Talanta imekukubali Clam.....napenda utahira wako.....barikiwa sana kwenye juhudi zako👏👏👏Toka Kenya
@mwaiphamkuruto1087 Жыл бұрын
Nakukubali Clam maana wewe ni kijana mwenzangu mpambanaji big up saana from *254
@smartlady6898 Жыл бұрын
Nyie hii movie Clam umeuaaaaaa...yani hadi nywele zinasimama nikiwanaangalia🎉❤
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
#CLAM VEVO upo vizuri sana brother kazi safi sana pongezi kwako.
@JamesJulius-po2ue Жыл бұрын
Uyu jamaa mkali sana 😂😂😂😂 nimefurai sana nipeni like ata kumi jamani
@sophsoph4740 Жыл бұрын
😂km taila
@mussadeus Жыл бұрын
Samahan hv jina la wimbo huo unaitwaje
@imanuelmbasha Жыл бұрын
Clam nasubiri ep ya 2
@imanuelmbasha Жыл бұрын
Kaka nimekuelewa Kwa hii kishule shule
@shariffseif3887 Жыл бұрын
Benny shizzol kama ikitokea
@saidmwinyi7062 Жыл бұрын
Kumbe ni msanii mkali mnooooooooooooo calm 💣💣💣💥💥💥💥💣💣
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
Clam vevo never disappoint nakubali Sana 👏🏼👏🏼 wale wapenzi wakusoma comment huku tukiangalia tujuane kwa like Clam kanyoa jamaniiiii 😲
@hawrashabani2102 Жыл бұрын
😂
@princenoor1418 Жыл бұрын
😂😂
@christinerfransis-bn9ll Жыл бұрын
😂😂 para
@AbdonChristopher Жыл бұрын
Dah uyu jama anatisha nimkar
@mohamedsheealom8745 Жыл бұрын
Clam kwakweli amekuwa mkali kwa acting sio kama miezi ilopita ...keep it up bro kwakweli unatupa burudani kwa sasa since uanzishe kipindi cha big boss sahi tunafwatilia best frnd.....tukisubiri part 2 big boss
@RasuliRamadhani Жыл бұрын
Ivi kwann azam wasiwe wanatushia mvi za uyu jamaa da la sana mwamba anajuwa sana 😂😂😂
@Mr_kim_joh Жыл бұрын
Dadeki Clam ni 🔥🔥🔥🔥,,kaamua kutuletea dubwana jipya I hope 🤞 tutaenjoy 😊,,kama na wewe umeikubali hili ingizo jipya la season gonga like 👍 hapa ❤
@OmegaWilliam-qi5uj Жыл бұрын
hili DUBWANA nnaliludia bila kujali MB zangu @clamclis 🙌🙌
@RuthTembo-mv5wo Жыл бұрын
Itakuja lini?
@YoasEliasmaselegejr-jh3rf Жыл бұрын
Clam
@SamweliMwakalibela-xp5yk Жыл бұрын
👍
@KabikaShukuru8 ай бұрын
@@SamweliMwakalibela-xp5yk6:35
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Jamani baba mwakatobe na mwanawe clamu wote wanapoteza kumbukumbu 😂😂😂😂sikaz hii nayo kipara umenifuraisha iyo nyimbo yako Atari 😂😂😂😂😂😂bigap wazee mko sawa mia mia ❤❤❤❤❤❤❤❤
@FellyAbnel-wt1yb Жыл бұрын
Ni ya nani uyo song
@neemanelius2478 Жыл бұрын
Hii nyimbo kaimba nani Jaman
@ommyxhakul1946 Жыл бұрын
@@FellyAbnel-wt1ybBenny shizzol
@ommyxhakul1946 Жыл бұрын
@@neemanelius2478Benny shizzol
@neemamzande8547 Жыл бұрын
@@neemanelius2478 ipi iyo my dear
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Kazi mzuri sana #Clam vevo upo vizuri sana KAZI KAZI bless.
