BI HARUSI ANAJIAMINI HUYU MASHAALLAH!! UKUMBI MZIMA WASISIMKA ALIVYOMFICHUA SHEMEJI KIMAHABA

  Рет қаралды 137,681

MC KATO KISHA

MC KATO KISHA

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@ZainabuKifua
@ZainabuKifua Жыл бұрын
Mwanamke ana furaha sana amempata mwanaume wa ndoto zake ... Huyu ni single mom na amepata mume anayejali watoto wake... She deserve to be proud
@EstaRichard-yf5mq
@EstaRichard-yf5mq 8 ай бұрын
😂 😂 😂 😂 jmn et single mama
@ElizabethAbedinego
@ElizabethAbedinego 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@latiphalsalum9390
@latiphalsalum9390 4 ай бұрын
😂😂😂
@angelinnamkingi2219
@angelinnamkingi2219 3 ай бұрын
Na ngo mbona hawaonyeshi mpaka chini😂😂😂,yupo uchiiiii
@AndrewMarino-d5z
@AndrewMarino-d5z 7 күн бұрын
Hongela mway mungu awabariki na awazidishie fulaha mala saba sabini
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Mm ninependa wacha afurahi buanaa❤ so beautifully amazing ❤❤❤
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz Жыл бұрын
Dada kapenda zaidi vizuri
@winniegona1765
@winniegona1765 9 ай бұрын
Wow biharusi Yuko Soo happy
@NicholausMziray
@NicholausMziray 7 ай бұрын
Ukweni mpaka wataogopa maana sikwa bwebwe hizo😂
@euniceugwumba6523
@euniceugwumba6523 11 ай бұрын
She's so beautiful 😍😍❤️❤️❤️
@Phyllismay-t3x
@Phyllismay-t3x Жыл бұрын
Zamani Bibi harusi walikua wanaangalia chini tu, wanalia 😂😂😂😂 siku hizi wajasiri kuliko wanaume wao😮
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
😂😂😂😂siku hizi wamekulana kwanza haya zimewatoka
@ESTHERENDLES-db1zw
@ESTHERENDLES-db1zw Жыл бұрын
😂😂😂😂
@consojacob8636
@consojacob8636 Жыл бұрын
Tayari anawatoto wawili wanaenda shule aibu anaenda aitoe wapi?
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 Жыл бұрын
Wanawake wa siku hizi wanavuta bangi
@DubaiRolla-rx9nz
@DubaiRolla-rx9nz Жыл бұрын
😂😂😂😂​@@donaldmgunda4970
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d 21 күн бұрын
Mwanamk kachangamk daah hiv awaonag aibu mim siwez hat kwa hela daah na hiy nguo hat aijakaa poa 😮
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 10 ай бұрын
Zamani alikuwa wanavaa vizuri lakini sikuhizi kila mtu ajione na akipenda ajionje pia
@consolatamasunga903
@consolatamasunga903 18 күн бұрын
Bi Harusi umetisha
@EdwardNnko
@EdwardNnko 9 ай бұрын
Katk arus zilzonisismua hi kwakwel no 1
@farajalucas8357
@farajalucas8357 Жыл бұрын
Nmeangalia mara mbili ❤❤
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 11 ай бұрын
kusema ukweli usemwe bibi arusi na baba arusi mnaendana sana pia mpo happy adi rahaa naomba mungu awalinde mzidi kupendana zaidi ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@africandarling6925
@africandarling6925 Жыл бұрын
Pambe kwli kwli hadi Raha❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💃💃💃💃💃💃👌👌👌👌👌👌👌
@justicekombo6795
@justicekombo6795 8 ай бұрын
Hongera mc Kate na dj for super work. Mc mtendahaki kenya-county 002.
