Ruge ametajwa na wasanii kibao walioalikwa hapo hakika alikuwa mtu mwema, may his soul rest in peace.
@felistanampoka88624 жыл бұрын
Aisee hatauniamshe usikuwamanane msanii gani wakiume ni Ben Poul! Love you so much .
@micahpaul57344 жыл бұрын
salama your best interviewer , your don't intervene in between the story telling, and your so good listener, a favourite show, bigUP sana
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Nlichogundua kwa wasanii wengi, wazazi wao walikuwa watu poa Sana kufikia hapo. Mimi nlio lelewa geti kali ilikuwa lazima saa 12 jioni uwepo home, hata kama unataka kuhustle mwenyewe inakuwa shida. Unafuata sheria za mzazi, na huenda ningekuwa mbali sana kisanaa maana nlikuwa na kipaji Cha kuimba na kucheza lkn mzee wa Kihaya haelewi, anaona ni kazi ya wahuni. Anataka mtoto uwe vile anataka yeye uwe. Hata Sasa bado kuna wazazi wanaamini hivyo kwenye shule zaidi kuliko kipaji haswa wenye vipato vyao na hasikilizi mtoto anataka nini
@jumamwaguzo65514 жыл бұрын
One of the best interviewer l even seen in tz big up to salama
@romanoreginald72634 жыл бұрын
The problem is the waiting sasa
@albogastmselejr45834 жыл бұрын
Ooooh! amkeni amkeniii madame salamaa kashaiwekaaa huku Salama na ben pol 🍾🍾
@michaelmzinga47414 жыл бұрын
Salama, hiki kipindi utuletee na wasanii wale wameishi maisha ya ushuani na bado wametusua.
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Dah! Hapa nimejifunza kutokata tamaa.
@firstborn80864 жыл бұрын
Nice,Salama kipindi ni kizuri mno,congratulations...
@pharergyramson59184 жыл бұрын
Nmemsikia SingaSinga Dah!!! Pongezi kwake
@daprince75454 жыл бұрын
Congratulations salama mungu akupe umri mrefu
@linethowire70314 жыл бұрын
Jamani wasanii wamepitia mengi...lkn hongera sana Ben Pol
@siyamunadhir36694 жыл бұрын
One of my favorite artists in tz.. 💚
@nasserhabsi93094 жыл бұрын
Again.. Salama kabla ya mahojiano twaomba kabla ya mtu huajaendelea na Maswali mtu yoyote ajitambulishe tokea 0 to now.. Thanks.
@nazalenapatrick334 жыл бұрын
Sawa dada shoo nzur tumependa bas fanya Kam unatuekea na ya gigy
@ajaxjunior41513 жыл бұрын
Ben pol uko poa sana big up for the interview #congratulations
@evankya19554 жыл бұрын
Salama got emotional, pole jamani
@khamiskhamis54954 жыл бұрын
SALAMA NA WEWE UHOJIWE SIKU MOJA NA MTANGAZAJI MWENGINE
@olivervenance17764 жыл бұрын
Kuna ule msemo wa watu wanaonekana wanafuraha sana Huwa na msongo wa mawazo sana
@jeanmugulire33704 жыл бұрын
Pôle sana ben pol
@nadhiruawadh31312 жыл бұрын
Old is gold
@wedream75064 жыл бұрын
Salama the best of the best
@ezekielepimack92694 жыл бұрын
Salama tunamuomba masanja mkandamizaji
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Dah! Ckati tamaa bro
@ashuraselemani59794 жыл бұрын
Good Ben pol
@queennafsa22074 жыл бұрын
We are waiting
@madmanwalkanywhere32724 жыл бұрын
Yap lakin ningependa kuuliza unajifunza kitu gan
@hellenmawere92844 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 eti sijui tone ninini! Penda ninyi bure. Salama hauchoshi vile unapangilia kazi zako👏👏👏
@abdillahkhalfan81864 жыл бұрын
Salama eeee mwanaume haitwi mwari bana
@agathathobias86904 жыл бұрын
Mwanaume anaitwa mwar km hutak ni wewe tu
@abdillahkhalfan81864 жыл бұрын
Anaitwa balekhe
@dullahmudy24644 жыл бұрын
Salama my bestiest ...my all time crush😍 much love from Kenya😘😘😘
@lareinemere13294 жыл бұрын
31 years old still young
@sarahnashon90704 жыл бұрын
Can't wait
@ceciliapeter49954 жыл бұрын
Nimefrai sana kumsikiliza Ben pol namkubal
@elishaobadia88294 жыл бұрын
Heshima kwa duke
@Janjaro2544 жыл бұрын
Locked already ✌️
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Nice inteview
@anithajailosy68794 жыл бұрын
Sana salama kipind kizr
@andrewjulius39514 жыл бұрын
Ndio maana ulikua kembamba xana,,,,kumbe ulikua una stress mzee baba pole Xana
@paulinesayo43534 жыл бұрын
Much respect to you ben
@salumjumah56483 жыл бұрын
Ben Pizeee
@chumayaoinvestment16474 жыл бұрын
Intellect and disciplined
@zeekumchaya42804 жыл бұрын
This show is amazing!!!