@Mr_kim_joh Жыл бұрын
Yote kwa yote kama na wewe unaisubili BIG BOSS season 2 gonna like hapa 👍
@dizzboss7526 Жыл бұрын
Kwa hamu kabisa
@samihasaleh163410 ай бұрын
Clam vevo anatafuta ugomvi asiouweza 😢😢😢😢❤❤❤😂😂😂
@ShaniBihoiki-lx9jl Жыл бұрын
Jamani tunaomba yakuendeleaa bona parti 2 tu 😢😢😢 mtuburudikishe man iyi ni moto walahi ❤❤❤😊
@002MWINYIHASSAN Жыл бұрын
Napenda chapati na maharage😂😂😂😂😂😂
@Sam-hela-k4x Жыл бұрын
Hellow mamb..
@MariamLiame Жыл бұрын
Nyimbo ya vevo nimeipenda kwel ❤❤❤❤
@millymuthoni7185 ай бұрын
l love it
@محمدالعطوي-ش5ه Жыл бұрын
😂😂😂😂clam wewe utatuua na kicheko aki nawapenda sana🇰🇪
@isihakaliyuma1848 Жыл бұрын
Mwanangu big up sana huo ndio muda sasa wakutumia kipaji chako nikusaidie kuinua maisha yako na usikubali kutumika kunufaisha wengine mdgo wangu mana muda wako ndio huu
@AUDREALY Жыл бұрын
Ahsante mno kiongozi vevo umenifanya nimjue kijana mmoja mpambanaji bigup bro #bennyshizzol #kamaikitokea bonge moja la ngomaumemsapoti kweri hauna hiana vevo Mungu akusimamie sana na ufike mbari na mbari mno🙏
@franciskimani-t6k14 күн бұрын
Tahira kusahau kwako kwanishangaza sana budaaaa😁😁😁😀😀😅😅😅
@ibrahimuselemani4076 Жыл бұрын
Tuko hapa mzgo tumeunasa BOSS,Likes kwako mkuu tunaenjoy kaz zako ubarikiwe…Gonga likes za upendo kwa CLAM 😊❤
@AngelinaNyenzi Жыл бұрын
Hawa wanafunzi wakubwa aisee
@Blackabeatz243-jf3dq Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/l6CunJ2wpa6Vfs0
@JumanneSalum-sp5co Жыл бұрын
Ivi iyo nyimbo ya nani
@MtambalaAlambe-jb9gr Жыл бұрын
Wimbo awaja uweka KZbin
@MohamedMohamed-u6j9x Жыл бұрын
@@JumanneSalum-sp5coilo swali ata mm nilitaka kuuliza
@kingboy8864 Жыл бұрын
Clam vevo unachuwa hadi unajuwa tena ❤ baada ya big boss nikajuwa utapotea kumbe ndio kwanza unaanza 😂❤❤❤❤❤
@Kennymutua1363 Жыл бұрын
Natokea Kenya naomba isiwe fupi tafadhali,,, iwe series ndefu,, na pia big boss isisimamie pale clam vevo,,
@athmanmohamed7189 Жыл бұрын
The creativity of clam is on another level,,, big up sana bro utafika mbali
@malambaeliah23 Жыл бұрын
Kama na wewe ni team mwakatobe nipe like zangu..... Rafiki yako ni mcheshi mchanga nfu!😂😂🇿🇲🇿🇲
@donaldswebe Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mwakatobe to the 🌎
@malambaeliah23 Жыл бұрын
@@donaldswebe we mchumba tu we zuchu🤣😂🤣
@beyondmediatz1607 Жыл бұрын
Kashahongwa ela mwakatobe hawezi msifia kibaka bure
@malambaeliah23 Жыл бұрын
@@beyondmediatz1607 inapeleka shobo
@athmanjuma3768 Жыл бұрын
Uko zambia ipi iyo
@CommanderDaa Жыл бұрын
❤❤❤ I'm so sorry to watch late I wish I could a were mwanzo. big love clam and the rest of your time big respectful ❤❤❤❤ love you 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
@nurudinijuma654 Жыл бұрын
Kazi mzuri cram nakuombea kwa Allah azidi kukuongoza tupo pamoja
@official_harmsmunga Жыл бұрын
Another banger 🔥🔥🔥 Wapi likes wanangu
