Tunaosikiliza tena huu wimbo mara mbili mbili Gonga like hapa 😍😁
@MiriamHaule-no5fl6 ай бұрын
Nakuelewa sana Ben pol..
@leylaally32915 жыл бұрын
Ben pol anaimba jamani tuache unafki sauti yake tu mashallaha kama unakubaliana nami achia like apo chini
@carringtonmoses48355 жыл бұрын
Nakubaliana na urembo wako zaidi..aaah mashallah.
@carringtonmoses48355 жыл бұрын
@@bwayeazi3782 bro huyo mto mto hapo kama ndiye basi nakakubali kako kazuri 😍
@denischarleskalwenje8565 жыл бұрын
Daaahhh haujakosea
@nover80355 жыл бұрын
leyla Ally Angalia Best Cover ya hii nyimbo kzbin.info/www/bejne/sJecl4OimN6eldE
@cuteburnaburna18765 жыл бұрын
leyla Ally mambo?
@princegabytv72515 жыл бұрын
Huu wimbo nimejifunza kwamba mpenz wako akikuacha, cha muhim ni kupiga moyokonde, nakuweka imani kwamba LAZIMA atakuja mwingine BORA ZAIDI yake. Safi sana benpol kwa ujumbe mzuri #princegabytv
@kandlekoko12715 жыл бұрын
Kweli kabisa
@foodan5 жыл бұрын
Walai tena this give alot of hope
@eveliynejoseph7944 Жыл бұрын
Sure ✌️✌️
@bwayeazi37825 жыл бұрын
King of rnb ....kama unamkubali gonga like 🎶🇹🇿
@ktndaily37505 жыл бұрын
fala tu
@bwayeazi37825 жыл бұрын
@@ktndaily3750 peleka ujinga huko katoe yako
@ramabendera81835 жыл бұрын
Minaombeni kuuliza jamani uu king wa rnb kapewa na Nan ben pol mana minaona juma jux kwangu ndo anastaili kuliko uyu baba anerlisa.
@bartazaryleonce14835 жыл бұрын
Ben uko vizuri sana
@endlessdetailstz76635 жыл бұрын
Hii ni moja ya nyimbo ambayo imeelezea undani wa hisia za ndani za mwanadam pamoja na tamaa ambapo unapokua nahisia na mtu unahisi hakuna mwingine pia unapokua unamtamani mtu unahisi hakuna mwingine kama yeye ila moyo tulia wengine wapo na mapenzi yapo wanadam tujifunze kuachilia vitu kwasababu mapenzi yapo tu ukiyakosa kwa huyu utayapata kwa mwingine hivyo moyo tulia thanks ben
@korneliserafini78435 жыл бұрын
Thanks kwa kuchambua vizuri sana
@storyzetu81145 жыл бұрын
Slow music wangapi wanaipenda Sauti ya upole ya Ben pol wangap tunaipenda Muziki mtamu wa Ben pol nani anaupenda like kama unavipenda hivyo toka kwa Ben pol GOOD MUSIC
@abdulahabdi4805 жыл бұрын
Mwanangu wa dom wa mtaa njoo basi sweden
@storyzetu81145 жыл бұрын
@@abdulahabdi480 😁😁📸
@marthakinyaga32434 жыл бұрын
Ww ndo star wangu kwa upande wa music
@alexlusaka13155 жыл бұрын
Kitu n fireeeeeeee nipen likes zangu, wangapi mnaangalia mkifika mwisho mnaanza upya kusikiliza ngoma kali ya huyu mwamba
@bwayeazitv79445 жыл бұрын
👍
@txraphaellaphael21555 жыл бұрын
Alex Benjamin wakwanz mm alx
@pazzoumwami3153 жыл бұрын
@@txraphaellaphael2155 lp
@LuciaMakarange-vb8mc7 ай бұрын
Mapenzi yapo yapo tu❤❤❤❤❤❤❤
@MrAfrica5 жыл бұрын
Serious !! I knew this guy with his hit song *moyo machine* but till then he has been missing something. Finally today he's back to what he does best. And you know what, Tanzanians should be proud of this guy. Much love from Nigeria, we love you Nigeria..
