Hii nyimbo nitakuwa naisikiliza muda wote mwaka huu,Bado nazitafuta nyimbo; Bhanawelelo na Ule wimbo unaimba na akina mpelwa nabho bhanilolile 🎉🎉
@ManenoTinga-r4x2 күн бұрын
kazi nzur sana kaka karibu kahama
@maduhumanyangu15443 күн бұрын
Huu Mwaka umeanza vizuri kwa Kaka Bhudagala, Hakika ww ni Mkuubwaaa..Gutuu gudakililagaa Ntwee😂 By Prd Selee Tz from Biharamulo Damu ya Bariadi Kamoo!
@teacherkaligodottonjige3 күн бұрын
Naomba uimbe nyimbo ya madhara ya utandawazi kwa vijana wa leo.......inapelekea umalaya na kujihusisha na ndoa za jinsia moja,,,,,,pamoja na kina mama wanaojiuza mtandaoni
@YohanaJoseph-u1w4 күн бұрын
Ila bhebhe ole ling'wana ngalhoo membo gako genaya ong'waka gwanouyou yeeeee eheee masoumba masoga gawiza galenilange bhole🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@YohanaJoseph-u1w4 күн бұрын
Hayo yapo kwenye jamii kk cijui unatoaga wap meseji hiz au ukubwa dawa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤eeeeee
@NkwabiTungu-j9v4 күн бұрын
Mwaaa🎉❤❤❤❤
@malifedhamachimu48824 күн бұрын
Huyu jamaa wa sounds kazingua hiyo sauti haitokii vizurii bana,,,lakn kubwa zaidi content ni nzuri sana hujawahi kukkosea kwenye kuimba nyimbo kali za kufundisha mfalme wa hizi kazi
@teacherkaligodottonjige4 күн бұрын
Nyimbo hii inaendana na Riwaya Moja ya Nigeria ya mwanamke Buchi Emecheta inaitwa JOYS OF MOTHERHOOD .... Mhusika mkuu Nnu Ego alijutia kuona watoto wake hawana msaada kwake wameenda marekani na ulaya kikazi bila kurudi nyumbani...... Wanarudi miaka mingi baadae na kukuta mama Yao ameshafariki muda mrefu....
@IsackLimbu4 күн бұрын
Jembe halimtupi mkulima
@JamesDwese-c1y4 күн бұрын
Mwenye hakili atazia na wimo walizumolidinangota mbaka sahivi nulubalemile baguzunyaduhu