@zackiakikoti9381 Жыл бұрын
Nahh ni nzur sana hongela clam mungu akupiganie japo namm nataman niigize nawe sana sana tu!!! Please clam🙏🙏🙏🙏🙏
@AshirafuMwale Жыл бұрын
Respect for you my role model ad my best comedian clamvevo umetisha sahna 🎉🎉 nataman hata another episode ungetoa mda huu
@beautyafrica254 Жыл бұрын
Big up clam vevo .am a Kenyan 🇰🇪but watching from kingdom of Bahrain🇧🇭.Tunakukubali man , guys kwenye anakubali clam hajawai kutuangusha ,agonge like apoooo👍👍👍
@AnithaMlowe2 ай бұрын
Hii kali
@JantaGeorge Жыл бұрын
Clam kweli namkubali Ila ananikela kuinamia vile mbona kama anajiarbia uigizaji😮😮
@TOMEAG Жыл бұрын
Clam vevo nakubali sana kazi brother 🇲🇿, naomba like zangu
@AbdulahiChatir3 ай бұрын
vipi
@Romino_Tz Жыл бұрын
Wangapi wanamkumbuka huyu jamaa wa Bongo dar es salaam like hapo tujuane Bigg boss anatupatia burudaniii
@Godmaletz Жыл бұрын
Sana dude on fire
@Umela1199 Жыл бұрын
We jamaa unajua😂😂🙌
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
I'm so happy to see your work again Clam VEVO!! From Burundi 🇧🇮🇧🇮 we love your works!!
@Alphertv Жыл бұрын
video kzbin.info/www/bejne/rX60h2qaYr5le7c
@bonniemureithi Жыл бұрын
Aiye nipitie n mm usubscrib🙏🙏🙏
@Witandai12 күн бұрын
❤
@annayambayamba8614 Жыл бұрын
😂😂😂😂nimecheka sana clam umeupiga mwingi kuliko baba love from sweden ❤❤❤🎉🎉😂
@stevenjunior-or5ln Жыл бұрын
Nakubali sana [Clam] kazi nzuri ♥️♥️ God bless you bro 🤜🤛 🇹🇿🇹🇿😁😁
@mutembojean9789 Жыл бұрын
Mimi wakwanza jamani Kama wamkubali clam vevo rusha like zangu kipenzi chenu kutoka Zambia
@MusaMwanda-cd3iu Жыл бұрын
On fire 🔥🔥🔥 Mr clam VEVO tunasubir mwendelezoo broo
@Sopyter Жыл бұрын
Saf sana Rakin vp Kuhusu BOSS mwendelezo wake
@Kanumbavevo Жыл бұрын
kila hatua ni moja ya safari mmeua sana keep up and kerp going bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hawashaweji3469 Жыл бұрын
Variation for me 😂💔🙌🏼
@anathjuma6813 Жыл бұрын
Nakupenda dogo Clam,big brain,mbunifu sanaaaa
@shaabansungura3205 Жыл бұрын
Upo vizur sna Una kipaji kikubwa, Sio rahisi ku Act uhalisia tofauti katika ubora Ule Ule👏🙌
@diefanthony-mx7ul Жыл бұрын
ila cram vevo unajuwa mpak unajuwa tena 😃😃😃 kazi ako kali mee naangalia usiku wa manane saivi sina baya saut kubwa majirani wajibebe 😃😃😃😃🙌🙌🙌
@Kamoste Жыл бұрын
Number one Mombasa kenya🇰🇪pitieni hapa❤clam nakupenda bure na mzee mwakatobe❤ na kipara ❤😂😂😂
@ramadhanvoya17 Жыл бұрын
001 Inahit
@ElenaJackison Жыл бұрын
Mambo mpenzi
@sircaptainbonny Жыл бұрын
Yaani clam alinyoa kwa ajili ya huu mchongo au ni editing😂😂. This man is a beast
Daaaah hongera sana asee🙌🙌🙌hiyo ngoma aliyeimba tafadhali tumjue ni🔥
@EagleEzra Жыл бұрын
Namba one kutoka Kenya🇰🇪 kutizama MY BEST FRIEND episode 1,,kama unampenda #CLAMVEVO Kwa kipaji chake nipee like tafadhali
@MonicaRaphael-p4w Жыл бұрын
Vevo vevo😂😂😂😂😂😂
@JackclyneAchola-vd9ol Жыл бұрын
Thevango osiemo...
