I love the passion,determinarion and focus. She's bright and "unapoiona fursa itumie vizuri "kauli ya Ruge. Indeed Ruge inspired Alot of people. Rest in peace bro Ruge...... Girl do what you were tought best in campus. Personal employment is the only way to go.
@amnemkubwa73535 жыл бұрын
Jaman si ajabu.. kuna walomaliza degree wanauza mama ntilie, wanauza mashuka, wanauza matunda ambayo ni bora kwa afya zetu😍😘🤗.. hongera sana bint kwa kujiongeza... Piga Kaz Kaz haijalishi w2 wakuseme, we unaingiza maisha yanakwenda hadi Mungu atakapokubarikia kaz🔥🔥🔥😘😘😘
@francismsangi32445 жыл бұрын
Yaaaah! Kwel kabisa, Hongera sana binti kwa uamuzi mzuri uliochukua hakika ww ni fundisho kubwa sana kwetu sisi vijana ambao tupo chuo na tunategemea tukimaliza hapa serikali ituajiri, kitu achacho sicho that is Education For Liberation.
@hassanmasuke50785 жыл бұрын
Young, powerful, Charming.... Nicely
@alexchungu88235 жыл бұрын
Unazitendea haki zile modules, principle of marketing & enterprenurship .... Safi sana.
@kenethmlunya46334 жыл бұрын
Alex Chungu 😁😁😁😁
@williamnathan46304 жыл бұрын
Good Safi Sana! Naamini wengi Sasa waliovyuoni wataondokana na mawazo mgando ya kuajiriwa!
@cliffmkojera2709 Жыл бұрын
Safi saná dada Bandebe chapa kazi (MZIGO MZIGONI)
@kwizeraelly92615 жыл бұрын
Nimekupenda sana mdogo wangu pambana mpaka kieleweke.Mungu akubariki.
@augustinalyimo16773 жыл бұрын
Huyu Dada kiukwelii anajitahidi sana mm Kila mwezi lazima niendee ofisini kwakeee hongeraa Dada deee😍😍😍😍😘
@habibashabani5689 Жыл бұрын
Naomba namba yake nami niwe mteja wake
@nyanzalakaporo25045 жыл бұрын
Gonga like, Hapa kama wewe ni mmoja wapo uliye thubutu kufanya kitu chako Binafsi.
@azizamkindi17845 жыл бұрын
Safi wife material naimben like zen anafaa au
@nurdinimndeme29125 жыл бұрын
Jaman utakiwi kuuliza kabisa hapo .
@wisperfect38605 жыл бұрын
Dada nimekupenda😍
@ilovejesus93035 жыл бұрын
@@nurdinimndeme2912 😁😁😁😁😄😄
@ombenmichael34735 жыл бұрын
👍👍👍
@salimharrasy70475 жыл бұрын
Nimetokwa na machozi njisi ya furaha yangu ilivyozidi. Mimi nasema hajalishi ilimu uliyonayo unapopata kazi ya halali ya kufanya.
