Safi sana kwa kweli nimependa sana hongera sana Bi harusi hakika umeitendea haki siku yako haijirudii ni masaa tu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 umeiweka record utengenezewe sanamu 👏👏👏👏👏👏👏👏
@BerthaFaustine7 ай бұрын
Unaitwaje huu wimbo
@MaryLumambo-pt7ct5 ай бұрын
Mungu akusaidie kuna Maisha baada ya shela
@DianaDianastephano9 ай бұрын
Safi sana umeitendea haki sku yako
@simphrosaclavery47199 ай бұрын
Pole.bwana harusi mke.ndio huyo kazi unayo
@aminakasim11987 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😢
@halimahalima14886 ай бұрын
Jamni mie naona aibu ivooo😅😅😅
@LindaMbilinyi-n3n16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@emmadora784810 күн бұрын
Mpaka akamuoa maana yaje kamkubali alivyo ,ninyi mnateseka kwani mnamuoa ninyi?
@Latifaally390Latifa6 ай бұрын
Ma biharusi wasikuhizi hawana hata haya walahi allah akisaidie kizazi chetu
@mariethercassian70339 ай бұрын
Mbona mashauzi mengi sana! Wadada sisi siku hizi mikono na midogo ndo inacheza.
@missykalele55208 ай бұрын
Ndo alivyo dear ,so ni kawaida
@missykalele55208 ай бұрын
Congratulations schoolmate
@JulianaShibe6 ай бұрын
Jaman jaman ndoa ni takatifu bac matendo yetu pia yafanane na utakatifu
@CarthyGod2 ай бұрын
Nmempend anafulah san nd inavy takiw ujiachie mwaya
@florabuzoya39486 ай бұрын
Ma bi harusi wa siku hizi duuh 😂😂😂
@AmAl-x9j7 ай бұрын
Wimbo wenyewe hauna heshima ndani yake, Sasa sijui hakuna wazazi hapo
@BeatriceKashindi-et2id7 ай бұрын
Shingo litauma jaman pole pole bi kharusi
@theresiamsubi8 ай бұрын
Mzuri😋
@gamarmahsan82547 ай бұрын
Aynde akajionee kuhusu maisha ya ndowa😂😂 cheza vizuri utajioneya
@aminakasim11987 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@devothadennisduba76489 ай бұрын
So 🔥🔥🔥
@BerthaFaustine7 ай бұрын
Jina la wimbo please
@titiali79448 ай бұрын
Bi Harusi umetisha hongera sana
@BerthaFaustine7 ай бұрын
Jina la wimbo
@AGNESSLAURENT-s3z8 ай бұрын
❤❤
@duasufiani27828 ай бұрын
Ndio raha yakuolewa na unaempenda
@LovenesHamis8 ай бұрын
Jamani Kuna wengine wanalazimishwa😢❤
@saudakhamis4277 ай бұрын
Pambe ❤❤❤
@PaulerMtove6 ай бұрын
Anaonyesha show alitakiwa aingie kwa pose la kuringa
@KiriLibzz6 ай бұрын
Hana tabia za kitajiri wala kisomi...wasomi na matajiri hawa mambo mengi
@AlphonsinaMichael8 ай бұрын
Umeshasema Latifa unatarqjia utulivu utoke wapi
@Latifaally390Latifa6 ай бұрын
Sio wote ni tabia ya mtu ndugu
@LindaMbilinyi-n3n16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ukhutfatumah11547 ай бұрын
Mhhhh acha nipitie jamn maharusi WA siku izi yaaan wamechachuka uwiii
@khadejarajab80077 ай бұрын
Nasoma komenti mm😂😂😂😂
@zaitunirashidi55326 ай бұрын
Mke gani sasa apa 😂😂😂sio wivu ila huyu ni muhuni wa buza mabatini
@fridageorge28097 ай бұрын
Wakwe zake wapo hapo!!?
@gamarmahsan82547 ай бұрын
Hata bwana harusi aki ingiya wanuka majasho😂😂😂
@ummymuya.20607 ай бұрын
😅😅😅
@LuthMshan8 ай бұрын
Pendeza sana ww
@dorahkaruma92997 ай бұрын
Naihurumia shingo ya bi harusi😢
@LindaMbilinyi-n3n16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@gamarmahsan82547 ай бұрын
Lakini ni bibi harusi kweli huyo
@ShemsaIssa-lv6lh7 ай бұрын
Kituko😁😁
@Faraja-wj5mo7 ай бұрын
Kivumbi😂😂😂😂
@joycelaura46116 ай бұрын
ndo maana ndoa now days hazidumu
@mwanahharusi43896 ай бұрын
Mikono kama anabaka senene myuu
@LindaMbilinyi-n3n16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@NuruChande5 ай бұрын
Ss cjui tupo dunia gan harus ya classmates imenipita
@FatmaSaad-ld4ti5 ай бұрын
Ukihitajika utaitwaaaa😂😂hukuhitajikaa
@LeilaFundi8 ай бұрын
Amepndz san
@umsulaiman74686 ай бұрын
Ujinga Sana jaman uislam hapana bi harusi Hana haya hata kidogo mtihani mbele ya wazee Hana haya mtihani bi harusi zamani wakiwa na haya lakini saivi wamefiatuka na wazee wanaona bint wao anayo Fanya ni sahihi Allah awazindiwe kwenye ujinga na kupata noor
@emmadora784810 күн бұрын
Tafuta sana pesa
@zainabMgeniАй бұрын
Ujinga tu na ushamba na ulimbukeni nakutomjua mungu wao