@EagleEzra Жыл бұрын
@@JackclyneAchola-vd9ol mbuya
@selemasai3680 Жыл бұрын
Nakubali baba sukuma mavitu iyi ni Moto
@iddi_mafon2233 Жыл бұрын
clam katika wachekeshaj bongo yeye yupo on top
@polepoletv350 Жыл бұрын
I'm ur fan from Kigali Rwanda 🇷🇼 nawapenda sana watanzaniya ....turabakunda ❤❤❤❤❤❤❤
@joenjeta7013 Жыл бұрын
i kali sana tungali twasubiri big boss kwa hamu fanya upesi
@chaziboyboy9608 Жыл бұрын
Najifuza mengi Sana kwako Kaka nyimbo zangu ninazo imba mashahili natoa kwako Kaka wewe ninoma Sana mungu akulinde sikuzote 👏👏👏👏❤️
@farajalongo4528 Жыл бұрын
Haka kawimbo unaweza tamani kaendelee. Aaaaaah!!!! This is my Best 💽
@Farthun Жыл бұрын
Iko poa sana yaani
@christinerfransis-bn9ll Жыл бұрын
Sjui ya nan hii nyimbo
@laurenceboniphace3145 Жыл бұрын
Vevo umetisha kila Siku unagood idea your Tallented 💯💯. This prove how artists is. THE BEST FRIEND Reveals life experience ✍️✍️✍️✍️ Umenikumbusha mbali kipindi nipo field nafundisha mwanafunzi anachora Catoons😂😂😂😂😂 Tusikate tamaa ualimu Ni wito.
@philipmutua66436 ай бұрын
Clam you got the best ACTORS: DIRECTOR KAKOSO❤, MWAKATOBE❤, BI MIGOMBA❤, SANURA❤, KIPARA❤, ZUMBA❤, KIM❤, SARA❤, MWASI❤, BHAILAM❤, MWASI❤, MTUKUFU❤, SENGO❤, na wengineo siwakumbuki kwa majina❤! HONGERA kwenu nyote❤
@sarahrashidabdallah3109 Жыл бұрын
Jamani huu wimbo Nani kaiambia umenitoa machoz😢Mzuri sn❤❤❤
@leonardpaulo5475 Жыл бұрын
Jaman mm mwenyew nimeupenda sana huo mziki ila cjui ni msanii gani
@gescaharindanga334 Жыл бұрын
Namimi kabisa huwo wimbo umenitoa machozi😢
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Nitumie
@hamisikambona8763 Жыл бұрын
Daah! Movie kama hizi zinanikumbusha mbali aisee... Safi sana CLAM
@djpatofficial5368 Жыл бұрын
Clam BEST FRIEND imekaa powa ebu iendeleze ep 2 bas tupate uondo ngoma kali
@jonesdegrandson9261 Жыл бұрын
This buddy knows what he is doing maaaaan....He is a genius in what he does❤
@everlynemoraa6214 Жыл бұрын
He can fit in any character, this man is very creative.
Tuko hapa mzigo tumeuona BOSS mkuu mara nyingi au mda mwingi haukosei kazi safi👏👏
@johnrogeo2161 Жыл бұрын
kazi safi, tunangoja part ingine👍👍
@guillaumebirindwa Жыл бұрын
Huu ndoo Clam tunaye mtaka, anaye penda chapati na mahalagi😅😅😅 🇨🇩
@AbdulahiChatir3 ай бұрын
❤❤❤❤vipi
@SamsonDavid-b4u Жыл бұрын
hakik huyu jamaa anajua clam ww ni 🔥🔥
@angelrichard899 Жыл бұрын
Clam mm napenda xana kazi zako unatoa kazi nzuri xana.....
@HermaniDaudi-yp8pf Жыл бұрын
Nyota unayo ya kuigiza mtanguliza mungu utafka mbali kinomaaaaa💯
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Mpaka hapo alipo ni Mungu wengi wamesota sana kwanini yeye kujituma kwako bila kukata tamaa milango ya Mungu iko wazi Mungu kwanza kijana tumpe maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZephaniaMelckiades Жыл бұрын
Ila clam noma sanaaaa
@jindwasam Жыл бұрын
clam never disappoints 🔥🔥.. much ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪
@ChristianFoundationFellowshipH Жыл бұрын
wagwan menn yaani hizi movie zinakwenda viral ...nikianza kuwatch ilikuwa 1,600 after imeisha ishakuwa 8,058views waaaa.... am glad vevo
@saidbaraka8996 Жыл бұрын
Jaman kaka clam hupoi wala huboi bandka bandka love❤❤
@binti3132 Жыл бұрын
Icho kizungu cha mwalimu Jamani 😂😂😂😂
@wilfriedselemani3898 Жыл бұрын
Hii ni next level, and it's so higher! Napenda sana kazi zako CLAM VEVO, so much love ❤️ ❤❤❤ from🇨🇩
@AliyAbdullaFakih-ok4kd Жыл бұрын
x video
@deborahthobias2126 Жыл бұрын
Ila nimecheka kifala😂😂😂😂 hii script aliyeitengeneza apewe maua yake big up clam vevo
@RoseSamson-k9w Жыл бұрын
Nmejua kucheka kipara anarapu honeeeeey aiseee movie nmeipenda buree na clam huo uchiz wako jamn😂😂 mie hoii
@Alicemugi-m7x Жыл бұрын
luv you sana clam vevo ❤ gud work👏 from +254 🇰🇪 you're very funny ukijifanya tahira 🤣
@mokayafelix7680 Жыл бұрын
Clam vevo,you are too much bro🔥🔥🔥I love you bro, Kee it going,I appreciate you
@NtshilaGustave Жыл бұрын
Nampenda clam saaana na zaidi.naenda nyumbani😂😂😂😂😂😂
@Da_Silver Жыл бұрын
Big up clam vevo i can't wait see you presenting BongoWood internationally #SWAHILI NATION ❤❤❤
@HhVvh-ny9hz Жыл бұрын
Yani nimeangalia more than 10tmz❤❤❤❤❤ i like it 👌 clam big up broo from Kenya 🇰🇪
@mchopanga7985 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂blaza clam unajua sana ujawahi niangusha
@Dastoner_27 Жыл бұрын
Wa kwanza leo nipeni like zenuu❤😊from kenya
@silamelody1034 Жыл бұрын
My best friend number one😂😂
@RosemaryCharles-qf8dr Жыл бұрын
Waoooo nzuri sana jamanii hadi rahaaa❤❤😊😊
@Marimu-if2zk Жыл бұрын
Congratulations Clam VEVO mzigo nimeuona tamu sana nimependa hapo ulipo imba umeweza kka mauwa🎉🎉 nakupatia nafatilia mzigo huu kutoka 🇰🇪🇰🇪
@idrisaramadhani6828 Жыл бұрын
Hiindo best performance naitaji like kamazote🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@katiemedality9666 Жыл бұрын
....guy is on high🎉🎉big up kwa Clam❤ Waiting for big boss Season 2😊
@soulknight3004 Жыл бұрын
What?
@wezzieforty7766 Жыл бұрын
Umefanya vizur clam ,uku tinaisubir Bigg boss season 2 ticheke na hii
@JackclyneAchola-vd9ol Жыл бұрын
Kabisa unatucheleweshea big boss season two mbona sasa
@efraziamedard7915 Жыл бұрын
My best friend (*^o^)人(^o^*) itakuwa fire 🔥🔥kama big boss nainaonekana otaishinsa kabisa❤❤🎉🎉😊gonga like kwaajoli ya clam🥰
@Jean-FernandAminifu-bh9dl Жыл бұрын
Vevo, ongera, 100 %%%%
@Shadrackkadigi-gz7ku Жыл бұрын
Hii ngoma ya moto sana kuliko hata big Boss sema clam unajua man