Mzur huyu bint nampenda sana 🥰 Bora umuhiji nimfaham vzr kisura wetu
@Zaharaamini-vh5vw11 ай бұрын
Hellow,naitwa SAKHIM ALLY Toka mtwara tandahimba binafsi nampenda sana SASHA koz ni mdada ambae ni underground but performance yake ni kubwa sana namuombea kwa ALLAH Abariki kazi za mikono yake inshallah,,,love you Sasha.
@fahadabdulaziz907111 ай бұрын
Sanura upo vizuri na nakuombea mafanikio ila zingatia kazi tu na mungu mweke mbele all the best ❤
@RAMSABOYTZ11 ай бұрын
sanura upo good nataka unipe support na mm
@Meshackmashimba-kt7lx10 ай бұрын
Sitaki musemee sasha
@kura.the.boy-11 ай бұрын
Kwenye kuhoji uko vizuri san kwakweli Kam move vile daah hongera ssn
@jordanjonas800911 ай бұрын
Apo umeua sana jaman nilikuwa natamani ufanye nae maojiano na uyu dada atimae umetuletea hasante sana 🙏🔥🔥🔥
@user-lx9rj2yc1y10 ай бұрын
Da jamani uyo dada nimempenda gafla naomba namba zake awe best friend wangu sashaaaaaa
@user-fb8jr8rn4l10 ай бұрын
Uyu dada ni mkali
@jwisetv483311 ай бұрын
clamo nakuombea barikiwa sana kwa kuwashika mkono hawa mabinti
@ZackyFlavour-po3os11 ай бұрын
Napenda akiwa anacheka uyu mrembo❤❤❤
@user-ju5jb2iu6y11 ай бұрын
Amenifurahisha Sana kuwa anahitaji mwanaume mwenye hofu ya Mungu
MashaAllah ukhty sanura upo vizur Allah kufunqulie milanqo yaheri jitahid kutunza utu wako vishawish ni vinqi sanaa nahasahuko uliko
@zaykham15511 ай бұрын
Sasha unajua san🥰😍 wapemba wazur kwel kbs 😍
@Officiallbrenda11 ай бұрын
Huyu mtangazi Anashobo sana Nenda Straight Mtu kasema ataki umuite nyau Muhoji maswali uliokusudia Kumuhoji unatulia time watu 😊
@amanimanase879811 ай бұрын
Nyoo umelazimishwa kuitazama si usepe tu kama unaboeka ? Are you fucking
@hamiyar11 ай бұрын
Hofu ya Mungu hapo imenigusa sana kwa kweli
@NchamoNchamoco-ct5om10 ай бұрын
Clam naomba uendelee na moio uo penda sana kusapoti watu mungu akubariki, kazi njema.
@LovelyOpenStadium-xx2pc7 ай бұрын
❤
@harerimanaabuburundi778911 ай бұрын
Sasha is beautiful
@KevinKiplimo-gp8kc2 ай бұрын
Am from Kenya🇰🇪🇰🇪 surely I love Sasha waaaaaaaa she is a very nice comedian wauuuuuu
@emmybernad924711 ай бұрын
Nimempenda Sashaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@Menberakeybessovell-bx3dc11 ай бұрын
Huyo dada ni mrembo sana nampenda ukimuona tena mfikishie habari usiwe mnafki ama kweli wazanzibar watamu bigup sana sanura unafanya kazi nzuri mungu azidi kukupa nguvu ukamilishe ndoto zako .
@MdNasr-jm8pj10 ай бұрын
Uliwaonja😂😂😂
@user-pb6zc4oj9m11 ай бұрын
mrembo wa clam nampenda sana
@user-wk5ds1zp7b6 ай бұрын
Nakupenda sana jamani nilikuwa naomba ulewimbo wa mu bestie friend maisha magumu bila yapesa nazaririka nimeipenda saana naomba musani ambaye aliimbaga pls naomba
@user-lx9rj2yc1y10 ай бұрын
Nafurahi sana kukuona cute kama ww unahofu yamungu
@GeorgeMkwera-sl8ee11 ай бұрын
muv Kali sana jamni bongo tuu vipaji ila kuvikuza ndo tunashindwa jamani ata mi sjuyi tuna kosa nini sapot au nini
Clam unaganda sana katka kutoa movie yaana unachelewa zaid
@kelvinlogan83910 ай бұрын
Amehakiwa
@HamisiMohamedy-gt2mm4 ай бұрын
Sasha nampenda sana alafu namfananisha na dada mmoja anaitwa chuchu hansi kweli si kweli jamani
@HermaniDaudi-yp8pf11 ай бұрын
Unajitaidi kuoji vzr 🙏
@NajmaKhalifa-do9ozАй бұрын
Hongera sana Sasha kwa kazi nzuri mie naitwa najma napenda kazi zako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-je9nd2eo9d11 ай бұрын
Umetisha sana kutuletea hiyo interview na huyo mrembo
@user-bp3gi5jp3z7 ай бұрын
Aah huyu shasha alivyokuwa analia mi mwenyewe nilitamani kulia congratuation unajua sana kuigiza ❤❤
@manwalimshali298611 ай бұрын
😂Nakubar warembo mnajua mpaka mnakeraa salute
@abdulnuliat-ny7nf11 ай бұрын
Asante saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana My sister kwa kazi ambazo unazozifanya
@Raya-em8wz11 ай бұрын
Paka haitwi sanura anaitwa sannura
@sammymuthyoi65358 ай бұрын
Wao..Sasha waongea poa.af acting ya best friend ilikua the best ever
@aysherkhamis333811 ай бұрын
yah, hata mie nilimtafuta tatizo lilikuwa mi nipo zanzibar kazi n dar, ila hope tungekuwa wote huko❤❤❤❤ Love you guys
@enockkatana40156 ай бұрын
kazi nzuri sanura unafanya vizuri Kwa kweli congrats
@elijahmutemi_k10 ай бұрын
Msalimie uyo mrebo sana 💗💗💗💗 nita kam na uko nikimsalimia 😀😀😀😀👈
@NajmaKhalifa-do9ozАй бұрын
Umejaaliwa uzuri Sasha hongera❤❤
@allymwashambwa592011 ай бұрын
Naipenda sauti ya huyu mtangazaji
@abdulraufmohammedsalum680611 ай бұрын
Utamuitaje nyau bhan ww
@bwambalejames43879 ай бұрын
go forward nice movies
@Harrison71310 ай бұрын
Sasha mtot mzuri I say kazi yake fully🎉
@Mwanahamisi-lg2cs8 ай бұрын
Mashaallah hongera sn Sasha mung aendelee kukupa nguvu❤❤❤❤❤❤❤❤
@jindwasam11 ай бұрын
sanura Mungu kakubariki sana.. umeumbika
@user-fl6hq9tf3v10 ай бұрын
Ingeliwezekana munge pasha kuwa kwenye mausiliano ❤ kwamana munaendana vizuri kabisa
@user-vv5ks8rj9s11 ай бұрын
Jaman mama, nimekumiss unafanya vizuri nao mungu akujalie
@hatibuallywaziri11 ай бұрын
Iko good sana kazi iendelee tu
@fahimomar785011 ай бұрын
Sanura uko vizuri zingatia zaidi heshima yako nakuombea uwe juu zaidi
@salmasalim352511 ай бұрын
Mmmhhh Allah akuongoze binti
@CarolyneMasibo29 күн бұрын
Sasha is presentable good work.
@labunaabouna612211 ай бұрын
Leteni part 2 mbona mnaganda safi ile kitu kimataifa
@fidesvenancemshanga549211 ай бұрын
Bora uwaambie jaman wanachelewesha sana
@user-sm5lj9zi5c10 ай бұрын
Mashallah sanura allah akupe heli na baraka uko uriko
@elishachristopher126110 ай бұрын
Ndugu mtangazaji una weusi mzurii ❤
@hamzafishten956011 ай бұрын
Laila nakupenda kutoka burundi kama uwe mkewangu ntarajiwa
@DanielLaizer-ec7cd4 ай бұрын
Nimekuwa wapili but naomba like ❤
@user-nr8sz5fg6f11 ай бұрын
Or the best sanura
@Kingyanick510 ай бұрын
Congratulations 👏 best job
@user-mr3tv2hr1p11 ай бұрын
Jaman mi Kram vevo nampenda sana
@user-ru4pc4hy4c7 ай бұрын
Usimfanye mtu mpaka akachukia wwe unaona nikawaida ila sio vizur kumwita nyau mtoto wakike
@user-pd3zd8oe5d9 ай бұрын
Yaani hii my best friend balaa dasha nampenda jaman
@viktoriabohimanda727111 ай бұрын
Unanyota Sasha wetu kazi yapili afu uibukafasta sana
@user-jg2qb8zh6r11 ай бұрын
Daaaah inabidi umshukuru mungu hata mm ninakipaji saana ningepata nafaas Kam hio ningeshukuru San jaman clam tafufa wengine naitwa pili nipo gongo la mboto jaman
@EzraOsiemo11 ай бұрын
Nakupenda sana mtangazaji
@kassimhaji754111 ай бұрын
Habari za sikunyngi
@AkilisSaid-iz2ge11 ай бұрын
Duh jicho lake huyo ataniua❤❤❤❤❤
@Domirayz10 ай бұрын
Keep it up siz all the best
@user-ho7gr4gq2o11 ай бұрын
Ira shasha anajicho hatari sana inafaa clam Vevo awe shemeji yetu??
@rosemuhazi954210 ай бұрын
Ni karembo
@HamisiTablei11 ай бұрын
Mmmmh so beautiful girl god bless my dear❤❤
@user-sc8gu2ke7i11 ай бұрын
❤❤ nakupenda sachaaa
@ByamunguOredijacques11 ай бұрын
Wow nime kukubali ki kazi binti
@Oman-nu2kc11 ай бұрын
Nikweli ilo jina nipaka Yani akija uwarabuni wakiskia anaitwa sanura atakosa Raha maana watacheka kila baada watapomuita😂
@KayagoAziza11 ай бұрын
Ata wao wanaita ilo jina mi apa nilipo kuna bi sanura😂😂 tena ni mshashi
@AshaShaffih-ou8wq11 ай бұрын
Nawe usijidai maana ao waarabu nao pia wanaitan majina yenye maana ya kufrahisha
@missionboy60511 ай бұрын
Respect saxha ,kipaji unacho
@user-ho7gr4gq2o11 ай бұрын
Daah ira huyu mtangazaji yupo moto sn
@saumodzumbo967111 ай бұрын
Mashaallaah sasha ❤❤❤
@MarselKombiАй бұрын
Sasha nimu rembo sana
@dollar10511 ай бұрын
Napnda ukianza naitwa Lynn na ii ni mbengo tv😅
@user-bu3sd4zi6v7 ай бұрын
Congratulations my.sister❤❤❤❤❤
@SimonKibabila-jj4ck10 ай бұрын
very nice sister kazi inakweda sawa
@user-le7ch5yj2r7 ай бұрын
Jamanii me nna Hof ya mungu nyau unaonaje nikawa mume kwako
@johngerald467711 ай бұрын
Dada jiamin ilo jino lisikutese xn we ni mrembo 2
@ShikzB2 ай бұрын
Naomba mnipe Jina la Huo wimbo upo hapo Kwa best friend movie please
@saidkhalfan89642 ай бұрын
toa namba❤❤❤
@HoseaSasuma-bz2wd10 ай бұрын
Clamo vevo beba mtoto memeendan sana on 🔥
@chadracknshimirimana476111 ай бұрын
My friend mara my best friend aaah yani iyoo myyyy imenikera dada mtangazaji 😢😂
@heda_110 ай бұрын
Huyu ni mrembo wueh 😘
@francothecatalyst822711 ай бұрын
Harusi kubwa❤😂
@user-ic8mc3bd8l7 ай бұрын
Hongera saana sanura ❤❤❤❤❤❤
@mshindisanga653011 ай бұрын
Hiyo nyau haijakaa poa bhna. Sasha itampa uthamani Ndugu mtangazaji tuelewe kwa hili