@azizahasani15585 жыл бұрын
nasema tulia tulia moyo haya yadunia yasikutishe walaa 🇹🇿namkubali sana Ben poul
@abdallahswalleh69775 жыл бұрын
Auniangushagi ben ngoma kali
@issaramadhan44465 жыл бұрын
Ben pol naomba usome comment yangu hizi ushagundua unafeli wapi ,kaka kiukweli unaimba vzr sana ila umejisahau kwenye market sasa iv muziki ni biashara unatoa nyimbo nzuri sana ushauli wangu wekeza kwenye market bro
@issanaseeb76995 жыл бұрын
Kama ulikua umemiss ngoma ya Ben pol gonga like tujuane👇
@abdulrazackmohamed88165 жыл бұрын
Ngoma kali
@nover80355 жыл бұрын
Issa Naseeb Angalia Best Cover ya hii nyimbo kzbin.info/www/bejne/sJecl4OimN6eldE
@hmatta30245 жыл бұрын
Hiv hawa wanao dislike ngomA Kali kama Hii wanakua nachuki binafsi au ⁉ hebu gonga like kwa Ben pol
@anerlisa_5 жыл бұрын
Wanao dislike ni wasafi 😂😂😂
@rashidrai82925 жыл бұрын
Gonga like kama umeona Executive Water ya Anerlisa bae 😍 😄
@DaveHumphrey25145 жыл бұрын
I was out here wondering, whats that good bottle of... Good to know
@Storyzaibrahim6 ай бұрын
Still my favorite song bro,keep doing
@barracksgabriell91525 жыл бұрын
hizo like mnaenda kuuza maan hatuongelie uzuri w ngoma tu kila mtu gonga like angalia msije gogwa na nyie
@antonyngala19775 жыл бұрын
Ben tz on top
@VijanaPowerTV5 жыл бұрын
KING OF RNB IS BACK Likes za Ben Paul tafadhali 👏🏾👏🏾
@athumanirungo43855 жыл бұрын
Kali Kali Kali xan nyimbo kaka
@yahayanelem993 Жыл бұрын
Yaap
@lightnesstemba59875 жыл бұрын
Ngoja moyo wng utulie na hili song
@ehsanlukman74595 жыл бұрын
Toka uanze muziki hii ndovideo kali kuliko zote ulizo wahi fanya mzee ngoma kali sana💯✔
@SyntheticMusic2115 жыл бұрын
Ben pol nimeiyelewa ngoma
@neemamkumbo79615 жыл бұрын
Eti we ndo wakufananishe na jux, naonaga wanakukosea adabu !!!!
@mathieubayishime71335 жыл бұрын
Safiii mkuu nakupend nikiw zang burundi kam unamkubal ben twend pamoj kwa like
@nguyamtwartz54135 жыл бұрын
Ngoma inafanya nisahau kwamb Nadaiwa kodi ya chumba 😂😂😂 like 5 zinatosha ninywe na soda
@winfridamatonya93935 жыл бұрын
Hahahaa
@sillahpeter24575 жыл бұрын
Haaaa
@karehat52414 жыл бұрын
Uliitisha likes 5 unywe na soda 🤣🤣🤣🤣zimedi sasa waweza kula 5 course meal 😋😘😘
@nyotamy36785 жыл бұрын
Bonge la song asee
@stellahmatondwa71685 жыл бұрын
Tulia moyo ,ya dunia yasikunyime aman,wengine wapo mapenz yapo tuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌never cry for someone who hurt you just smile and say thank you for giving me a chance to find someone better than you😀😀😀
@claircherutoolinyo99775 жыл бұрын
👍👍👍👍
@stellahmatondwa71685 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌
@ashrafmussa6505 жыл бұрын
Chiiii
@kedmondkepha22495 жыл бұрын
Huyu mgogo mwenzangu ni noma Kama na wewe ni mgogo Kama mimi weka like
@furahawittness54845 жыл бұрын
Ben uko juu broo hujawai kosea🔥🔥🔥alie ona machozi meusi kama mm 🤣🤣🤣🤣🤣
@annanoah7195 жыл бұрын
Me Nimeon machoz meusi Ila nilikuwa najiulizaa 😂😂😂
@allyjumakallah72055 жыл бұрын
King is back, Haya mlikaa kwenye kiti kisichokuwa chenu muinuke mapemaa....Shemeji zetu wa kenya HAMU JAMBOO?
