Biashara 7 zenye faida kubwa kwa mtaji mdogo chini ya laki moja.

  Рет қаралды 137,250

Gamechanger TV

Gamechanger TV

Күн бұрын

biashara 7 ambazo unaweza kuzifanya kwa kutumia mtaji mdogo chini ya laki moja na kukutengenezea faida kubwa.
changamoto ya mtaji wa kufanya biashara kwa vijana i ekuwa ni kubwa lakini kupitia video hii utaweza kujifunza ni biashara gani unaweza kuzifanya kwa kutumia mtaji mdogo tu na kukuletea faida kubwa.
hizi ni biashara ambazo zinafanywa na vijana wengi afrika hasa tanzania na zimekuwa zikiwatoa kimaisha na kufika mbali.

Пікірлер: 179
@dicksonkhamis8095
@dicksonkhamis8095 4 жыл бұрын
nimekukubali sana hongera kwa kuelekeza vizuri
@upendonduye1800
@upendonduye1800 2 жыл бұрын
Asante sana kwakunipa mawazo mazuri
@Mr_Africanman
@Mr_Africanman 6 жыл бұрын
Asanten gamechanger kwa elimu hii ya kibiashara,,fanikiwa sana.
@GamechangerTV
@GamechangerTV 6 жыл бұрын
Ahsante na wewe pia kwa mchango wako, endelea kuwa karibu nasi
@seciliamasingija7940
@seciliamasingija7940 3 жыл бұрын
Big up
@nassorojumannepigauwa8453
@nassorojumannepigauwa8453 3 жыл бұрын
Safi sana nimekuelewa kaka nisaidie jins ya kufungua KZbin channel
@pauls8454
@pauls8454 3 жыл бұрын
Asante
@MegaKarume
@MegaKarume 5 жыл бұрын
Asante sana kwa video nzuri yenye kuelimisha....
@GamechangerTV
@GamechangerTV 5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa feedback.
@official_beniteztz4505
@official_beniteztz4505 4 жыл бұрын
Nice
@cosmaskomba2723
@cosmaskomba2723 4 жыл бұрын
Nimeipenda hyo biashara ya cookies na fruits salads, naomba maelezo na ujuzi zaidi tafadhali
@sophiakasim5153
@sophiakasim5153 4 жыл бұрын
Sasa jamani akupe ujuzi gani tena wakati yeye tayari kashakupa wazo ni juu yako sasa kwenda kulifanyia kazi mbona binadamu tunakua wavivu wa kufikiri ivo? daaah! acheni basi
@cosmaskomba2723
@cosmaskomba2723 4 жыл бұрын
@@sophiakasim5153 suala siyo uvivu wa kufikiri bali ni namna ya utengenezaji wa vitu husika, kwan hujawahi ona mtu anaomba kuelekezwa namna ya kupika pilau au hata jinsi ya kutengeneza keki na wakati huohuo vitu hvyo anavitumia kila siku? I don't know how cookies are made sasa nashangaa ni nin umeshindwa kunielewa dadaangu
@GamechangerTV
@GamechangerTV 4 жыл бұрын
Asante sana . naomba tembelea kwenye channel nyingine za youtube zinazofundisha kuhusu mapishi watakupa maelekezo
@sautiyamatumainitv2734
@sautiyamatumainitv2734 3 жыл бұрын
Nahitaji kufungua channel KZbin inayolipwa naomba msaada
@maryammaram2612
@maryammaram2612 6 жыл бұрын
Unaongea kaka vizurii asante nimekuelewa umenipa moyo sana
@Kanyaga_leatherIndustry
@Kanyaga_leatherIndustry 6 жыл бұрын
asante sana GamechangerTV kwa elimu hii
@justinemwenda2467
@justinemwenda2467 6 жыл бұрын
Fruits
@martineston9394
@martineston9394 5 жыл бұрын
Big up bro!!!forex ndio dili pekee naingiza zaidi ya 250US dollars per day.