@philonchimbi075 жыл бұрын
Hongera sana kusoma na ubunifu vinakwenda sambamba.umeonyesha njia kwa wasomi wengine. Big up
@zulfajuma98975 жыл бұрын
daaaah hongera sn, Allah akubalik na mm ngja nianze kufanya km ww katk mkoa wng
@saeedahhenry711 Жыл бұрын
Nimekupenda buree Binti mrembo pambana ni kweli kabisaa uzuri hauliwi
@aminahussein24605 жыл бұрын
Congratulations Dee wangu super proud of u Toto... Keep going Alllah aZd kukuongoza
@deodathadonatus88345 жыл бұрын
Santee twin
@praxedadominic98645 жыл бұрын
Deodatha mjasilia mali mwenzio nicheck pliz nipo tabora nahitaj tuzungumze biashara nicheck 0788020582
@roseventure32323 жыл бұрын
@@deodathadonatus8834 dear plz can u have no zako plz n plz tuongee
@izabilizalaurent36852 жыл бұрын
Congratulation dear Sory naweza kupata no yako ya sim tuongee nmevutiwa na idea yako
@kpetres28724 жыл бұрын
Na Mimi namalizia shahada ya elimu tusukume gurudumu, lkini mmi nishalianza kwa vishet, crips na karanga😥😥😥😥😥
@elijamusa5 жыл бұрын
Mtoto amesoma, ni mrebo, hana maringo ako na biashara yake...mungu ambariki
@edwinkinyamagoha12285 жыл бұрын
Hongera sana Dada,ila nina biashara kama yake, nahitaji mtu kama huyu tuendeleze biashara,naomba mnisaidie namba yake au anitafuteee
@africanhappyadventure69515 жыл бұрын
Katoto kazuri sanaa kudadadeki na Kaamua Kuacha kudanga apambane Safi sanaa.na Kwa Utamu huo lazima wanaume ndio wawe wengi🏃🏃🏃
@mandasonart43755 жыл бұрын
GUSA HAPA KISHA SUBSCRIBER KUPATA HABARI ZA MICHEZO NA VICHEKESHO DUNIANI
@antoinekatembo81245 жыл бұрын
Umeona, alafu hayo macho jamani mie nipo ridha kutoka States nije kuongea naye siyo kimapenzi LAKINI kibiashara please
@deodathadonatus88345 жыл бұрын
We cant eat beauty dear
@maryammaram26125 жыл бұрын
😁😁😁😁
@antoinekatembo81245 жыл бұрын
@@maryammaram2612 sasa! Lol
@michaelmallya56225 жыл бұрын
What a brave lady #Smart Keep it up.
@Blandina-j4x Жыл бұрын
Hongeraa mwenzang na mem ndo kazi yang
@Blandina-j4x Жыл бұрын
Jee vyomb vyakoo ni vyakurudishaa
@khamiskhamis53235 жыл бұрын
Uzuri wa Mwanamke unaanza kwenye akili yake sio kwenye sura yake wala shape yake,,
@salamakombo32574 жыл бұрын
K we eli
@nacksonyusuph77125 жыл бұрын
Nice work... Keep up the good work.
@tornadohaid73643 жыл бұрын
Nmefurahi sana kuona hii my ISIKE mate nikifika tabora lazima nikuunge kichwa na mikono yote
@danidanieli26305 жыл бұрын
dah! saut sasa ....enewei nimekubal na kiukwel hawa ndo wanawake...mke wngu pia ni bonge la mjasiriamal pls kama inawezakana naombeni no ya huyu mdada abadilishane mawazo na mke wng....niko dom...
@marizazawadi87984 жыл бұрын
Safi sana, dada umenipa nguvu sana
@anisiamedard37755 жыл бұрын
Safi sana mdogo wangu. Napenda wapambanaji kama we we. Hongera sana
@deodathadonatus88345 жыл бұрын
Santee dear
@roseventure32323 жыл бұрын
@@deodathadonatus8834 ur no plz😢😢😢😢nataka tushare kitu
@daudmwita39685 жыл бұрын
absolutely I like so much your inteview
@majutokihwele26375 жыл бұрын
Hongera Mungu wangu namuomba akupe mafankio iliwengi tujifunze
@aaliyahholden92824 жыл бұрын
Mungu azidi kusimamia napia kwa sote watafutaji wachanga tusikate tamaa
@maureenericksonerickson6495 жыл бұрын
Waoow good ideas
@HASASON5 жыл бұрын
Beautiful with Brain
@stevoovlogs86455 жыл бұрын
So cute n bright
@christinetimothy58055 жыл бұрын
Mmmh utakuta lijitu limemaliza form4 haraful limeferi linasema Mimi msomi siwezi kua mama ntilie pumbavuuui.umeona wasomi sasa .
@nurdinimndeme29125 жыл бұрын
haha '
@paulinajoseph5 жыл бұрын
😂😂😂
@judithjoseph50955 жыл бұрын
Christine Timoth
@lelomsechu75695 жыл бұрын
Hahaa
@jenipherchristopher80835 жыл бұрын
Kwakweli nataman waige huu mfano for4et msomi????