@agcreatedit5 жыл бұрын
There we go kali sana!🤞 ✌️💪💪 alafu kama umeona Executive water Gonga like! Shemeji support
@rojamore6885 жыл бұрын
Mziki mzur sana saf ben pole kwa kaz nzr huu ndio mziki wa watu wenye akili na waelewa
@fadhilimagambo91105 жыл бұрын
Pale Clouds imebidi Dj Ommy arudie mara mbili wakati pini likitambulishwa kwenye xxxl. Makini sana 💪💪💪💪💪💪
@anthonyrich95935 жыл бұрын
Muwaha yalumbwe chinu chiswanu achi . gonga like kwake paul
@Dinosucre105 жыл бұрын
Daah nyimbo zingine zinaweza kukupa huzuni Great job bro Who is watching back to back??
@jumaramadan92455 жыл бұрын
Dah broo up gud kakita mashair yak
@sheikhasheikha61165 жыл бұрын
usiku wa manane jua kali likawaka,hali ambayo sikuizowea hivyo ilinipa mashaka,sikutaka tugombane yye ndo aliyataka,akawa ananililia eti anataka talaka,lile ua letu lote laupendo ndo likanyauka,aae Nlitaka kuachizi napo ungenigeuka nikasema tulia tulia moyo haya ya dunia yasikutishe wala yani tulia tulia moyo haya ya dunia yasikunyime amani (wengine wapo wapo wapo,mapenzi yapo×3tu 2 mmh nlikonda kwa mawazo nlikosa raha nlipata wasiwasi Ila nilijipa moyo natupa jiwe ntapata almasi.saa nyingine nilifumba hata macho nkimuona yye ilinipa tabu kusahau moyoni alikua haa ah. Chorus- nkasema tulia×2moyo haya ya dunia yasikutishe wala yani tulia ×2moyo haya yadunia yasikunyime amani wengine wapo 3mapenzi yapo3tu Nasema tulia tulia moyo haya ya dunia ya sikutishe wala yani tulia tulia moyo haya ya dunia yasikunyime amani×2wengine wapo×2mapenzi yapo yapo yapo tu
@majotv34055 жыл бұрын
Kwanini nisapate like kwa utamu wa hii nyimbo
@samiramohamed93845 жыл бұрын
Kwnai wewe ndo mtunzi
@shalommusic92015 жыл бұрын
dah!!!! brother umegux xn hxia,, ahxant Ben Paul
@daudiwazir28455 жыл бұрын
Wampunguzi aminia sana mzigo upo sawa kama unamkubali kaka beni gonga like hapo
@barakamnyema78595 жыл бұрын
Ngoma safiiiii
@mzmeeka_5 жыл бұрын
Listening from USA! I love this song! Even though I have no idea what he is singing. The vibe 🔥🔥🔥
@chameleoncorpesprit29862 жыл бұрын
I can I explain if u want to
@tunudachitalks65752 жыл бұрын
He singing about love life and how painful it was for him to let go of the hurting after the one he loved left him So he is saying that Love is there and no one should suffer because of it cos you can find love elsewhere. Love from Tanzania 😍😍😍
@godfreyeugentarimo1015 жыл бұрын
Mjii sasaiv umesisimkaaaa motoo babaaaaaaaaaa
@winifridalucas30875 жыл бұрын
Ooh kweli wengine wapo Ila Ben Paul ur the number 1 kazi nzuri bro.