@tinasulle4240
@tinasulle4240 4 жыл бұрын
Unaanzaje ety
@essaukibale5498
@essaukibale5498 6 жыл бұрын
brilliant man...... thanks a lot
@mcblife24
@mcblife24 6 жыл бұрын
Daa idea nzuri sana forex nmeipenda
@GamechangerTV
@GamechangerTV 6 жыл бұрын
Tunashukuru kwa comment yako, tungependa kufahamu wazo la kufanya biashara ya forex lipo kwenye mipango yako au ni kitu ambacho unakipendelea tu?
@elizabethjohn3098
@elizabethjohn3098 6 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka Mimi naweza kufanya biashara ya fruit salad
@GamechangerTV
@GamechangerTV 6 жыл бұрын
Ahsante kwa kuwa karibu nasi, tungependa kufahamu ilo wazo lako tayari lipo kwenye mipango yako au ni kitu ambacho unapendelea kufanya?
@elizabethjohn3098
@elizabethjohn3098 6 жыл бұрын
Asante Nitayari nianza kufanya maandarizi ya kununua vifaa na kutafuta maeneo ya kufanya kazi
@swibay
@swibay 4 жыл бұрын
Bro vipi kuhusu kuilipia youtube channel?
@lillianmwanga4957
@lillianmwanga4957 6 жыл бұрын
thanks much bro me naweza kutengeneza cockies barikiwa sana kwa somo lako zuri
@mzywonderjunior7396
@mzywonderjunior7396 5 жыл бұрын
NITAFUTE 0679469244
@haikashayo3353
@haikashayo3353 4 жыл бұрын
Liliani unapatikanawapi
@ericaoscar7779
@ericaoscar7779 4 жыл бұрын
Asante sana kaka, be blessed
@starnewstvtv1126
@starnewstvtv1126 6 жыл бұрын
Safi brother
@DanvastTV
@DanvastTV 4 жыл бұрын
Cool, let's be together
@hafidhomary1582
@hafidhomary1582 4 жыл бұрын
Naitaj kujifunz jinsi ya kufungua KZbin channel
@negofamely2667
@negofamely2667 6 жыл бұрын
Napenda kufungua chaneli ya KZbin Ila sijui namna ya kufungua naomba mnielekeze!
@annastaziapius581
@annastaziapius581 5 жыл бұрын
good idea brother
@benethkatembwe347
@benethkatembwe347 4 жыл бұрын
VP bro ulishapataga maelekezo ya kufungua u tube Chanel unielekeze na mm
@thuwaibaabdallah1538
@thuwaibaabdallah1538 5 жыл бұрын
asante kk kikubwa kujiaminitu hakuna kinacho shindikana
@mcharomtamu9560
@mcharomtamu9560 5 жыл бұрын
Umeongea mambo ya ukweli sana binafsi nashukuru
@ramafrica9016
@ramafrica9016 5 жыл бұрын
Nice motivation broo🔥🔥🔥
@gabrielkandrum32
@gabrielkandrum32 3 жыл бұрын
Matunda
@erickkisaule187
@erickkisaule187 5 жыл бұрын
kazi nzuri brother
@GamechangerTV
@GamechangerTV 5 жыл бұрын
Karibu tena Erick..... ninefurahi kukuona hapa
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 2 жыл бұрын
Vyote ulivoongea ni vizur shida network issues, na umelenga mijini sijui akina sisi tuliopo vjjn .
