын
2024 na bado ipo vzr mziki mzuri unadumu
@iamdullnizer2 ай бұрын
Belle 9 anaandika ngoma zinazoishi miaka nenda rudi big up broo🎉🎉
@albinhohasla43264 жыл бұрын
Kama tuko pamoja 2020 gonga apa kisha tazama unafanana nae toka kwake belle 9
@nicestarkimaro999311 ай бұрын
2024 still a masterpiece 🎉🎉
@majidfrolian49042 ай бұрын
bonge moja la artist namba moja tz kwa rnb na linatelekezwa yaan tz ushamba mwingi
@joanithajojo6007 Жыл бұрын
2023 still a hit 😊
@datiusdidace21736 жыл бұрын
#2019 Kama tuko pamoja Gonga like 💪👍
@mathiasmichael66495 жыл бұрын
Yp yp
@bashiritipa26834 жыл бұрын
bashiri tipa.
@gracechalz Жыл бұрын
2024 still a hit❤
@gabrielsulle67644 жыл бұрын
Dahhha kama upo na mm mpaka 2020 gonga like tuende pamoja
@paulswai12377 жыл бұрын
After several years I'm still in love with this song
@AloyceMsagara3 ай бұрын
Nakubali 🤝 San mwanangu Abenego damiani
@MugabeRobert-oh1mp8 ай бұрын
Nili kupenda kwanzia 2012 nilikua nimesikiliza sumu yapenzi mpaka sasa I love you so much ✌️
@queenkyelula45565 жыл бұрын
2019 bado nipo na hii nyimbo
@magdalenaashery37423 жыл бұрын
Bado Niko na hii nyimbo namkumbuka mpenzi wangu tulisoma pamoja daaa!!!!!
@alexwakutumwa76077 жыл бұрын
Very nice baba xo we need othêr project dauti yako nzur fanya hata internation song hata moja i mean collaboration
@innocentpius808310 ай бұрын
2 0 2 4❤ bado ni hit ..
@martnedidace31105 жыл бұрын
Nakukubali sana toka kitamboo.. Unaweza rmb
@samsonleonard74154 жыл бұрын
Lisen now 202,gonga like kama unafatilia hz kt
@kividoclassic239011 ай бұрын
here 2024 still banger🔥🔥🔥🔥
@larryrobertv Жыл бұрын
2023 still getting same vibes 🔥
@samuelabisai95753 жыл бұрын
hatr bonge moj la ngoma daaah
@jaffetyjames17834 жыл бұрын
I just looking for this musician!! Where are you brooo!!! Since you released this magic song I fallen totally in your good music
@azrayrajabu25475 жыл бұрын
mwanangu belle huna bahati sema mimi bado shabiki yako unajua still watching this in durban 11.07.2019
@marygoshashi15665 жыл бұрын
azray rajabu bahati anayo sema miziki ya kijinga imetawala...na si unajua ujinga unasifiwa joh
@marrymarry4624 жыл бұрын
Nyimbo nzur lakin cjui zinafel wap
@MartinEtabo-dw4ds Жыл бұрын
Kitu hiki kikubwa zaidi ngoma nzuri sana
@SolisticeKanuve10 ай бұрын
Samahani muniambie kama bell9 yupo wapi maana hasikiku na tulimupendaga sana hapa Congo DRC❤❤❤
@ahmedgullu24804 жыл бұрын
Nani yuko hpa 2020. Big up to Belle9
@NgassaJr5 ай бұрын
Hii na Vitamin Music asee kiboko.....
@rajabramadhan81205 жыл бұрын
Dah bele9 ngoma nzuri kiukweli
@miketez21607 ай бұрын
2024 button 🇰🇪🇰🇪🙏
@HamisFadhili-wf3qv6 ай бұрын
Ulikua mziki umetulia safii
@Jerrymaswaga4 жыл бұрын
Brother ww ni mtu hatari saaaaana ,........jirani yanguuuuuu MTAA mmoja Am Happy for that
@ohmslawmontana8856 Жыл бұрын
This was a masterpiece from Belle9 & director Nisher. Rest Easy Nisher.🌹
@defaomkubwa2043 жыл бұрын
28/07/2021 tuko pamoja hi nyimbo duu!! Xizani Kama belle9 atakuja Teena aimbe nyimbo Kali Kama hii
@lucasnsumba55163 жыл бұрын
Hii Ngoma nakumbuka 2013 kongwa secondary form five nilikua na simu la kichina bwenini sasa nilikua naipiga hui ngoma yenyewe tu siku mzima daily mpaka washikaji wanamaindi daa. Nitakua hapa kila mwaka kutoa respet
@ammodacosta3112 жыл бұрын
Here we are May 27th 2022 still enjoying this Masterpiece
@modricnoma36863 жыл бұрын
Wakufunzi wengi manguli wa mapenzi ila me sitaki nataka kwako 2021 still ngoma ya moto sana 🔥
@danielngotto9195 Жыл бұрын
Keeping the good music alive
@kassimumnete78932 жыл бұрын
Wadau Kuna nyimbo jina silijui na mwimbaji simjui Ila mstari mmoja unasema "wee ni wangu eeeeh ooooh we ni wangu kwa machizi usishiboke weee ni wangu Kaa mbali ma vichechee msaada jamani jina la nyimboo🙌🙌
