Tunaotizama wimbo huu 2024 tujuane kwa kwa gonga like
@letisiastanslaus26346 ай бұрын
👆🏻😩♥️
@FurahaMpangwa3 ай бұрын
Uhakika
@perfectchikwende17076 ай бұрын
may 2024 nan yupo live na goma agonge like la kibabe
@richardmloha17623 жыл бұрын
Wanangu wa mvumiii, mpunguuzi, majengo,nkuhungu,makole tjuane Alafuu kwa ataekuja check adondoshe likes yakee apoo
@abelmaganiko46392 жыл бұрын
Kama Upo Hapa Tangu Nyimbo Hii Imetoka Ni Jambo La Kumshukru Mungu Na Kuendelea Kumtukuza Yeye Mwenye Kutupa Uhai🙏
@nassorosangaga77634 жыл бұрын
Nyimbo qal ndo maan nimerud kuitazam leoo 05/05/2020 muda saa 09:26 Asubh na sekunde 20 naomba like ndugu zangu wa makole wakalim wapole wanataka wakuone kabla ujafika dar😊😊😊❤❤❤ @ben pol umetisha sana kaka
@SadikiLingaАй бұрын
Oooohh my good Ben pool
@SadikiLingaАй бұрын
Ilove you
@GilbartBarbosa3 ай бұрын
Sawa inabid tuende na wakati lkn ngoma za kitambo zinahisia nzur na ujumbe nadhan wahenga wenzangu mnanielewa , muda mwingi nakuwa naskiliza old school na kuzichek hiz . Kama tupo pamoja like here.
@bigshaq117710 ай бұрын
Who is here in 2024🥺🥺🥺
@letisiastanslaus26346 ай бұрын
👆🏻😩♥️
@stellahbhoke71036 ай бұрын
Am still here
@emmanuelcholobi5804 ай бұрын
Im here
@theeunknownbarber3 ай бұрын
❤
@luckiiinuswe1725Ай бұрын
Tupo
@amosyrobert11685 жыл бұрын
Jamaa anajua 🇹🇿 Leo ni mwaka 2019 Ila wimbo bado mpya haujawai chosha wapenzi wa RNB
@kvkenzo9 жыл бұрын
Kaka hili ni bonge la pini kwa kawaida huwanapenda sana kusikiliza ngoma za mbele ila hiii ngoma nayo nimeshaiweka playlist keep it up broooo umetishaaaaa xaaana
@felisterscout21439 жыл бұрын
I just love the song and video, and the fact that girl is albino................... imekua nzuri zaidi maana umemtumia huyo dada wakati mzuri tunaopinga mauaji ya ndugu zetu maalbino above all imekua na uhalisia mwingi wa tamaduni za kitanzania.
@gualbertkashasha80079 жыл бұрын
Felister Scout yea u gotta admit the guy does have tallent
@felisterscout21439 жыл бұрын
Gilbert kashasha surely he does
@gualbertkashasha80079 жыл бұрын
yep..
@andrewmhagama10425 жыл бұрын
My all time favorite song ❤️
@adelinambekomizetenga79289 жыл бұрын
Ben Pol...I have just shed a tear watching this video...Thank you for making the choice to use this girl as Sophia...Music can go a long way in influencing how one thinks and perceives things...and as a Tanzanian, amidst all our conflicts with the Albino community... This is a breath of fresh air...Even more inlove with this song now...
@philippaul29443 жыл бұрын
I like your English command
@antoowabusia96612 жыл бұрын
The best ever
@mrben2272 жыл бұрын
You are same to me
@paschalgabrie1099 Жыл бұрын
Your 7years ideas live, thanks so much...👍
@paschalgabrie1099 Жыл бұрын
Your 7years ideas live, thanks so much...👍
@jemakamoga6259 Жыл бұрын
Bado naitazama Ngoma hii 2023,big up Ben pol
@juckerynyamsalya75114 жыл бұрын
Sophia Sophia Sophia nakuzimia nakuzimia vibay vibay me dah long San mpk leo ngoma hiiii
@janethchidobe59198 ай бұрын
❤wakina chidobe tupo Dodoma moja
@ugexclusive66749 жыл бұрын
pongeziiii zakoo kaka ben pol.. ila kwenyee nmeona uzalendoooo coz umemwekaaa video queen albino safi sana ni jins gan nawe pia unapinga ukatili wa albino
@saidathman93028 жыл бұрын
nakukubali sana king of rnb #benpol
@ShazirMtauna Жыл бұрын
Noma sanaaaaa
@EliaBahati-fe7ue11 ай бұрын
Nakukubali sanaa mwanangu wa central zone wewe ni mwamba 2023 mwezi wa 12
@stellakutona61398 жыл бұрын
Kitu kiko poa sana.. Ww ni big singer ukianza na sophia na hii moyo mashine.... NAKUKUBALI SANA
@FrancisosingaFrancisosinga8 ай бұрын
Nimekuja kuangalia hii wimblo baada ya kumpata mchumba anaitwa Sophia.....nampenda jamani namzimia sana
@andrewgeraldbabu20782 ай бұрын
Im here in 2024 and i super duper love it. Ben Pol makofi kwako
@fredymadinda27489 жыл бұрын
sophia sophia nikupeleke MPUNGUZI, umetisha bro ben piz. salute sana. iko njema. 100% ben pol.