@ibrahimlikonga5676
@ibrahimlikonga5676 5 жыл бұрын
For sure Poultry farming and Forex....biggest money maker jobs
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312 6 жыл бұрын
asante kaka
@maleop2950
@maleop2950 6 жыл бұрын
nic
@ليلىفاكي-ش2ش
@ليلىفاكي-ش2ش 5 жыл бұрын
Hongera
@Noah-ce8ij
@Noah-ce8ij 6 жыл бұрын
guyz.. Forex ndo kila k2. Trust me
@meshackdickson9761
@meshackdickson9761 6 жыл бұрын
Ni kwel unaweza kunisaidia na mimi jinsi ya kufanya forex
@mathiasrobert5533
@mathiasrobert5533 5 жыл бұрын
hebu nipe elimu ya fore x
@magrethrichard5653
@magrethrichard5653 5 жыл бұрын
John Noah ndo kaz gan ii?nataka kujua n kujiungaa
@ruthmwalubaba273
@ruthmwalubaba273 5 жыл бұрын
naomba nielekeze kaka angu
@ruthmwalubaba273
@ruthmwalubaba273 5 жыл бұрын
kaka
@mercylynetabittha4333
@mercylynetabittha4333 3 жыл бұрын
Cookis Na fruit
@angelmalisa7719
@angelmalisa7719 5 жыл бұрын
Nmependa Biashara ya kufungua youtube channel lkn sasa unafunguaje?
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 5 жыл бұрын
Angel Malisa sisi huku marekani tunatumia GoogleAdsence sijui huko ulipo mnatumia hii hii au vip fatilia pia nakutakia kila la kheri.
@antonyantonychristopha9845
@antonyantonychristopha9845 5 жыл бұрын
Asante Kaka nimejifuza vingi sn
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 жыл бұрын
Aisee hongera sn nilitamani nipate namba yako ilinijifunze zaidi vitu vingi mm nimuandishi wa Mziki vitabu pia lkn sinaujanja wakujitangaza brother plz
@rhinakiza
@rhinakiza 5 жыл бұрын
Ni leo nina ideas ya ku write book God help me
@GamechangerTV
@GamechangerTV 5 жыл бұрын
Mungu akuongoze Rhina. Hakikisha wazo lako unaanza kulifanyia kazi kabla hamasa ya kukifanyia kazi haijaisha. Zingatia yafuatayo katika wazo lako la kuandika kitabu; 1. Tambua aina ya kitabu unachotaka kuandaa, hakikisha una maarifa ya kutosha kuhusiana na unachotaka kuandika. 2. Mtambue msomaji wako, itakusaidia kujua aina ya lugha, na matumizi yake katika kitabu hicho ili kumfanya msomaji wako aelimike. 3. Rahisisha maarifa unayoweka kwenye kitabu chako, mfanye msomaji afurahie kusoma kitabu chako. 4. Mbinu za kumfikia msomaji wako, kabla ya kuanza kuuza kitabu chako ni lazima ujue utamfikiaje msomaji wako kwa urahisi. ......... Endelea kujifunza zaidi
@rhinakiza
@rhinakiza 5 жыл бұрын
@@GamechangerTV Asante kaka kwa mawanzo masuri!! Sasa unapo aza kuadika unafunyije ili ufurahia kwasababu nilishaka jaribu kama mara pili ivi nashidwa naaza story inafika mahali na kwama
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Video nzuri ila haina msaada kwa vijana masikini walio katika maeneo ya vijijini.nadhani inawahusu sana watu walio katika mazingira ya mijini. jitahidi kutengeneza Clip inayosaidia watu walio vijijini. kwa kuwa huko ndiko jina la umasikini lilipojiwekea mizizi.na hata mijini kukiwa na mabilionea then vijijini kukaendelea kuwa na hali hii,msidhani kama tutakuwa tumebadili jambo tutabaki kuwa fukara na masikini wa fikra na uchumi. Tuwakomboe ndugu zetu walioko vijijini kwanza.mengine yatafuata!!
