Kazi nzuri sana..... Msanii wa kwanza wa kisukuma kwa ubora wa nyimbo za kisukuma ukifatiwa na Kisima na bahati ugalama ......... Na guide gude .......... Chapa kazi ila usiweke matusi msanii mkongwe wa 2007 Hadi Leo....... Naomba uimbe nyimbo ya mavazi mafupi hayafai kwa watoto wadogo na kina mama wanaona ni fashion
@AmosiSayi2 күн бұрын
❤❤ bba wa asily pamoja san
@HamisiMasesa-sb9vi2 күн бұрын
Tupe vitu Kaka ujawah kutuagush🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@YonabangilidanielКүн бұрын
hakika budagala umetumwa na mungu imenipata vema nikiwa comoro brother ngoma imetulia kinoma namtaka budagala wa aina hii sasa na usukani usiachie watoto jamii itapotezwa kaka maana sifa si sifa madawa na kutangaza waganga wao nawakati wewe mkongwe wao hatujawahi sikia hata mganga wako ukimtaja pamoja sana mw.malonja
@SuluhuFaki5 сағат бұрын
Kipaji 100%. Ujumbe 100% matusi 0% Elimu 100%. Ubunifu na maarifa 100% majivuno 0% kuinua kipaji wasanii mfn kisima 100%. Tabia nzuri 100% juhudi katika kazi 100% uchoyo 0%. Bhudagala❤❤❤
@Kahogoasili20242 күн бұрын
Kazi zuri sana
@MagangaMalale-p2d2 күн бұрын
Mtaani utaitwa shemeji We ni legend kwel kwel🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@williamjames5267Күн бұрын
Kanzi nzuri kweli barikiwa uzidi kushikilia hiyi gemu maana paspo wewe vijana wata haribu mziki