@SadikiLingaАй бұрын
Pooh my god
@SadikiLingaАй бұрын
Noko mwana wa dodoma
@SadikiLingaАй бұрын
Niko. Mwana wadodomaaa
@luckyobiero12454 жыл бұрын
This song has never stopped being veeeeerrryyyy sweeeeeet!
@elvisjohn66266 жыл бұрын
This Part "Sofi wangu, mimi nilizaliwa Tanzania kanda ya kati, makao makuu...twende pamoja ukaone uzuri wa nchii..." mheen. watching in August 2018
@janetnjunge50945 жыл бұрын
I love this song.Big up to Ben Pol for your choice of a video vixen .I remember when this song was released,Tanzania was headed to the polls and persons living with Albinism were being slaughtered by witch doctors.
@erick-cadocado-erick42828 жыл бұрын
Broo umetisha kukubali xana nice song
@dateededdy58339 жыл бұрын
Hongera sanaaa kwa video nzur pongez kwa director khalfan pia napenda unavyobdlka kila utoapo nyimbo zako ongeza ubunfu utafk kule ambako unaitaj kuwa na sie tunakusapot *****
@dicksonbonyi9559 Жыл бұрын
It's 2023 people.its a big tune still.i miss this days😢
@asaaabdallah894 Жыл бұрын
nimekuja kuangali hii nyimbo bada ya kufika mkugu mwaka huu 2023 .
@africancreativestudios20959 жыл бұрын
KAKA UMEUA KICHIZI......NICE PIA DZAIN SOPHIA FLANI HIVI SAFI SANAAAAAA....
@jacksonlumanga29039 жыл бұрын
Hongera kwa kuwathamini wenzetu wewe ni mfano kwa wengine Big Up
@killerjr47244 жыл бұрын
Najivunia kuwa mgogo kwetu Dodoma
@EmmanuelEdward-p7m8 ай бұрын
Ben his killing in this track , every things is clear voice , melodies and beats is very amazing wooooow...❤❤
@sophialau93138 жыл бұрын
I am from the Netherlands too. I love this song it makes me happy everytime I hear it.
@faridaltamimi74544 жыл бұрын
Thanks Sophia
@stonemarcom69854 жыл бұрын
Sophia
@bonnyelias48383 жыл бұрын
Kaka kama photo
@neelankandan1190 Жыл бұрын
I 💕
@donaldmhulula68884 жыл бұрын
kwa wale wenye earphone nzuri ! nadhani tuna juana !
@aakisiri5004 Жыл бұрын
Still in 2023 August 🔥🔥🔥🔥
@titosimanjilo30235 ай бұрын
hiii ngoma huwa najvunia apo me nimezaliwa tanzania kanda ya kati
@revivemediake79409 жыл бұрын
Ni noma no one like u..
@tonganekwizayo96425 жыл бұрын
100% naipenda sana sichoki kuisikiliza
@ibrahim_mantisaАй бұрын
October 2024 anyone who is here 😢😢
@edwinpeter35049 жыл бұрын
ebanaee we ni mkareee big up sana kwanza umeshow love na ndugu zetu walemavu wa ngozi goood idea
@mariamk14887 жыл бұрын
Ben baby pamoja sana
@naomijulius15816 жыл бұрын
Waonyeshe buda, utajipata mbali sana, pole pole ndio mwendo, Kenya tunapenda ngoma zako too sana ,laribu msa.
@gretagonga29669 жыл бұрын
she is beautiful wow she made the video to hit even better....
@denniserasto4535 Жыл бұрын
2023 😂😂 Thursday tbt nmeamua kuanza na hii kazi🔥🔥
@austriefilms18 жыл бұрын
much love to my Albino sisters. love the song but the sister being represented gave it as new meaning for me
@mkurangacnajemasabatochane46268 жыл бұрын
kaka saut zur mpangilio Wapicha uhalisia wa ddma big up uongoke umfuate yesu wa sabato
@MUNYAH752 жыл бұрын
Im 🇿🇼. My opinion is Ben Pol has the best voice outta 🇹🇿. His vocals are just heavenly
@evarnickchaula96668 ай бұрын
"Benpol's timeless song 'Sophia' beautifully captures the essence of love and admiration, transcending time with its powerful message of embracing beauty beyond physical appearances. His heartfelt lyrics resonate deeply, reminding us of the importance of appreciating the uniqueness and beauty in everyone. 'Sophia' isn't just a song; it's a testament to love's enduring power and the beauty of diversity. Thank you, Benpol, for gifting us with this timeless masterpiece that continues to inspire and uplift hearts even today."