@GamechangerTV
@GamechangerTV 5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa ushauri wako Freddy, ni lengo letu kumuelimisha kila kijana bila kujali yupo mjini au kijijini. Tutaufanyia kazi ushauri wako na kuandaa clip kwa ajili ya kila mtu bila kujali eneo walipo
@euniceezekiel3701
@euniceezekiel3701 5 жыл бұрын
Cookies, forex na bibliography,
@henrymagenge5670
@henrymagenge5670 3 жыл бұрын
Kaka lakin naona kama forex inahitaji ujuzi zaidi
@josekamana6322
@josekamana6322 6 жыл бұрын
uko sawa dogo
@idrissadaud5778
@idrissadaud5778 4 жыл бұрын
Fx inaitaji elimu ya kutosha ukibugi umepoteza elayako yote broo
@daramrajmtaalam7037
@daramrajmtaalam7037 6 жыл бұрын
Well broo
@richbusiness3810
@richbusiness3810 5 жыл бұрын
nilitamani kufanya biashara ya matagazo youtube ilasijuwi chakuazaku post ilichaneli yangu ivutiwe nawatu naomba unisaidie
@mulokozikatanga3430
@mulokozikatanga3430 6 жыл бұрын
Binafsi nafanya Forex napata angalau dola 130 si chini ya hapo kiila siku
@geraldremmy2472
@geraldremmy2472 6 жыл бұрын
Mulokozi Katanga . Habari za kazi Bwana Mulokozi naomba msaada wako, nahitaji kujua jinsi ya kufanya biashara ya forex. Gerald namba yangu ni 0682 022 680
@meshackdickson9761
@meshackdickson9761 6 жыл бұрын
Habari ndg unaweza ukanielekeza na mimi jinsi ya kufanya forex maana naisikia sikia tu ni zaidi ya mwaka sasa
@franciscofranco393
@franciscofranco393 6 жыл бұрын
naomba unitafte kwa namba 0765043861
@andreamajele9469
@andreamajele9469 6 жыл бұрын
naomba nipigie kwa 0765185824 msaada tafadhali
@johngibson3089
@johngibson3089 6 жыл бұрын
Mulokozi Katanga Habari Ndugu, Nimehamasishwa na comment yako kuwa "unafanya biashara hiyo na unapata sio chini ya $130 kila siku". Nitashukuru kupata fursa ya kujifunza kutoka kwako. Naomba namba yako nikupigie. Namba yangu ni 0785998858
@asnathlelochuwa1507
@asnathlelochuwa1507 4 жыл бұрын
Napenda kufungua youtube chanell naomba msaada please!
@GamechangerTV
@GamechangerTV 4 жыл бұрын
Asante kwa kuangalia channel yetu. tungependa kujua unataka msaada wa nini ili tujue tunaanzia wapi kukusaidia.
@agathafulgence2047
@agathafulgence2047 3 жыл бұрын
Jamanii tuko wengi...tunahitaji kujua jinsi unavyoweza kufungua KZbin ukatuma bidhaa na jins ya kupata hicho kipato
@mbunahchannel2179
@mbunahchannel2179 6 жыл бұрын
nimependa
@GamechangerTV
@GamechangerTV 6 жыл бұрын
+mbunah tv karibu sana ili uweze kujifunza zaidi, hakikisha umesubscribe
@Coachsamwel
@Coachsamwel 4 жыл бұрын
Asante mno Tunaomba link ya Forex boss
@iddikimia4604
@iddikimia4604 5 жыл бұрын
Cookies nzuri kuanza
@eliudcharles742
@eliudcharles742 6 жыл бұрын
Asante bro
@beatycosta7953
@beatycosta7953 5 жыл бұрын
jaman sisi ni watanzania ongea izo biashara kiswahili forex ndo nn sasa
@MZIZE
@MZIZE 5 жыл бұрын
Kubadilisha fedha za kigen mitandaoni
@ashellytimothy719
@ashellytimothy719 4 жыл бұрын