@naimasaid77635 жыл бұрын
Mungu akuwezeshe dada
@santosinza97855 жыл бұрын
its good and congratulation
@moureenmamygrad12215 жыл бұрын
I real love you.my sister.. Is shall make like you
@esterlunguya59884 жыл бұрын
Hongera my dear nataman sana
@MZIZE5 жыл бұрын
Naomba sample soft copy ya busness plans
@aulamongi20205 жыл бұрын
Safi sana nimependa You cant eat beauty
@shanteesaid98314 жыл бұрын
Wow insiparation kama naeza pata no ya huyo dada plzzz
@zuranamutebi11115 жыл бұрын
Great ideas thanks
@kamgomoli36505 жыл бұрын
Napenda sn black beauty ladies.Nmekupenda bure
@brownjumbe95 жыл бұрын
Umethubutu hongera sn
@thomd75134 жыл бұрын
Hongera Dada angu
@esteriantagulanya59693 жыл бұрын
Hongera dada
@hjhj62305 жыл бұрын
Hongera sana
@jericojacob3709 Жыл бұрын
Kwanza degree ndo kua naela, alafu wenye ela wengi hawajasoma, mipango ana
@alexchungu88235 жыл бұрын
Nice package and branding..
@reubenhoyanga Жыл бұрын
Big up sana
@najma32685 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu
@dicklaurian3555 жыл бұрын
ongera sana mungu akubariki
@stevenkiama51885 жыл бұрын
Very bright God bless u
@jicholafursa70585 жыл бұрын
.
@rechoisaya85105 жыл бұрын
Hongera dear
@kelvinjohn68513 жыл бұрын
Kazuri kenyewe. Hadi raha.
@vailethsamson89975 жыл бұрын
Safi sana babegirl,, Go go babe Dee
@deodathadonatus88345 жыл бұрын
Sante bby
@PriskaZabroni Жыл бұрын
Mimi mpenda naomba on yko
@alfarsiali27795 жыл бұрын
Mh watanzania tutatoka kwel kwa Hal hii mhmh maan unasoma mpk degree hlf unaishia kuuza matunda dah haya yote khery lkn Allah akusaidie na akucmamie inshallah ktk biashara yako dada yangu
@barikimomadi42105 жыл бұрын
Biashara hiyo si ya kudharau hata kidogo.Akiweka mipango vizuri baada ya muda mfupi ataweza kuajiri na wengine.Mpe moyo wala usimkatishe tamaa.
@alfarsiali27795 жыл бұрын
@@barikimomadi4210 yeah me wala ckumkatisha tamaa my dear na ndy maana nkamuombea dua kwa m.mungu mtoa rizik
@DrFatmaKhanPanAfrikan5 жыл бұрын
Mshamba wewe. Alfarsi ali. Nenda Nchi zilizoendelea kaone engineer mwenye degree anafagia barabara. Alimradi asiwe parasite!! CHAPA KAZI "WORK IS HONOUR"
@munawwarabeid86345 жыл бұрын
Kusoma sio kuajiriwa.. Pale unapewa muongozo na upanuz wa akili ili ujuongeze uwe na maarifa mm hp nimesom na saivi nimejiajr mwenyew
@souvenirweber71695 жыл бұрын
Hiyo elimu ndio imemsaidia kufikia hapo hivyo sio lazima aajiliwe
@crershawmafia10095 жыл бұрын
Mtoto mzuri hata mie nitanunua mamae😀
@merryn48915 жыл бұрын
Hongera sana dada
@joramchubwa48055 жыл бұрын
Hongera ukikate tamaana
@rebeccabwashi85625 жыл бұрын
Naomba kupata mawasiliano yake tafadhari coz daah!! Amenigusa sana
@christineadam93415 жыл бұрын
Chukua number Apo kwa bakuli za matunda
@theophilrenatus52045 жыл бұрын
Good Job mate👏👏
@deboracharles18484 жыл бұрын
NASHUKURU SANA SANA UMENISHAWISHI KUFANYA UNACHOKIFANYA
@asmahjuma27134 жыл бұрын
Naomba unisaidie no yako ya simu deadatha
@christineadam93415 жыл бұрын
Mmh she's very pretty.
@jacklinekabadi73875 жыл бұрын
naomba namba yake
@robertthomas77695 жыл бұрын
Safi sana, huyu Dada ameelimika, inatumia Elimu yake kwa vitendo.