@saadazabron61734 жыл бұрын
Kama umesikia so so nyingi like hapa.
@wedream75064 жыл бұрын
Duh pole sana teenagers wengi sana tz wana depression
@khalidikibakuli1324 жыл бұрын
Ongera sana pia pole sana
@mohamedmuya96484 жыл бұрын
If you found out Ben kaongea sana tumpe break gvm like
@mwandegeplaza65044 жыл бұрын
Umeamua kutuletea kaka yake MX CARTER
@winningcapital23134 жыл бұрын
Mama bishanga is my grandma
@mandyfitnesstv67384 жыл бұрын
Safi sana Ben pol. Karibuni na msubscribe wapenzi wa video's za mazoezi ya kujenga mwili.
piga kelele kwa matope akeee weweweeweweweweweeeeeeeee
@ujudiabdull94424 жыл бұрын
Salama tupe siri yanguo nyeusi 🤔
@missdija49594 жыл бұрын
You got local beliefs. Badilika
@babynaa37574 жыл бұрын
Mbona me hata miaka 5 cna kumbukumbu😂
@lucykibena53074 жыл бұрын
Kipindi chako ni lini saa ngapi
@queennafsa22074 жыл бұрын
I can't wait to see that
@benardlisoso45654 жыл бұрын
majuto😂😂🙌
@kevinhussein52294 жыл бұрын
Ila Ben anaongea sana Hata hampi salama nafasi ya kuuliza swali
@festomahenge79374 жыл бұрын
Salama,part 2 ya benpaul iko wapii😥
@husnamagayane56634 жыл бұрын
Ila so nyiiiingiii jmn
@almatrashid18124 жыл бұрын
Matumizi mabaya ya so
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Salam unazingua bhn mbon cku ya 3 leo haiplay jmn
@raphaeli874 жыл бұрын
Mpaka tarehe 13 ndo itaanza kuonekana (premiere)
@tausingomeni25684 жыл бұрын
@@raphaeli87 si tayr now trh 13 😀na hamu mie nimsikie
@raphaeli874 жыл бұрын
Mpaka.na robo Vuta subira😊😁
@tausingomeni25684 жыл бұрын
@@raphaeli87 saw😀😀😀
@tausingomeni25684 жыл бұрын
@UC8WoCTwST_70Zl1MLcMtDsA nakwambia had imebid nichek ya idriss man ni kuchek hyo ila nimechek kumbe nzur pia
@michaelfratern27054 жыл бұрын
Legacy project respect salama jabiri
@scolasticamwakaje65794 жыл бұрын
Hongera sana ,mdogo wangu Ben, kea hakika umepitia maisha ambayo ndo was Tz wengi,hongera sana!Mungu aendelee kukutetea sana!
@hushbtz33104 жыл бұрын
Gusa link kzbin.info/www/bejne/bJXLin2mgaiem9k Kumsikia Kiuchika salama na King
@ussijuma19284 жыл бұрын
like kunta kite life style!
@mohamedkigedele44984 жыл бұрын
How come mtu anakuja humu kuPress Dislike Button😀
@rahmamalki6104 жыл бұрын
❤
@mwamvitakondo86174 жыл бұрын
that’s not translating it’s interpreting...kutranslate ni may be umepewa a written thing
@wedream75064 жыл бұрын
♥ ♥ 💕
@MrSABYY4 жыл бұрын
Hello mambo vipi, i hope unaendelea vzr na mapambano juu ya Corona, ukiwa kama mdau unaehusika na magari basi kwa namna moja au nyingine unaweza kua ni mdau mzuri pia wa group letu la whatsap lihusulo maswala ya Clearing & Forwarding hivyo tunakualika ujiunge kupitia link hii, chat.whatsapp.com/HgA8mg5DsbdCtoywF1LKRo Asante, Mr Sabyy (Clearing & Forwarding Agent)