@dangotedavid65005 жыл бұрын
mwamba umetisha san kwenye hii ngoma
@billjosiah9475 жыл бұрын
right here from the 254..bro that song need a collabo ASAP..fally ipupa or yalevis,either of the two..big tune bro
@paige25485 жыл бұрын
Nimetumwa hapa na "ex Wangu "
@emanuelmasambwa45575 жыл бұрын
Tujuane mapema wagogo wenzangu@chuma kali
@deebrown79085 жыл бұрын
Weka like za Kenya hapa
@yasintagideon22445 жыл бұрын
Nakukubal sana my kaka Kwan ulishushwa
@dennisnjoroge76535 жыл бұрын
Nakutambua Mr pol...kitu Safi.....wakenya wapo kwa wingi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@obbymwakasoke98425 жыл бұрын
BEN PIIZE raisi wa RNB Tanzania wengine wanajaribu tu.
@onlyonetztv6105 жыл бұрын
Dodoma stand up...put your hands up for Ben Poooooooooooool
@halimageradi83155 жыл бұрын
Raheem Hatibu woyooooo dodoma
@habibaboffu29375 жыл бұрын
From Mvumi Ikulu. Oyooooooo!!!!!!.....
@victoriandejembi61324 жыл бұрын
Wagogo oyeeeee......
@hemedynamkwanga38055 жыл бұрын
Broxer nakuelewa sana tangu naanza kukujua mpaka leo haujawah nichosha kwa nyimbo zako
@zachafilms6035 жыл бұрын
Broo unajua unachokifanya, huu ndio muziki tunaoutaka kwa karne hii na ijayo, from day 1 ww unatoa hits too
@txraphaellaphael21555 жыл бұрын
baba lababa. Safi sana uko nasifa kuwa king of rnb big up Benpaulo ..mung akutangulie kwa kila jema brother
@ferouzmasoud47415 жыл бұрын
Nakukubali ww Mgogo unajuwa sanaa Nice song
@josephsadick1985 жыл бұрын
Ferouz masoud mgogo nomaa
@lifebyvikk67515 жыл бұрын
Ben pol karudi bana hawezi dissapoint💥💥💥💥napenda huu mziki,,
@altermc49515 жыл бұрын
Haujawai niangusha kaka. Kazi nzuri sana
@mynesyfredy12365 жыл бұрын
Bonge la ngoma timu Ben nipeni like na mmi
@dolphinaadhiambo46595 жыл бұрын
Benpol mzuri jamani
@godblessjrtz.86525 жыл бұрын
Huyu ndo king of RnB east Africa tuliyenae kwa sasa, ngoma Kali hadi inaponya homa ya dengue coz nyimbo inapenya hadi kwa mfupa.
@jesselingard71865 жыл бұрын
Ukiona mesifia nyimbo ujue kali hii noma kaka..... Trust me
@laurentchimbirani59905 жыл бұрын
Ujue kuna miziki ukiisikiliza unaenjoi sana licha ya kuwa na views wachache, ttzo letu tunataka nyimbo za matusi, video queens nusu uchi n.k...... #Wapo is my fav.song ❤❤❤❤❤❤
@iamiconboy5 жыл бұрын
NYIMBO TAMU SANA AISE #WAPO GOOD JOB ONE DAY NTAFIKA ULIPO GOD HELP ME
@allanandy24245 жыл бұрын
Bongo bwana ukizubaa hausikilizi mziki mzuri kama huu....utaishia kwenye mziki wenye mbarara
@ramafakihi28215 жыл бұрын
Video kali,colour nzuri!aisee kiukwel umeweza.you deserve to b the king of rnb.
@aishasilaji57595 жыл бұрын
Wapo wengi tu mapenzi yapo tu like kama umeikubali
@sanyojunior10085 жыл бұрын
True -D production is the best.. Kenny hamfikii.. Nani amependa video hii??
@denisnyalus14195 жыл бұрын
Kenny nae ni Director miznguo tu camera na Umaarufu vinawabeba marangrang tu hi video level za nisher
@philipkomba55255 жыл бұрын
boss hiikitu kali sanaaa sizani kama watu WATAINAMA tena ss n mwendo wa KUTULIA TU !!! TULIENIIIIIIIII NYIEEEEEEE acheni KUINAMA NAMAAA
@benbest30955 жыл бұрын
Ben pol is my second artist after king kiba🙏🏻
@emanuelmakumbo64625 жыл бұрын
Wale Wa tanzania dondosha kwa Bernard paul from dom kumuoa mkenya
@richardvalson98685 жыл бұрын
On 🔥🔥🔥🔥🔥ßle🤙🤙🤙
@sanyojunior10085 жыл бұрын
Mtu akimchumbia Mkenya huyo ni Mkali... Tuko na Diamond, Alikiba na Ben Pol.. Wengine wafuate mkondo..