@HawaallyAlly7 ай бұрын
Bell9 ndokamimb hu hyu mweny nyimbo hii
@mosamossile91133 жыл бұрын
2021 naicheki hii Video Salute homie boy From Morogoro,I'm watching from South Africa Cape Town 🇿🇦🇿🇦 1August 8.. 2021
@juliusmkwiji2836 жыл бұрын
Nime fall in loveee babyyy.....listen up...my baby
@MugabeRobert-oh1mp8 ай бұрын
Belle 9 I love you so much my young brother I'm in Rwanda but nakupenda sana we munyamwezi
@mwajumamkamba17763 жыл бұрын
Love is a beautiful thing.... lazma uwe na memories za mapenz either kuumizwa au kumkumbuka uliyempenda sana
@paulpama7305 Жыл бұрын
Tunaongalia 2023 tujuane kweny like...,ngoma haichuji na haitochuja miaka Karne na Karne...,
@shammahlulandala32256 жыл бұрын
2019 here listen this
@daudmtange80053 жыл бұрын
Twenty,Twenty one wangapi tupo apa
@joshuamgaya5100 Жыл бұрын
Ambao tunaskilza ili goma mpaka leo 2023 gonga like apo chini🔥
@joycepeter19944 жыл бұрын
Huuu wimbo klaaaa nkiwwkaaa bundle lazmaaaa niienjoy
@amanimanase15913 жыл бұрын
Ktk msanii mweny video vixen wakali aisee ni uyu jamaa BELLE9 mademu wana figure ile mbaya
@winfridapeter945511 ай бұрын
My favorite song forever❤❤❤
@ignaskawonga71194 жыл бұрын
Ngoma kali Sana #tuishi_humo🔥🔥🇹🇿
@karimabubakary385 Жыл бұрын
Video kali Sana kazi ya Director Nisher marehemu
@careymariahhhh3 күн бұрын
2 0 2 4💕
@danforddavid60233 жыл бұрын
2022 still a hit
@JumaRashidi-qu6nv3 жыл бұрын
Kiukweli Belle 9 uko vema Sana napenda nyimbo Zako ,
@danielyohane94416 жыл бұрын
im still here 2018, you got rnb sound dont jump
@Abuufaha-s6m Жыл бұрын
Ngoma haitokuj kuchuja ata siku bigup kwa belle9
@habakukindack84875 жыл бұрын
daah hii nyimbo kila siku ni mpya tu kwangu naielewa sana
@jkatheu53374 жыл бұрын
2020 jameni bado naskiza good old days🇰🇪
@saidibhinda67853 жыл бұрын
2021 8th of May.. The song still Bangin in my Eardrums.. What a lovely Hit.. ❤️😍🥰
@hawardsnetinternational6502 жыл бұрын
for the records all the way from 254 a hit song
@richbrizzy_tz2 жыл бұрын
2022 14th of My ... the song still banging in my Eardrums... what a Lovely hit 🙌
@xozazaxo9755 Жыл бұрын
Listen now 2023 so classic bro 💥💥
@aishaisimail Жыл бұрын
Kama unaskiliza Ngoma hii 2023 like hapo
@originalnatic36065 жыл бұрын
Kubwa Sana ever since💯💯
@gabrielmushi28135 жыл бұрын
2019 August 15 bado nipo nasikiliza vitamin ya ubongo
@wybzokizzy441610 ай бұрын
Bado inatesa 2024❤
@Lizkey.3 жыл бұрын
2022 WE STILL HAVE IT....
@frankntinda55505 жыл бұрын
30/12/2019 kama upo nami mziki mzuri tupia like
@emmanuelkatana62204 жыл бұрын
Belle 9 u got talent...the song is relevant sana
@vickyboymfalme78562 жыл бұрын
fire burn... kenya ilitesa mpaka sasa hivi
@railwayschoolandeducationc63122 ай бұрын
😢 daaaaaah ❤❤❤❤❤
@LeonardasheriMyovela5 ай бұрын
2024 Master piece
@mpjozzegalvanize4926 Жыл бұрын
Wakufunzi wengi, manguli wa mapenzi...🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@tanganyika2102 жыл бұрын
Best hit niko nayo mdahuu belle 9
@kijanangosek1281 Жыл бұрын
Bado iko moto🔥🔥
@gnamesofficial59967 ай бұрын
Kama ambae imetoka jana vile hii ngoma noma😁😁😁😁
@amosmwanisawa28873 жыл бұрын
2022 my life time song!!!
@castoljmwalyego37785 жыл бұрын
Fall in ❤... Swahili to the world.. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍 #ThumbUpJuly2019
@KaidaCut254-vp9kc Жыл бұрын
2023 still nadunda na hii hit. U boy being talented
@HakuAman-jt6on Жыл бұрын
From 2013 to 2023 still 🔥🔥🔥
@BatromeoMtitu2 ай бұрын
2024 ududu mwingi
@TheNdaki3 жыл бұрын
2021 STILL A HIT SONG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@PatricMkude9 ай бұрын
2024 still on TOP CLASSIC 🔥🔥.....SHOUT KAMA UNAFAGILIA MZIKI MZURI 🎉🎉