@GetrudaFaustine
@GetrudaFaustine 2 ай бұрын
hongera mkulwa mwen,zangu❤🎉❤
@SelemanMvuomi
@SelemanMvuomi 10 ай бұрын
Nimependa huyu harusi❤❤❤❤
@JaneJohn-l7v
@JaneJohn-l7v 4 ай бұрын
Nmependa san my dear kweli umeolewaaa❤
@frankraphael7546
@frankraphael7546 8 ай бұрын
Yani nimeangalia send off zote iyo imenitoa machozi yafuraa kwakweli nimeipenda iy kapo mungu awatunze kwenye ndoa yenu
@CHRISTINAMAGASI
@CHRISTINAMAGASI 8 ай бұрын
Yn mm Nimerudia mara kumi
@MaliamuJumanne
@MaliamuJumanne Ай бұрын
Uyo biharus noma mwanaume anaboa ata achez
@mwangimaggie5569
@mwangimaggie5569 2 ай бұрын
Wazazi tuombee watoto wetu jamani
@hamadabdullah9702
@hamadabdullah9702 2 ай бұрын
Bb harus hamn kitu ap ND hao wanawk wa kweny baaa hao
@KadabraGadna-xu5ez
@KadabraGadna-xu5ez Жыл бұрын
Bi harusi kashadqnga paka kazoe mambo bi harusi Hana bikea bi harusi anakua mnyonge maisha mapya ila huyu anafurahia mjegeje
@bintiedward93
@bintiedward93 Ай бұрын
😂😂
@SilvianNinah
@SilvianNinah Жыл бұрын
Naomben nione sikuya ndoa jmn
@mwinyihamadi
@mwinyihamadi Жыл бұрын
Mh uy mwanaume ni mm kabsa
@SilvianNinah
@SilvianNinah Жыл бұрын
Naomben nione sikuya ndoa
@ELIZABETHWACHIAMUDIOELIZABETHW
@ELIZABETHWACHIAMUDIOELIZABETHW 9 ай бұрын
Bi harusi yuko vibe aki😍😍😍😍
@NicholausMziray
@NicholausMziray 7 ай бұрын
Bibi harus bwebwe nyingi
@asiakabingo7052
@asiakabingo7052 3 ай бұрын
Bibi harusi nimempenda bure❤
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 Жыл бұрын
Bwana harusi ana hayaa
@kissajames4429
@kissajames4429 7 ай бұрын
Nmependa 😂
@GetrudaFaustine
@GetrudaFaustine 2 ай бұрын
ns kichuri togwa utapewa
@zubedamae-ro1jx
@zubedamae-ro1jx Жыл бұрын
Uyo DJ nimambo mbayaa kwa hio mix ❤❤
@SebastianDaniel-es4rf
@SebastianDaniel-es4rf Жыл бұрын
subir uoe na ww utafut dj wako mbafu😂
@happinessmillinga387
@happinessmillinga387 10 ай бұрын
bi harusi kamshika kichwa shemeji au sijaelewa au ndo mambo ya kizungu mie mshamba
@teddyshauri4309
@teddyshauri4309 11 ай бұрын
Video siichoki hii.. Nikiwa na bad mood nakuja kuiangalia tu
@AnisiaSwai-fp2ur
@AnisiaSwai-fp2ur 6 ай бұрын
Wow❤
@halimaphiniasibwire9688
@halimaphiniasibwire9688 4 ай бұрын
Furaha imezidi
@MariaMniko-d2g
@MariaMniko-d2g Жыл бұрын
Kapendeza
@mwatummselem2411
@mwatummselem2411 2 ай бұрын
Mambo yamebadilika zama sileo
@GetrudaFaustine
@GetrudaFaustine 2 ай бұрын
mkwe karibusana😅😅😅😅
@GraceDavid-nq4zc
@GraceDavid-nq4zc 11 ай бұрын
wapo happy mpaka raha
@ZuuhRaniya-v7v
@ZuuhRaniya-v7v 8 ай бұрын
Bi harusi pambe ❤
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 9 ай бұрын
Bihalusi 🎉🎉🎉🎉🎉 mafua yako umenifulahisha
@HamidaAbdallah-nm4fz
@HamidaAbdallah-nm4fz 8 ай бұрын
Masha allah
@nifatyhamis2398
@nifatyhamis2398 Жыл бұрын
Hadi rahaaaaa
@LeahLince
@LeahLince 11 ай бұрын
awesome binti🥰🥰🥰🥰
@MwantumRashidi
@MwantumRashidi Жыл бұрын
Najiona mie ❤❤❤❤pacha wang uyu aibu tupa kuleee
@RabeccaAdam
@RabeccaAdam 2 ай бұрын
Wazazi wako hp au yuko na malafiki ti
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Sema shemera mfupi 😂😂😂😂
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 Жыл бұрын
Duh huyu bi harus kazi kweli ana over mzuka ni aibu kwakweli pia sjapenda alivyovaa kavaa kama yeye ndo mualikwaji sio mhusika dah
@farajavingiael1584
@farajavingiael1584 9 ай бұрын
Upuuzi mtupu ...,
@dorakelvin2319
@dorakelvin2319 Жыл бұрын
Oyoooo michepuko mmeona
@SuperCharles5
@SuperCharles5 7 ай бұрын
unyama sana
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 11 ай бұрын
Huyu kwa vyovyote kamtoa kwenye ushindani na wenzie huyu!