@klotildambegu82165 жыл бұрын
Ujawah kukosea bernad Paul appreciated blood yang
@aminaabubakal9445 жыл бұрын
Klotilda Mbegu poa
@barryjeremiah10995 жыл бұрын
Best RNB singer hatary in tz 🔥 🔥🔥🔥Utabaki kuwa juu oooh isokayyyyy isokayyyyy hatary 🔥
@frankedwin80915 жыл бұрын
pen mashaili daaaaaa unajua saaana hadi kero
@nover80355 жыл бұрын
frank edwin Angalia Best Cover ya hii nyimbo kzbin.info/www/bejne/sJecl4OimN6eldE
@stephenlokoro3485 жыл бұрын
Nani anakuja kuona comment ya annerlisa kaa mm😜😜wimbo tamu sana😘😘😘
@priscasilayo80965 жыл бұрын
Mim ata ukiimba vibaya nishakua shabiki yako jitaid usiniangushe
@anthonymaganga4015 жыл бұрын
Waliomskia ebitoke anasema hajakula kisa mlela like zanguu
@sallybalaka18375 жыл бұрын
Ngoma kali twaikubali all the way from 🇺🇸 🇰🇪
@YouTuuuuuuube5 жыл бұрын
Wengine wapo .. Ila ni kweli jamani mapenz yapo tu . . . MBAGALA Boy apa .
@mkobaofficial80375 жыл бұрын
Good, kweli tulia moyo
@officalmagoogemagooge55545 жыл бұрын
kawimbo kama haka kwer kaana faaa kukaa sebureni na mama mkwe jamani 😘😘nice
@juniortchamala68245 жыл бұрын
Chancepascal uva boy benpol nakukubali
@johnmgonja65772 жыл бұрын
Ben kweli mapenz yamekuelemea aiseeee mpaka jua likakuwakia usiku
@خسنموس5 жыл бұрын
Back ben pol wa RnB ngoma imetulia sana umeweza sana trending no 1 next inama...
@florahsekidolima89705 жыл бұрын
Wengine wapo wapo wapoo mapenz yapo yapo yapo tu🙏🙏🙏🙏🙏 Asante my big brother ben
@lizzynanyukibae5975 жыл бұрын
Executive water eh umewakilishwaa nicee
@jossyjosphin25875 жыл бұрын
Big up shemeji wetu..hatarii fayaaaa..mume wa aneerlisa
@claircherutoolinyo99775 жыл бұрын
Kenya likes ni hapa tukiendanga ama nifunge hizo kiosks zenu🤣🤣... Good job Benlisa💕
@philipmawira5 жыл бұрын
😂😂😂 Typical Kenyan! No chills... Kama MaKanjo!
@najatharoun92665 жыл бұрын
ngoma nzuri mnooooooooo
@consolatakelvin27075 жыл бұрын
Wiki hii nyimbo mpya DIAMOND BELLA MOBETO DULLY SYKES QUEEN DARLEEN MARIO WEUSI BEN POL Tutakoma mwaka huu
@ismaelowino87515 жыл бұрын
Wakenya baada ya kuskiza huu wimbo nimeamua kulipa pesa ya china peke yangu, hamna deni ni mimi ndio nitalipa, huu ngoma iko juu
@chibuwayaya5 жыл бұрын
Nimetoka XXL nimekuja huku bonge la chupaaa🇹🇿🇹🇿
@alexmakundi50065 жыл бұрын
Huwa unaimba Nondo sana, sijui kwa nini audience huwa wanakuangusha
@bongo36095 жыл бұрын
Ngoma kali bhana "mapenzi yapo yupo tu......" I like it
@samwellupimo11255 жыл бұрын
Na wew ni mmoja ya wasanii mnaoimba poa sana kaka ishi miaka 247585 bilion katika muziki. God bless you.