@nadhifanassor4489 жыл бұрын
Nice Ben god protect you and god bless you we ni msanii wa kwanza kutumia video Qeen Albinoism utafka mbali kama utaendelea ivyo
@AwadthFaisal5 ай бұрын
Hongera kwa kazi.
@augustus7837 Жыл бұрын
Ukiacha marehemu mangwea! B pol! Dodoma should be your dorminant area! hatakiwi msanii kutoka nje ya Dom kukufunika! ! One love from Nashera Hotel!
@frankchecktime90949 жыл бұрын
sophea nimeielewa sana hizo shot nimezielewa pia director nimemuelewa huyu jamaa yuko poa video ipo clear sana big up..
@bonifacejoseph28799 жыл бұрын
Idea nzuri na ninaic ww ni wa1 kfanya.umeweza na umeonyexha tofaut xna ktk artist wa bongo fleva big up nakpa 100
@Isayaclement5 жыл бұрын
Hiyo ngoma jaman hata marekan wanaikubali cyo uongo
@lichilasalumu7983 Жыл бұрын
Nautazama tena leo 9/06/2023. Nakumbuka umetoka nipo kidato cha 4. Now nimeitimu chuo kikuu na ndio ulinivutia kutamani kusoma udom na ndoto iyo nashukur ilitimia 2018-2021 na sasa nipo kazini mungu ni mwema kwa kweli.
@tukujames64359 жыл бұрын
a lyk de song "mandhari nzurii ya kitz imetulia congrts to yah en kip t up bro
@braysonsimon50479 жыл бұрын
unajua n nn ben Paul we Ni hatar balaa dah ebwana Sofia n noma nyimbo zako,zinanipaga mzuka hata wa kusoma xkul dah tisha wakimbize we n hatar huishiw vina big up
@markogila37269 жыл бұрын
From Kenya. Naikubali wimbo huu. video Kali ngoma iliyo na massage. Ngoma isibagua jamii. Kazi nzuri Ben Pol. Let's share this worldwide.
@dorahmtegah97349 жыл бұрын
nyc song my benpol... your my best singer ever. mungu aendelee kukupa nguvu kazi ktk nyimbo zako
@ziadakombo70116 жыл бұрын
Vibaya vibaya Nakuzimia vbaya vbaya oooh du nimejikuta naimba tu...nice song kaka
@tumaininzunda72063 жыл бұрын
Mpakasasa cjauchoka huu wimbo
@catherinedavid91304 жыл бұрын
2020 with sophia🙌🏻♥️
@mamafaiza26513 жыл бұрын
2021 bado naliangalia goma hili nachukua mistar ya kum bembeleza mmewangu
@ygamanyamohanga9 жыл бұрын
Ben really brother umefanya kitu cha busara na cha kuigwa na WaTanzania wote hongera sana
@twitiburton1169 жыл бұрын
I lov dc even more.... Nimeikubali.... Real theme gt ryt choice n umeoonyesha realism
@mwaminiyoram29989 жыл бұрын
ubunifu .wa hali ya juu ben paul amaizing video ya kinyumbani hongera mdharau kwao mtumwa kaka umenikumbusha vitu vingi vya dodoma big up dodoma big up ben paul
@crispusmbithi69113 жыл бұрын
One of my favorite songs.I'm pastor Chris
@amiryramadhani21239 жыл бұрын
Jaman wimbo naupenda sana kupindukia unasifa yapekee ila video zero jitahid kaka yangu u'r z best love uuuu sooo
@dotto-mariamlashku60097 жыл бұрын
Ben Pol huu ndo wimbo unaoweza kukutoa. ebu ufanyie remix . I like it
@fatmasalum27378 жыл бұрын
Huu wimbo hapa ndo umeniweza asa manake haipiti sk bila ya kuutizama au kuuimba big up broo kazi nzr
@charlesmjomba43845 жыл бұрын
Bonge la song 2019 like yako mhimu
@mussakhamis23772 жыл бұрын
Benpol ni msanii mkubwa sn kuliko diamond nyimbo zk ni nzur sn na hata sauti yk nzur ktk uimbaji kiufupi benpol ana hadhi ya kuimba marekani si Tanzania
@hellenawinfred49919 жыл бұрын
hongera sana kaka.....video bomba....pia idea ya video queen nzuri.....unajua kazi yako.....sauti nzuri....one luv
@GEOFREYHASSAN9 жыл бұрын
Uko juu kk gud song,gud video we n mkali wao
@jrxavihernandez73192 жыл бұрын
Dah huyu Ben Pol kaenda wapi jamani...pure RnB
@annajohn76979 жыл бұрын
Ni noma aiseee kimbiz vibaya mkali wao waueeeeeh
@hadjijamadary19929 жыл бұрын
Nimekuwa nikifuatilia kazi zako nyingi sana hakika we ni msanii mzuri sana hapa bongo, hii ngoma imetulia sana. Big up bro!
@ishpalemypasco57516 жыл бұрын
safi sana kwa kumtumia huyo binti inaonyesha ni namna gani tunapinga ubaguzi wa ngozi
@nuhukange31919 жыл бұрын
Ben peeeezy ebhana dah umetsher xn mzee! 1 ya k2 kzur ulchobun kumeweka dada cheupe kat tisha xn..!
@lameckraymond84739 жыл бұрын
Usiwe na wivu wa kixhamba hii nyimbo very enjoyable to society.
@josephkadudu54087 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo huniondolea stress na kunipa faraja
@daudilengai74029 жыл бұрын
ben song sophia iko poa sana umetisha sana ukiwacheki bibi na mababu wakipiga nindo paka njemo poa sana mwana
@jacksonntibegelana35779 жыл бұрын
good video ben pool sharapu kwako kwa ubunifu km huo
@chezarygeorge26664 жыл бұрын
2020 bado naicheki gonga like kama upo hapo
@isackzacharia41193 жыл бұрын
naikubali sana inanikumbusha mbali
@87soo3 жыл бұрын
Tuko wengi
@ngetwacheche72229 жыл бұрын
thanks sna ben poul ilo jina mama watoto wangu huwa naenjoy nkiisikia
@markogila37269 жыл бұрын
For real nimekuwa addicted to this song. When I wake up its Sophia. When I go to be its Sophia.
@michaelflava56679 жыл бұрын
hii ngoma nikiisikia namkumbuka demu wangu ambaye nimeachana naye kwao ni dom ila sasa wote tupo dar big up ben paul ngoma kaliiiiiiiii
@frankmwaluswa9 жыл бұрын
Kazi nzuri nimependa idea bonge moja la kichupa
@machundemauma13389 жыл бұрын
Ben Pol! Nyimbo nzuri sana hii. Mashairi mazuri. Video nzuri. Ujumbe mzuri sana. Kila la kheri.
@husnakupaza56989 жыл бұрын
.%r Y Blue. Nnnnjghggb
@johnjoab43994 жыл бұрын
Who is listening this song 2020 gonga like twende Dodoma
@mariachaula67479 жыл бұрын
asante kwa video nmependa rangi imetulia sana nafrah kwa kuona idea nzuri km hiyo uko juu Bernard
@anithadavid15979 жыл бұрын
Cograt bro n be blecd....kazi nzuri mi no fan wako
@KINGSONPATRICK4 жыл бұрын
Sophia Sophia!!!uko wapi Sophia wangu???kila nikisikia song hili nakukumbuka Sophia
@nicksonnicolaus5280 Жыл бұрын
Kariua queen Huyu dada wa kariua namkubali sana
@mbwanarajab72386 жыл бұрын
Mila za kiafrika nzur sn nimewaona kina bibi nikaumia sana kwan nafas zao sasa za kuwafunda watu zimechukuliwa na watu wengine wanaojiita makungwi alf wengne hata hawajaolewa
@farisdon67929 жыл бұрын
Video kali sana umeonesha utofaut. Drcter ninomaaaaa
@josephkimogele34844 жыл бұрын
This song is my all time favorite, from most TZ songs...it gives out really good vibes🎉
@afya_bora_bfsumahusseinswa7663 жыл бұрын
Really great ☺️✊✊✊
@davidmlokozi97689 жыл бұрын
Uko vizury sanaaaaa nimeipenda video imetulia ile mbayaaa
@gaspernkya93529 жыл бұрын
kichupa kimetulia mnoo big up ben pol na team nzima...you did it...nimempenda sophia idea nzuri...
@bellabebe74949 жыл бұрын
Nyc vedeo....unaonyesha kuwa mapenzi hayachagui rangi wala kabila haijalishi yy ni albino! Yaani narudia mara kumi kumi kuutazama....keep it up broh!
@rizdenpopitin25379 жыл бұрын
nice1 umetishaaaa Sophia 2memwelewa sana
@aaronhenry93659 жыл бұрын
lov the song, niaje sophia pekee ndio anabadilisha nguo, we umemaintain