@Revinarenatus
@Revinarenatus 8 ай бұрын
Sijaelewa uyo uliyemshika kichwani ni shemeji au??
@francismomo7067
@francismomo7067 11 ай бұрын
Ndo maana halis ya neno maendleo
@joycebenjamin1926
@joycebenjamin1926 10 ай бұрын
sasa c unakuta 2meshaizoea
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ very nice
@PaulinaMlelwa-pv9fw
@PaulinaMlelwa-pv9fw 3 ай бұрын
👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰🥰
@SilvianNinah
@SilvianNinah Жыл бұрын
❤❤❤ so much
@ModestaPeter
@ModestaPeter Жыл бұрын
😅Hadi raha
@augustamunyuku
@augustamunyuku Жыл бұрын
Amevaa kama wazazi hawapo sijapenda binfsi
@RukiaKaboma
@RukiaKaboma Жыл бұрын
❤❤❤❤ had raha
@danielshauri6390
@danielshauri6390 11 ай бұрын
Bi harusi ni jike sugu
@aminacharo412
@aminacharo412 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@ruthchaz4536
@ruthchaz4536 Жыл бұрын
Huyu alishatoka home anajitegemea
@graceanziya9048
@graceanziya9048 Жыл бұрын
Ulijuwaje
@consojacob8636
@consojacob8636 Жыл бұрын
Kwani hujaona anawatoto wawili tayari ndio maana sio mgeni na anavyoenda kukutana navyo.
@happyhaule671
@happyhaule671 8 ай бұрын
Kama amejitegemea kafanyaje
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mh harusi Mungu,nyimbo za shetani mavazi utata mtupu hii ni mfano wa harusi ya kana kweli??
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 Жыл бұрын
Yaani kavaa kipumbavu hamna heshma mbaya Zaid amecharuka sana
@syliviakente9460
@syliviakente9460 Жыл бұрын
Hapana ni.vitambaa viko Madukani unatafuta kinachofanan rangi yako fundi anakushonea anachanganya unavyotaka
@MuniraGao-ih3yu
@MuniraGao-ih3yu 2 ай бұрын
Kachachuka😂
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Vazi la binti la aibu
@oscartalljembemgonya3528
@oscartalljembemgonya3528 Жыл бұрын
hili nalo gumegume
@eusebiamrosso6420
@eusebiamrosso6420 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@DorisMtonyole
@DorisMtonyole 11 ай бұрын
Vp jamsn
@teddyshauri4309
@teddyshauri4309 Жыл бұрын
Nyimbo ya Nani hii
@mariumseif6751
@mariumseif6751 Жыл бұрын
Ya ASLEY
@florakijalo6243
@florakijalo6243 Жыл бұрын
Ben paul ft darasa show off
@adbellar338
@adbellar338 11 ай бұрын
Wow nd chance jamani. RINGA Dada. Kupendwa raha. Watu wanatafutwa kupendwa na ulivio mzuri achaaa wewe. Tamba Dada.
@RosemaryMarube
@RosemaryMarube 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@anethkasase
@anethkasase Жыл бұрын
Hakika umeitendea haki nafasi yako
@SelemanMvuomi
@SelemanMvuomi 10 ай бұрын
Nimependa huyu harusi❤❤❤❤
@ScholasticaSteven-gx6fh
@ScholasticaSteven-gx6fh Жыл бұрын
❤❤❤❤
@SelemanMvuomi
@SelemanMvuomi 10 ай бұрын
Nimependa huyu harusi❤❤❤❤
@NuruMagosho-mb9xr
@NuruMagosho-mb9xr Жыл бұрын
❤❤
@ModestaPeter
@ModestaPeter Жыл бұрын
❤❤
@SabrinJacon
@SabrinJacon Жыл бұрын
❤❤❤
@Frolakawiche
@Frolakawiche 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SofiaWasofia
@SofiaWasofia Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@nellyjames3865
@nellyjames3865 Жыл бұрын
❤❤❤
@betinamfungo3273
@betinamfungo3273 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Eng.MelinaJombe
@Eng.MelinaJombe 10 ай бұрын
❤❤❤❤
MINA-MAGRETH AKIMFUATA MUMEWE MTALAJIWA SENDOFF DAY 25/09/2024
3:31
ONLINE SERVICE STUDIO
Рет қаралды 13 М.
😍❤️MGENI & HUSSEIN WEDDING ENTRANCE (UNCUT)❤️😍
23:55
SANDMAN PICTURES
Рет қаралды 18 М.
Best wedding dance Song by Sarah Megesa Sijui nimepitaje
7:16
Samuel Masha
Рет қаралды 38 М.