@Phonce-ei2pn4 жыл бұрын
Naomba garama na taratibu zako namba hizo
@augustinalyimo16773 жыл бұрын
Sasa ivi hana chunusi kawa mrembo achaa tu
@FatmaFatma-kt1or5 жыл бұрын
Pambana dada kazi kazi
@hosearwechungura53915 жыл бұрын
Piga kazi, xaf sana, ukizngatia elimu ya Tz kwa asilimia kubwa hufanya wanatunzi kuwa wategemea ajira, badala ya kutengeneza ajira!
@deodathadonatus88345 жыл бұрын
Sante boss
@hosearwechungura53915 жыл бұрын
@@deodathadonatus8834 Hapa Tbr mabint wengi siwaoni wakifanya kazi, wanawekeza kwenye starehe za hovyo ndo maana nasema jitahd sana Mungu mwema utafanikiwa zaidi ndg
@roidatadey86565 жыл бұрын
Safi sana dada
@isackmabanza49375 жыл бұрын
Mungu awe nawe
@vianampume56704 жыл бұрын
Hapo juu unamwagia vitu gani ivo
@samsonmasawe99815 жыл бұрын
Ngoja na mm nimuweshe shemeji yenu
@neemakilomoni42585 жыл бұрын
Mashallah
@hassamfariis17545 жыл бұрын
Mimi pia nimemaliza degree na clean oman maisha hayapo ivoo
@TOYI8974 жыл бұрын
Hongera dear
@a.8565 жыл бұрын
Kila la kher sis
@vailetivai83595 жыл бұрын
Msomi but no yes ofcoz you know actually hehe cheerz gal
@mandasonart43755 жыл бұрын
GUSA HAPA KISHA SUBSCRIBER KUPATA HABARI ZA MICHEZO NA VICHEKESHO DUNIANI
@getrudenicegilbert23515 жыл бұрын
Go Go my mhaya ❤️❤️❤️❤️
@hassamfariis17545 жыл бұрын
Mzuri huyu.dada
@obedkelly76535 жыл бұрын
Hhhhm.Katoto kazuri bana,,Ayo nitumie namba ya huu sister bana..ao nambie naweza kapataaje??Kanafa kuja huku canada Montréal..Ao kanicheki kwenye fcbk yangu..(Kelly kelly)
@ezekieljacob57954 жыл бұрын
Wewe pumbavu yaani fisi kabisa eti anicheki niko canada!!! Ushamba wako kaa nao mwenyewe .bongo sasa hivi ni zaidi ya canada halafu Tabora inaitwa Toronto.wewe beba mabox mpaka nywere za puani ziwe nyeupe.niko canada!!!! Get lost dude
@radhiasalum71565 жыл бұрын
Nyumbani huko .mzumbe moja
@claudiajames20035 жыл бұрын
so inspiring
@ministermartinfumbuka67935 жыл бұрын
Ni vifaa gani unavyotumia Dada?katika kupack matunda na maandalizi hayo?tafadhari nijibu hatakama imekuwa kwakuchelewa.
@aminaitembe10075 жыл бұрын
Duuu safi
@saadahamza38565 жыл бұрын
Mzumbe oyeeee, nilipoona hii video niliku najisemea tu mbona kama namjua, baada ya ku click ndo nikagundua tumemaliza mwaka mmoja, nimependa ur idea, pambana mama
@jeremiahmwanyika52475 жыл бұрын
Amzng sana
@onaikim41915 жыл бұрын
Congrax
@johnkyara14984 жыл бұрын
Kwa imeandikwa wapi mwenye degree ndio atakiwa kufanikiwa? dada pambana na haliyako
@Phonce-ei2pn4 жыл бұрын
Tunapataje cm yake
@mussasadick62135 жыл бұрын
Wasomi get up
@ramaaboki62555 жыл бұрын
Good sana
@mandasonart43755 жыл бұрын
GUSA HAPA KISHA SUBSCRIBER KUPATA HABARI ZA MICHEZO NA VICHEKESHO DUNIANI
@nailengai70575 жыл бұрын
Sorry anayejua ni nini hicho alichonyunyuzia kwenye matunda kama unga wa ulezi nijulishe pls
@queenbhanji72235 жыл бұрын
nai lengai zinaitwa chea seed zinasaidie ktk umengenyo wa chakul mwilin zinasaidie kuburn mafut mwili inshort znapunguz minyama uzembe ya tumbo zinafaida nying mwilin pia unaweza weka kweny juice,chai nk