Fanya biashara iliyoko rohon mwako na siyo kuata mkumbo utapotea tu
@kwizerains8774
@kwizerains8774 6 жыл бұрын
Unasema mengi tena manzili ni aje naweza gufungua accaunte yangu kwenye amazone
@sparksuccess1801
@sparksuccess1801 4 жыл бұрын
Aaiisee Forex na interest nayo sana
@GamechangerTV
@GamechangerTV 4 жыл бұрын
kuwa karibu nazi tutakuletea mwalimu tunayemwamini ili akusaidie kukufundisha
@sparksuccess1801
@sparksuccess1801 4 жыл бұрын
@@GamechangerTV nitashukuru San
@patenyoni9165
@patenyoni9165 5 жыл бұрын
nimependa sana hiyo coces ila sijajua kama inaandikwa hivyoo
@selemanivanmkungu4637
@selemanivanmkungu4637 6 жыл бұрын
broo folex inahitaji elimu kubwa saana na elimu tuu ya forex ili uipate vema si chini laki 5
@votedaudi9330
@votedaudi9330 5 жыл бұрын
selemani van mkungu sio kweli, elimu ya forex inapatikana hata free ni wewe tu hujui hilo maana vitu vingi ambavyo utanunua unaweza kuvipata sehemu kibao mfano Google site kama babypips utapata hyo elimu ambayo ungeinunua kwa laki 5
@magnusbugingo7471
@magnusbugingo7471 6 жыл бұрын
kuandika biograph za watu
@salimsaif7370
@salimsaif7370 5 жыл бұрын
forex ze best
@haruniisaya616
@haruniisaya616 3 жыл бұрын
Jaman nataka iyo forex inakuaj plz niko serious
@magrethrichard5653
@magrethrichard5653 5 жыл бұрын
jaman ndg,tuanomba muongozo kuhusu Forex jaman! it's interested
@IamYomiJohn
@IamYomiJohn 4 жыл бұрын
0766926017
@esturidasangah1753
@esturidasangah1753 3 жыл бұрын
@@IamYomiJohn namimi jamqni
@matridalupumbwe9189
@matridalupumbwe9189 5 жыл бұрын
Brenda kutengeneza cookies na fruit salad
@yussufmcha3181
@yussufmcha3181 5 жыл бұрын
Nimzuri biyashara ya fruti
@ismailhassan6412
@ismailhassan6412 3 жыл бұрын
Cookies ndo nini
@tigamanywatv470
@tigamanywatv470 6 жыл бұрын
Naomba maelekezo ya kujiunga na FOLEX
@IamYomiJohn
@IamYomiJohn 4 жыл бұрын
0766926017
@wardahabdallah2216
@wardahabdallah2216 5 жыл бұрын
jamaniii na mim naombeni msaada natarajia kufanya biashara
@jumafundikira1836
@jumafundikira1836 6 жыл бұрын
forex no.1
@wlkms1393
@wlkms1393 5 жыл бұрын
Waongea mbio mbio
@dismasnziku5938
@dismasnziku5938 6 жыл бұрын
forex broo asante sana
@yustinafabian2436
@yustinafabian2436 4 жыл бұрын
Kaka jaman nimeipenda nitafute unielekeze 0682166015
@petrokawau682
@petrokawau682 6 жыл бұрын
Forex ni nini? Naomba msaada
@GamechangerTV
@GamechangerTV 6 жыл бұрын
+Petro Kawau utaweza kufahamu kuhusu forex kupitia video hii hapa kzbin.info/www/bejne/gGO3noaQqrVohc0
@englengaipaul6000
@englengaipaul6000 5 жыл бұрын
ahsante sana kwa vedio hiii aiseee umeongea ukweli mtupu kwani hata mimi nafanya Jamalife herpers global ltd ambaye mtaji wake ni 16000 tu unatengeneza hela nyingi kwahyo hiiii pia ni biashara ambaye unafanya kwa mtaji mdogo karibuni sana kwa mawasiliano 0756618127 call na whasp pia karibu sana>>>>>>>>>>>>>>
@jaliakamote5485
@jaliakamote5485 5 жыл бұрын
Ndo wafanyaje?
