Join this channel to get access to perks: / @theivanotv9969
Пікірлер: 11
@fifipinky13Ай бұрын
Haki pole sana Betty.
@marsellamauwaamurwa7362Ай бұрын
Mungu linda wanao waliko uarabuni 😢😢
@jamillahmussa3775Ай бұрын
Bet angejua jina ya huyo mthiopia , angesikika ju kuna wathiopia wanasikia kiswahili,
@halimabindshaban3105Ай бұрын
Simuachie huyo dem nafasi ajielezee,,hadi mwauliza maswali vitu ashaongea tayari
@benardoenga2876Ай бұрын
Soma kitu before u sign plz
@latifahkarim9774Ай бұрын
Me ndio maana siwapend waarabu wanakugeuka mara moja
@benardoenga2876Ай бұрын
Mrembo don't touch mtu ambaye amekufa kwa warabu utaenda prison watasema wewe ndio umeua
@marsellamauwaamurwa7362Ай бұрын
Huwezi kataa coz pia ww uko kwa hatari unaona hakulipwa alafu akachapwa siyo rahisi dear
@user-mf5ze5oi9kАй бұрын
@@marsellamauwaamurwa7362 sasa angefanya?hata Kama ni ww umeambiwa choose death or life.
@user-mf5ze5oi9kАй бұрын
But ivano ww uko tiktok why don't you address this issue on the tiktok, majina ya uyo philipinr kama pia uyu dem ako na picha yake,,,am very much sure itaenda viral na Philippine family watapatikana..