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Hasante kwa elimu hii
@mariamfuraha7151
@mariamfuraha7151 5 жыл бұрын
Fruit salad me ndo naweza
@zawadihabibu7614
@zawadihabibu7614 5 жыл бұрын
Ukitaka kujiunga unafanyaje
@taxconsultant5050
@taxconsultant5050 5 жыл бұрын
Naomba kueleweshwa kuhusu hiyo forex plzzzz
@IamYomiJohn
@IamYomiJohn 4 жыл бұрын
0766926017
@agustinomngai5716
@agustinomngai5716 6 жыл бұрын
naomba namba yako
@ibrahimbakari9061
@ibrahimbakari9061 6 жыл бұрын
Naomba iyo link ya forex
@mabuyeenterprise9114
@mabuyeenterprise9114 6 жыл бұрын
Forex
@GamechangerTV
@GamechangerTV 6 жыл бұрын
Tunashukuru kwa comment yako, tungependa kufahamu wazo la kufanya biashara ya forex lipo kwenye mipango yako au ni kitu ambacho unakipendelea tu?
@petrokawau682
@petrokawau682 6 жыл бұрын
Biashara ya forex ni nini?
@thuwaibaabdallah1538
@thuwaibaabdallah1538 5 жыл бұрын
+Petro Kawau ww mwenzangu ila niliogopa kuliza mm ila asante sana kwa kujiamini
@zakyahya4645
@zakyahya4645 5 жыл бұрын
@@thuwaibaabdallah1538 hhahahha mwingine ni mimi apa ata cjui ni nini
@geraldremmy2472
@geraldremmy2472 6 жыл бұрын
Habari za kazi, naomba kujifunza namna ya kufanya biashara ya forex. Naombeni namba ya mtu anayefanya biashara hiyo. Namba yangu ni 0682022680
@isayamwakany5719
@isayamwakany5719 6 жыл бұрын
Wewe ni jembe nimekukubali.
@isayamwakany5719
@isayamwakany5719 6 жыл бұрын
Nione ntakutafutia
@pasapraygibson9448
@pasapraygibson9448 5 жыл бұрын
Gerald Remmy folex ni biashara ya kubadilisha pesa
@gordianmsanga2707
@gordianmsanga2707 5 жыл бұрын
Uko vizuri. Nimevutiwa na forex but how to go about?
@josephmponje2649
@josephmponje2649 5 жыл бұрын
Forex ikoje ikoje
@canirovev2001
@canirovev2001 4 жыл бұрын
Ninafanya sabuni Za Maji Kwa Mtaji WA 26000 na kupata faida kubwa
@eliudgabriel7464
@eliudgabriel7464 3 жыл бұрын
Nigei namba zako bro
@cocosugarcane5732
@cocosugarcane5732 6 жыл бұрын
kingereza kimejaa unatuchanganya
@sumanasson3538
@sumanasson3538 5 жыл бұрын
Rudi shule
@jasonmwombeki351
@jasonmwombeki351 5 жыл бұрын
Big up
@totobad5346
@totobad5346 5 жыл бұрын
Forex
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 67 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 119 МЛН
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 65 М.
MISINGI 10 YA FEDHA, MAISHA NA MAFANIKIO
8:30
Success Path Network
Рет қаралды 295 М.
BIASHARA 8 ZA MTAJI MDOGO | ANTHONY LUVANDA | Full Video
31:03
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 412 М.
Jinsi ya Kuingiza Hadi Milioni 100 Kwa Mwaka Katika Biashara Yako
26:34
BIASHARA 5 ZINAZOHITAJI MTAJI MDOGO KABISA |
10:31
Gamechanger TV
Рет қаралды 232 М.
JINSI YA KUPATA MTAJI WA BIASHARA - Anthony Luvanda
6:16
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 49 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН